Maashaa Allaah, Shekh Muhammad endelea kubainisha mambo kwa hekima na busara, kwani kuna wengi wanakuzingatia kua wewe ni sehemu kuu kwao ya kujua ukweli na usawa ktk mambo ya Dini, kwani tangu zianze ruduud wametuliiiia wanaskiliza na kupima unayo yasema yatajibiwa vipi, na wanayo yasema wao utayajibu vipi. Imefika nyoyo za Wana Sunnah zimepata utulivu kwa asilimia 100% juu yako kua wewe ni mtu sahihi wa kuwaelekeza kwenye njia alio ishi nayo Mtume wetu Muhammad Alayhisswalaatu Wassalaam, pamoja na Swahaba zake Alkiraam, bila kuharibu wala kufanya uzembe. Allaah akulipe kila lakheri na aitie barka juhudi yako iendelee kuleta tija njema. Wanaojifanya na mioyo ya punda wacha tu, maana mchana ukiingia kiza cha usiku hupotea na mchana ukaonekana bila chenga wala shaka kwa yeyote. Nahaya uyafanyayo faida zake Wallaahi zinadhihiri na watu wanaelewa na wana fatilia kwa wingi mnooo, na wengi hua wanataka kujua ukweli........
@mkhandihealthcare51062 ай бұрын
MWAMBIE AKAE CHINI ASOME!! KUTAFSIRI HIVYO PIA YAFAA, ASILETE ELIMU YAKE YA CHEKECHEA
@saadaAbdalla13712 ай бұрын
Baraka Llahu fiyk Allah akulipe kheri na ww uzidi kudumu katika sunna
@jamalsaid74752 ай бұрын
Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah Alhamdulillah. Kiboko yao Sheikh Muhammad Nassor Bachu. Allaah Akuhifadhi.
@mkhandihealthcare51062 ай бұрын
MWAMBIE AKAE CHINI ASOME!! KUTAFSIRI HIVYO PIA YAFAA, ASILETE ELIMU YAKE YA CHEKECHEA
@hafidhwajina67182 ай бұрын
@@mkhandihealthcare5106 kosoa kama nawe umo
@uislamu99322 ай бұрын
Kflfosoofox@@mkhandihealthcare5106
@KishkitvAhmad2 ай бұрын
Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 allah akupe humri urefu
@fuadbilalsaid-fe3zu2 ай бұрын
Sheikh Wetu Mwenyezi Mungu akulinde na akuhifadhi na akupambe kwa afya njema IN SHA ALLAH.
@salehrashid-fx9rq2 ай бұрын
MashaAllah, sheikh Muhammad nakushukuru kwa kuwaweka uchi waha majadida. Walikuwa muda mwingi wao ni kuwaangusha masheikh kwa dhukma. Usiwaache, endelea kutufundisha. Yule jamaa alizungumza kwa dhihaka kuwa hujua maana ya neno lililotumika kwenye sentence. Lkn umemfundisha vzuri saana
@mkhandihealthcare51062 ай бұрын
MWAMBIE AKAE CHINI ASOME!! KUTAFSIRI HIVYO PIA YAFAA, ASILETE ELIMU YAKE YA CHEKECHEA
@MohamedSalim-cm9ih2 ай бұрын
WACHA TUFAIDIKE KWA AKHII MUHAMMAD BACHU..
@YahyaSali-s6h2 ай бұрын
Tufaidike ya nini shekhe mwenyewe kishundu kikojozi huyo 😂😂😂😂
@jamalsaid74752 ай бұрын
Wa Alaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh Sheikh Muhammad Nassor Bachu. Allaah Akuhifadhi kutokana na Hasadi na Jicho Baya.
@NoorAli-vj4gn2 ай бұрын
Ameen
@KhalfanMassoud2 ай бұрын
Ameen
@AliJuma-k2t2 ай бұрын
Hanalolote anatafutaumaarufutu
@AbubakarAlly-th6op2 ай бұрын
Aamin
@MohammedBakari-pn9yg2 ай бұрын
Aamin
@KishkitvAhmad2 ай бұрын
Allah akuhifazi sheikh muhammad bachu uhibuka fi allahi from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@NoorAli-vj4gn2 ай бұрын
Ameen
@ABUUJAAFAR922 ай бұрын
Radd yenu mahizbiy ishajibiwa ,,tafuteni majibu kwa abuu ruduud in shaa Allah,,mchukue ilmu muache upotofu huu wa bachu.
@IbrahimuMgeni-gz5vx2 ай бұрын
MAASHAA ALLAH ALLAH akuhifadhi Shekh wetu Uyazungumzayo ni wazi kabisa waonesha upo katika haqq na hata hao majadida yawezekana kabisa katika mioyo yao wanakiri hilo ila kudhirisha hilo kwao limekuwa gumu na ndomana wanatafuta vitu ambavyo havina msingi wowote katika elimu ilimuradi tu wasikose ka kusema wakaoneana hawajuu wakati mmoja nilimsikia Shekh fulani wa pongwe akisema "Wakati mwingine huwa hatusikilizi kabisaa" akikusudia maneno yako sasa hilo linatokana na maneno yako ya haqq huwa yanawachoma mpaka wakawa hataki kukusikiliza na inawezekana pia jadida akajifungia ndani ndo akasikiliza ili akiumbuka aibu aipate akiwa kajifungia
@jumaswalehe-y6d2 ай бұрын
Wewe ndugu, ukitaka kujua mtu ni mjuz au kapatia, mpeleke kwa wajuzi wa jambo hilo, Sasa wa msifu Muhammad bach wakat we sio mjuz wa jambo.
@jumaswalehe-y6d2 ай бұрын
HUYO Muhammad Hana mising sahihi anaenda kinyume na mising ya maulamaa WENYE khbra, we muache abweke akichoka atanyamaza, SISI twaendelea kusoma pongwe. Maashallah na markaz yazid kuimalika. Bach hana KAZI ya KUFANYA huyo
@saadaAbdalla13712 ай бұрын
@@jumaswalehe-y6dmwambieni mjuzi wenu aje amkosoe sasa mbona kajificha mda mrefu hajitokez anaogopa au 😂😂
@saadaAbdalla13712 ай бұрын
@@jumaswalehe-y6dhujakatazwa kusoma ukifika uko mpe salam za Bachu asijifiche aje atwambie markaz yafaa au haifai 😅😅
@YahyaYahya-vp2pp2 ай бұрын
Mungu akubariki Muhammad bachu
@IssaBungare2 ай бұрын
Mtoto wa bachu abadhihirisha kua nimtupu bango hilo like kielimu wewe si saizi yako ss anadhalilika
@WakaliFashionTz2 ай бұрын
Mwaka huu majadida Allah anawafedhehesha juu uchupaju mpka wenu
@HashimBilemile2 ай бұрын
❤mahizbi wapuuzi kweli mlivyokua mnakomenti mkijua mmeshinda haya Sasa mmestafidi Nini uongooo
@daudaathman82292 ай бұрын
Somesha watu sheikh Bachu.
@AbubakarAlly-th6op2 ай бұрын
Sheikh Muhammad bachu, tunakupenda kwaajili ya Allah, Watandike hao majadida maana waliwaghuli watu wamewadhulumu watu kuwatoa kwenye sunna bila ya hoja za nguvu kwa muda mleeefu.
@MASOUD-e3i2 ай бұрын
Allah akulipe kher Muhammad Bachu kwan hakika unatoa elimu ipasavyo kabisa jazba zimeanza kwao kwa kuelimishwa niubishi tu walio kua nao Allah atusaidie tu.
@mohammedsalum14172 ай бұрын
Sheikh Allah akuhifadhi kwakweli unatoa alimu ambayo anaetaka kujua atajua na yule mbishani atabakia na ubishi wake tu.
@jamalsaid74752 ай бұрын
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
@وزيرهالوزير-ذ8س2 ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh haomajadida usiwajali kwalolote nikuwachapa kiukweli na haomajadida ndowalopokaji hatalugha hawajui tunakwambia watanyamanza umoja umoja nahaomajadida kwavurugu waloianzisha kwawatuwasunatil jamaa wamejiunguza wenyew nawatakwenda nakunyamaa umoja umoja Wallahi nakiaponakiweka halafu baadae utakiona kitakachofwata
@FarahJey2 ай бұрын
Wafundushe wajue ustadh bachu ما مرادف الهذيان؟ إِفْك , باطِل , تَخَرُّص , خَطَل , لَغْو , هَذَر , هُرَاء ، حَشْو , خَطَل , خَلَل , خَلْط , رَكَاكَة (في الكلام) , ضُعْف , لَغْو , هَذَر , هَرَف , هُجْر , هُذَاء , هُرَاء , وِسْوَاس أو ما يسمى حالة تشوش العقل، هو تغير مفاجئ يحدث في الدماغ يسبب ارتباك ذهني واضطراب عاطفي للمصاب، مما يجعل من الصعب على المريض ... الهذيان أو البُطاح هو حالة من تراجع الحالة الإدراكية للمريض. وهو عرضٌ مُركَّب يُصاب فيه المريضُ بالتَّخليط، وتبدو عليه تغيُّراتٌ واضحة في السُّلوكُ والحالة
@وزيرهالوزير-ذ8س2 ай бұрын
Naww unataka uonekan umezungumza kiakili wemtupu tu
@SaadiAusi2 ай бұрын
Wewe ndo una viwango vya elimu Akh, Muhammadi Bachu uko sahihi warudishe darasani hao kwanza wana vibuuri!!! Sifa ya Allah hiyo.
@AbdulIssa-o7e2 ай бұрын
Simba wa Allah, shekh muhammadi upo vzr bora na ww unatetea sunnah za bwana mtume na usalafi wa kweli na kupambana na batwil na makundi ya batwil. Ila wapo mashek zetu wengine Allah awahifadhi wanaojinasibisha na sunnah lakini daawa yao haina tahamizi kabisa mala wapo na makhurafi katika daawa mala watu wa sunnah yani hawaeleweki na hili gonjwa linawatafuna baadhi ya mashk wa answari leo wapo na kina mazinge kesho wapo na kina doctor sule katika kutowa daawa hasa wakipanda minbal wanakemea bidaa hali ya kuwa daawa zao kuna muda zinachanyika na ahlu bidaa nakati so msingi wa ahlsunnah kabisa hatukatai kuaminiana nao katika masula mengine ya kidunia lakini katika dini kufanya nao dawa sshida hiyo na watajuwa wapo katika hakki na wao yule ukiwa nae karibu ni umshauri aachane na bidah bila kumuonea aya sabu hii dini nasikitina sana hasa yule kaka yake kishk shekh Abdul kadiri fatuwa anazotoa mara nyingi subuhana llah ni za kwenda na matamanio ya watu, tunamuomba Allah awarudishe mashekh zetu na sis katika mstari wa sawa.
@HassanMrisho-j2i2 ай бұрын
Mashaallah muhammad bachu wajitahidi sana!!
@canoksancomprehensivelearn71822 ай бұрын
Maashaallah nilishasema majadida wanavyozidi kuropoka ni nafasi ya jusageuza ubao wa kusoma mengi Allah awaongoze maana wamekuwa wakichafua mazingira sana na wanafunzi wao hawanaga adabu hata kwa waislam wengine waweza kupita wanafunzi wengine bila hata salamu na huwadharau masheikh wengine wasokuwa katka msimamo wao.
@babatidaawa65502 ай бұрын
Nakupenda wallah kwa ajili ya Allah natamani nimlete mtoto wangu wa kiume Allah akinipa aje asome kwako In Shaa Allah
@jumangodu24022 ай бұрын
Huyo sio msomeshaji anajirekodi studio
@azamomar99202 ай бұрын
@@jumangodu2402wewe ndie msomeshaji? kwanini utubanie hali yakuwa unajua kufundisha sisi waumini wachini ki elimu tunaitaji kujifunza mengi record nawewe tukuskilize tunufaike na elim yako. Acheni hassad mcheni Allah,aliekuzidi ki elmu kakuzid mpe wadhifa wake pale anapo patia. Namuombee kwa Allah amuongoze nakumsamehe pale anapo kosea kwasababu yeye nimwanadamu nahuo ndio uwislaam.
@abughaneem92202 ай бұрын
Maashallah tabarakallah Allah akuhifadhi sheikh Muhammad
@Abuuhuisma2 ай бұрын
Bismillah sina ushabiki na mtu ispokuwa kwa jambo la haqqi majadida apo awakusudii haqqi kwa sababu awamsikilizi Mohamed bachu kwa haqqi na kumsoma pwent zake na dalili anazo zitoa, sisi sote ni waislamu tusikilize mada yoyote kwa ajili ya haqqi ya jambo sio kutaka ukubwa na kushinda ishaallah
@neymarsalah22402 ай бұрын
Maasha Allah hakki inafahamika kirahiiisi kabisa!!
@ImranMrisho-f9u2 ай бұрын
Kwali kadhalilika kweli bacho humwez abuu rududi
@Zigzag-o6k2 ай бұрын
ALLAHU Akbaru ALLAHU Akbar.wal izzatu lill islam.masha ALLAH tabaraka ALLAH.ALLAH amuhifadhi kijana huyu. huenda hizi nidua za baba yake mzee nassor bachu.simba huzaa simba.
@sakinasakku83402 ай бұрын
AMEEN
@KhalfanMakota2 ай бұрын
Mm nakuelew sana sheikh mohamad
@mkhandihealthcare51062 ай бұрын
UNAMUELEWA KWASABABU ELIMU YAKO SAWA NA YAKE
@KhalfanMakota2 ай бұрын
@@mkhandihealthcare5106 sheikh mm nina akil timam kaka pia najifaham
@iddimutua4202 ай бұрын
A.ALEIKUM wakishindwa kujibu basi ni dalili ya kua hawana hoja na wanafuata matamanio ya nafsi zao tu.More especial pale kwa Dr.Islam na Q.Mafuta ni wajibu au Q.Mafuta amuombe msamaha Dr.Islam au Dr.Islam aje hewani aseme amemsamehe Q.Mafuta. Shukran.
@KhalfanMassoud2 ай бұрын
Maashallah, Allah atuzidishie elimu yenye manufaa ameen.
@mkhandihealthcare51062 ай бұрын
MWAMBIE AKAE CHINI ASOME!! KUTAFSIRI HIVYO PIA YAFAA, ASILETE ELIMU YAKE YA CHEKECHEA
@KhalfanMassoud2 ай бұрын
@@mkhandihealthcare5106 Sawa asante, unazaidi?
@BinmuhamadSuwayd2 ай бұрын
ALLH AKUHIFADHI SHEKH MUHAMAD
@saadaAbdalla13712 ай бұрын
Hafidhwaka Llah 😊
@ZahorWazir-o7n2 ай бұрын
Hapa Kuna ujinga ,na wanaoshabikia kwa ujinga. Someni zaidi mpate kufaham maana pana ya maneno ya kiarabu.
@mfalmenajjash21282 ай бұрын
Nilisema kumwambiya Ruddud ilineno khadhayani litakutowa kamasi haya sasa jadida kula chuma iko wallah naona raha mm😂
@sakinasakku83402 ай бұрын
Ushamaliza haaaaaaahaaaahaaaa
@saadaAbdalla13712 ай бұрын
@@sakinasakku8340musisahau mna miaka 15
@swalehmohamed48492 ай бұрын
MAJADIDA WAMEVUMA NA KUVURUGA KWA MDA MREFU AKHI USIWAPE NAFASI ALLAH AKUHIFADHI
@EsirAbdi2 ай бұрын
Eti Mohd bachu kakurupuka radd lkua sio ya kwake mbn alhamisi na Ijumaa zilipita hawakufanya muhadhara kma sheikh lkua sie mlengwa,,,majadida mkibanwa mna tabu sana,,, Allah akuzidishie Sheikh langu kutoka Kenya
@hussenihamisi28622 ай бұрын
Muhammad bacho wew ilimu ya lugha bado sana kwani wew hujui kua masdari inaweza tumika kama اسم فاعل ؟ mim nakushauri unatakiwa ukasome alafu kingine umekosea kutumka umetia sukuni kwenye dhali badala ya kutia fatha 😂😂😂😂 nenda kasome huu niushauri wangu
📰 *{A.S.F} NEWS UPDATES* 🔴 *BREAKING NEWS* 🗞️ *🔨🔨TA'LIYQ NO 2 JUU YA MANENO YA MUHAMMAD BACHU KUELEKEA RADDI ILIYOTANGAZWA NA SHEIKH HASSAN JAMADA* (Imetolewa Jumapili ya Tareh 01/09/2024 baada ya Magharibi) *YALIYOMO* *👌Ujinga wa Muhammad Bachu kuhusu neno هَذَيَان* *👌Swali lako la miaka 15 sikiliza ubainifu wake kutoka kwenye vitabu lugha na ndani ya Qur-an* *👌Tangu Dunia iumbwe Hakuna aliyewahi kuja na Ujinga huu zaidi ya muhammad Bachu* *👌Tunakurudishia miaka 15 yako mwenyewe tuletee kamusi moja tu linalokuunga mkono* *👌Hairuhusiwi yeyote kukimbia kati yangu na wewe* Na mengineyo mengiii............. *🕌MARKAZ ABIY HURAYRA-KONGOWE (MSOUTH)-DAR ES SALAAM* *🎙MZUNGUMZAJI🎙* ________ *🎙SHEIKH:ABUU FAUZAAN/ABUU RUDUUD/(FADHILI ABD) حفظه الله🎙* chat.whatsapp.com/I2xsV8d7jZkG7SLMUy2Ltn ⏬⏬⬇️⏬⏬⬇️⏬⏬⬇️
@Modyb2 ай бұрын
Ukitaka kujua upotevu wa watu angalia michango ya wanochangia kwenye comment kwenye clip za huyu kijana cha Bachu. Allahu musta'an.
@SaadiAusi2 ай бұрын
Tupe Dalili ya hayo maneno wewe mwenye elimu
@MuslimIbrahim-qf4nn2 ай бұрын
Weye njo ungesoma sasa ikonasema yenye haiko mu vitabu
Hhhhhh hatupo serious kwel voo,, ila kwa kwel yule sio shekhe ni mipasho tuu
@ameirameir43492 ай бұрын
Mara hii Bachu umewakamata pabaya majadida hawafurukuti
@MwalimJecha2 ай бұрын
Alhamdulillah Sasa wanapigana vijembe wao Kwa wao. Badala ya kufundishwa na mashekhe wa tasauf.
@AbdulIssa-o7e2 ай бұрын
@@MwalimJecha ww khurafi kaa kimya hayakuhusu hutosheki na bidaa zako kiherehere tuuh!! hapa ni mapambano ya ahlsunna kutafuta hakki huwa hatufumbian makosa kama ninyi vijisufi
@Cherehanitanzania2 ай бұрын
Wallah Sheikh Anatoa Darsa yenye Kueleweka Kbs Kama Wew Mwanafunzi Utakua Uko Upande Wakishabiki Wallah Utakua Unakosa Mengi Na Hutokaa Uelewe Namwishoe Unaweza Kuja Kua Mropokaji😂
@YahyaSali-s6h2 ай бұрын
Sasa wajitia sheikh kumbe kishundu kikojozi wasalimwa na saidi ustsdh Muhammad bachu Aka kikojozi tuliza kishundu basi😂😂😂😂
@AbuuhishamHashim2 ай бұрын
Huwa naskiliza video zako lkn naona sikuhizi wwe bachu nikm watudanganya kilugha wwe soma2 vzr kwanza mche Allah kwa hayo mas,uliyyah
@MusaMahanyuАй бұрын
Bachu sisemi hujui lakini huna adabu lakini piahujui
@babatidaawa65502 ай бұрын
Sikupambi Ila Ilm Allah Amekupa
@sakinasakku83402 ай бұрын
Sahihi MAASHAA ALLA
@AdamAli-mh4bk2 ай бұрын
Muhammad unawaunguza sana
@EpcDistributor092 ай бұрын
MaashaAllah
@pavillioncry52412 ай бұрын
Dahhh icho kijadida kilivhotumwa kutoka pongwe hata kuandika. Bango hajuwi
@jamalsaid74752 ай бұрын
@@pavillioncry5241 Aibu kubwa Hawa jamaa ni kama Saratani(Cancer) Majadida wanatia sumu kila mahali. Subhana'Allaah Sheikh Muhammad Bachu Allaah Akuhifadhi.
@jamalsaid74752 ай бұрын
@@pavillioncry5241 Nuru ya Sunnah Sheikh Muhammad Nassor Bachu. Kiboko yao. Maa Shaa Allaah Alhamdulillah.
@MunirMomade2 ай бұрын
Mashaanllah
@Issah-kh2dn2 ай бұрын
Ila sheikh ruduud katukosea, kutuita tusokua nakazi. Haya bana, allah atakulipa
@alkashaaiy97222 ай бұрын
KWANI INA MAANA LAZIMA UJIBIWE WEWE , AL AKHY JAMADA PIA ANA RUDUUD NA SUFIY MMOJA YUKO PONGWE AITWA MUHAMMAD MZEE
@abuubakarmuhsin2192 ай бұрын
بارك الله فيك،.
@SuolFat2 ай бұрын
Mawahabi hamumuwezi Muhammad bachu amewazidi adi kiakili
@AbdulIssa-o7e2 ай бұрын
Kwani yeye bachu ni nani so wahab hawo mnao dai au wazani ni nani??😂😂
@AbdulIssa-o7e2 ай бұрын
Kwani yeye bachu ni nani so wahab hawo mnao dai au wazani ni nani??😂😂
@harunankussa-rr2fp2 ай бұрын
Kwasababu wengi walio mitandaoni nimajuha hawahuji kitu kazi yao ushabiki tu nawala hawawezi kutofautisha kinacho zungumzwa nahuu nimtihani mwengine ndo maana koment zimejaa ushabikitu
@abuuyunusnassor4462 ай бұрын
علم الصرف مهمة جدا لا شك
@shariffali47862 ай бұрын
Allah hakusindishie helimu.uzindi kutuelimisha
@pavillioncry52412 ай бұрын
Kiboko ya majadida
@AbuuFawzan-cf8wv2 ай бұрын
Heeeeeeeeee uyo mropokaji ndio kiboko
@HamkingCompanyLimited20232 ай бұрын
Yaan huyu kijana anaujasiri juu ya batili yake ambayo anaenda nayo' Allah akuongeze wewe na sisi katka haqi' Kiburi n ktu kibaya sana'
@ramadhanmbwana57182 ай бұрын
KUMBE WEWE BACHO NDIO UNASTAHIKI KUFUNZWA ADABU
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar2 ай бұрын
Hhhhhhh Yani Lau wasingekuwepo walio kutangulia walio kuzidi katika mlango huo wa fanni bs tungekuwa tuna amini kuwa Umesema kweli lkn kwasababu wapo walio kuzidi na wameifafanua maswidar namna inavyo tumika bc sisi hatuna Shaka juu ya ujinga wako wew Ni mjinga kwasababu elimu yako Ni ya kwenye jalalani
@AliAliyan-ib3sr2 ай бұрын
Hivo vitabu huvisomi acha kudanganya watu shk mizozo mpungufu wa akili mrongo usiejijua usie first eleven
@abumuhsinminaniabdoullahas91852 ай бұрын
Majibu mazuri ya sheikh Abu ruduud Allah amuhifadhi kzbin.info/www/bejne/hZvUen2sjr2Ka80si=M4KFuHIo6TLHw03x
@omarkabogo15802 ай бұрын
Dah shekhe kasome umeya kanyaga😅
@osmanamir2 ай бұрын
Mwambie yule Ustadh alieanza kukufundisha swarfa ulipokuja mombasa akufundishe na balagha pia kisha ndio urudi kuyaeleza hayo maneno
@canoksancomprehensivelearn71822 ай бұрын
Yule bwana DJ akusomeshe wewe maana wale ni wanamuziki kilugha hata Diqmond anajua lugha ya Kiswahiki lakin hajui biblia na hata wachawi wengi wanajua kiarabu na huyo Abuu Jahil alikuwa anajua kiarabu j Kuliko masheikh wa kisufi ila hawakuwa wanajua tauhid na dini kwa ujumla hivyo dini sio kuwa kujua swarfa ndio kujua dini au kujua kiingereza ndio kujua fani lugha ni kifaa tu na waweza ukawa na je.be lakin huna mali wala mazao
@juanmadata52122 ай бұрын
Yan huyu jamaa amefeli sana yana akuaudii haki hata kidogo! Mungu amsaidie sheikh Kassim asimjibu huyu akusudii haki!!
@khamiskhamis99472 ай бұрын
Mumefeli babuuuuuu😂
@abdurashidinasorodini2 ай бұрын
wewe mwenyewe kuandika sms mtikhani jifunze Kwanza kuandika 😂😂😂😂😂
@AlexanderLacazet2 ай бұрын
Kweli hizo sms kuandika tu mtihani ATI Kasim mafuta ni shekhe hahahahah usalama mkubwa yule
@saidali92552 ай бұрын
Kwanini asijibu? Twataka kuelimika pia, lengo si Bachu, lengo ni umma kufaidika! Mafuta asipojibu basi iyo ni khiana!..vipi yeye hukosoa lakini asijibu?..basi asikosowe pia!..
@juanmadata52122 ай бұрын
@@saidali9255 kama ingekua anaejibiwa anataka dini ingefaa lkn hata ukimtazama ni m2 anaekusudia kubishana tu na sio faida ni ile sifa tu we muangalie anataka mapambano! Ss hakuna faida kwny hilo muhim anayosema sheikh ni haki, fuatilia kila aliekosolewa na kassim hapakua na hoja!? Huyu jamaa anakusudia viewers na ushabiki sio elimu kama unakusudia kujua soma utabainikiwa.
@babatidaawa65502 ай бұрын
Wewe ndio umeshika Bendera Ya Sunna Tanzania
@MusaMahanyuАй бұрын
Kwani huku kukosoana kilakukicha hamuoni aidu nyinyi waisilam
@maulidimuhani2 ай бұрын
Mwenzake soloka Amekoma teeena, Kuandika makala kwa lugha ya KIARABU, naamini na yeye atakoma Hato rudia teeeenaaa😂😂😂😂😂 wata koma mmoja baada ya mwengine, watakuwa wanatumia kiswahili tu siku hizi😅😅😅😅
@sakinasakku83402 ай бұрын
Ushasema hahahaaaaa
@yussuflali61102 ай бұрын
Bacho huwezi kushindana na dawa ya salafia utapata tabu
@saidirashid75522 ай бұрын
Muhammadi Bachu unanifurahisha mpaka Bango walikosea? Mpaka bango unalipiga raddi hawa majadida bora wakae kimya na chama chao wakuache watadhalilika
@sakinasakku83402 ай бұрын
Kabisa hahahaaahaaaaaa
@IdrisaKagoma-kr6ql2 ай бұрын
Mbona tena Allah unamwita mwenyezimungu? Halafu mbona tena kujionesha onesha ktk KZbin?
@Airport_view2 ай бұрын
Ukiwa huna Elimu unaweza kumsifu mtu kwa jambo kwamba anajuwa kumbe hamna kitu ingalikuwa bachuu anajuwa kiasi cha Elimu Yake ama qadri ya nafsi Yake angekaa kimnya na akatafuta darsa akasoma
@Airport_view2 ай бұрын
Bachuu Qur'an wasoma lkn ww
@salmaan7332 ай бұрын
kajichanganya mwenyewe ,mpe vitu sasa
@maulidimuhani2 ай бұрын
MAASHALLAH yaani hata siku 1 haijakamilika, ilaa walioangalia clip ni 2000+ kwakweli watu wananufaika na elimu ya shekh Bach. yaani hadi sasa ni masaa 11 tu tangu clip imetumwa.
@Muswlih2 ай бұрын
Mwengezee 5 yawe 20
@mkubwamasoud27762 ай бұрын
Wewe bwana unapenda sana mitandao huna lolote hebu kasome kwanza unapenda sana mitandao
@AbuusaahilAbdillahmuhammed2 ай бұрын
Hukujibu kwasababu huwezi kujibu hoja zile
@Musahamisi-oj5lj2 ай бұрын
Muhammad Bach u kaachin u some Una taka umaruf
@nsabimanasuleyman20082 ай бұрын
Wewe ndie wakusoma
@HassanHamad-rf9tq2 ай бұрын
Mfa maji Haachi kutapa tapaa a mahizbu salaf leteni hoja acheni majungu
@Musahamisi-oj5lj2 ай бұрын
Mambo anayokoselewa At MTO to anaesoma lugha awez ongea Kama kwel nyie ham fat ushabik
@SharifuHamadi-ie1mn2 ай бұрын
Eti ilikuwa khaswa Kwa Abdallah humeid we Abdallah humeid unamuweza au unataka kiki???
@seniornyungu97182 ай бұрын
Hata kama neno watakuwa wamelikosea lakini weye bacho kwa kile kitendo cha kusema utajibu bila hata kujua ulilorafiwa kwalo ni wazi wewe unafanya ushindani tu wala hukusudii dini na kuleta nusra katika ummah,maana yake hata ukiradiwa kwenye haqi utajibu tu ilimradi uonekane mshindi,haya yote mnayoyafanya Allah anayadhibiti,fanyeni kwa ajili yake achaneni na mashabiki na wafuasi wajinga
@AdamAli-mh4bk2 ай бұрын
Jamaa kwa kubadilisha maneno wako vizur
@AbdoulJabal2 ай бұрын
❤❤❤في الله
@DuallahMohamed2 ай бұрын
Huyo ndo imamu wao wa pongwe na anakosea na hajui kakosea je Hawa wanaotusumbua humo Hali yao ipoje?
@mbjunior1662 ай бұрын
😂😂😂
@abdiosman60312 ай бұрын
Huyo jamaa ameingia pabaya na kwa jawabu hi hato rudi tena
@ImanSaid-q4i2 ай бұрын
😂
@ABUUJAAFAR922 ай бұрын
Asharudi na amejibu Ingia uone majibu akhy ,uchukue ilmu baada ya kupotoshwa n bachu.
@AbuuFawzan-cf8wv2 ай бұрын
Kaambiwa asije kukimbia sasa naona kimya mna Alisha jikubalisha kua yy ni mropokaji
@muhadithdaudy2 ай бұрын
Hii kweli dunia ya mwisho,mijadala haishi..tena haina hata maana.
@Muharram-c5n2 ай бұрын
Nimesimamisha hii video 12'5" dakika ya 12 na selunde 5 kwa kusema hivi "hakika M'mungu amekupa elimu sheikh Muhammad Bachu,na Allah (sw) akuzidishie,akupe mwisho mwema ww na kizazi chako"
@MshaharaMngoya2 ай бұрын
Baba yako alikua na hekima ya elimu na alikubalika Sana lakini wewe kutwa mitandaoni kutafuta wafuasi
@AbiyolaSaidi-qe2ku2 ай бұрын
Kam kwel ww unasimam dhakar bx uwng mbel za wanaum wenzak sio unwjifungia kweny chumb walopok