Yaani nimefurahi kumuona mwakatobe ❤❤❤❤❤❤❤❤ Kaka mfikishie salam no one like mwaka tobe
@ALIMOHD-bk9lr6 ай бұрын
Surely
@_Wayiva_mukuta_jean6 ай бұрын
cheki kwa makini, mwakatobe ni mkongo 🇨🇩 wa baba na mama.😂😂 salamu zangu za dhati kwa timu nzima.
@MoTalentTz6 ай бұрын
Nyani ngwengwe umekutana na chuma hicho mwakatobe the best sana, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪
@MoTalentTz6 ай бұрын
Best 🔥🔥🔥😊
@stevenkomba46216 ай бұрын
Hahaha 😅😅😅😅😅😅 daah jaman We Dubu Tz Professor mwakatobe Umepigaje hapo
@tiffahbby36976 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂wangapi mumefurahishwa na professor Mwakatobe musiwe wachoyo wa like bhana kula chuma hichoo😂😂😂😂
@dicloparmichael6 ай бұрын
😂
@user-bx1eo2wc4h6 ай бұрын
😂😂😂
@khadijahamisi85316 ай бұрын
😅😅😅
@user-il2ch9mw5v6 ай бұрын
😂😂😂😂
@mohammedkidody56186 ай бұрын
😂😂😂
@umulisaclarisse19496 ай бұрын
Mdomo koma😂 nampenda sana mtumishi moto From Rwanda❤❤
@zainaburamadhani96506 ай бұрын
Duh nimelia sana jaman si kwaiyo mibao ya upala kwa kipala sizan km ntaoga leo
@pur-ple-girll-3046 ай бұрын
😂😂😂😂 hy seen kwak ilikuwa ngum sana
@HashimuKiswago6 ай бұрын
Alafu ww kumbe mstalabu naapa ipo 😂❤
@user-dp1fj5uu8w6 ай бұрын
Mmmmm mwakatobe uogopy uy dubu bwan
@ameenyafricanafricankhido99896 ай бұрын
Huyu mwakatobe anakuaga na shida gani lakn😂😂😂😂
@josphatchomba46884 ай бұрын
Hello jambo
@ameenyafricanafricankhido99894 ай бұрын
@@josphatchomba4688 poa sana
@bramwelsituma63756 ай бұрын
Wow ,,Good cooperation,,,dubu and mwakatobe kazi nzuri,, 🇰🇪 love you ❤🎉
@user-cg5cz8md2t6 ай бұрын
Kazi nzur na mwakatobe. Dubu uyu mwakatobe ndo anaekufaa kwanzia mwenye nyumba mchawi
@defranco31006 ай бұрын
mamaee professor msenge sana 😂😂😂
@salhamrishoi49436 ай бұрын
Mwakatobe ndani ❤❤yaani nimefurah mpaka sijaangalia nimeanza kukoment❤❤❤❤❤❤🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Nakubali saana kaka unaweza mpka unaweza tenaaaaaaaa❤
@user-fr4lj7jw9g6 ай бұрын
Wedzombi Aujui , mwakatombe utakuja niuwa ww❤much love from kenya..mnipe likes zangu jamani
@fatumaandrea2476 ай бұрын
Mweusii Kama njia panda yakuzim 😂😂😂 kazi ipo
@angelrichard8996 ай бұрын
Nimekuwa wa72 kazi nzuri xana MUNGU Awabarikii xanaaa wotee kiukweli
@atifosalimo6 ай бұрын
Number 1 nipo apa naomba Ata like 10
@user-dx9ch7vw8r6 ай бұрын
angalia kwanz mouvie umaliz ndo upat hiz like
@user-tg2mn3xu1y6 ай бұрын
Mwakatobe kulalina zuchu wewe chefuuu mchumba tuu
@MoTalentTz6 ай бұрын
Dubu the best 🔥🔥🔥🔥🔥
@princekillian36406 ай бұрын
much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🔥🔥
@user-tp2fj4qt6k6 ай бұрын
Wooow....mambo mrembo ❤❤❤❤❤mtumishi moto🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@lwamimithegreat60406 ай бұрын
Mmetisha
@user-jz8zh8pq4h6 ай бұрын
Hhhhh professor mwakatobe 😅😂😂naona kwa wigi 😂😂
@kiswaswadu21326 ай бұрын
Nliskia aaaaaaaa kumbe ndosafari yamganga❤❤❤❤
@hythamshadrack23236 ай бұрын
Nahapa ipooo nmecheka kwa nguvu wallah nyani ngwengwe anatuvunja mbavuu😂😂😂
