Rais Magufuli ‘amkaanga’ hadharani Mkurungenzi Butiama kisa mamilioni ya ujenzi wa hospitali

  Рет қаралды 1,236,747

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama mkoani Mara Mabula Alphonce kushughulikia haraka ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo, huku akibainisha kuwa tayari kuna fedha kiasi cha shilingi milioni 400 ambazo tayari zimetolewa.
Rais Magufuli amemuita mkurugenzi huyo mbele ya wananchi na kumtaka kuzitumia fedha hizo kwanza kabla ya kuomba fedha nyingine, huku akiahidi kumfuatilia.
Ni katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Septemba 6 kwenye Uwanja wa Mwenge wilayani Butiama, mkoani Mara.

Пікірлер: 142
@jessicarasigu2220
@jessicarasigu2220 2 жыл бұрын
Je ni wangapi siku ipiti Kama hawajaiona hotuba ya Shujaa wetu MAGUFULI?mie bado naumia tu kwakumpoteza Raisi wetu kipenzi cha WATANZANIA wanyonge Daima tutamkumbuka PUMZIKA kwa Amani Raisi wetu MAGUFULI 😭 😭😭😭😭
@luciajohn2395
@luciajohn2395 2 жыл бұрын
Watu tulikuwa tunafatilia kila ziara ya huyu mwamba maana utacheza na kujifunza pia
@samwelilaizer661
@samwelilaizer661 2 жыл бұрын
Me kila kuitwapo Leo nangalia hotuba yake Jembe LA kazi hayati Dr John pombe Magufuli Tutamkumbuka daima saivi hatuna Rais wakutetea nchi yetu kwa Hali hii ya Watu kuwawa ovyo
@privamushi2512
@privamushi2512 2 жыл бұрын
Chozi langu miyeeee saiv wamebakia wapigaji tu.
@freddynzabakiza597
@freddynzabakiza597 2 жыл бұрын
True leader never die rip Dr magufuri
@mohamedabdalah9124
@mohamedabdalah9124 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima mwenyenzi mungu akupereke peponi
@Ruchanwa
@Ruchanwa 6 жыл бұрын
Safi Magori 👍🏽👍🏽
@ibrahimmfundo8455
@ibrahimmfundo8455 6 жыл бұрын
Mkuu had walinz wanatabasam kweli Hapa kazi tu
@mhamedabdalah2234
@mhamedabdalah2234 3 жыл бұрын
Labda wateu tena kutoka kanda ya ziwa ndo tutapata Rais kama Gpm
@jemedarikalimasi5754
@jemedarikalimasi5754 2 жыл бұрын
Hakika utakumbukwa katika historia ya nchi yetu baba rest in piece jpm
@japhetpyuza6088
@japhetpyuza6088 2 жыл бұрын
Hongera sana Mkuruzenzi mpya wa Butiama fanya kazi vizuri
@majorflavour6193
@majorflavour6193 2 жыл бұрын
I wish kenya had this kind of President. Kenya ni wizi tu
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 жыл бұрын
Safi mkurugenzi
@mohamedjumbe9309
@mohamedjumbe9309 2 жыл бұрын
Daaa huyu mwambaa ni genius
@shihume256
@shihume256 2 жыл бұрын
Rest in peace Mungu akutunze
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 2 жыл бұрын
Eti mkurugenzi mwenyewe kajaaa🤣🤣🤣 baba ulikua mtani wetu sana
@jumasengerema5285
@jumasengerema5285 2 жыл бұрын
Magufuli bwana uliogopeka siyo mchezo, hatari Sana tulia mzee uko uliko
@exaverymakoye6026
@exaverymakoye6026 2 жыл бұрын
Balaa
@samsonsaisi5473
@samsonsaisi5473 2 жыл бұрын
Ilike late magufuli saisi from Kenya
@feisalhassan4301
@feisalhassan4301 3 жыл бұрын
RIP Kiongozi
@sakinaomar301
@sakinaomar301 6 жыл бұрын
Mh: Rais naomba utuongezee fedha mkuruzemkuzenzi mkurugenzi mpya😁😁😁
@innocentsilivester9783
@innocentsilivester9783 6 жыл бұрын
sakina we mnoko kweli ha ha ha
@sakinaomar301
