Nimesikiliza Wahadhiri wengi dini zote Mbili! Sizani kuna MHADHIRI yoyote wa Kiislamu au Wakikristo yuko kwenye LEVEL ya huyu MWAMBA labda Mwalimu Chaka Wa Musa! Hongera Mwalimu Ndacha 🔥🔥👏🏿💯
yaani we ndio box kweli katika wahubiri wote hakuna pumba kama hii we tatizo unamsikiliza tu familiar na maandikon anayotoa anayageuzageuza nadhani hapo ndio anakuchanganya huyu ni full comed hajui lol9te
@sundaykalashajr12352 ай бұрын
Huyu ana kitu huwezi soma kitabu tofauti na quran kwenye uislamu ueleweke yy anatakiwa asome qurani sio sijui kitabu cha shekhe nani sijui
@JohnOuya-w7j2 ай бұрын
Very true
@JohnOuya-w7j2 ай бұрын
Walking hamna shekhe dunia mzima wala bishop anae ezana na mwalimu ndacha mungu atukuzwe
@dasilvajr96472 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kazi unayoifanya mimi binafsi nimeshawishika sana kujitoa kwajili ya kazi ya Mungu hata kusaidia kwa chochote ambacho ninacho.
@JohnKirema-fc6sn2 ай бұрын
Mungu akubarki sana mwalimu ndacha leta wote katika njia ya kweli
@samwellekuraa322 ай бұрын
Ubarikiwe sanaaaaaa pastor ndasha , ukweli ushabainika
@JohnOuya-w7j2 ай бұрын
Mwalimu ndacha mungu amempa hekima thanks lord
@Blessedboi80192 ай бұрын
Ndacha ni mtume wa Mungu wa kweli na haki
@aasatt782 ай бұрын
Astaghfirullah
@TheAlman2 ай бұрын
Hahahaaaaaaa😂😂😂😂 hawa wanahaki ya kuibiwa sana kama kiboko ya wachawi au kwajina lingine anaitwa kiboko ya Wakristo
@PasserbyMan-ju8ky2 ай бұрын
Ndio ujinga wa makafiri huo watamwita Hadi mungu ni mijinga ajabu mijitu hii😂
@aliroro93442 ай бұрын
@@Blessedboi8019 😂😂😂😂😂...uwongo kidogo ushampa Utume 😂😂😂 ayee uyoo ndacha ni Mtume sasa 😂 wako na makrsto wenzio
@MuslimYouthman2 ай бұрын
Ndio maana MNAIBIWA KILA MTU MNAMPA UTUME UTUME UNAUJUA WEWE AU UMEKALISHA MATAKO KANISANI TU
@dannyosolo27522 ай бұрын
First to comment...YESU ndiye Mwokozi
@thekingdragon83582 ай бұрын
NA ALIYE MUUMBA YESU ATAKUA NANI
@jumahenriquesgeraldo98372 ай бұрын
Ndio, yesu mwukozi, ndomana alipokuwa na ujauzito kipindi Mungu wenu alikuwa tumboni, watu waliabudo ujauzito. Si ndo hivyo?
@jumahenriquesgeraldo98372 ай бұрын
Eti Yesu Mungu 😂😂😂😂😂 Awajiulizi kwanini Zacaria, Yohana na Mariamu hawakumuabudu Yesu? Pumbavu na upagani tupu. Hivi kipindi Yesu alikuwa tumboni mwa Mariam watu waliabudo Mungu yupu? Hawana hoja.
@aliroro93442 ай бұрын
@@dannyosolo2752 Kwa waizrael sio wewe 😂😂😂 mkimbizi yesu akujui
@mwinyiswaleh83882 ай бұрын
Pole sana kama umetulia nakufanya unavyotaka ukitarajia Yesu atakuokoa.kilamtu atalibeba furushilake.
@Hagaispeck2 ай бұрын
Mungu akubariki mwalimu ndacha 📚🙏
@sulimankarusi83452 ай бұрын
Ndacha, haha, hoja yoyote. Muwongo saana.
@aliroro93442 ай бұрын
@@Hagaispeck Wewe emu tupe jina la Mungu uyuu anaembrkii ndacha 😂😂
@Hagaispeck2 ай бұрын
@@aliroro9344maandiko imejaa, Mungu wa wakristo anahitwa YAHU soma zaburi68:4,Yeremia16:21 na usome vizuri
@franciscomtambakuluca28302 ай бұрын
Ndacha n sema kweli
@EliabuShima2 ай бұрын
Ndacha ni mwalimu wa kweli na ndomana kila mdahalo Kristo huwa anainuliwa na anakuwa mshindi kupitia yeye
@nassorsharifu98372 ай бұрын
Ndacha Mungu atakupeleka motoni kwa kusoma Qur'an kwa kupotosha
@IsaacNzai-e7s2 ай бұрын
Ondoa chuki ndacha ako sahihi 😂😂😂
@King_Of_Everything2 ай бұрын
👍✌️👊.
@ngalwaterrys3792 ай бұрын
Ndacha ako na hekima ya Paul wa bibilia akija kenya ndamtafuta amefanya nkajua mwangaza
Pastor ndasha ndo kiboko ya waisilamu, najivunia kuwa na mkristo kama Pastor ndasha 😂😂
@mwinyiswaleh83882 ай бұрын
Ndacha nikiboko kwa wajinga.sisi waislam ni wasomi hatuwezi.
@basilejuma2 ай бұрын
Doz ya waislam africa mzima..ni huyu ndacha, bado kasina akuje tz kuwagaragaza waislam
@YoungAslam112 ай бұрын
Hzo ni fkra kumbe hata me nkisoma bibilia nktunga ktabu medhal nimeandika aya nkaweka ufafanuz wangu kwahyo unakikubal. Ksha hyo uliyosema et mtu akbadilisha dn auliwe kwa sasa haina kaz kwakuwa mungu amesema 2 256 msilazimishane katka din ..ata me ndacha uniwez maandko meng auyajui
@ForemanBestline2 ай бұрын
Ivi wewe unaandika nani asome kwandi hujuwi
@samirrubeya23792 ай бұрын
Anapiga mtama sana..na hushahidi kila muhadhara kinyagoli kiboko yake.
@msemakweli2432 ай бұрын
Ndacha wewe mungu anakutumia kuokoa watu
@mwinyiswaleh83882 ай бұрын
Ndacha haokoi mtu yoyote anajua ukristo sio Dini ya Mungu ni pesa anakula tu.
@nassorsharifu98372 ай бұрын
Mmeshapotea na mnazidi kupotea
@aishahazary40972 ай бұрын
Huyu mwehu ninhodar sana wa kubadulika badilika tumesikiq kabisa sauti yako ukikataa pasta mkorofi asisomwe.Leo ushaanza kubalika.
@mwinyiswaleh83882 ай бұрын
.Ndacha kama wewe ni mwalim.jibu haya maswali.Bibilia ilipewa Mtume gani.mbona Bibilia inahitilafu nyingi.kitabugani cha Mungu inafundisha usenge.kwa nini Bibilia inabadilishwa kila mwaka.Yesu alikua mkristo wadhehebu gani.
@SaydMpemba-r4y2 ай бұрын
We mzee vp ukilisi sio din nikikunda chawatafuta liziki tu
@cleverommy57062 ай бұрын
Qur'an 25:5 haisema kua qur'an mohamadalihadithiwa acha uongo isipokua inasema hivi Na wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha, anavyo somewa asubuhi na jioni. 25:6Sema: Ameyateremsha haya ajuaye siri za katika mbingu na ardhi. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
@cleverommy57062 ай бұрын
Simulizi ungemuuliza hiyo hadithi katoa kitabu gan cha hadithi
@mussamohammedy80142 ай бұрын
ndugu simulizi naomba umuulize ndacha juu ya utabiri wa nabii mussa ktk taurati yake 18:18 kisha akupe point 5 ambazo zitaonyesha utabiri huo kumuhusu yesu
@Yayouselim2 ай бұрын
kindacha kiongo 😅😅
@MuslimYouthman2 ай бұрын
Wallah huyu ni pumbavu kabisa Ndacha utajengaje hoja kwa kukata kipande cha aya
@focusernest56102 ай бұрын
Shafii maneno mengi ila content kidogo
@MohamedMohamed-u3t1n2 ай бұрын
Dah huyu ndacha mtihani sana udada wa harun ni wa uchamungu na nasab mbona hushangai yesu kuitwa mwana wa daudi ??? Dah huyu jamaa akili zake yesu anakuaje mwana wa daudi??
@jimjam-xg7rv2 ай бұрын
Uyu ni DJ ndacha mpidishaji hoja kwa maneno yake tu
@HarakiPiogamapinto2 ай бұрын
Soma Quran kama ilivyoteremshwa acha kukatakata aya,Uslam utabaki kua dini ya haki
@AlbertMakori-u2l2 ай бұрын
Weqe ndacha haujieleweu
@elismadunsdon2 ай бұрын
Ndacha utawua waislamu😅
@FunnyHermitCrab-gh4sw2 ай бұрын
Ndacha mwalimu
@nassorsharifu98372 ай бұрын
Mwalimu wa wajinga
@nassorsharifu98372 ай бұрын
Huyu mwalimu kwa wasio akili
@ramadhanmahongole92932 ай бұрын
Wahadhili wa kiislamu wana bwabwaja tu Ndacha ni kiboko yao
@HarakiPiogamapinto2 ай бұрын
Biblia iliteremsha kama injil wap mmepata bibilia nyny
@mwinyiswaleh83882 ай бұрын
Sisi siokama nyinyi wakiristo.sisi tunaenda naushahidi kwa QUR'AN.usiokote vitabu utulete.
@khalidiwakala-q3c2 ай бұрын
yan uyu mbwa dawa yake kumtanguliza kwa Allah tu linaokota vitabu linajenga ubishi linapotosha watu yan daah uchungu mtupu.
@SaidAlnaamani-z1o2 ай бұрын
Wewe ndacha izo pesa unapewa zakupotezi hao wa Kristo ndio Zita kuchoma
@msemakweli2432 ай бұрын
Kuna muisilamu ambae ajapotea kuanzia Muhammad
@omarkubeli11992 ай бұрын
Wewe ndacha ni mbabaishaji kwa sababu hauwezi kutetea UKIRISTO wako Kwa kutumia KITABU chako Cha BIBILIA TU Kwa sababu unajua kina mapungufu
@JohnOuya-w7j2 ай бұрын
Bibilia haina mapungufu hata kidogo,ila kwa mafikirio yako na upumbvu wa kutoelewa maadiko na ubishi wako ndio maana unasema bibilia ina upungufu tafakari hayo polepole ndugu yangu
@SaidAlnaamani-z1o2 ай бұрын
Sasa nyote simnapewa time sawasawa
@salisali37382 ай бұрын
Ndacha acha uongo huyo sio Muislamu sahiha
@myleskenya2 ай бұрын
kwani muislam halali hua aje wewe mkweli twambie kwanini muhammad alikufa na Yesu ako uhai?
@salisali37382 ай бұрын
@@myleskenya soma ufahamu alie sema halali nani kwa ni Chakula
@ZayyanaBamuni2 ай бұрын
Ndacha ni mpotoshaji,mpotoshaji mpotoshaji,eti Muhammad alihadisiwa visa kutoka kwa bible ndio akaandika Qur-ani, muogope Mlmungu ndugu,unapotosha na unajijua unachokifanya😢
@lilhydon4522 ай бұрын
Ndacha anaongea kweli...kwa nini Aya za mitume waliopita unazikuta kwenye Qur'an?
@ZayyanaBamuni2 ай бұрын
@@lilhydon452 kwani aloteremsha hivo vitabu za iyo mitume ilopita ni nani?wakristo wengi hamjui mnachokitetea,ila wachungaji wenu wajua vizuri
@LaughKey-f8x2 ай бұрын
Ona uyu ssa 🙂🙂! qnalia ju ameabiwa ukweli 😂😂
@LaughKey-f8x2 ай бұрын
Ona uyu ssa 😮😮! analia ju ameabiwa ukweli 😂😂
@MohamedMohamed-u3t1n2 ай бұрын
Ndacha muongo sana na mnafiki alivyofanya mdahalo na sule alisema kitabu cha pasta mkorofi amekipata kabla hata ya sule leo hii anasema anakitafuta hicho kitabu cha pasta mkorofi hajui atakipata wapi ?? kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu sisi ukileta hizi porojo kwa tunafatilia kwa makini tunaona ndacha kweli muongo tuamini ulikipata kitabu hicho kabla ya sule au unakitafuta hujui utakipata wapi?????
