Majibu Sahihi Dhidi ya Sheikh Salim Barahiyan | Part 1

  Рет қаралды 10,971

ALI FAZA

ALI FAZA

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@doza1031
@doza1031 2 жыл бұрын
ahlul beit lamu basi hata sio makkah na madina subhanallah...
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Kwani Ahlu lbait walikatazwa kusafiri?, kwani walioeneza dini ilikuwa Ahlu baiti hawamo au
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 10 ай бұрын
Huyu bwna hana akili anahoja mufu
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 2 жыл бұрын
SHEIKH MOHAMMAD SAIID AL-BEIDHI AL-LAAH AMRAHAMU.
@fatmamombo3139
@fatmamombo3139 2 жыл бұрын
Rudisha hati za viwanja ulivowapora wale jamaa wa Moshi.Barahian we humuogopi Mungu wewe unafanya dhulma ya wazi wazi.
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
ambazi kumbe huyu, alafu ajitia sheikh kumbe mshenzi tu
@9119-r4t
@9119-r4t 2 жыл бұрын
Huyo mzee kweli mshirikina akubali watu waombe kwa makaburi subhanaallah
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Watu waandika nawe umo Kati ?
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 2 жыл бұрын
Anaesoma quran ktk makaburi sio mshirikina akhy ni kosa lakin sio ya kumtoa muislam ktk uislam
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 2 жыл бұрын
UMEKOSA WA KUMTUKANA NDO UKAONA UMTUKANE HUYO SHEIKH ALO FARIKI MIAKA MINGI ILIO PITA ?! HAPO KASEMA WAPI KUOMBA MAKABURI?! UKIWA NA CHUKI HATA MAZUNGUMZO YA MTU HUYAELEWI WAJISEMEA TU, TUMUOGOPE AL-LAAH NA TUCHUNGE NDIMI ZETU !
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
mshirikina babako na mamako
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
mawahabi washenzi sana halafu huyo ni maiti wamsema maiti wanipe dalili ya kumsema maiti
@neemafatu7885
@neemafatu7885 2 жыл бұрын
Subhanallah
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 2 жыл бұрын
Barahiyani ni mropokaji tu hana ilmu.
@jailaniramadhan1788
@jailaniramadhan1788 2 жыл бұрын
Mzee haujui 1 katika dini
@Mohamedmjenga
@Mohamedmjenga Жыл бұрын
Al beidhi elimu yake ni pana hamutomuweza
@amaxyz138
@amaxyz138 2 жыл бұрын
🤣 watu wamejifanya ahlul beiyti? watu ni ahlil beiyt penda usipende meza vijembe una uwivu na ahlul beiyti
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 2 жыл бұрын
Kumbe mate ya mtume watu wakiyanywa hhh
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 2 жыл бұрын
Huyu Barahiyaan ni zuzu tuuu hana moja ajuwalo kazi kuiba misikiti na kula riba
@khalfanikishki2646
@khalfanikishki2646 2 жыл бұрын
Watu wa Bid'aah mna matatizo
@mussaswai8872
@mussaswai8872 2 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha haaa
@doza1031
@doza1031 2 жыл бұрын
wacha kiherehere wewe mzee wapotosha watu na ujinga wako huo
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wewe wahabi utamjua tu
@9119-r4t
@9119-r4t 2 жыл бұрын
Ako kaburini mwache akaone huko chini
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Aone kitu gani? Wewe ndie hakimu?unalipi ulilofanya la muhimu? Unayo madarsa unayofunza watu dini? Uko na kiwango gani Cha elimu.
@barkehussein773
@barkehussein773 2 жыл бұрын
Yeye ashajijua alipo jipange na ww
@salim-fv4yg
@salim-fv4yg 2 жыл бұрын
Rasul (swallawatullahi aleyhi)alifafanua ahlu beit ni Yeye,ali,fatima abbas hassan na hussein (radhiallahu anhum) na hakuna baada yao. Maanake vizazi vya hao wasita watakua hawana fadhila za ahlu beit. Ahlu beit iliisha kwa hussein r.a. Shida ni ahlu beit wa karni zetu wanapigania cheo (fadhila za ahlu beit) ilio tamati kwa Hussein.Alu sunnah Wanapinga uzushi wa ahlu beit bandia kueneza kuwa fadhila ya ahlu beit haikutamati kwa hussein bali inaendelea kwao pia. Hii ni uwongo wao na wanampinga Rasul kilazima. sababu wanakataa aliosema Rasul kuwa ahlu beit ni wao sita na hakuna baada ya wao sita.
@abdallahsaid4997
@abdallahsaid4997 2 жыл бұрын
Imam mahdi ni katika kizazi cha mtume hilo halipingiki nasaba yake itajulikana Hiyo ni dalili tosha nasaba ya mtu imehifadhika
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Wewe huna ujuwalo .Ndio nyinyi madebe matupu. Nenda kasomeshwe upatekujuwa kuwa kizazi cha mtume kitaendelea hadi siku ya mwisho.
Majibu Sahihi Dhidi ya Sheikh Salim Barahiyan | Part 2
3:55
Njia Sahihi Ya kumswalia Mtume | Sheikh Salim Barahiyan
1:29
IHSAAN TV
Рет қаралды 11 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
21. Raddi Kwa Watetezi Wa Barahiyani - Ally Nassoro Kisogo
17:34
Kisa cha Ashabul Kahfi (Vijana Wa Pangoni) - Sheikh Abdallah Saleh Al-Farsy ‎رحمه الله
30:29
Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan
7:56
IHSAAN TV
Рет қаралды 33 М.
al ustadh yakub Dido maulidi YA kipao
42:10
At-Tawheed Media
Рет қаралды 838
#WASIA MZITO WA SHEKHE MUHAMMAD AYUBU
10:49
NEEMA YA UISLAMU TV
Рет қаралды 11 М.
Rangi gani Muislamu hafai kuvaa? | Sheikh Salim Barahiyan
5:24
Athari ya gonjwa la hasad- almarhum muft sheikh Hemed bn Jumaa Al-Buhriy.
26:11
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН