Nakubali san kak panya msela ip siku na mm nijuika na jesh kam nyie kak zang
@masanjaluhendemasanjaluhen17132 күн бұрын
Save
@juvenaryburchard7195 ай бұрын
Mood ya kazi yao ni nzuri,wako sawa tu.ila zitungwe nyimbo za kuhamasisha umoja wa nchi na uzalendo kwa taifa
@Rajabu-x1o20 күн бұрын
Mungu awabaliki kwa kuweka afya njema askili molali
@BakariMtangenangeКүн бұрын
Km watu wema vile kumbe watekaji na wauaji
@MeshackVenasi6 ай бұрын
Naipenda Tanzania yetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Yassin-z6o11 күн бұрын
Ukiwa sio mzalendo, huwezi kuelewa hii, kama sio siasa za nchi yetu!!! Hakika tuna wanajeshi wenye nguvu na uwezo wa kutetea raia.
@MagesaRobert6 ай бұрын
Nawakubali walinzi wetu
@Rasoulhk98Ай бұрын
Jeshi imara na lenye upendo ila kuna wachache wanalitumia vibaya
@shamshimkinga18516 ай бұрын
Hongera
@HamisiRashid-lr5fb6 ай бұрын
Hongera sana majeshi yetu
@mohdahmed53899 сағат бұрын
Mambo ya kizamani ,ndugu zangu sayansi na teknoljia katika kazi ndio inayohitajoka,afrika tupo nyuma sana zaidi ya miaka 200 ilipo dunia sasa.hapo hapana hata mmoja from 6.wote darasa la 4
@bonifacepeter46406 ай бұрын
Ukipenda kazi hiyo tafuta tu ndugu zangu sio kuponda kwa wivu. Hata hiyo yako wapo hawakuelew. Tupunguze wivu hauna faida wala
@AraphatMagax2 ай бұрын
Hey congratulation jmn
@ElisiaJames6 ай бұрын
I love so much this job
@MeshackVenasi6 ай бұрын
Asante San majeshi yetu ❤❤❤
@IddyNtonga6 ай бұрын
Ndugu yangu unaposema wawaulize Kongo Kwani Kongo ndio nini. Kwani unajua vurugu zilizopo Congo unajuwa Zina zalishwa na nini? Sasa kama Congo wapumbavu hasa viongozi ndio wameweka makundi ya wahasi Sasa wawa ulize Congo kwa lipi kwa using ujinga unao fanywa na viongozi kwa uroho wa Mali Sasa ndio tuwaulize congo
@robertphilip3855 ай бұрын
Congo Kuna ADF kikundi Cha siasa Kali
@AkiliOmari-v4e6 ай бұрын
Thank youn
@dismasmusoma94785 ай бұрын
Safi sana
@matronmkenda35105 ай бұрын
Wooow
@malilosaid6495Күн бұрын
Wabamapindiz na wafanya mapinduzi
@rabsonased71066 ай бұрын
Najuvunia jeshi letu Tanzania inchi yetu itajengwa na sisis wenyewe
@azirajiabdallah71775 ай бұрын
Ongern San munanipandish mzuk wazeee
@MaalimMwinyi7 ай бұрын
Hatary hiyooo
@JosefuSwai3 ай бұрын
Nini iyo watoto wa shule army is techinology what is this
@faisalsultan86803 ай бұрын
Ko unawaona kama Shakira hao utakula kazi
@faisalsultan86803 ай бұрын
Ko unawaona kama Shakira sio
@fauzishabani26226 ай бұрын
❤❤
@CyphroseRobert6 ай бұрын
❤❤❤❤👍🙏
@robertphilip3855 ай бұрын
Hawa ndo walinzi wa ccm
@elizabethkalinga08225 ай бұрын
💥💥❤💥💥❤💥💥❤💥💥
@nixonjohnson49087 ай бұрын
Kwa ajili ya nini sasa na mashamba hayaandaliwi ... wanacheza kweli msisha yashakuwa kimeo kitaa
@MohamedAbdillah-zk4yk6 ай бұрын
Dressing kama nyumbu Mzee tunaopenda fani izo mbavu zinatubana
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Wa tp mnaniangusha kuchanganya na civili hao
@Sirhema2556 ай бұрын
We utakuwa kademu wew😅😅😅😅
@Mhammadi-c3w6 ай бұрын
Zamani tukikuwa twatumia nyimbo za kizalendo, ila siku hizi tunaimba havieleweki