@MonikaDaudi-fc6mi6 ай бұрын
😂😂😂
@ndayisengaamissi61026 ай бұрын
Na hapa ipo😂😂😂😂😂
@kibibimlaula25266 ай бұрын
Nyani gwengwe kula chuma icho 😂😂 umelishwa mtu .....collabo with mwakatobe is amazing 😍 Dubu all the way🎉😊
@skystarVEVO2546 ай бұрын
Much love ❤watch from Kenya 🇰🇪 Mombasa
@user-tp4sy6ym7q6 ай бұрын
Safi sana🎉🎉🎉🎉
@user-ld6hf7rm3b6 ай бұрын
"Niguse nikuchanechane Kama kiwembe" nimeipenda hyo 👍👍👍
@user-cp6wp6cv9f6 ай бұрын
Professor mwakatobe duh unyama san
@kasiyoamissi93276 ай бұрын
Mbavu zangu we mwakatobe unajua baba 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@zainaburamadhani96506 ай бұрын
😂😂😂hii colabo ya mwakatobe na dubu safi sana km kwenye mwenyewe nyumba mchawi
@Official-Bee6 ай бұрын
Natamani ata upost EP (6) ssn (2) leo😔😔, inafanya nikae nikishikilie simu yangu 😅❤🎉Big love from Kenya ❤💝
@saumbliz89836 ай бұрын
Ati paaah akafanya ahhhhh,ujinga wa bongo move
@husseinkiture48606 ай бұрын
Alafu Wew Kumbe Ni Mstaarabu Na Hapa Ipo
@rajibabalao0016 ай бұрын
Mwakatobe tz Kwa sekta yakichawi na kiganga hakuna kama yeye❤❤❤😮
@hamidumpande55096 ай бұрын
Dubu kama dubu mdg wng juh bless 💪💪 @Zilo M
@OfficialDubu_tz6 ай бұрын
🤝🤝🤝
@user-sd6pi2wt5o6 ай бұрын
Mnachelewa sana❤ila nzuri
@Credokiwaga016 ай бұрын
From DRC 🇨🇩 mwakatobe ni 🔥
@FattyDapetty-tj9vr6 ай бұрын
We zombie aujui Simba mwakatope tunaomkubal like hapa😅😅
@King_damizo6 ай бұрын
uyo mchawi profesa sasa ety HAUJUI 😂🙌🏾🙌🏾
@tetri-numz966 ай бұрын
😂😂😂 Nimesikia paaah akafanya aaaghh😂😂😂
@AnnahLusia-bz3lc6 ай бұрын
Jaman 😢
@Ushindipeter6 ай бұрын
Mopao😂😂😂😂🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Congo 🇨🇩 Big sapoti
@EllySaleh6 ай бұрын
Mwakatobe 🎉🎉🎉🎉😂😂😂 kaza broo utafika mbali.
@empire7696 ай бұрын
Nimeipenda iyo🎉 wasila
@ARONPaul-bz3ws6 ай бұрын
We zombiiii😅 mwakatobe 😊
@user-uc3hl2ib8s6 ай бұрын
Unakawia sana mpaka tunasahau kama kuna mait yang
@user-ub7qv8ec6o6 ай бұрын
Ina noga kunoga team Dubu more 🔥🔥🔥🔥
@T_BOYOGCODE77CALLBABAPob69ed1b6 ай бұрын
Wakwanza from USA 🇺🇸 nipe like zangu
@user-tp4sy6ym7q6 ай бұрын
Hi Kali sana 🎉🎉
@mbogoidentity6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Nyani Ngwengwe ddaah
@mercymutia996 ай бұрын
Hii kiingereza Yako kipara inatuua Kenya.....Kenya hoiye😂😂😂
@SaidiJambia6 ай бұрын
Kaz nzur sana dubu big up
@mosesokeyo70936 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂waaah ety mtoto ya ngombe😢😢mwakatopeee🎉🎉🎉
@Dr_Cayden_Official6 ай бұрын
Français toujours kwa Mwakatobe ❤
@jiiwolf29006 ай бұрын
.wakwanza kutoka sumbwanga wafawasilaha😅😅manina
@officialbhaddierozalia49456 ай бұрын
Love it ❤
@user-nm2db7gg2x6 ай бұрын
Mchawi anapiga miayo😂😂😂
@gadafimuemede29856 ай бұрын
Njia panda ya kuzimu 😂😂😂😂🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@simonjosephsimonjoseph6 ай бұрын
Sema mimi nawakubali sana jitahidin kuwahisha video zenu mana mnachelewa sana jaaman
@charlesmillinga9926 ай бұрын
Dubu kaka, sina neno kwako kk. Be maverously blessed kkngu.
