JE, YAFAA KUSHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWA MTUME? SHEIKH ABDULQADIR AL-AHDAL

  Рет қаралды 2,977

HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI

HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@AbasiSharifali
@AbasiSharifali 5 ай бұрын
Mashallah shekh Skuzote skusklz lakn hii nmekuskilza ww uko kwenye ww uko kwenye njia swahihi ya daawa Allah akuhfadh kukutaka umoja kwa waislamu
@nasrarichadi2278
@nasrarichadi2278 Жыл бұрын
Huyu ni mcha Mungu Hana khiyana Ktk usomeshaji wake
@ShuaibuMsofe
@ShuaibuMsofe 9 ай бұрын
Sheikh huyu an inswaafu sana
@mohammedhussein9202
@mohammedhussein9202 Жыл бұрын
Very good fatwaa...yy hakubaliani na maulid bt hakataxi watu kufanya au kukufurishaa waisalamu...
@rashidsaid9409
@rashidsaid9409 Жыл бұрын
Talbis iblisi uislsmu si kama urojo ww taka pili pili yule taki pili pili nyote sawa alimradi upadate utamu . Hii dini ni elimu inatulazimu tuangalie wanaotupa elimu ya dini. Nasikuangalia rangi wala ndevu wala mavazi wala makkah wala madina. Allah atuongoe. Amin
@rashid3562
@rashid3562 9 ай бұрын
Good advice
@abuabdirahman114
@abuabdirahman114 9 ай бұрын
Hili ndo tatizo lakutaka watu wote wakupende dini haiko hivo lazima al walaaa wall baraa iwepo kupenda nakuchukia huwezi ukaruhusu watu wafanye bidah فَاسْتَقِمْ كَمَا أُمِرْتَ وَمَن تَابَ مَعَكَ وَلَا تَطْغَوْا ۚ إِنَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ
@RajabMbelembe
@RajabMbelembe 8 ай бұрын
Wanachuoni walioigawanya bida'a walikusudia maan ya bida'a kilugha na siyo kisheria...kwa kuwa mtume swalla llahu alayhi wasallam kashahuku ""كل بدعة ضلالة""
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 5 ай бұрын
Huna unachojua nenda chuoni
@AbasiSharifali
@AbasiSharifali 5 ай бұрын
Ww wacha ujnga wako nan kakwambia kuna bidaa ya kilugh na bida ya kisheria somen vzur wacha kujchanganya
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 8 ай бұрын
Huyu suufi tuuu
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 5 ай бұрын
Unafikiri ni fala kama wewe
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 7 ай бұрын
Shekhe, usihalalishe batwili kwaajili ya kutaka kupendwa na watu, hakki itabaki kuwa haki na batwili ni batwil, sisi tutasimama na hakki atutaki kupendwa na watu tutapendwa na Allah kwakule kuitetea dinni yake isichafuliwe mpk kiama, maulid ni ihtilafu kweli wanazuoni wakubwa wakutegemewa wamekemewa bidaa hii vikali
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 7 ай бұрын
Wema waliotangulia walikataza bidaa,na walipambana na shirki na watu wa bidaa, Sasa shekhe awambia watu kitu hakikufanywa na wema walotangulia, manake ni uzushi arafu tena awahimiza watu kufanya uzushi, tuwe makini na walinganizi kama Hawa man hajji salafi kuchukia bidaa na kupambana na watu wa bidaa bila kuoneana aibu, hata imamu shafii kasema kauli yake ikienda kinyume na hadithi ya mtume tuitupilie mbali tuchukue kaulinsahihi ya mtume, mwanazuoni kaenda sawa tunamkumbatia kauli yake tofauti na kitabu na sunna tunamwachia rai yake tunamfata mtume. Tutahadhali na walinganizi kama hawa
@salumjabir813
@salumjabir813 5 ай бұрын
Acha ujinga wewe...kwakwambia hii ninikhtalaf ul maa..sasa imam suyut na ibn hajar wanakubali na wanazuoni weng...sasa tukufuate wewe kama nan kwenye dini...yeye shekh anasema walichosema maimam sasa wewe nani tukusikilize kwenye dini?
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 8 ай бұрын
Yani huyu anataka mapenzi ya watu...!!!! Mzushiii mkubwaaa, أنت أشد علينا من أهل البدع
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 5 ай бұрын
Huyo ni msomi sio fala kama wewe alkaida
SHEIKH, ABDALLAH ABDULQADIR AL AHDAL - NAFASI YA MOYO
1:11:34
Kishki Online TV
Рет қаралды 2,2 М.
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 36 МЛН
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,5 МЛН
SHEIKH ATOA SOMO MUHIMU SANA , KUHUSU RIBA , BIASHARA NA UDALALI.
13:24
TWAISHI KWA REHMA YA MTUME | USTADH SAID SHIRAZY
11:07
Al Ihsaan TV
Рет қаралды 10 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 122 М.
UPI WAJIBU WA MWANAMKE NDANI YA NYUMBA? SHEIKH SHARIIF ABDULQADIR AL- AHDAL.
5:13
HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI
Рет қаралды 234
FADHLA NA UBORA WA KUMSWALIA MTUME (S.A.W) l  SHEIKH HASSAN AHMED
32:37
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 46 М.
HUKMU YA SWALA LA JAMII MBILI NDANI YA  MSIKITI MMOJA:  SHEIKH ABDULQADIR AL- AHDAL.
10:47
HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI
Рет қаралды 1,4 М.
SHAREEF ABDULQADIR AL-AHDAL ALIVYOSIMULIA KISA CHA ALIYESLIMU
18:17
Kishki Online TV
Рет қаралды 12 М.
ARAFA NINI? SHORT CLIP, SHEIKH SHARIIF ABDULQADIR AL-AHDAL.
8:48
Kishki Online TV
Рет қаралды 2,6 М.
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН