Majaribio ya kuuawa viongozi duniani: DJ Sma atabiri Marais hawa wa Afrika kuwa hatarini

  Рет қаралды 21,194

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 127
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Mungu yupo hawatokufa kwa kuuawa ila kwa uwezo wa mungu..Mungu Ibariki Africa
@billskeez92
@billskeez92 Ай бұрын
Wa kwanza Dj Sma❤🔥🙌👌 dhaaa Leo ilikua niandike kuhusu FUSE kwahiyo imewasili👍👍👍
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 Ай бұрын
Dj smaa upo vyema sana big blaza hongera sana, kazi nzuri
@ARCHTECH255
@ARCHTECH255 Ай бұрын
Nimefurah sana umeludi mungu akusaidie utapona inshallah
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Ай бұрын
Dj smaa upo vizuri sana kwenye geopolitics..Hongera sana kaka
@mwanaidaman2544
@mwanaidaman2544 Ай бұрын
Mungu ataendelea kukuponya uendelee kutuletea madini tulikukumbuka sana huku
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy Ай бұрын
Alhamdullillah, Nice to hear your back ❤
@isaacramadhan9721
@isaacramadhan9721 Ай бұрын
Dj sma salute sana
@user-lh6vs3xc7f
@user-lh6vs3xc7f Ай бұрын
Mungu akulinde Kwa fact hiz nawe huwezi kuwa miongoni mwao. Mungu ibali Tanzania Mungu ibaliki Africa
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
M'mungu atakufanyia wepesi inshaAllah.
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 Ай бұрын
Asante ustadh smaa from PEMBA upembani nawakilisha🎉🎉🎉❤❤❤
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 29 күн бұрын
God bless Afrika
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Dj ,sma, salute,kwenu, jomba karibuni, udom,Dom,
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr Ай бұрын
Dj sma wazungu ni watu wabaya sana sana
@piusdeo9380
@piusdeo9380 Ай бұрын
dj smaaa 255 unatisha mkuu ila utapona tu ndugu unafanya vitu vya msingisana mungu akuongezee nguvu na uzima ulio imalika amen daaa dj smaaa mi mda mwingine huwaga naplay harafu natulia kimya kusikiliza kwa makini heshima kwako
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
🙏
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha Ай бұрын
Kama congo juzi wala usikii ubalozi wa Marekani imelaani mapinduzi... Hawa jamaa ni wabaya sana..
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Ай бұрын
Sanaa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Yali mapinduzi Ya Kongo yalikuwa na utoto mwingi ndani yake.
@ellyndaprincess3235
@ellyndaprincess3235 Ай бұрын
Usiseme watauwawa waombee Dua inatakiwa useme majaribio ya kuuwawa yatakuwepo❤❤❤ nakukubali sana Mzee wa fax and logic
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Kwa kweli nawaombea hawa marais anbao sio vibaraka. M'mungu atawalinda inshaAllah.
@marckmasassi7466
@marckmasassi7466 Ай бұрын
Brother Futa Hayo Mawazo Dunia Imesha Badilika Usikae Unatisga Watu ,Hao Mabepari HAWANA Chao TENA Zingatia Hilo
@ZahraZahra-wy6gc
@ZahraZahra-wy6gc Ай бұрын
Dj smaa chukua maua🎉🎉🎉🎉🎉yako
@SalmaKhamis-io4ei
@SalmaKhamis-io4ei 29 күн бұрын
Was was wangu mm ni vladmir puti wata mnyongaa.... Mungu amlinde kwakweli
@jerryndondole1965
@jerryndondole1965 Ай бұрын
Fact and Logic
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Ай бұрын
Dj sma Salut sana ameen
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca Ай бұрын
Ahsante sana #DjSma
@raymrash
@raymrash Ай бұрын
Mungu akupe kupona 🙏
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Ай бұрын
Yayaya Mungu atusaidiye aisee awa manyangau huwa mimi nikipenda au kushabikia rais huwa nawaponza wanauawa lakini awamu hii naamini hawata fanyikiwa lazima haki ishinde Kwajina la YESU amina
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Yesu mwenye niwao auulifkria babahako
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Kutoka 254 mpo visuri
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
Mungu yuko na wew utapona kaka
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Ай бұрын
Tuko pamoja Dj Sma
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Pole sana DJ Sma naamini mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Tanzania angekuwepo magufuli dah mamba yangekuwa poa sana lkn mama yeye ni mikopo tu IMF na World Bank kwenye trapped ni mtihani kweli
@KhamisHaji-wp8it
@KhamisHaji-wp8it 27 күн бұрын
Allah akupe afya njema
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu Ай бұрын
uko vzr Sma
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
Wacha waowane tu bro lkn dunia itaendelea tu kama kawa
@niyonkuruasman
@niyonkuruasman Ай бұрын
Smah tuko pamoja
@abdinoorkamau9745
@abdinoorkamau9745 Ай бұрын
Respect 🇰🇪🇷🇺🙏
@Abdulmajid79072
@Abdulmajid79072 Ай бұрын
♥️🇷🇺
@jumamohamedkidiaunga9224
@jumamohamedkidiaunga9224 Ай бұрын
💥💥💥💥
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x Ай бұрын
Jamaa mwongo anasema ata ugonjwa wake ni marekani kampa
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Ай бұрын
Hii sio utabiri ni hali ya kawaida tu kwamba ukiwa mpinzani wa marekani atakunyoosha tu
@HamisiGatuso
@HamisiGatuso 20 күн бұрын
Upo sawa unajua sana
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq Ай бұрын
Nawaza tu kuhusu mjomba magu kama kuna picha flani naipata hivi
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Ай бұрын
Hatuchaguliwi rafiki wao hawachaguliwi dunia 😢inabadilika
@kikongajoel2693
@kikongajoel2693 Ай бұрын
Mungu awalinde
@sembegumagosho4342
@sembegumagosho4342 Ай бұрын
Kwahyo walimuua na mzee wetu
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli Ай бұрын
Off course
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 Ай бұрын
Ndio, walituulia kiongoz wetu
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr Ай бұрын
Dj Sma sasa unashirikiana na Mrusi halafu ukae tu bila ya kuwa na Security yao
@eddythedjtz1204
@eddythedjtz1204 Ай бұрын
Good to go
@Del_busi5
@Del_busi5 Ай бұрын
Africa tume wakosea nini hao washenzi 😢
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Neema zetu
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Umesema ukweli kabisa kaka
@Ally-qi7xo
@Ally-qi7xo 29 күн бұрын
❤️❤️❤️🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇧🇮
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 Ай бұрын
Pamoja sn kiongozi unazidi kutufungia macho na akili
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Ай бұрын
Amen 🙏
@johnwillingstone3121
@johnwillingstone3121 Ай бұрын
Wafumbue mzee, wape madini
@princeabuu8297
@princeabuu8297 Ай бұрын
Kakaa zangu huku Kenya kiukweli tunawafuatilia ila niko na ombi tu kama itawezekena muwatafute kina Isaya Beson Mwakilembe ili tupate madini zaidi maana hao nao pia wanaupiga mwingi pande hizi za uchambuzi
@BabuGga-td3mg
@BabuGga-td3mg Ай бұрын
IBM channel member
@happyfamily58
@happyfamily58 Ай бұрын
Achana na ule wa congo 🇨🇩 ni ujinga yake mwenyewe na ile upinduzi ya njuzi ni jama yake mwenyewe
@vintz338
@vintz338 Ай бұрын
Ndomaana Tanzania wannakataa uraia pacha ,ni njia ya mataifa makubwa kufanya nchi za kiafrica zisitawalike
@ankabut4434
@ankabut4434 Ай бұрын
Oyoo
@aminaamina3972
@aminaamina3972 Ай бұрын
💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Hivi wazungu wanajikutaga nani eti
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
✌️👊👍.
@japharymagesa735
@japharymagesa735 Ай бұрын
Tz hatuna neno tupo tu 😂😂😂
@johnalto2619
@johnalto2619 29 күн бұрын
Hahahahha
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Ай бұрын
Tunamuombe sana putin Allah amlinde wallahi awe mkombozi wadunia
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Akifa dunia inangamia ,na mungu ndie atakae mtuma mtume issa ajekuokoa wajawake duniani
@deathrow8004
@deathrow8004 28 күн бұрын
😂😂😂
@user-xc5mk4ro2z
@user-xc5mk4ro2z Ай бұрын
Mzee tupo kuhusu magifulii kauliwa au kafa tu kwa ahadi
@GabrielSky64
@GabrielSky64 28 күн бұрын
Mwamba unachuki.sana na Mmarekani kama umatumwa na Mrussi na udini kweli unayo wala sio kupepesa macho
@richarddavidmk
@richarddavidmk 27 күн бұрын
Wawe makini
@user-rt1wf6se5f
@user-rt1wf6se5f 29 күн бұрын
Me naomba majeshi ndio yaya ongoze viongoz
@walidalboasy7990
@walidalboasy7990 Ай бұрын
China imeibuka kama mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa India na biashara ya njia mbili ya $ 118.4 bilioni mnamo 2023-24,
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
🤝
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Ай бұрын
Kifo kwamrisi wamfumo wakishia wauwongo mtupu kuusu uislamu
@swaglishauto846
@swaglishauto846 Ай бұрын
Dj smaa nakkubali sana lakini kwenye hii umechelewa sana kusema kuwa viongozi wengi wa Africa na najuwa wewe ni moga wa raisi wetu mpendwa mangufuli kuwa aliuwawa kwasbabu ya haya unayo yaonge leo mbona hukusema
@Nuru-zr2yv
@Nuru-zr2yv Ай бұрын
Humtakii mema mwenzio unaona jambo rahisi kuongea vi2 vizito km hivyo
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 Ай бұрын
Kakaaaa kimya siumeichajuaa
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 Ай бұрын
Tumia akili wewe 😂😂😂
@fredrickmatonange1345
@fredrickmatonange1345 Ай бұрын
Shida yako ni bias
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Kunambwa zinashabikia urkain ishinde vita , unafikiria wakishinda vita dunia itakua salama , mungu ataingamiza dunia hapatobakia mtu hata moja 😂😂
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj Ай бұрын
Unataka tufe wote😆
@marckmasassi7466
@marckmasassi7466 Ай бұрын
MUNGU SIO WA WATU WESTERN COUNTRIES AU AMERICA MUDA WAO UMEPITA HIYO NDIO TAARIFA INCHI IKISHA FIKA KILELENI HAINA KWA KWENDA TENA BARI NI KUDONDOKA NA MUDA HUO UMEFIKA KWA AMERICA NA VIBARAKA WAKE DON'T FORGET THAT
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k Ай бұрын
Marais Wenye hawajatajua hapa kwa hii list inamaanisha wote wametawaliwa n hawa watu wa ngozii nyeupee yani hawana musimamo kwenye uongozii wao wengii wao ni matapeli n wanyanyasaji akiwemo Zakayo huyu jama mfupi kama bakuli y mboga uku Kenya 😏
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Ай бұрын
Kifo kwa putini namlisi yoyote Kwa mlisi wahayator haminey
@DattiKassim
@DattiKassim Ай бұрын
Sahau Kwa Putin mpaka anastaafu
@ramadhanmazije3882
@ramadhanmazije3882 26 күн бұрын
Sasa na wewe unaweka wazi umafia wao watakuacha xalama DJ Smaa????
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
China kamu overtake USA 🇺🇸 kma biggest business partner wa India 🇮🇳!! Hatar kwa muhindi hi utaipenda kwa chuki au kwa moyo 😅
@mbarakamlawa7249
@mbarakamlawa7249 Ай бұрын
Kuhusu Trump hujui kitu
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Ай бұрын
Utabir wakifo hy umeupata wapi hy nishiriki Malaka Lmaut hajui siku mtu anapotolewa roho mpaka pale ALLAH ampe khabar usianze mauza uza.
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 Ай бұрын
Huyo smaa mwenye hajui Yeye anatabiri tu pia hana uhakika kama watakuja.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Ай бұрын
Kasem utabir half sio kila kifo Mungu anahusik vingine binadmu na tamaa zawo
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
Yani huyu kaka hayupo sawa 🫣🤣🤣🤣🤣yani anatabiri nini sasa 😂😂😂
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Ай бұрын
Ukumuelewa msikilize tena
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 29 күн бұрын
Viongozi fake wote fyekelea mbali
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
HAPA SIJIFUZI CHOCHOTE ALLY NJOO ULETE VITU VYENYE AKILI , Utabiri gani sasa🤣🤣
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Ай бұрын
Acha kuchonganisha watu wewe roho mbaya tu bora ukae kimya tu sio lazima useme kila kitu
@cliff_drdr7340
@cliff_drdr7340 Ай бұрын
Ujatumwa Bro usikilize. Kama wew ujifunzi na unajuwa kila kitu Ni wewe ila tupo wakina sisi bado hatujui ila DJ Smaa akiposti madini kama haya tunafurahia kujifunza. Bro wacha nikufunze kitu kwenye maisha acha shobo dundo na kukatisha watu tamaa. Kwa mfano kitu unakijuwa au huna intrest nacho we kausha tu endelea na life yako sio lazima ucoment coz wapo watu wengine bado tunahitaji kujifunza. DJ Asma pamoja na Brother Frederick Bundala(Sky Walker) pamoja na timu yenu nawakubali sana na mnafanya kazi nzuri sana. Endeleeni kutuelimisha bado tunahitaji sana.
@Nuru-zr2yv
@Nuru-zr2yv Ай бұрын
Akili kisoda,utakuwa mchawi
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@cliff_drdr7340 na wewe acha shobo 🤣🤣🤣kwa comment za watu mbona unajisema, anatabir vitu gani sasa 😂😂😂😂😂
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@Nuru-zr2yv baba ako mchawi hadi mtaani kwenu kafukuzwa 🤣
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv Ай бұрын
Putin arushe tu lichuma mbona ana chelewa
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Vita nisiasa siokupiga tu 😂😂
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Ай бұрын
Kisasi chakwer chaisrael kimewauma sn neset na nashilika laisrael inatisha
@Nuru-zr2yv
@Nuru-zr2yv Ай бұрын
Rudi shule kwanza ujifunze kuandika
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Siku ukijifunza kuandika vizuri ndio tutakuelewa unacho maanisha.
@zenooernest18
@zenooernest18 Ай бұрын
Broh US is a genius in nature hata uweje atakung'oa tu Walikuepo akina ADOLFU HITRA wababe wa dunia but atlast aliwango'a sembuse sijui hawa wa sasa ooh mara PUTN , hahahaha ni swala la muda tu atawabutua tu
@DattiKassim
@DattiKassim Ай бұрын
Toa ujinga huooo
@DattiKassim
@DattiKassim Ай бұрын
Sasa huyo Hitler alitolewa na usa ujui historia wewe
@emmanuelmasele4990
@emmanuelmasele4990 Ай бұрын
ujui historia Hitler kapigwa na urusi
@zenooernest18
@zenooernest18 Ай бұрын
Endelea kudanganywa baada ya HITRA kuua mamailion ya wayuhudi ndipo USA alipo amua kudefend Israel na kubutua HITRA. Sihivo tu mkumbuke Osma, sadam etc wote walibutuliwa That's simple USA akikukosa Rais huyu, jua atakae fuata atakubutua tu
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 Ай бұрын
Hujui historia broo hilter alipigwa na Russia 😊
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Ай бұрын
Kifo kwa mrisi wa hayayora haminey na putini dawa yake IPO jikoni niswara lamda tu
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
Unavo pangia watu vifo kama weye ndio unae wapa pumzi unaweza ukatangulia weye ukawaacha wao
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
Utafikiri weye unatoa pumzi unaweza ukatangulia weye na ukawaacha wao
@DattiKassim
@DattiKassim Ай бұрын
Jiongopeee
@dicksonkyando8989
@dicksonkyando8989 29 күн бұрын
Dk 17 hazijatosha kaka
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 15 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 61 МЛН
She ruined my dominos! 😭 Cool train tool helps me #gadget
00:40
Go Gizmo!
Рет қаралды 55 МЛН
SNAKE BOY | ep 21 | SEASON TWO
30:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 724 М.
LIFE HACK: If you don’t have BRABUS🤑🤫
0:18
Ibrokhim ps
Рет қаралды 2,7 МЛН
#automobile #experiment #smartphone
0:15
Kashvi Giggling Fiesta "KGF"
Рет қаралды 20 МЛН
Гидроудар на мерсе - спас деда Танком 300! #tank300
1:00
ТАНК ПРОТИВ ВСЕХ
Рет қаралды 6 МЛН