MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY NA WAPAMBE WAKE || SEHEMU YA SITA || Muhammad Bachu

  Рет қаралды 37,405

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 478
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 Жыл бұрын
Kupitia Bachu niliacha bida'a zote Alihamdulillah nakupenda sheikh wangu kwaajili ya Allah nasio ushabiki mm napenda haq sipendi mtu anae pindisha ulimi kabsaa
@hahahahahanabzvziwha
@hahahahahanabzvziwha Жыл бұрын
Pole
@adnanestropa7092
@adnanestropa7092 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi naa amhifadhi😂❤️
@mohammedjumakhamis8151
@mohammedjumakhamis8151 Жыл бұрын
Allah azid kukuongoza na kutuongoza sote
@fatmaally7241
@fatmaally7241 Жыл бұрын
Good!!
@artanahm3389
@artanahm3389 Жыл бұрын
Baraqallahu fikum, Allah azidi kutuongoza.
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Allaah akupe umri mrefu na upana wa maarifa ya Dini, na ulimi wenye fasaha ya kuzungumza, uwezo wa kuisemea Dini ya Allaah kwa Elimu na Hoja zilizo wazi na zenye kueleweka na kuelimisha wasio jua. Nakupenda sana kwa ajili ya Allaah Shekh Muhammad Bachou.
@hahahahahanabzvziwha
@hahahahahanabzvziwha Жыл бұрын
Poleni sana
@saadiramadhani4190
@saadiramadhani4190 Жыл бұрын
Kama wampenda Muhammad bachu mshaurini asome kwanza asizungumzie mambo ambayo hajayasomea wala hajui hakika ya mambo hayo
@saadiramadhani4190
@saadiramadhani4190 Жыл бұрын
@@hahahahahanabzvziwha Muhammad bachu ni mtihani
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
@@saadiramadhani4190 mtihani kwa wazushi kama wewe. Alhamdulillah
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
Namshukuru Allah Kwa kunikomboa Kunitoa Kwa Wapiga Maulid Na Kuwa Mwana Suni Alhamdulilay 🙏🙏
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 Жыл бұрын
Muhammad bachu tunamuomba mungu azidi kukuhifadhi na akunusuru kila lililokuwa baya ,,mawaidha na majibu safi yaliyokuwa hayana chenga, majibu ya kisomi na yenye ushahidi ndani yake
@kassimdaud4258
@kassimdaud4258 Жыл бұрын
Mashaa Allah Allah akufanyie wepes na akukinge na husdaa , Alhamdulillah tunafurah Sanaa kutufahamisha haya majanga ya watu hawa wa kisufii Alhamdulillah mashaa Allah zidi kutupa elimu ya dini ytu ya kiislaam hao masufi n watu wa kutumia akili zao na ufahamu wao mbovuu hawatak kuelewa na haki wanaionaa Allah awaongoe.....darsa iendelee wakileta majanga mengine ktk din yetu
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Жыл бұрын
Mashekhe wakunyoosha ulimi namnahii nawapendasana dah niafadhali wakubalitu yaishe maana wanapogusa wananyooshwa vitabu vyao wenyewe wanakuja kwamatao lakini wanakalishwa shekh Muhammad ww endeleya kuwatowa watu ktk bidaa nasisi tuanaoelewa kaziyako Wallah tuko nyumayako tunakuombeya duwa Insha Allah Allah akulipe kheri zinazostahiki kwakaziyako
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 Жыл бұрын
Ukisikia Waladun Swaaleh, ndo mfano wake huu. Allah umsamehe makosa yake, na umjaalie Al marhuum Sheikh Nassoro Bachu Kaburi lake kuwa Moja ya maeneo mazuri na umzawadie Pepo. Pia Allah umjaalie Sheikh Muhammad Bachu umri na afya njema azidi kunufaisha na mafundisho Sahihi. aaamiin
@mohammedjumakhamis8151
@mohammedjumakhamis8151 Жыл бұрын
Amiin
@artanahm3389
@artanahm3389 Жыл бұрын
amiin
@othmanali7408
@othmanali7408 Жыл бұрын
amin amin amin
@hassanabdalla746
@hassanabdalla746 Жыл бұрын
Allah Akuhifadhi Shk Uzidi kutuelimisha Maneno Safi yenye Dalili, Mtu wa Rika lolote yuwaelewa Baraka Llah Shk. Hii ndio Sifa Ya Ahlu Sunna wal Jamaa kila wanalo Sema Lina Dalili. Shukran Shk
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Жыл бұрын
MashaALLAH SHEIKH ALLAH akupe mwisho mwema
@shuaibsaid515
@shuaibsaid515 Жыл бұрын
Shukran jazakallahu khairan, msumari umeingia mahala pake. Mwenye kuelewa ameelewa na asotaka kuelewa halazimishwi kuelewa.
@allydaud117
@allydaud117 Жыл бұрын
Masha Allah, Allah akujaalie umri mrefu na afya njema sheikh akuzidishie elimu uzidi ukunufaish na sisi.
@alimasiga8422
@alimasiga8422 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi akuzidishie imaan, ilm, subra, na akuzidishie upole na hikma zaidi.
@masoud744
@masoud744 Жыл бұрын
Mashallah, Allah akuhifadh... tafadhal tafadhal usiache kutufunza... jamaa walitupoteza sanaaa.. Allah akuzidishie Elimu na umri mrefu
@salamanyale2226
@salamanyale2226 Жыл бұрын
Hyo ndie uawapoteza n ukisema waliotangulia kbla yy walipotea bc famili zenu zilizokufa ziko moton sabbb zaman watu walisoma maulid karib wote ssa utwambie km walkua washkrikina bc pepo mtaanza kuingia nyinyi n hyo Muhammad bachu wenu
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 9 ай бұрын
​@@salamanyale2226ivyo walisema washirikina wa makkah enzi hizo walivyoambiwa na Mtume Muhammad Swalla Llahu Alayhi Wasallam wasiabudie masanam wakaesema ivi sisi teaches kuabudia walivyokua wakiabudia wazee wetu
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 9 ай бұрын
Sasa we haki imekufikia pia unaona uwafate waliokua hawajafikiwa na haki unaikataa akili kichwan mwako
@mohammedopetumusa
@mohammedopetumusa Жыл бұрын
MashaAllah Allah akuzidishie sheikh langu
@al-akhsalimoo6394
@al-akhsalimoo6394 Жыл бұрын
أخي الفاضل، شيخ محمد ابن ناصر باݣوا الله يحميك، جزاك الله خيرا بهذه الفوائد التي تفيد الأمة بها، نحن نعرف أخانا محمد الهادي الحاتمي ربنا يهديه، ليس هو بعالم ولا بطالب العلم، إنما هو رجل يسعى للشهرة بين الناس فلا تهتم به كثيرا، ولكن لا تترك بيان الحق من الشبهات الصوفية. الناس يستفيدون من هذه التعاليم
@husseinmwiti2801
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
@@mussakatoro8079 kulingana na ujumbe wako niwazi uko na chembe na dalili za wazi zinazopelekea mtu kua shoga
@husseinmwiti2801
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
@@mussakatoro8079 kua na Adabu kama wataka heshima sio kutukana na kama wataka matusi pia sie twayajua na.kabla ya kutoa hiyo ayat katika surat ujurat ulikua utadhmin ujumbe wako
@alimwalimu
@alimwalimu Жыл бұрын
Fikiriyaa vizuri maneno yakooo halafuu utwambiyee unatufunzaa nini kwenye maneno hayooo unatufunzaaa hawoo mashekhe wakubwaa wamekufunzaa hivyooo au??
@husseinmwiti2801
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
@@mussakatoro8079 wewe sio wakunyamaziwa kulingana na ujumbe wako wala hiyo dalili unayotoa hapo sio mahala pake yatakiwa urudi chuoni na ukue na Adabu
@yusuphramadhani6749
@yusuphramadhani6749 Жыл бұрын
@@mussakatoro8079 ndugu umekasirik kuitw shoga wakat umetoa maneno machaf kw akhy muhammad ukiw huna ni dham haqq utaijua vp
@mruppercut7985
@mruppercut7985 Жыл бұрын
Huyi ni qasiimu mafuta version 2, namkubali siku zote Tang naanza kumsikia, MASHALLAH mwalim wangu, nachokihitaji tu kaa na qassim mafta vizur Kisha muunge nguvu bila taasubi Wala majivuno mtakuwa ni mapanga makali kwa wazushi na tutaona mtunda yake wallah, sote tunakupendeni kwaajil dawa yenu ni moja
@issamuhammad111
@issamuhammad111 Жыл бұрын
Jadhaq llahu kheyr sheikh Muhammad.
@hansimassirhassan8154
@hansimassirhassan8154 Жыл бұрын
Baraka Allahu fiikum sheikh bachu Allah akupe afya njema akulinde kila Shari katka kuitangaza daawa kweli ilimu nipana kabisa twapaswa kuwa makini sisi wa maamuma
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Жыл бұрын
Ameen yaa rabbi
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah allah akuhifadh sheikh wetu
@lemalisipilali
@lemalisipilali Жыл бұрын
Allah akuifadhi kwa elimu hii sheikh
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 Жыл бұрын
MAA SHAA ALLAHU. SHEIKH MOHAMED BACHU ALLAH AKUZIDISHIE ELIMU UWAFUNDISHE MAMWINYI WA DINI...MABWENYENYE. Yani wao akisema shkh wao tu hawahoji
@omarmuhamud3302
@omarmuhamud3302 Жыл бұрын
Masha Allah sheikh mohamed Allah akuhifadhi na killa aduwi,
@asddsa5076
@asddsa5076 Жыл бұрын
زادك الله الفصاحة يا شيخ وبارك في علمك وجزاك خيرًا في جهدك.
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Sheikh usichoke kuwajibu na kueleza shirki zao wengi wanafaidika. Allah akuhifadhi na akukutanishe na, babako sheikh bachu ktk pepo ya, firdaus namm pia niwe nanyi. Aamin
@alf8177
@alf8177 Жыл бұрын
Tena Kuna kitabu kinaitwa adhkar wa awraad Kuna Dua ya saltuka ya mawlaya tafrija kurbati, imejaa shirki za kuwaomba mashekh
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
@@alf8177 hawa watu wa maulid namashia nikama kurwa na, doto.
@swalehjamal4867
@swalehjamal4867 Жыл бұрын
Hawa wazushi subhaanaAllah hua hawana hoja ya kutetea uzushi wao..
@sirleh8500
@sirleh8500 Жыл бұрын
Shukran akhiy kwa kutupa mwangaza
@alaminbahero3604
@alaminbahero3604 Жыл бұрын
Sheikh Mohammed bachu زادك الله علما نافعا ورزقا طيبا وعملا متقبلا أسأل الله الكريم رب العرش العظيم أن يتولاك في الدنيا والآخرة وأن يجعلك مباركا أينما كنت وأن يجعلك ممن إذا أعطي شكر وإذا ابتلي صبر إذا أذنب استغفر جزاك الله خيرا وبارك الله فيك
@sahraqaalib902
@sahraqaalib902 Жыл бұрын
Namuomba Allaah Subhana Wata'ala amuhifadhi Mohamed Bachu na amuepushe na kila shari na hasad kwani nimepata faida nyingi saaana kutoka Marhum baba ake Sheikh Nassor bachu Allaah Subhana Wata'ala amlaze mahali pema peponi
@jamaldineali3228
@jamaldineali3228 Жыл бұрын
Allahumma amiin
@mawaidha386
@mawaidha386 Жыл бұрын
Wallahi ni faida kubwa sana kuwepo ww sheikh muhammada bachu mana watatia akili sasa masufi ....mashallah .... Kisha tummuombe Allah akupushe na hassad mana Hawa jamaa wnaweza kukuhusudi Kwa namna nyengine yoyote ... Hivyo kua makini akhi Bado tunakuhitajia akhi .. Allah akuhifadhi na Kila balaaa na shari za viumbe waovu ... Piga nondo waelewe wenye kuelewa .. shukrana sana
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Жыл бұрын
Allah amlinde sheikh wetu ibn Bachu
@othmanali7408
@othmanali7408 Жыл бұрын
Amin
@abdulqadirmasuo1550
@abdulqadirmasuo1550 Жыл бұрын
Assalamualaikum. SHEIKH MOHAMMAD huyo jamaa ameishiwa sasa anatafuta tena kiki kupitia kwako. sababu wale mashekhe waliompatia kiki Mara ya Kwanza watu hawawafuatilii Sana Kama zamani amekuona wewe Maa shaa Allah kwasasa watu wanakufuatilia zaidi Allah akuhifadhi ndio akaona afadhali akuambate wewe ili umuhuyishe kwa Mara nyengine
@khelefomary4486
@khelefomary4486 Жыл бұрын
Bachu ndie anae tafuta kiki apate umaarufu. Bachu hana adabu
@MattarOnlineTV
@MattarOnlineTV Жыл бұрын
@@khelefomary4486 Usiwe na chuki kijana jifunze tu na ufanye kazi
@ibnuali6857
@ibnuali6857 Жыл бұрын
Kweli bro alitaka umarufu kupitia sheikh Ali Ahmed bahero na sheikh nurudin kishki sahi anataka tena umarufu kupitia muhamad nasor bachu
@dengejirmo5308
@dengejirmo5308 Жыл бұрын
Hafidhahu Allah sheikh Muhammad Bachu👍
@mattarmuhammed8575
@mattarmuhammed8575 Жыл бұрын
😏
@JK-um6op
@JK-um6op Жыл бұрын
Subhana Allah tafsiri hii imeni fumbuwa macho kabbisa.. Allah atusameh madhambi ya shirki na bidaa bila ufahamu mzuri.. Allah atupe elmu ya Sunnah tuifwate na atuepushe na shirki na bidaa tuepuke yarrabi.. jazaka Allah kheyr shekh Muhammad bachu kwa elmu kubwa hii ya Sunnah..
@ahmedseif743
@ahmedseif743 Жыл бұрын
بارك الله فيك يا اخي محمد في عملك
@itsmelatz
@itsmelatz Жыл бұрын
I gonna understand a lot of truth via shekh Bachu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Mungu akulipe la kheir ewe mtoto wa BACHU. Wallahi umeelimisha pakubwa
@nassleydady5783
@nassleydady5783 Жыл бұрын
Mashallah shekh wetu tunashukur kwa somo
@dengepandu9734
@dengepandu9734 Жыл бұрын
Allah akujaalie hikma. Inshhaah tunakuelewavizur sheh
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Subhanallah Yarabby atuongoze kwakwel Katika hoja zote na kuskiliza ama leo nimekuelewa zaid😩Yaan Ata HAITAK Elim Ukisikia Tafsir ya barzanji Maneno yapo wazi kabisa et mtu wakat alipoanza kupewa utuke amenambia اقرا Anasema hajui Leo vipi barzanji aseme atoe history kabla ya hata kuzaliwa na ubaya zaid et toka mimba inatunga😭😭😭😭😭😭😭 kwakwel Tuisome dini yetu mim ni Mmoja wa Wasomaj maulid Yarab Nakuomba uifanyie wepes nishaanza kuichukia😩Allah akujaze kher Sheikh Muhammad Aliekuwa haelewi haelewi tu na ukiangalia watu wa Maulid wengi Ni katika watu wanapenda (Music) Yani ataswaliwa mtume hapoo wakimaliza wametia Zuchu na Diamond😭Innalillah wainnailaih rajiun Allah atuongoze waje wake Ila Mim na Maulid Basi Kwakwel NA nawaomba Ndugi zangu tueoewe jaman Haya mambo wala hayatak elm ukiiskia tu hii Tafsir halaf nenda kachukue Msahaf wa Tafsir Soma Suratu alaq(سورة العلق )Mtume a naambiwa Soma anasema hajui sasa kama alikuwa na manufaa kabla ya kuzaliwa wao walijuaje kama atakuja mtume?kwakwel me nasema Tuisome dini yetu tusifuat mkumbo tu😭😭😭
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Kweli imedhihiri na uongo umetoeka na kwa hakika lazima uongo utoweke.