@sakinaomar301 6 жыл бұрын
😁😁😁
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 3 жыл бұрын
Nimecheka hadi nimetokwa na udende, kwamba mkuruzenzi
@mrishogange4276
@mrishogange4276 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 hiki chuma kilikuwa knaogopeka Wallah
@Majidnihamba
@Majidnihamba 2 жыл бұрын
Shukran
@richardonguto3529
@richardonguto3529 3 жыл бұрын
Rest in Peace Magufuli, you were the best leader I ever seen in Africa
@malcomg1004
@malcomg1004 2 жыл бұрын
Fact bro😭😭
@satiespoir1993
@satiespoir1993 2 жыл бұрын
In the world
@ivankivinge2987
@ivankivinge2987 3 жыл бұрын
Rest in peace baba
@baptistebasumingera9410
@baptistebasumingera9410 2 жыл бұрын
Alikua anaogopeka sio siri ila tunamupendaaaaaa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪💪💪💪💪
@jumasengerema5285
@jumasengerema5285 2 жыл бұрын
Hatari sana
@dangotethomas3586
@dangotethomas3586 Жыл бұрын
Jembe kutuacha dah mungu ailaze roho mahala pema peponi amen
@edwardmarie8277
@edwardmarie8277 6 жыл бұрын
daaa kweli wew ako ni kiboko mkurugenz anatetemeka
@amiltonmichael5377
@amiltonmichael5377 2 жыл бұрын
Daah mzee alkuwa anatisha aiseee,kwamba mkurunzinzi😁😁😁 r i p shujaa✊ nidham ilkuwepo,now tumeisahau tayar😢
@horthykasongo5961
@horthykasongo5961 3 жыл бұрын
Presidente
@leahmahambotutamkubuka5909
@leahmahambotutamkubuka5909 2 жыл бұрын
Jetutapata jembe Kama Hilo?
@saidrashid5972
@saidrashid5972 2 жыл бұрын
Nitakuja kufuata nyayo za Mzee Magu bila kupepesa Mungu akupenda. Huyu kiongozi hajawahi kutokea kabisa
@eugenepoultryfarmlimited
@eugenepoultryfarmlimited 2 жыл бұрын
I will like to work hard like magufuli
@mr.machange1377
@mr.machange1377 2 жыл бұрын
It is historic and glorious time TZ went through
@millionsofreasons9806
@millionsofreasons9806 2 жыл бұрын
I miss him 😥
@stn4873
@stn4873 5 жыл бұрын
amejiletileza mwenyewe😂😂😂😂😂
@juliusvicent8247
@juliusvicent8247 3 жыл бұрын
R.I.P AKUNA ATAKAE WEZA ZIBA PENGO
@neemaruhembe6360
@neemaruhembe6360 2 жыл бұрын
Hakika jamani inauma
@erodycostantin6866
@erodycostantin6866 6 жыл бұрын
majamaa yakiwa yana hojiwa na Rais yana tamani utokee ufa yazame mazima a hari ya hewa inabadirika
@michaelfabin7097
@michaelfabin7097 2 жыл бұрын
R.I.P my Father miss you so much
@abdulbast8453
@abdulbast8453 6 жыл бұрын
Uyu mzee namvutia picha alivyo kuwa mwalimu mhhh
@danielmari9800
@danielmari9800 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@amosmahona433
@amosmahona433 2 жыл бұрын
Nitakukumbuka daima uliupiga mwingi sana
@ericmunoru622
@ericmunoru622 2 жыл бұрын
Aisee ww salimia mungu
@dieudonnejohnson5200
@dieudonnejohnson5200 2 жыл бұрын
0:40 mkurugenzi mwenyewe kajaa..🤣🤣🤣 May your gentle soul continue to rest in peace Uncle MAGU❤
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 2 жыл бұрын
😹😹😹🙈
@lazarothadeo7994
@lazarothadeo7994 2 жыл бұрын
Mungu akupumzishe salama
@fabianmkway3662
@fabianmkway3662 2 жыл бұрын
Maguu Baba Tangu uondoke Tanzania nachokiona ni mapichapicha na ,miwani kubwakubwa lakini hakuna kinacho endelea
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 6 жыл бұрын
Magori be calm!
@salimabeidmasoudabeidmasou9878
@salimabeidmasoudabeidmasou9878 6 жыл бұрын
ahsante baba msimamo huo huo mpak kieleweke magufuli oyeeee
@gregorymhagama1142
@gregorymhagama1142 6 жыл бұрын
Duuu jamaa viongozi wengi wanatetemeka boss wako akikuhoji shidaa
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
Viongozi wa Kiafrica ndivyo walivyo.
@mishimwalimu7212
@mishimwalimu7212 2 жыл бұрын
Kiongozi wangu bora
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 3 жыл бұрын
Zege halilali, tumalizane hapa hapa
@hamadiabdallah3906
@hamadiabdallah3906 2 жыл бұрын
Mwambaaaaaaa Dah RIP
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 2 ай бұрын
Uso wa chuma. JPM NENDA Kwa amani Mzee ulituonesha njia
@akimmbwego797
@akimmbwego797 6 жыл бұрын
Lazima wanyooke..........me nadhani uyu mzeee kama atapenda awe mfalme wa TANZANIA INSHAALLAH
@kenethlupenza8203
@kenethlupenza8203 6 жыл бұрын
Akim Mbar go
@kenethlupenza8203
@kenethlupenza8203 6 жыл бұрын
Akim Mbwego p
@richkutiliboma4850
@richkutiliboma4850 4 жыл бұрын
Mjambo pls don't reduce your spliit
@adammwalie4090
@adammwalie4090 2 жыл бұрын
anatetemeka. aiseee
@rechomzava1471
@rechomzava1471 2 жыл бұрын
Remember u msguful
@collyalinani2407
@collyalinani2407 2 жыл бұрын
alikua anatisha huyu baba. akikusogelea unaeza sema hii kazi bora niiache😀
@juliasjolamu407
@juliasjolamu407 2 жыл бұрын
Ok
@clementgerald2988
@clementgerald2988 6 жыл бұрын
Uncle ni Noma Wakurugenzi wanapata Wenge hadi kuongea wanashindwa
@mwalimukea4076
@mwalimukea4076 2 жыл бұрын
Try
@methodchuleha9673
@methodchuleha9673 3 жыл бұрын
Jembe
@amiltonmichael5377
@amiltonmichael5377 2 жыл бұрын
We had one
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 3 ай бұрын
Moto wa petrol uliozima ghafla
@aishabashiru8608
@aishabashiru8608 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima
@wazirisa6043
@wazirisa6043 2 жыл бұрын
we miss you
@izacmumius1785
@izacmumius1785 2 жыл бұрын
Baba rest pc
@emmanuelisaac8540
@emmanuelisaac8540 6 жыл бұрын
Mkuruzenzi mpya uyo mmemuona jamaani
@kabaisamsuketv3201
@kabaisamsuketv3201 2 жыл бұрын
Mhh dunia hiiii
@oscacharles909
@oscacharles909 2 жыл бұрын
Mkurugenz ana mteru balaA R I P chuma😭
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 4 жыл бұрын
Kusimama mbele ya MAGU si mchezo
@boruiya1376
@boruiya1376 2 жыл бұрын
We do we get such leader in Kenya.
