Majibu ya polisi yanatilika mashaka ­­­| Mateso ya Kimyakimya na Sheikh Issa Ponda | EP. 03

  Рет қаралды 14,430

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@ebrahimhamidmusa5219
@ebrahimhamidmusa5219 18 күн бұрын
Sheikh wa ukweli asiye pindisha maneno! Ubarikiwe sana mkuu
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 18 күн бұрын
Shekh ponda Allah akuhifadh zaid ili utetee watu wetu Tanzania.
@benjaminmichael811
@benjaminmichael811 18 күн бұрын
Nilikusikiliza sana Khelef ukiwa DW ukiongoza mada kadhaa mchana ule..kazi njema sana
@albethoildefonce9117
@albethoildefonce9117 19 күн бұрын
Mungu azidi kukubariki Skh.Ponda ni kweli kabisa polisi na vyombo vya usalama vinahusika moja kwa moja na haya matukio ya utekaji..
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 19 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@albethoildefonce9117
@albethoildefonce9117 19 күн бұрын
Watanzania tunatakiwa kuja kwa pamoja na kupaza sauti na kupinga haya mambo​@@Yussuf-b3b
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 12 күн бұрын
Following from Madagascar ,2unaumia Sana, nchi yetu kwakweli 😢!!!
@rashidomar2771
@rashidomar2771 18 күн бұрын
Shukran shekh Ponda allah akupe kila la kheri ,,waache hao mashekh kusifu na kutafuta kiki, wajikombe tu kwa watawala kwa maslahi ya matumbo yao allah ipo siku atahukumu haki
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 18 күн бұрын
Shehe nakubariki sana mtu wa Mungu . Tunakupenda toka chinini ya kiini cha mioyo yetu❤❤❤❤❤❤
@azizajuma1633
@azizajuma1633 18 күн бұрын
Allah akulipe shekhe wetu
@nasramusaro
@nasramusaro 18 күн бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah Shekhe wangu Allah akujaalie jannat firdausi kwa kupigania haki za watu wote bila kujali dini wala kabila unatekeleza ukhalifa ipasavyo
@BonifaceSambo
@BonifaceSambo 19 күн бұрын
Shekhe ponda uko vizuri wewe ni kiongozi MUNGU amekutama kutetea watu MUNGU kweli.
@estachengula3902
@estachengula3902 19 күн бұрын
Hapo kunaviongozi wengine wanasema nchi hii Ina amani na utulivu wamogope mungu Kuna maisha watakapo toweka Dunia I watakwenda kwa muumba kutoleya hayo wanayo yafanya
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 10 күн бұрын
Viongozi wahivyo wamekalia udini hawanyoki namada washindwa kwajina la yesu
@petermunuo2239
@petermunuo2239 19 күн бұрын
Hatua ya kwanza ni kumuondoa waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi polisi,wameshindwa jukumu la kulinda wananchi
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 10 күн бұрын
Shehe mungu akulinde nayesu akuifadhi
@estachengula3902
@estachengula3902 19 күн бұрын
Asante mtu wa mungu kutusemea tunaangamia sana na watekaji heri msrma ukweli huyo ni mpenzi wa mungu msema uwongo ni mpenzi wa shetani
@GodfleiElias
@GodfleiElias 18 күн бұрын
MUNGU akulinde naubaya wowote shehe wetu na wewe ndo unae faa kua shehe mkuu
@Masjidfirdous-onlinetv
@Masjidfirdous-onlinetv 19 күн бұрын
Nice
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 18 күн бұрын
Mnaoona anachokifanya Shehe Ponds si sawa ninyi ndio vibaka wenyewe kwahiyo hatushangai, lakini nawaambia Mungu alieziumba mbingu na Arthur atawachoka, na aamekwisha kuwachoma ni dakika ya kuwamwaga iliobakia na kimwago chenu kitakuwa cha ainu mile.
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 18 күн бұрын
Shekh Ponda kwer weunahofu ya mungu unaongea ukwer naunajua umhim wabinadam kuishi ubarikiwe
@rajabumwinyi8050
@rajabumwinyi8050 18 күн бұрын
Pili katika kutowa maoni yetu katika ukurasa hu hatufai kumkosowa Sheikh Ponda ktk anacho kiongelea hapa anayo sema sheikh hapana anaye weza kuthubutu kuya sema hata kwa kujificha acheni uhasidi.
@DoraNyandamba7078-ef2rz
@DoraNyandamba7078-ef2rz 18 күн бұрын
Mungu azidi kukupa he kima mwisho wako uwe mwema
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 19 күн бұрын
Kinacho endelea kwenye hii nchi ni mtihani sn kwa Taifa hili kuna siku Allah atawahukum moja moja hadharani uonevu ukizidi mtihani kwa Taifa
@rashidomar2771
@rashidomar2771 18 күн бұрын
Hicho kitabu kinapatikanaje
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 18 күн бұрын
Na ikiwa mzee ponda ana sema uwongo achukuliwe hatua kali zaidi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 19 күн бұрын
Huyo mufwere ndio kiongozi wao anaongoza utekaji kwanini na yeye msimteke ili na yeye alipie?
@MohdHamad-zr8ll
@MohdHamad-zr8ll 18 күн бұрын
Haowanaoteka ndiomkonomrefu wenyewe wa Serekali
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 12 күн бұрын
Masikini mama Tz ! !
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 19 күн бұрын
😢😢😢😢Ni huzuni kubwa.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 19 күн бұрын
Isitoshe polisi ni watoto wetu, wapo wasioyapenda mambo hayo wanayofanyiwa ndugu zao. Lakini jitu katili hata lisipokuwa polisi ni katili tu. So sad.
@petermunuo2239
@petermunuo2239 19 күн бұрын
Kwanini Kuna kigugumizi kuhusu uchunguzi,mbona raisi anashindwa kutupa uchunguzi wa Scotland,anaogopa Nini?
@MohdHamad-zr8ll
@MohdHamad-zr8ll 18 күн бұрын
Mama samia kuamakini mtego huo wakuonekana hufai
@chussehussein3944
@chussehussein3944 18 күн бұрын
!!!!!!!!
@rajabumwinyi8050
@rajabumwinyi8050 19 күн бұрын
Hi ndiyo maangamivu ya jamii hi kuonewa mavazi ya ucha Mungu ndiyo alama ya maovu,uhuni,na ujambazi lakini kufuga marasta kichwani kunyoa viduku kufavaa mwaarisho yaa'ni nusu makalio,vipensi kwa wanawake na na wanaume Kuna onyesha wema na maendileo kilimwengu kuonyesha vipi ulimwengu umegeuza mabaya kuwa mazuri na picha ya mambo yenye kupongezwa.
@petermunuo2239
@petermunuo2239 19 күн бұрын
Kwanini bado ameshindwa kuwajibisha viongozi husika?
@MsafirGervas
@MsafirGervas 18 күн бұрын
😢
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 18 күн бұрын
Shekhe ww utaenda filldaus unasema kweli hutaki uchawa ww humpendi uwongoo na unafik
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 19 күн бұрын
Shekh Ponda hajawahi kuwa mnafiki ataa siku 1 yy huongea yale ya ukweli m2pu
@judithmwamukinga4448
@judithmwamukinga4448 19 күн бұрын
Wamedhamiria kutumaliza
@Mosmwampa
@Mosmwampa 19 күн бұрын
Shekh ponda, huyu ni shekh ambae siku zote anasimama na ukweli
@daviddsouza735
@daviddsouza735 12 күн бұрын
Mama
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 10 күн бұрын
shehe ubalikiwe hujikanyagi hujafanya udini yesu akulinde namajasusi
@rajabumwinyi8050
@rajabumwinyi8050 19 күн бұрын
Jambo lakutahadhari ndugu zangu mtanisamehe kwani hili suala la ugaidi halikuwa na mlengwa ila kwa waislamu tu na ndio wakawa maelezo ya kumtambua gaidi ni kanzu vipi, kufuga videfu na kunyoa vipara.