@muniraally4091
@muniraally4091 Жыл бұрын
Subhannallah vp hatumuelewi ibny Bhachu au ndio sikio lakufa Allah akujaalie kuelekeza ktk hakki
@user-sc3jc7nn3g
@user-sc3jc7nn3g 7 ай бұрын
Hkk ewe dd yng
@yussufsaid8223
@yussufsaid8223 Жыл бұрын
Allaah akuwafikishe kaka angu Muhammad namkumbuka sana Shekh wangu Yussuf Hamza Allaah amrehem alikua anatafsr uov wa Maulid na watu wengi wameelewa Allaah akupe taufik
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 Жыл бұрын
Ulimfahamu Sheikh Yussuf Hamza Yussuf
@yussufsaid8223
@yussufsaid8223 Жыл бұрын
@@salimkhamis3638 shekh Yussuf Hamza Allaah amrehem mm ni Shekh wangu ni mlez wangu ni mwalim wangu ni somo yangu
@muniraally4091
@muniraally4091 Жыл бұрын
Yaa ibny Bhachu Allah akuhifadhi uzidi kufungua akili za waumin wa kiisilam
@binuthaymeen9885
@binuthaymeen9885 Жыл бұрын
Allah akupe uhai mrefu katika mashekh ninao jivunia katika kulinda sunnah ya mtume na kuweka usahihi katika dini ya Allah hapa Tanzania ni shekh Mafuta na ukifuatia wewe shekh Muhammad Allah azidi kutuletea watu kama nyinyi na awape umri mrefu na nguvu ya kuzid kutetea sunnah na sisi tuna waiidi tutafuata kila lenye kher mtakalo tufundisha Allah atujalie wote uongofu
@allyomar5139
@allyomar5139 Жыл бұрын
Masha'allah Allah Akuhifadhi
@omarykilapo9173
@omarykilapo9173 Жыл бұрын
Mungu akuongoze bachu kuwa fundisha mashehe wa mchongo
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Жыл бұрын
Allah akakueke Pepo ya juu kwa ilmu unayotupa
@daudsalum9768
@daudsalum9768 Жыл бұрын
ALLAH akuhifadhi na ajaalie mashekhe wetu muwe na kitu kimoja cha kufikisha dini ya Haki ambayo kama aliyoileta Mtume Muhammad Sallahu alaihi Wasalaam. wale ambao hawapo katika njia ya sawa, Allah awajaalie wawe katika njia ya sawa. Dini ni nasaha! waislam wanatakiwa waitane kwa busara kufahamishana sio kutupiana maneno hadharani! tusiwape maadui kwa Dini hii faida. allah ajaalie Waislam wawe kitu kimoja katika haki. AMIIN AMIIN AMIIN
@ibn_maleeqqeibraheem_188
@ibn_maleeqqeibraheem_188 Жыл бұрын
Safi sana sheikh muhammad bachu wape ilm hao makhurafi wawachane na,hizo,shirk zao,wakiambiwa haqqi ni hiii hawaitaki
@sanda960
@sanda960 11 ай бұрын
Shekhe wangu Allah akupe nguvu zaidi Ili uendelee kupambana na batwil katika dini.
@truthurts7469
@truthurts7469 Жыл бұрын
MashaAllah BaarakaAllahu feekum
@Learn4TechTrainings
@Learn4TechTrainings Жыл бұрын
Shukran Sheikh. Tunafaidika sanaa
@zahorokombo6881
@zahorokombo6881 Жыл бұрын
Wallah nilikuwa na mchukia sheikh nassor bachu Allah amrahamu kumbe Wana pambana kueleza ukwel sahihi Allah amuhifadhi kijana huyu ili tupate faida zaid
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Alhamdulillah. Haqi ikidhihirika uongo huyeyuka. Alhamdulillah
@idrisjames9392
@idrisjames9392 Жыл бұрын
Mashaallah yaan hujabakisha kitu na waje tena
@abdurazakihalfanost2845
@abdurazakihalfanost2845 Жыл бұрын
shkh bach ria nikitu kibaya sana fanya kazi ya dini suala la kuwa na jina kubwa linakuja ty kwa kufanya kazi yako kwaajili ya allah achana na hizi habari tunaokufuata tunakuona kabsa upo katka kutuelimisha lakn wanao jua wanafaham kuwa mnafanya ria watu wawajue kuwa mnajua nakuusia kwaajli ya allah achana na hizi habari
@alimaulid9543
@alimaulid9543 Жыл бұрын
Allah anasema jiepusheni na sana kudhani hakika baadhi ya dhana ni zambi... Mtume s.a.w amekataza watu kudhaniana dhana mbaya je umeingia ktk nafsi yke ukaona km anafanya ria km huwezi kiingia ktk nafsi yke uislam unachukua dhahiri yake na ya siri ( ndani ya nafsi yake) tunamuachia Allah. Sisi tunajua anaelimisha kwa ajili ya Allah na kutarajia malipo ikiwa Moyoni mwake anafanyakazi hiyo ili watu wamuone anajua yeye na mola wake
@kaykastro9302
@kaykastro9302 Жыл бұрын
Shukran Jazakallah kheir !
@aslamswalah7852
@aslamswalah7852 8 ай бұрын
Tabaraka Allah al ustadh Bachu
@saidali5964
@saidali5964 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا اخي الحبيب في الله
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
Allah alujaalie kila la kheri na akuongoze ktk mstari na akukinge kw kila baya inshaallah
@kidesusaidimohamed8888
@kidesusaidimohamed8888 Жыл бұрын
Walaah Muhammad achu Allah akupe umri mrefu wenye kheri ndani yake pia ingependeza tupate namba zako za simu ili tupate elimu zaidi na zaidi
@AbdulKadir-qo1ql
@AbdulKadir-qo1ql Жыл бұрын
ampe umri mrefu ili azid kutuka watu ?
@saidsaid226
@saidsaid226 Жыл бұрын
Mashaa allah maelezo umeileta vizuri sana. Allah akubariki na akupe umri ziaidi In Shaa Allah Ameen.
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@fadyaseif5271
@fadyaseif5271 Жыл бұрын
M.Mungu amsameh na umuongowe njia sahih in shaa'Allah.
@maulidimtandika3343
@maulidimtandika3343 10 ай бұрын
Shekh upo sahihi allah akuzidishie kheri na imaan
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 Жыл бұрын
Shekh endelea kutubainishia hakki Allhwa atakulipa,,,,kwa wema wako tunakuelewa vizuri sana.
@saadiramadhani4190
@saadiramadhani4190 Жыл бұрын
Muhammad bachu amesomea kuwatukana Mashekh asiowajua. Akiendelea kuwatukana Mashekh (vipenzi wa ALLAAH) mtamuona mwisho wake
@salumrashid8513
@salumrashid8513 Жыл бұрын
MashaAllah sheikh letu ..Allah akuhifadhi yaraab
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Ustadh Muhammad twende mbele. Maghurafi wasitupotezee muda. Wanaweza panga mbinu mbovu. Ulinzi muhimu.
@faizamri7144
@faizamri7144 Жыл бұрын
Mashaallah
@azizbashir
@azizbashir Жыл бұрын
MANASWARA WANENGAMIA. KWA KUMSIFU ISSA BIN MARIAM MMPAKA IKALETTA FITNA YA KUMUITA MUNNGU AU MTOOTO WA MUNGU SASA HAW NA MASHIA WANATAKA KUTUPELEKA UKO TAWHID NIKITU MUHIMUU NA NDIYO ILIYO BEEBA UUISLAM MUNGU TULINDE NA WAJNGA
@mawaidha386
@mawaidha386 Жыл бұрын
Sheikh waeleweshe kidogo kidogo wanaelekea hao muelekeo wa Sasa tofauti na WA mwanzo washaanza kuelewa kwamba ww Alhamdulillah mana mwanzo ilikua wanatoa matusi lkn saiv naona wametulia Alhamdulillah Allah awaongoze
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Жыл бұрын
Jazaka llaah khaira
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Baraka llahu fyik
@mbarouksaadhussein290
@mbarouksaadhussein290 Жыл бұрын
Barka Allah. Kweli ww mwalim Asielewa ni ubishi wake tu. Ila uko vzr Maasha Allah
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
MaashaAllah
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Watu wa kidufu nahic hawalaliii wanakuombea bibaya sana ibnu bachu Mm naona unawashtua machoo maana sasa ndıo wanaisoma barzanji , maana wamezoea kukaririshwa hawa . Kitı nilchokısoma watu wa ngoma n wavivu kusoma ndıo maana wanajıkanyaga Na ndıo walkuwa wanaimbishwa bila kuhojı lro wanahanya hanyaaa wanashndwa kutetetea Allah awahifadh watu wote wenye kupambana ktk sunna ya mtume SAW sas hiv dawa imewagusa madrasa nyıng sada dufu kıngoma hakıpıgwı mashekh weng wamepunguza porojo kusems sema tu maana wana jua wakıtopoka tu watu wa sunna lazma wakurradı lkn la mwısho mmewafanya wasome tena mnawapa shıda kwa kweli maana pesa za khıtma hawapati sasa hıv
@saadiramadhani4190
@saadiramadhani4190 Жыл бұрын