@amisbakar1903
@amisbakar1903 2 жыл бұрын
Imiss you baba yetu
@biakamwamba3334
@biakamwamba3334 Жыл бұрын
Simba
@daudishiyogo3330
@daudishiyogo3330 2 жыл бұрын
Dai
@robertchugu7932
@robertchugu7932 2 жыл бұрын
Ivi huyu faza wetu alikuwa anjua kwamba watu wanamgwaya daaaa
@lulanjemohamed7949
@lulanjemohamed7949 2 жыл бұрын
Machozi yananitoka jamani, huyu mzee apumzike kwa amani
@masoudsultani9163
@masoudsultani9163 3 жыл бұрын
Kama utani vile.R.i.p mwamba
@richkinji2583
@richkinji2583 2 жыл бұрын
R.I.P mzee hakika ulikuwa mzalendo
@johnkorromboi2694
@johnkorromboi2694 2 жыл бұрын
Hakuna mwingine kama yeye Wala haitawai patikana
@japhetmafwolo6249
@japhetmafwolo6249 5 жыл бұрын
yaan kajichanganya san ajamalza anaomba zingne
@jalimpanga9315
@jalimpanga9315 2 жыл бұрын
Pumuzika kwa amani babaagu nilikupenda saaaaana nahaipit siku bilakukufatilia katika mitandao naukizingatia wewe ndouliekuwa rais wangu wakwanza kukupigia kula tokaniigie kwenye mfumo wakupiga kula.
@fadhilimalila242
@fadhilimalila242 Жыл бұрын
XB
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 5 жыл бұрын
😂😂😂
@amosjuma4536
@amosjuma4536 2 жыл бұрын
Mukurugez mwenyewe kajaa
@jacobokomba6866
@jacobokomba6866 2 жыл бұрын
Mwanaspot
@collethamponzi7457
@collethamponzi7457 2 жыл бұрын
Hutuba ya magufuli tarime
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 6 жыл бұрын
Anko Sf Sana wanyooshe
@enhardyfaraja5924
@enhardyfaraja5924 2 жыл бұрын
Magu
@ntemanyamwitaseko1386
@ntemanyamwitaseko1386 2 жыл бұрын
Masubwe
@sembosayenda7182
@sembosayenda7182 6 жыл бұрын
Mkurugenzi mbona mbavu sana alfu anaongea kibos Bos alfu ndo ivo anaongozwa na jpm hahahaa
@ramamachaku3348
@ramamachaku3348 2 жыл бұрын
Mzee huyumuqu asaidiee hukokuzimu kupataraisi kamahuyu nizaidi yamwaka miyamoja
@tumpessayo5857
@tumpessayo5857 2 жыл бұрын
Kopkop tv
@gracesoko184
@gracesoko184 2 жыл бұрын
Mpumzika Kwa Amani
@bahathmakalanga4191
@bahathmakalanga4191 3 жыл бұрын
Vg
@jofredmhoza5924
@jofredmhoza5924 2 жыл бұрын
Maguful apopewa sumu dodom
@papyiochimikalano4611
@papyiochimikalano4611 2 жыл бұрын
Voici l'homme qu'il faut a la place qu'il faut ?
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 6 жыл бұрын
Mbavu zanguuu jamanii
@pasterjohnwilibardwlilbard248
@pasterjohnwilibardwlilbard248 2 жыл бұрын
Nema ya kristo
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 2 жыл бұрын
Hakika pengo lako halizibiki hata siku
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
mkurunzenz,mkurunzenz yaani ni fullmchecheto
@sayendakasukalugimba6063
@sayendakasukalugimba6063 2 жыл бұрын
Sayendakasuka Kasuka lugimba
@veronicajohnmathias2918
@veronicajohnmathias2918 2 жыл бұрын
Daima tutakukumbuka
@kuchiafricancinema
@kuchiafricancinema 6 жыл бұрын
huyo atakua mkurugenzi wa upinzani maana rais ndo anavowafanyia wapinzani
@emmsonemangwanda5053
@emmsonemangwanda5053 2 жыл бұрын
Baba tunaomba urudi bas jaman
@abdulbenzema2707
@abdulbenzema2707 Жыл бұрын
Maths mwaipaja
@abdulbenzema2707
@abdulbenzema2707 Жыл бұрын
Maths mwahipaja
@joelaloyce2277
@joelaloyce2277 4 жыл бұрын
Uyu mkurugenzi namjua anapenda mademu sio poa tupo nae mbezi bechi tuu uyu jmaa
Magufuli akiwafungukia watanzania kuhusu uzazi wa mpango
8:58
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 55 МЛН
JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1!
10:21
Global TV Online
Рет қаралды 481 М.
Chozi la Mkurugenzi baada ya Mbunge wa Chadema kumchongea kwa JPM
8:36
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,2 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 62 М.
HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha
3:49