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 10 күн бұрын
Magaidi wanava suti wale waselekalini wanamagali .yakuteka watu well wasiyojulikana wakati wanajulikana
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 18 күн бұрын
Huyu ndio muislamu sio kina mziwanda
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 18 күн бұрын
SI vema kugawa maskh Kwani mziwanda nae yupo vzr kiimani
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 18 күн бұрын
@@HafidhKhamis-ph8qg vizuri kiimani kutetea serikali isiyo na dini na chama kinacho fanyia watu dhulma ilimradi tu wafalme wakuone upate kupona njaa
@BonifaceSambo
@BonifaceSambo 19 күн бұрын
Wewe unayesema shekhe ponda wapinzani wanajiteka,nataka nikwambie kwamba wewe hujitambui,au huelewi,hebu tuachie nafasi tuchangie,tena tuanzia kwako kuwa wewe ni mhusika,na na Kama ni mhusika basi hauna ndugu,na kama una ndugu basi una roho mbaya.
@BonifaceSambo
@BonifaceSambo 19 күн бұрын
Nashangaa uongozi wa sasa,mbona hawafuati utaratibu wa kujiuzuru🎉 siku hizi ni kwa nini?.
@knight6757
@knight6757 18 күн бұрын
🤑🤑
@sautikuu212
@sautikuu212 15 күн бұрын
Hicho kitabu cha waliotekwa kinapatikana wapi na ni bei gani?
@omarizuberi7163
@omarizuberi7163 19 күн бұрын
😢😢😢😢
@sautikuu212
@sautikuu212 15 күн бұрын
Huyu ndiye anafanya majukumu sheikh sio tu kusoma khutba za ijumaa na qaala llahu taala zisizo na matendo nwala matokeo
@Haarun-h4q
@Haarun-h4q 19 күн бұрын
Polisi wa Tanzania ni vikaragosi wa UVCCM.
@knight6757
@knight6757 18 күн бұрын
🙆‍♂️
@ThomasAssey-uq2ur
@ThomasAssey-uq2ur 18 күн бұрын
Shehe Ponda ninakukubali mno! Watu Kawa wewe ndio wanastahiki kuwa maraisi wa Tanzania Kwa kweli unafaa sana , unaakili kubwa, unabusara sana, Sio muoga, Ni mbunifu sana na mkweli sana Pia huna udini ukweli ni kuwa wengi wetu hujali upande badala ya utu kwani wanaoteswa na kuuawa ni WA Islam na wakristo Binafsi Mimi ni mkristo ila kifo Cha kibao kimeniuma sana Ukweli polisi wanahusika na hasa serikali ndio mhusika mkuu Kwasababu hawachukui hatua wakati ni uhai wa watu Hata majibu ya viongozi ni ya kujihani na kuficha ukweli Jitihada kubwa zinafanywa na serikali kutaka polisi wachunguze ili kupoteza ushahidi Kwa kujilinda serikali
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 18 күн бұрын
Kusema ukweli kwa kauli ya mzee ponda kuhusu majebu ya police ukweli ni haki familia ya wa mteke police alie wajibu majibu ya kujionyesha yy ana nguvu zaidi na akiuwawa mtu wao na wao wamuuwe police hii itakomesha utekaji kwa sbb haki husema kheri kwa kheri shari kwa shari imemwagwa damu mwaga damu hapo mtaenda sambamba na kili mtu atamuheshimu mwezake kwa sehem yake na itaenda haki kwa biziri
@rashidomar2771
@rashidomar2771 17 күн бұрын
Mimi sitaki kuamini kama Polisi ndio wenye tatizo kwa sababu polisi ni watu wa kupewa amri tu ,,na wanaotoa amri ni wiongozi wa serikali na chama tawala,,hapa polisi wanataka kutupiwa zigo la kinyesi tu,,
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 10 күн бұрын
sawa katiba hailusu wamekubali kujiunga nasiasa waache.
@majidabas3843
@majidabas3843 16 күн бұрын
HIVI UNAVYOSEMA SAWA KABISA HAWA VIUMBE NI WATATA SANA WAO WANAISHI KWA AMANI BALI WENGINE WANAWAUWA HOVYOHOVYO BAS MUNGU NDIO ANAJUA TUMUACHIE MOLA
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 18 күн бұрын
Huyu Shehe ni mnafiki sana achana na hilo tukio
@sadih5333
@sadih5333 18 күн бұрын
Mkundu wa mamayo wewe usiependa kusikia ya ukweli.
@hadjihadji197
@hadjihadji197 18 күн бұрын
Unafiki wake upo wapi kaka?
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 18 күн бұрын
@@sadih5333 MATUSI SIO HOJA NA SIO UJANJA INAONYESHA NI KWA JINSI GANI WAZAZI WAKO WAMESHINDWA KUKULEA NA KUKUPA MIONGOZO ILIYO BORA ILA SIO KOSA LAKO KOSA NI KUTOKUMJUA BABA YAKO WA HALALI HIVYO MUULIZE MAMA YAKO AKUTAJIE AU KUKUONYESHA BABA YAKO WA HALALI NA AKIKUONYESHA PIMA NAE DNA KUTHIBITISHA
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 18 күн бұрын
@@hadjihadji197 Hadji huyo shekh hakuanza leo yaaani Tawala zoote za ISLAMIC Yeye hazikubali Na ndiyo maana tawala ya KIKWETE ALIPIGWA RISASI YA BEGA KWA USHAMBENGA WAKE
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 19 күн бұрын
💔😭🇹🇿🩸
@salehali976
@salehali976 18 күн бұрын
Kuna haja ya Masauni na IGP kufukuzwa kazi mara moja. Nina wasiwasi Samia ana mkono katika hii kadhia na kama hana basi awaondoe hawa na aunde tume huru ya uchaguzi. Tusubiri tuone ukweli
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 16 күн бұрын
Shekhe wa democrasi😂
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 18 күн бұрын
Shekhe achana na siasa za upande mmoja, mbona kwa wasio wanachama hawawapigii kelele.
@chussehussein3944
@chussehussein3944 18 күн бұрын
Kwani Shekhe hapo anazungumzia siasa?? Duu uza cm update ada yashule
@hassanharith2443
@hassanharith2443 14 күн бұрын
Shevhe ponda kuwa muwazo wewe ni sheghe au mwanasiasa hatuelewi hapa Tanzania tuna masheghe wengi na hawazingu mzii siasa isipokuwa wewe Toka hadharani ujitangaze wewe ni Chama Gani usheghe na siasa vitu tafauti nampaka hapo wewe huelewi dini ndio maama uko hukokwenye siasa umevaa koti LA dini eti shehe
@Hemedally-o9x
@Hemedally-o9x 19 күн бұрын
Shehe ponda siowatu wote ni watekaji na pia kua chama Cha upizani pia kinaweza kufanya njama ili kipate sifa naje huyu slaha alie sema kua anajua watekaji humuoni waogopa kumhoji wewe ataka utupeleke libia
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 19 күн бұрын
Ukapimwe mkojo fara ww,unafikiri ingekuwa kweli Chadema ndo wanateka watu hao polisi wangewaacha??
@albethoildefonce9117
@albethoildefonce9117 19 күн бұрын
Kwanza unatakiwa ufikirie kabla hujaonges jambo hivi unadhani huyo Dr Slaa anafanya kazi chini ya nani kama sio china ya serikali ya Samia na CCM je unsdhani ataongea mabaya kuihusu serikali yake?? Ikiwa na yeye ni mfuasi au mshukiwa mojawapo,? Alichokiongea huyo Slaa ni Propaganda tu ili kuficha maovu ya serikali na kuwapunguza nguvu Chadema.. Nadhani uwezo wako wa kufikiri uko finyu kidogo ...
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 19 күн бұрын
Kweli chama pizani kiwe na nguvu ya kuteka wa2 na kuwauwa serekali inyamaze kweli wapizani wamiliki silaha serekali wanyamaze kimya huoni kama ni shutuma nzito sn maana ikiwa wapizani wanahusika bc jeshi le2 ni dhaifu sn sn
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 10 күн бұрын
Ccm ngamwi hii yajabu
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 33 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 73 МЛН
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,1 МЛН
MCHUNGAJI AWATAKA WAKRISTO WOTE KUMZOMEA MH. RAISI SIKU YA IBADA
39:23
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 19 М.
Ufafanuzi kuhusu vitambulisho kwa Wazanzibari wanaoishi ughaibuni
37:33
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 6 М.
PONDA ISSA PONDA,,,KUPIGANIA HAKI ZA WAISLAMU (B)
1:12:08
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 192 М.
Hadithi ya makandokando kwenye mjadala wa DP World| GG Podcast
53:49
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 27 М.
Pitio la Kitabu: Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe
44:03
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 13 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 33 МЛН