Huo ni ushabiki katika dini jamaniiiii. Zindukeeeeeni. Huyo Muhammad akiitwa kwa ajili ya kukutanishwa na wajuzi wanaoijua barzanji atahudhuria au ataingia mitiiiiini? Someni na acheni ushabiki katika dini. Hamuijui barzanji na Mashekh wa huyo Mhmmd bachu hawaijui ndomaana ktk akili yake amejazwa ubishi2
@user-yt5wi8vo7y
@user-yt5wi8vo7y Жыл бұрын
Jazakallah kheir
@aliali-ji9ym
@aliali-ji9ym Жыл бұрын
ALLAH AKUZIDISHIE ,AKUHIFADHI, NA UENDELEE KUTUSOMESHA AMIIIN AMIIN YAARABIH
@kassimbitogwa6992
@kassimbitogwa6992 Жыл бұрын
احبك في الله ولله❤
@omarjuma-kd4nv
@omarjuma-kd4nv Жыл бұрын
Ww Muhammad bachu mpumbv Sana kasome kwnz ndipo uweze kumkosoa shkh jafar hun akil hn adabu
@badrudinsalum3139
@badrudinsalum3139 Жыл бұрын
Akasome yeye au wewe na mashekh zako waliojikusanya kupambana na mtu mmoja? Pamoja na hivyo bado wamepigwa mweleka wa maana mpaka sasa hawana hoja wapo kimyaaa na washukuru wamekataa mjadala wa uso kwa uso wangedhalilika vibaya sana
@user-jk2ov7qs3k
@user-jk2ov7qs3k 6 ай бұрын
Allah akuzidishie tunakuelewa
@yunusali5728
@yunusali5728 Жыл бұрын
Kwa kweli icho kitabu cha Barzanji hawajakisoma vizuri , na uchache wa elimu pia ni sababu ya kutetea Upotovu.
@hasreeyasini
@hasreeyasini Жыл бұрын
Nakukubali sheikh wangu hata kama husizungumze chochote juu ya upuuzi wanaoueneza na kuutetea Wakina alhatimy n wenziwao
@kassimjey1480
@kassimjey1480 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@hashimiddy4142
@hashimiddy4142 Жыл бұрын
Mashallah
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
When truth is proved by reasoning, it becomes necessary for man to accept it. If, even after the truth has been proved by arguments, aman rejects it, then he is committing an unpardonable crime.when Godhas given to man the wisdom by which he may recognise the truth as Truth and falsehood as falsehood, in such a situation there can be excuse for his wrongdoing before God. Noah (Nuh) was a prophet of the most ancient period. As long as he was silent, hi community respected him, but when he came forward as a call giver of the Truth and started telling the people what to do and what not to do, he became persona non grata in the eyes of hi community, so much so that they gave him the ultimatum: Either you give up this call-giving and tendering of advice or else we not allow yo to stay in this land of our.'
@makameali2133
@makameali2133 Жыл бұрын
Baraza njee yameandikwa mfumo wa mashair kawaida waandishi wa mashair wanamafumbo Sana Mshair anaweza kuisifia ndizi kimbe sio ndizi hiyo unayo ijuaw Kama umemwita shekhe mwenzio mushrik Kwa Maulid ya ya barza njee c unamaanisha wote wanaosoma Baraza nje
@user-go3bk6wr8u
@user-go3bk6wr8u Жыл бұрын
Watu wa bid-a wafikie mda wataradad wamuogope Allah, kila mkielezwa mnaleta viburi.
@yussuphsaleh2165
@yussuphsaleh2165 Жыл бұрын
Ufafanuzi nukta hadi nukta ,mashalla ustadh Muhammad bachu,,asiyekubali ufafanuzi huo NI kusema kwamba sikio la kufa halisikii dawa,,
@chabunu3367
@chabunu3367 Жыл бұрын
Sheikh Bachu umeweka kitu pentagon Al hatimy umeengia chumba Cha miba bila viatu😂😂😂
@itsmelatz
@itsmelatz Жыл бұрын
Al ilm nuur. Jazaka llahu kheir
@madhuru2554
@madhuru2554 Жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzidishiye inshaallah.
@idarusalwi7962
@idarusalwi7962 Жыл бұрын
Napenda uogelee katika balagh kidogo tukusikie sawa.