@OfficialDubu_tz6 ай бұрын
🤝🤝
@UkhtyFatmah-he8vgАй бұрын
Yaani Na Furahi kwanza kumwona Mwakatobe kwenye hii movie yani ndo imezidi kua Moto Fire 🔥🔥🔥 wa kuotea mbali,Mwakatobe kumpiga piga mikofi kwenye Pala lake Kipala ngoto hakika ni mecheka hadi basi,Na zidi kuikubali Movie hii 🌹💐♥️♥️ sn,Kikofia Vibuti nae wew ni shida tupu ati hii nyama ni Tam umeipiga uchi Nin🤣😀🤣😀,ati udugu wng umeniua mie Na uroho Wang🤣🤣🤣
@OfficialDubu_tzАй бұрын
❤️
@TheodoraNzuyu-ht9ru6 ай бұрын
Nimeipenda hiyo....kula chuma hicho 🤛🤛
@TheodoraNzuyu-ht9ru6 ай бұрын
💔
@SalumuWembo-fo5rr1066 ай бұрын
Wakwanza Tangu Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naipenda saana iyi sehemu 🫶🫶🫶❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥
@lisah2036 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂aaaih hii movie dah
@VincentGaming2546 ай бұрын
We Zombie haujui😂😂😂😂
@rizikisam64816 ай бұрын
Profesa mwenyewe mwakatobe 😂😂😂
@hulambue6 ай бұрын
😅😅😅😅mwakatobe mwenzio unamumiza walah yani mpaka uruma
@chadiaofficial6 ай бұрын
Love from Chadia Official to 🇧🇮
@user-ph9dt1lm9o6 ай бұрын
Kkkkkkk wafarasa tume mupata ndugu yetu Uku professa 😂😂😂😂Much love from Congo 🇨🇩🇨🇩
@Annabel-ol8in6 ай бұрын
Maana nliskia paa akafanya aaaah ndo safari 😂😂😂😂😂😂
@aishaomar22876 ай бұрын
😂😂😂😂mbavu zangu...mwakatobe miwani na wigi juu🎉🎉🎉 nakubali dubu kazi safi
@dollar1056 ай бұрын
Ila kipara na kizungu anakipiganga kinoma😂🎉
@user-gm4xb2pt1y5 ай бұрын
Mwakatobe ana baya
@user-uf2yb8yz8f6 ай бұрын
Dubu plus Nyani Ngwengwe Nawakubali kishenzi
@MrMona_TZ6 ай бұрын
El proffess 😂😂 nice work dubu ....
@user-ph2xx4xv4e6 ай бұрын
Nimefanikiwa leo kuwa wa kwanza leo naomba like wakuu
@MwaishambaKipanga-bu9sz6 ай бұрын
Profesa wa mchongo😂😂😂😂 umetisha dubu
@user-vn7bx5cf1k6 ай бұрын
Uyu munene acha kuingiza sauti ya ule mama alie kosa mume sio vizuri kbx😢😢😢
@user-sc7sn6ux2v6 ай бұрын
kiukweli sio vizuri pia mimi cjapeda😢
@Huncho_taitan_breezy6 ай бұрын
Mbna siwaelewi nyie watu
@user-vn7bx5cf1k6 ай бұрын
@@user-sc7sn6ux2v mtihani sana
@user-vn7bx5cf1k6 ай бұрын
@@Huncho_taitan_breezy njo upite kama huja elewa
@KambaleMagherya-hs1td6 ай бұрын
Mwakatobe 😂😂😂😂😂 mutoto ya ngombe. Dubu wewe ni mkali sana
@user-fg9jc8qh4w6 ай бұрын
Alafu wee dubu😂😂umepigaje hapo 🎉🎉🎉
@camillambunda58986 ай бұрын
Nmeipenda Io behind the scene🤣🤣🤣🤣
@mkambakusalimin71086 ай бұрын
One two one two Hahaha tunajaribu😂😂😂😂
@user-tp2fj4qt6k6 ай бұрын
Kipara hicho mwakatobe mganga ukifa uhozi....😂😂😂😂
@user-jc7xx6ww8m6 ай бұрын
Nakubali mkal nyaningwengwe
@zaharahamadi37846 ай бұрын
Love ❤❤❤❤ sana dubu mwakatobe 😂😂😂
@ibnimasoud82286 ай бұрын
Mr Dubu kwakweli leo umetisha saana yaani nawakubali kinooma yaani yaleo niyakwanza kuliko zote Nawapendasana Guys
@user-pe8ed5hj5z6 ай бұрын
Nyani ngwengwe udubu wang lov from burundi nakubal san br wang
@NyaniNgwengwe6 ай бұрын
Thank you
@EmmanuelLupoja6 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza kutoka china
@grace-lg7xh6 ай бұрын
I appreciate it today😂😂😂❤❤❤❤❤
@user-eq9xt7qi3n6 ай бұрын
Nilisikia pah asema aaah na ndio safari ya professor 😂😂😂
@user-pw6qb2ew6u6 ай бұрын
Mambo mrembo😂😂😂mtumish moto
@ShalifaNampita6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ad nachek ten
@jiiwolf29006 ай бұрын
Nilickia paaaa😂😂
@user-vj5nq9ms3h6 ай бұрын
Umeumia umeumia umeumia uo ndo uchaw 😂😂😂
@MwanamisimungalugoMungal-vw9mo6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwakatobe niuwe khaaaaaa jmn
@rachelpaul4606 ай бұрын
Tatizo la mwakatombe Huwa anaongea sana had anakera
@michaelthobias99676 ай бұрын
Anakera anafurahisha
@user-ss5xy7lb7k6 ай бұрын
Anafurahisha
@user-zc4qz6ym6v6 ай бұрын
Kali sana professor ila mnachelew sana kuleta
@AllyBabu-kr6lg2 ай бұрын
Dubu nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂sana awa mataira kambare na mwaka ni noma😂😂😂😂😂