MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TANO |Muhammad Bachu

  Рет қаралды 44,521

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 400
@aminayusuf3051
@aminayusuf3051 Жыл бұрын
A blessed son from a blessed father may Allah bless you muhammad bachu
@aliabdalla6998
@aliabdalla6998 Жыл бұрын
Allaahu Akuhifadhi sheikh M Bachu, Akujaalie ufanye yote hayo kwa kutaka radhi zake Allaahu, Akuepushe na ujbu, riaa, na hasad. أمين
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
Amiin inshaallah
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Ай бұрын
Bachu ni msomi mkubwa sana was Dini ya kiislam mashekhe wengi hasa wa maulid wameshindwa kujibu hoja zake
@mudybeka6698
@mudybeka6698 Жыл бұрын
Sheikh Muhammad watu wabidaa wasiachwe wakileta uzushi wao...wanatupotezea ndugu zetu hawa masheikh wakibidaa....wanasababisha mpaka wengine tunaoneka vituko mbele ya wazizi wetu...watu wabidaa ndio sa7bu ya ushirikina Allah awasimamie masheikh wetu Kassim mafuta,Muhammad bachu,sheikh kishiki ,baraiyan na wengine wote mnajitahidi kubainisha shiriki na bidaa...Allah awajalie mwisho mwema
@saidfhamad
@saidfhamad Жыл бұрын
Sheikh Muhammed Bachu Wallah nakupenda sana kwaajili ya Allah na Allah akupe umri mrefu, elimu na Mwisho mwema!!
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Shekh Muhammad Bachou bado kauli yangu kwa wingi ni kukuombea umri mrefu wenye kheri kwako na kwa Ummah wa Kiislamu kiujumla, na nakuombea Afya njema na Nguvu ya kuisemea Dini ya Allaah Azza Wajalla بالعلم والحجة والبرهان. Masufi wameharibu sana na Mashekhe zetu kuna kama junaha fulani hivi wanaihisi endapo watasimama nao na kula nao sahani moja kwa kila hatua waipigayo ya kufanya uzushi na ushirikina. Allaah Mtukufu tunamuomba akulinde na hasad, shari za watu wabidaa na waovu wote kiujumla.
@yussuphsaleh2165
@yussuphsaleh2165 Жыл бұрын
Amin
@abujole3992
@abujole3992 Жыл бұрын
Ww unamjuwa mtume wako kwanza
@abujole3992
@abujole3992 Жыл бұрын
Ikiwa Kwanzaa u amjuwa mtume wako Mohamed basi Kwanzaa Soma siira ya mtume utajuwa mtume amemsomeya nani duca katika wahabi ni watu ahli suna
@abujole3992
@abujole3992 Жыл бұрын
Mtume ame wa apiza wahabi ahlu najdi ndiwo mawahabi
@naimaally6719
@naimaally6719 Жыл бұрын
Mohamed Bachu Sheikh wa Mchongo
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Ай бұрын
Ni msomi mkubwa sana ila hamtaki kukubali
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Sheikh upo wazi maelezo yako. Unajua kuelezea kwa mifano mizuri. Jazakallah million kheir
@mselemk23
@mselemk23 Жыл бұрын
Natamani huu mjadala wa ki-elimu uendelee mpka mmoja aseme wazi mbele ya umma kwamba mimi sikuwa sahihi ninaomba radhi na kuomba maghfira kwa Allah (sw)
@saidside-xq8ch
@saidside-xq8ch Жыл бұрын
Mijadala ipi hebu kasomeni Dini muijue vizuri Hii mijadala watu wanaitumia kwa maslahi yao kuendesha na kukuza kipato hapa You tube nakukuza majina Yao ya urithi tu
@saladinkamis7814
@saladinkamis7814 Жыл бұрын
Hii mijadala haifai kufanywa kwenye mitandao.Ubora wakutane masheikh wa mirengo tofauti wakae kikao kila mmoja alete dalili zake .wakielewana sawa la sivyo kila mtu afuate kwake.Hii inaleta mvurugano na kufarikisha umma na kuleta chuki na uhasama baina ya waislamu.Tofauti iliyopo ni lugha na itikadi.Watu wa banii israel walipovuka bahari ya sham waliabudu kigombe mbele ya na Nabii Harun akatulia akihofu kuwafarikisha. mashekhe wanafaa wavumiliane waheshimiane wote kweli wamesoma sehemu tofauti ibaki hivyo kwa umoja ya uislamu.maadui wetu wanatucheka .Tukipigana sisi kwa sisi tunampa mwanya adui wetu kutumaliza
@ismaelhussein2112
@ismaelhussein2112 Жыл бұрын
InshaAllah jumapili hii yakesho kutwa mombasa itakuwa mjadala inshaAllah haki itasmama
@fatmasalim7132
@fatmasalim7132 Жыл бұрын
Na wala asijihisi atakuwa mjinga bali kukubali kushindwa kwa ajili ya kuokoa nafsi yake na waislamu wanaokuamini ni kheri kubwa hiyo!
@hadimohammed8414
@hadimohammed8414 Жыл бұрын
Huyu ndugu al-hatimy na wafuasi wake wataelewa tu insha'allaah biidhni-llaah.. Tunakupenda shaikh wetu Muhammad nassor bachu na tuko pamoja nawe katika kutufunza na kutuelewesha dini yetu ya kiislamu kwa ujumla wake.
@hishambakar5785
@hishambakar5785 Жыл бұрын
Good
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Muhammad Bachu.
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Жыл бұрын
@mahfoudhcalender2747 Ameen.
@hamadali3231
@hamadali3231 Жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. sheikh Mohammed bin Bachu tuna kuomba umsikilize khalfa Mussa wa Twarikatul Qadiria anavyo ongea maneno ya upotoshaji
@abdallahomarabdallah7058
@abdallahomarabdallah7058 Жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. sheikh tupo mapoja na ww mpaka waelewe
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 Жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. piga nyundo sheikh langu wataelewa tu taratibu
@mkude
@mkude Жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Tunakuoenda kwa ajili ya ALLAH. Namuomba ALLAH atupe mwisho mwema
@mirajimsigiti7317
@mirajimsigiti7317 Жыл бұрын
ALLAAH AKUHIADHI SHEKH M.BACHU AMA KWA HAKIKA ALLAAH AMEKUTEUA UJE UWAFUNDISHE UMMA,MIMI NAKUOMBEA KWA ALLAAH
@suleiman5257
@suleiman5257 Жыл бұрын
MashaAllah bacho Allah Akuhifadhi Unafafanuwa Kwa makini Nalisema kitambo Mohmed Alhatmy Afafadhali unyamazi au utaadhirika Zaidi.
@abdulazizabdallahsalim8392
@abdulazizabdallahsalim8392 Жыл бұрын
Maa shaa Allah sheikh Bachu nakuunga mkono 100% na nimependa hiyo Nahau nimefurahia sana Allah akulipe kila la kheir na usichoke kuwafahamisha na kuwafundisha hawa sufiyah Kwa ajili ya kutaka Radhi za Allah
@hidhiriabdulkadri7846
@hidhiriabdulkadri7846 Жыл бұрын
Nawaonamburura
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 Жыл бұрын
Bachu niskilxe unajua unafanya jambo kubwa sana katka hii Dunia kwasab sijaona Kaz kubwa kama kuondoa shirki
@awadhhussein6217
@awadhhussein6217 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Al Faadhil Muhammad Nasor Bachu.
@abdallahmwabungale
@abdallahmwabungale Жыл бұрын
Ma sha Allah Sheikh Mohammed Bachu Nakufuatilia Vizuri katika Kutuelimisha na Kutujuza ukwli Upande Huu wa Kuijuwa Haki Ilipo. Atakujawa sawa Na Kukuelewa In Sha Allah
@mawaidha386
@mawaidha386 Жыл бұрын
Al akhi Muhammad bachu Allah akuzidishie afya na uzima wallah tunanufaika sana Kila tukikusikiliza ... Na daawa unayo ifanya ni daawa kubwa Allah akulipe Janna tul firadaus ... Amiin
@hasanadamhasanadamally
@hasanadamhasanadamally Жыл бұрын
Hapo nimekumbuka khabar na mubtadau mudhwafu wamudhwafu ilayhi na dhwamairuljarri dah kijana yupo vizuri anafukua taaluma ya nahau, mashaallah.
@abdilahiriyami
@abdilahiriyami Жыл бұрын
Nyinyi mashehee munaipelekaa wapi dini ya alhaa waislamu hawatakiwi kua namnaa huu muogopeni munguu
@mkude
@mkude Жыл бұрын
@@abdilahiriyami jitahidi uwe unaandika vizuri, kama hujui uliza ,na kusoma dini ni muhimu, dini ya alhaa hii unekosea andika ALLAH kwa ufasaha
@osmanabuu7989
@osmanabuu7989 Жыл бұрын
Allah akulipe makubwa sheikh Muhammad
@adamjuma616
@adamjuma616 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Muhammad bachu
@kaykastro9302
@kaykastro9302 Жыл бұрын
Shukran Ustadh Muhammad Bachu !!! Allah Akuhifadhi. viboko wape vya elmu na utunufaishe sote Jamii ISLAM. HUYU ANATHIBITISHA 100% SIMSOMI WACHA AKAPIGE MTEE KWENYE MAULID 😅😅😅
@ksasupermarket1249
@ksasupermarket1249 Жыл бұрын
Hhhhhhhhh. Mteeeee
@nayef3903
@nayef3903 Жыл бұрын
Hatimy yupo sawa kabisa kielimu humfiki hata kidogo.
@alial-amoudy4399
@alial-amoudy4399 Жыл бұрын
MashaAllah tabaarakaAllah Nakupongeza Sana. Allah akuhifadhi na akuzidishie ilmu. Huyu Hatimy anakimbia mada ya nyuma anaruka nyengine. Lakini usichoke kumweka sawa manake wanapotosha waislamu na wao kujipa vyeo na utukufu usiostahiki. Shukran ustaadh
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Jazakallah sheikh! Tupo tunamsubir tuone atarukia mtawi gani awamu hii
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Hii itakua ni darasa kwako wewe alhatimy na kwa watu mfano wako, na kwa wale wasaka tonge wanao taka kumchafua Shekh Muhammad Bachou Allaah akuhifadhi Shekh.
@rajababdallah579
@rajababdallah579 Жыл бұрын
Hafidhakal llah... Twamshukuru Allah Alomchukua sheikh Nasour Bachu Akatupa Sheikh Muhammad Bachu.... Darasa imeeleweka
@dengepandu9734
@dengepandu9734 Жыл бұрын
Inshaallah sheh muungu akuongoze uwenabusara kama ulionayo hapa muungu amlazepema babayako nawe muunguakuongoze hivindivyo tuvotaka sisi wafuasiwenu mashehzetuu
@ibn_maleeqqeibraheem_188
@ibn_maleeqqeibraheem_188 Жыл бұрын
Mabrouk sheikh muhammad bachu, usimuache huyo khurafi mpe ilmu wanalazima wapotoshe watu kwa maslahi yao wapate tonge hao
@funnysmile8666
@funnysmile8666 Жыл бұрын
Ala akuhifathi sheikh najua unacho jaribu kutuelewesha waislamu ni wachache watakuelewa ila Allah akulipe ila tam us tuu Kuna watuu tu nakupenda na tunakufatilia kwaumakinii na una chozungumza unaeleweka it' make senc
@hasanadamhasanadamally
@hasanadamhasanadamally Жыл бұрын
Jamani tunasoma hapooo mm nimekumbuka taaluma alkaanuun, mubtadau walkhabar mudhwafu wamudhwafu ilayhi dhwamaairuljarri tunasomaaaa MAASHAALLAH
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 Жыл бұрын
Wewe M. Bachu unaifahamu sana Dini na umetufingua Macho Watu wengi sana. Allah azidi kukupa Afya na Umri mrefu na wenye manufaa kwenye kuilingania Dini yetu hii ya Kiislam
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Kazi Ya Bachu NI huruma kwenu mnapotea anawaongoza. Lake limeisha kufukufikishieni Ujumbe. Hamna AKILI kuwazidi waliopita
@allydaud117
@allydaud117 Жыл бұрын
Allah akulinde akuhifadhi akuzidishie elimu akupe afya njema uzid kutunufaisha na sisi. Endelea kushusha nondo mpk wanyooke
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Biidhinillah hakki itashinda, mm huwa napenda saana kuipa akil yangu uhuru wa kufikiria, shukuran Kwa mawaidha. Ikiwa twataka kumpenda Mtume Muhammad swalallah aleyh wasalaam bas tumfuate na tutende Yale aliyoyaleta Kwa vitendo na tumswalie, na tufanye Yale ya Sunna yenye manufaa., Kama kutembelea wagonjwa, kuwasaidia wenye uhitaji. In shaa Allah Mwenyezi Mungu akulinde sheikh Kwa ilimu
@fawziasaeed-mn3in
@fawziasaeed-mn3in Жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته مع الأسف wewe Muhammad Bachu kwa unatakiwa ujuwe kuna kitu kina itwa ادب الحوار namna ya kuzungumza na watu khaswa wakumbuka zako kwa hivo na Swalha yangu kwanza kajifundishe ADABU
@fawziasaeed-mn3in
@fawziasaeed-mn3in Жыл бұрын
pili wewe huna sifa hata moja ya wana vyuwoni wewe ni mwana CHOONI مع الأسف
@naahla19
@naahla19 Жыл бұрын
Maasha Allah, Barakallahu feek sheikh M.Bachu, thumbs up👍👍Allah akuhifadhi akuzidishie ilmu na maarifa. Shukrani zote kwa Allah kutuletea ww kutufunza tunafaidika sana kwa mafundisho yako, Allah akuweke. The other brother should stay low tht is one missile has destroyed his image completely he shouldn't go further, aache tu sasa. M. Bachu si wakufunzwa ni mwalimu! He is good at his books, Allah amzidishie kila kheri amuepushie kila balaa yaa Rabb. Peace.
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Iyo imeisha shekhe mpamaamuma ameelewa hiyo yeye anaongea lunga anatufunika funika tusielewe mantwiq hatujui maskini kumbe ndio ilivyo baarakallahu fiika.
@Sein169
@Sein169 Жыл бұрын
Natamani ningesoma kiislam
@rashidyussuf3429
@rashidyussuf3429 Жыл бұрын
Mimi nakupenda sana Muhammad Bachu kwa ajili ya Allah kwa sababu unarekebisha sehemu ambayo ina makosa na hata wewe unapokosolewa kama umekosea kweli unakubali sasa huyu shekh wa mombasa mbona mkaidi
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Shukran jazzakka ALLAH kheir kwa kutuonyesha shirki iliojificha na tuliokuwa tukidanganywa sn kwa mda mrefu , tena aswa kwa sisi tuliokuwa na elimu ndogo , ALLAH akuifadhi na akulinde na hasadi Mohammed bachu
@saidnassor5655
@saidnassor5655 Жыл бұрын
Kweli al-hatimiy hapa kakosea njia ataabika sana kijana wa bacho yupo sawa
@saidfhamad
@saidfhamad Жыл бұрын
Mwache apinge ukweli atanyooka tu!!
@allyally5124
@allyally5124 Жыл бұрын
Masheikh wa mitandao. Wenye uchu wa vyeo vya kilimwenguni. Ogopeni Allah. Na adhabu yake.
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Жыл бұрын
Hawez elewa huyu Al hatimiy amelewa uzushi analeta taawili nyingi kutetea uzushi na shirki wallah Al mustaanu
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Mkizidi Msijejuta ALLAH NATUONA MNAHARIBU DINI YAKE
@ImranAbdallah-o7j
@ImranAbdallah-o7j Жыл бұрын
Yeye ndo kapewa cheo Cha kutetea,,Wacha sisi Hadi mitume wote,,hua Shafii ya bachu
@mussaali7209
@mussaali7209 Жыл бұрын
ماشاء الله يا محمد
@amourmakame9795
@amourmakame9795 Жыл бұрын
ASALAM ALAIKUM, SHEIKH MUHAMMAD NASSOR BACHU. ALLAH AKUHIFADHI.... TUNAKUOMBA SHEIKH WETU MFUATE HUKO HUKO ATA KM HATAKI,,,, MVIZIE ILI TUJUE MOJA
@mkude
@mkude Жыл бұрын
MAASHA ALLAH, Sheikh Muhammad Bachu ALLAH akuhifadhi na akupe umri mrefu, umeeleweka vizuri sanaa.
@mbanomrage604
@mbanomrage604 Жыл бұрын
Maashaallah nilikua nasubir majibu Kwa shekh wa kenya kwahamu sana. Sasa sijui atarudi na hoja gani tena maana nilidhani atarudi kuitetea Hadith yake kumbe akarudi na Barazanj. Aache tu haukuwez kijana wetu Muhammad Bacho
@abdallahmohammed6079
@abdallahmohammed6079 Жыл бұрын
Allah akubarik na atuongoze sote shk Alhatmy usipanic zungumza kwa upole ili uweze kurakiz katika point zako huwezi kutetea uzushi dhidi ya sunna, Quran na sunna ndio mambo ya kuyatetea..
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
Hii nzuri sana Nimependa. Usimuache, mkamate hivyo hivyo asifurukute.
@rajaburajabu7105
@rajaburajabu7105 Жыл бұрын
جزاكم الله خيرا
@rashidyussuf3429
@rashidyussuf3429 Жыл бұрын
Shekh Al-Hatimiy Acha ukaidi usitetee jambo ambalo tayar shekh mwenzako Muhammad Bachu anakupenda kwanza anakufahamisha wewe umeshikilia umfundishe lugha ya kiarabu mfuate huyu kijana wetu Muhammad anafahamisha na anafahamika vizur
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
SHUKRAN KWENU SHEKHE. MWENZIO KAAMUWA KUWA UBAO WASISI KUJIFUNZIA BASI NAWE UTUMIE VIZURI UBAO HUU TUPATE FAIDA NA USITOKE KATIKA MSTARI. JAPO KUNA WATU WATAONA NI USHINDANI KUMBE NI NJIA NZURI KUTUFAHAMISHA PENGINE HAYA TUSINGEYAPATA BILA YA KUPATIKANA SABABU. SHUKRAN KWENU NYOTE TUKO PAMOJA. NIKUOMBE TU NA DARSA ZINGINE UTUPE SISI TUNAFATILIA ZOTE. SIO KAMA WALE WANAOFATILIA MIJADALA TU JAPO INATOA FAIDA KWA WAJUZI. NA INAONEKANA NI TABU KWA WASOJUA WANAONA NI MALUMBANO BADALA YA KUJIFUNZA KITU. MWISHO KABISA NIKUOMBE DARSA LA QADARI MLANGO WA QADARI MAANA UMEKUA TATIZO KUUELEWA. WATU WANAFANYA MAOVU WAKITEGEMEA QADARI KAMA NI WAPEPONI BASI QADARI ITAMTANGULIA KARIBU NA KIFO CHAKE ATATENDA MEMA AINGIE PEPON. NA MJA MWEMA QADARI IKIMTANGULIA KAMA ALIANDIKIWA MOTON BASI ATAACHA MEMA NA KUA MUOVU AINGIE MOTONI.HIVYO NDIVYO WANAVOICHAMBUA HIO HADITHI SASA TUNAOMBA UTUPE DARSA HII VIZURI .
@musabashiruhassani
@musabashiruhassani Жыл бұрын
Yap umeongea kit
@mshtiemshtie3565
@mshtiemshtie3565 Жыл бұрын
Allaah Akuhifadhi na Akuzidishie il'mu sheikh wetu Muhammad Bachu, uzidi kutujubia na kuwaweka Sawa hawa makhurafi mpaka waelimike na kuzungumza yaliyo Swahihi na ya kweli. Ama kweli wewe ndio kiboko ya hawa ma shekhe wa Bid'aa.. Allaah Akuongoze aameen.
@hashirmzee5549
@hashirmzee5549 Жыл бұрын
Shekh bachu Allah akuzidishie elimu amin
@alimasiga8422
@alimasiga8422 Жыл бұрын
Alhamdulillah kwa hii ufafanuzi. Miaka waislamu wamepotoshwa ki hikma. Allah akuhifadhi na kila shari na akuzidishie ilm, umri, afya njema na imaan zaidi.
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 Жыл бұрын
Mashaallah hawa masufi walitudanganya sana wakifikir sisi hatupimi maneno hatimi nimuongo japo nimbishi balili insaanu alaanafsihii baswiira Alihamdulillah Allah akuhifadhi sheikh wangu
@saeedabdulatiff4505
@saeedabdulatiff4505 Жыл бұрын
Subhanallah aibu kubwa ,mashekhe kidinii ni makosa makubwa sana ,Allah atuongoze manaa mashekhe WA sasa balaaa
@WizzyWizzy-bg7xc
@WizzyWizzy-bg7xc Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sh.wetu kk yetu! Achana nao weuoni wanavyo ongea kwa jazba.
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 Жыл бұрын
mashaallah sheikh unatoa dawa yenye kutibu maradhi na tukapona
@FatahFatah-x4u
@FatahFatah-x4u 5 ай бұрын
Tunamuomba Allah atukinge na bid-a'
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Hamtawadhinda mwasahaba kumpenda Mtume s.a.w katu. Mnapoteza MDA na kuziangamiza nafsi zenu.
@kassimmsuleyman1055
@kassimmsuleyman1055 Жыл бұрын
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
@JK-um6op
@JK-um6op Жыл бұрын
Mashaa Allah. hapa nimepata faida ya kikweli.. kumbe barzanji ni chafu na shirki.. Allah atusamehe waja zake madhaifu.. Nimetoka huko Kwa moto yaarabi naomba uniongoze na Sunnah ..
@rashidwesonga7475
@rashidwesonga7475 Жыл бұрын
Allah akupe umri sheikh wangu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mtihani masufi
@AhmedAbdull-h7u
@AhmedAbdull-h7u 2 ай бұрын
Dalili ya Kiama hio mashekhe kugombna
@hassanmubarak704
@hassanmubarak704 Жыл бұрын
Sh. Muhammad Bachu,Allah akuhifadhi na akuzidishie Elimu, Hekima na Subira. Huyo Al hatimy kisha fahamu na kishapata Darsa, iliyobaki ile kutete nafsi yake, kama inavyosema aya ya 14 ktk suratul Al Naml واستقنتها انفسهم ظلماًوعلوا
@issamuhammad111
@issamuhammad111 Жыл бұрын
Alhatimy' si ukubali tu kaka, Kuna kushindwa ujue utaaibika
@saidyusuf9245
@saidyusuf9245 Жыл бұрын
Watu wabidaa hawana tawheed ndipo wa katawasali kwa makaburi Mungu atuongodhe sote ammin ammin
@salatmohammed21
@salatmohammed21 Жыл бұрын
Kuna tofauti kati ya Abdullah na Abdu muhammad.
@mussabinyussuf945
@mussabinyussuf945 Жыл бұрын
Sheikh wangu mm nina kuombea umri ulio mzuri na mrefu na akuhifadhi shekh wangu muhammad bachu masufi ni waongo hao eti mtu afe halafu afufuke tena awaombe radhi jamaa zake kisha arudi kaburini na allah anasema mtu akifa harudi tena duniani hawa masufi vp sheikh wangu muhammad bachu wafundishe hawoo
@salumrashid8513
@salumrashid8513 Жыл бұрын
Tumekufahumu vizuri sana sheikh letu..may Allah safeguard you!
@MustafaMoturi-zt7ch
@MustafaMoturi-zt7ch Жыл бұрын
Aslm aleikumu ndugu yangu haqqi iko wazi ole wao ole wao wanao ng'ang'ania huu upotovu wa uzuka Na wakome.
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 Жыл бұрын
Tafadhali tuacheni kugombana hadharani Mashekhe wetu.Kukosoana Kwa njia nzuri.
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 Жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 Жыл бұрын
MashaAllah.......mambo yamewekwa sawa,ubishi hamna tena hapa
@ksasupermarket1249
@ksasupermarket1249 Жыл бұрын
Bachu nkpnd xn kwa ajili ya Allah Nlkua nachukia sana masalaf ila now watakoma wametupotosha sana hawa
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 Жыл бұрын
Maaashallah Ustadh Muhammad Bachu M Mungu azid kukuhifandhi,na uendelee kutowa elimu ya uhakika,na endelea kunyoosha na kukosowa yalikuwa hayako sawa.
@mawaidha386
@mawaidha386 Жыл бұрын
Shukran akhi
@عمرأحمد-ص9ل4ش
@عمرأحمد-ص9ل4ش Жыл бұрын
Assalaam alaykum warahmatullah, Sheikh Muhammad hafidhwakallah nasaha yangu kwako ni moja tu, nayo ni hadith ya mtume صلى الله عليه وسلم, hadith ambayo waijua na kuielewa zaidi yangu ila kama unavyojitahidi kuitetea dini ya Allah basi furaha yangu ni kukwambia: قل آمنت بالله ثم استقم☝️..... Sheikh Allah akuhifadhi na azidi kukuzidishia ilmu na kukuruzuku ufahamu zaidi ili tunufaike kupitia kwako🤲🏼, يآ أخي أحبك لأجل الله، na Allah amsamehe na kumrehemu mzee wetu, kipenzi chetu na sheikh wetu Sheikh Nassor bachu rahimahullah🤲, dua yangu ya mwisho na tamaa yangu ni Allah anitolee sababu kijana wangu aje awe mwanafunzi wako, kwani naamini atakuwa makini kusoma kwa mtu ampendae.
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Wallahi nam natamani amsomeshe kijana wangu sema si tunaishi inchi jirani
@عمرأحمد-ص9ل4ش
@عمرأحمد-ص9ل4ش Жыл бұрын
@Sidra Sidra in shaa Allah tumuombe Allah huenda akatutolea sababu,
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Ningelikua mimi ni ndio uyu malemba ningelikua nishakimbia.uyu sheikh muhamed bachu humuezi ata chembe na wenzako walikuja na wakakimbia.
@mursalabdallah8139
@mursalabdallah8139 Жыл бұрын
Allah ibarik Mohammed bachu naam sahihi kabisa
@khalmudodoma6271
@khalmudodoma6271 Жыл бұрын
Napenda hapo
@ahmedbyser
@ahmedbyser Жыл бұрын
Mashallah sheikh m.bachu Allah akuhifadhi akulinde uadui na hasad za watu
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Wanyooshe shekhe Bachu huwenda baadhi yao wakaacha kutupotoshea watotowetu
@hafsumohd2049
@hafsumohd2049 Жыл бұрын
Wala hatujibupo kielimu labda kunguruu amee mvii.
@swabirfarouk3885
@swabirfarouk3885 Жыл бұрын
Assalam A'laykum Warah'matullahi Wabarakatuhu.Mtume Swalallahu Alaihi Wasalam.Angekuwa Ana moyo kama nyinyi Uislam Usingetufikia.Acheni kushambuliana.
@bassurintertainments1546
@bassurintertainments1546 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh Muhammad na akulipe Jannah kwa rehma zake
@jumaibrahim9029
@jumaibrahim9029 Жыл бұрын
Sheikh acheni ubishi neno uwanamaana tofauti acheni kupotosha umaa
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 Жыл бұрын
SubhanaAllah SubhanaAllah nimtihani wallah 😢🤔🤔
@Dekingalba
@Dekingalba Жыл бұрын
Unanivitia sana nije nisome kwako sh bachu upo very clear mashallah
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 Жыл бұрын
Huyo mkenya pia lugha Bado haijuwi vzr Sajighi pia hajuwi nini
@dengepandu9734
@dengepandu9734 Жыл бұрын
Mwenyeenz akuzidishie busara amina
@akhyfarqanah4205
@akhyfarqanah4205 Жыл бұрын
Mansha Allah ❤❤
@benjaminkangolo2017
@benjaminkangolo2017 Жыл бұрын
Allah Akbar, MashaAllah mpe ilim uyo ana ona aibu kuku fwata umpe ilim basi mpe apa kwenye TV nina imani ata pata faida
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik
@Hamidhamid-xe8dz
@Hamidhamid-xe8dz Жыл бұрын
MashaAllah, huyo harudi tena biindhniAllah
@SalehSaleh-re1ud
@SalehSaleh-re1ud Жыл бұрын
MashaAllah tabaarakallah, nimeipenda hii kama lugha haiwezi kukutofaitishia baina ya shirk na tawhid au baina ya bidàh na Sunnah, basi ni sawa na kina abi lahab maana aliijua lugha ya kiarabu kuliko...
@IbrahimMuhammad-o3y
@IbrahimMuhammad-o3y Жыл бұрын
Bachu unaonekan umejipanga Mwenyez mung akuongoe awaongowe na wale wasio tak kuyafaham haya kuona kam nifedheha wakat kweny Elimu hakuna aibu.........
@abubakarhassan8243
@abubakarhassan8243 Жыл бұрын
جزاك اللّه خيرا
@salumsimai642
@salumsimai642 Жыл бұрын
MashaaAllah mijadala kama hiii iendelee ila msigombane tuuu tunafaidika sana
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA TATU || Muhammad Bachu. 2023.
45:07
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 17 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
JE KUNA MAKOSA KUMUOMBEA DUA WILLIAM RUTO || Muhammad bachu.
53:07
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 47 М.
MUHAMMEDI BACHU KITANZINI NA USTADH SAIDI MAMBURUI MUNAKASHA BARZANJ
1:31:53
NILIACHA UJADIDAH NI UVUNDO, Sheikh Muhammad Bachu
19:32
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 37 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA NNE |Muhammad Bachu
49:45
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 64 М.
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.
44:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 27 М.
MUNAQASHA ULIOWAFUNGUA WATU MACHO- SHEIKH. MUHAMMAD BACHU MOMBASA 24/9/2023
2:54:48