@abdallahkambangwa72152 ай бұрын
Qur ani ni kitabu kitakatifu. MTUME WETU AMETUACHIA QUR ANI NA SUNNA
@JohnOuya-w7j2 ай бұрын
Qurani na suna haitakupeka mbiguni mtafute yesu akikuja atakupeleka mbinguni
@abdiqaanurow59242 ай бұрын
Haki ya mungu huyu ni porojo tu
@OLUNGAJOSHMAH2 ай бұрын
Mwalia mna majereha kweli..
@abuumaryam19222 ай бұрын
Huyu ni mbabaishaji nmemfuatilia Sanaaa kwa wasojua wanaona jamaa yupo vizur lakn kumbe ujanja uso na uadilif
@PeninaElia-v3n2 ай бұрын
Huyu ndacha ndo namuamini kwa hawa masheh wa kiislam
@nassorsharifu98372 ай бұрын
Wewe unaridhia kupotezwa
@samirrubeya23792 ай бұрын
Shia muongo sio muislamu
@middle6wayanga2 ай бұрын
Ndacha muong clip y ako unakataa tunayo
@mjombawallace49662 ай бұрын
Hakukataa alisema eti wakristo Wana kitabu kimoja kama HADITH na Quran
@salimchimwaga83842 ай бұрын
Ndacha ni mweupe kuhusu uislaam hana jipya,we ushaambiwa mukikhitilafiana katika jambo lolote basi ireejeen QURAN na maneno ya mtume sasa hivyo vitabu unavyovilazimisha ni maneno ya mtume au Quran au maneno ya watu??? ndach ndacha acha ujinga.
@YoungAslam112 ай бұрын
Ndacha weye mnafk sana mdahalo wa wewe na ust sule .ulkataa vitabu tena mpaka povu
@mjombawallace49662 ай бұрын
Acha uongo Ndacha Alisema wakristo hawatumii kitabu hicho na soma uone vyenye anatusi ata mtume wenyu Yesu na akasoma hapo penye anatusi Yesu
@triuneapologeticsevangelis59122 ай бұрын
@@YoungAslam11 , ndugu wewe umejaww baridi kama ustadh wako tuu.....
@Kuminamoja19952 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Educatedmind-k9r2 ай бұрын
Kama humfahamu huyu unaweza kujisifu kwamba ukristo nao ni dini. Tusiwe wavivu wa kusoma, tuwe tunachukua vifungu tunavisoma ndipo tunacomment. Maswali yote yalijibiwa bila shaka bali wewe ni kipofu wa fikra.
@0badiaMwasongwe-rt1wr2 ай бұрын
Wewe na Quran nanii anajua?? Quran inautambua ukristo tena unautambua kama Dini iliyotangulia na wayahudi wewe huku husomii kitabu chako unakalilishwaa maneno bila kusoma mwenyewe kitabu
@ilyasjaka41712 ай бұрын
Hapo hamna mtu
@aliroro93442 ай бұрын
Wewe Ndacha ni Mnafik na kafiri tu ata Sura yako tu aina nuru edelea kuwapoteza hao wasiojielewa ili ujifaidisha tumbo lako ila ☝️ jua Dini ya Uwislam ndio Dini ya Haki kwa Allah swt ☝️ .
@shepherd1x842 ай бұрын
Wewe ndio mnafiki...unadhani na maturity ya ujinni na Allah itakusaidia ..think twice before you write my fren!
@shepherd1x842 ай бұрын
Hao waaalimu ni waoga tuu nani aside Ona wrote ni wapotovu wanaogopa vitals vyao..waende kwa majinni was na hicho kiumbe kiitwacho Allah!
@ZayyanaBamuni2 ай бұрын
AstaghfiruAllah@@shepherd1x84
@aliroro93442 ай бұрын
@@shepherd1x84 😁😁..Sasa Ata Dini huna unapiga kelele uyuu ndacha wako na wewe munaabudu Mtu Yesu 😁 emu jitambue basi ama wewe ndo Mchugaji mtarajiwa 😁😁
@aliroro93442 ай бұрын
@@shepherd1x84 😁😁...Wewe Ata Ukrsto ujui umetoka wapi 😂 unadandia tu Biashara za watu utatoa sadaka alfu ufe tukutie Kwa sanduku 😂 tukupeleke America 😂😂