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Жыл бұрын
Muhammad bacho Allah azidi kukuzidishia elm na ufaham kwani kwasbb yako Allah anatunufaisha Sana n kutufungua akili juu ya huu uchafu wa barazanje Allah akunusuru na akupe umri mrefu tuzid kunufaika na ulichojaaliwa na Allah .
@mahsenabudizamzamzamzam5257
@mahsenabudizamzamzamzam5257 Жыл бұрын
Mm Mohammed ni rafiki yangu Sana bt nlimpinga nlipoona ukweli 🇰🇪🇰🇪
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Kazi inaendelea!
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Жыл бұрын
Muhammad bachu amakweli Allah akuongoze ila mm sijaona hoja katika manenoyako mi naona unapiga kelele
@ismailmakame7183
@ismailmakame7183 Жыл бұрын
بارك الله اخونا
@Abdulrahman.84
@Abdulrahman.84 Жыл бұрын
Mambo mawili sikuelewa kwa Mohammad Bachu Habib jufry kutoa silsila ya kilemba chake mpaka kwa mtume urongo ukowapi hapo?Na Sheikh Abdalla Swaleh Farsi ana Tafsiri ya barzanji na hakuna mahali popote ametaja shirk katika yafsiri yake je wewe wamzidi ki ilmu yeye?
@khamismaggy6484
@khamismaggy6484 Жыл бұрын
Assalaamu alaykum. Naomba kujua sheykh iwapo INASWIHI kusema kwa baraka za mtu fulani.
@ismailhussein9734
@ismailhussein9734 Жыл бұрын
Kiisilamu safi sana
@hishambakar5785
@hishambakar5785 Жыл бұрын
Asante
@khalidmdimu4177
@khalidmdimu4177 Жыл бұрын
Dah sheikh unawanyanyasa sana Hawa jamaa, wanastahili waonewe huruma Hawa 😁
@dulaabdallah6127
@dulaabdallah6127 Жыл бұрын
Hakuna huruma kwa mushrik.hoja baada ya hoja🤣🤣🤣🤣🤣
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 Жыл бұрын
Hhhhh, ktk hiz watu tunapata faida
@ahmadabdallah740
@ahmadabdallah740 Жыл бұрын
Assalamu aleykum sheikh mm naona utupe fatwa moja ya kuruhusu kuwatia hawa watu wa maulidi bakora manake sasa wataka kupelekwa kihuni .... shukraan
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
Walekum Salam warahmatullahi wabarakatuhu alhamdulillah mm pia nipo na ww wataka mbati Sasa hawa
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
Shikeni adabu zenu nyinyii.!! Maulidi yameenza kusomwa hata kabla huyo babayake na sheikh wenu Mohamed bachu mzee Nassor bachu mwenyewe hajazaliwa Wala baba yake pia ambae ni Babu yake huyu sheikh wenu wa Sasa Mohamed nae pia hajazaliwa.!!
@alkhudhayfkhudhayfy1968
@alkhudhayfkhudhayfy1968 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ahmadabdallah740
@ahmadabdallah740 Жыл бұрын
@@swalehemrombo9301 maadamu maulidi hayakusomwa na mtume ni watu tu walikuja na propaganda za kumsingizia mtu bac tunasubiri tu fatwa ya sheikh letu muhhammad bachu Allah akuhifadhi ampe afya njema na swiha na sheikh siku utakayo toa fatwa hawa watu wana ruhusiwa kula bakora naona hiyo siku maulidi itakwisha
@ahmadabdallah740
@ahmadabdallah740 Жыл бұрын
@@alkhudhayfkhudhayfy1968 manake elimu ya kuahindana hawana wanakuja na vihoja hoja vidogo kama kwely walete dalili wapi mtume wetu alicheza zamuni na kupika twaru mpaka dunia itaisha hakuna
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY|| USTADH ALI ABUBAKAR AFAFANUWA MAANA YA HIKMA
27:42
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.
44:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 27 М.
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 8 М.
ANGALIA Muhammad Bachu AKIJIBU MASWALI KITAALAMU||HUWEZI KUAMINI.
41:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 67 М.
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA PILI || Muhammad Bachu || 2023.
51:25
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 48 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 65 М.
Majibu Sahihi Dhidi ya Sheikh Ali Bahero | Part 2
11:58
ALI FAZA
Рет қаралды 19 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY|SEHEMUYA KWANZA| Muhammad Bachu.
1:06:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 31 М.