ALLAH AKULIPENI MALIPO MAKUBWA YALIYO MAZURI KWA KAZI MZURI MNAYOIFANYA.
@wamugimohammed38483 жыл бұрын
MASHA ALLAH! Wote twawakaribisha kwa DINI YA HAKI AMIN AMIN
@mahdiyusuf34313 жыл бұрын
Mansha Allah you are doing excellent job Insha Allah very soon more people will join Islam May Allah reward you janaa Amiin
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Masha Allah, elimu nzuri walimu wetu, Allah awazidishie elmu, afya na umri mrefu na Allah atujalie mwisho mwema Amiin Thumma Amiin
@username-ey8qu3 жыл бұрын
Allah akujaze khery shekh kwa kazi nzuri ya da sea. waelimishe kuhusu uislam. huenda Allah akawatia imani na kujiunga na uislam.
@FridayMwassa4 ай бұрын
Waislam wengi wanadhani ibada ni kusujudu tu,ibada ina kusifu,kuabudu nk.Mnawadanganya wakristo njaa kwamba Yesu alikuwa mwislam eti kwasababu alisujudu wakati hata naye anasujudu
@iddyally72283 жыл бұрын
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@hasahm19953 жыл бұрын
Alhamdullilah, kweli huo msikiti ulikuwa unafaa Sana kuwa hapo, MashaAllah, watu Wana kiu.. ya kujua uislamu.... Allah awaongoze kwenye dino yake naye ni uislamu tu.... Bila shaka
@masoudidadi73693 жыл бұрын
Mashallah kazi nzuri Mnawalingania Kwa hekima sana Nadhani wengi wataelewa kwamba Uislam ndio dini ya haki
@habibasalim30923 жыл бұрын
MaashaAllah sheikh unafanya kama vile uk na USA wanavyokaribisha non Muslims in the masajid to see for themselves, asking questions and there they get to know how the beauty of Islam and understand what they have to get them in to the right path
@ugaascashaale18693 жыл бұрын
MashaAllah ma sheikhi wetu Allah awape umri mrefu na mwishowe janah...
@mahamedadan13223 жыл бұрын
Maa Shaa Allah. My Allah make easy for you. In Shaa Allah
@akeem12213 жыл бұрын
I would never imagine things like this could happen in central Kenya, Mashallah. Sheikh Ramadhan Kuria is doing a great contribution. Jazakumullah Khayran.
@maherzain6153 жыл бұрын
وَمَنْ أَحْسَنُ قَوْلًا مِّمَّن دَعَآ إِلَى ٱللَّهِ وَعَمِلَ صَٰلِحًا وَقَالَ إِنَّنِى مِنَ ٱلْمُسْلِمِينَ And who is better in speech than someone who calls to God, acts with integrity, and says, “I am of those who submit”?
@habibasalim30923 жыл бұрын
MaashaAllah brother
@abumuadh56753 жыл бұрын
MashaAllah Sheikh Ramadhan na wezako, Allah awabarik nyote Ammen.
@sumabatta41613 жыл бұрын
Jamaa nawapenda sana kwaajili ya Allah mnafanyakazi.
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Amin
@hashim81303 жыл бұрын
Maashaallah mungu awaongoze wote hao walo ingiya msikitini na sisi piya
@fadhilikawambwa15863 жыл бұрын
ALLAH SW AWAPE SHUFAA STRAIGHT PATH DAWAH MNACHOKIFANYA NI KIKUBWA SANA.
@khadijamnayahe80113 жыл бұрын
Masha Allah kipindi kizuri,ila ni kifupi Sana, Allah Akuzidishie uzidi kutufundisha.
@mwaitaali68163 жыл бұрын
Masha Allah Mey God bless you all insha'Allah
@dogandmachete Жыл бұрын
this is the best approach Ive seen so far(in my opinion) to interacting with people of different faiths towards learning about Islam. Keep up the good work.....
@salumjumaruhaga25133 жыл бұрын
Halafu abatokea boya anasema ooo waislam Wana majini
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Mashallahu mungu akubark shehe wetu kipenz Mungu akupe umr mrefu wenye her na baraka kwako
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah sheikh ramadhan na masheikh wote jazkallah kheir,Allah awaongoze hao madada wapate ona haki na kuifuata
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@kawtharalbarwani13373 жыл бұрын
Allah akubariki sheikhe watu akujalie afya njema na umri mrefu
@mufid7073 жыл бұрын
MashaAllah Tabarak Llah Kazi bora munao ifanya Masheikh wetu. Allah awabarik nyote Ameen
@aleyabra41603 жыл бұрын
Maashalwah nawapata sana nataman kuwa ktk harakat zenu ila kiuwezo bado mdogo napenda jins mnavyo fundisha nataman nijifunze ila walimu zanzibar sijawapata
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi
@maryammdoe5801 Жыл бұрын
MashaAllah tabarakallah barakallahu fiiqum
@al-hudaaislamicpreachersda80563 жыл бұрын
Masha Allah Shekh wangu
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Nasikia raaha, jibu la esabu right to left. To get an answer.
@abdinasirmohamed22383 жыл бұрын
Alhamdulillah calaa nicmatil islaam
@kassimngao98282 жыл бұрын
Sheikh your doing a great job 👏 ma sha Allah. Jazzak Allah kheiran
@gibrilndoriyobija84003 жыл бұрын
Maasha Allah sheikh wetu nimefulahishwa saana kuona video
@kinogekimbeho37813 жыл бұрын
Kurya Allah akuhifadhi unaelimisha vzr bila jazba wala kero
@salimomary27263 жыл бұрын
Masha Allah shekhe wangu Ramadhani bn gaguo kwa elim unayo itoa kwa watu wa africa mashariki
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Bin kaguo 😂sio gaguo
@kengamudzunga80573 жыл бұрын
kazi nzuri sana
@shehaothman29482 жыл бұрын
This is the most polite visitors of fact finding I've so far witnessed
@ashaabdulkarim18023 жыл бұрын
Maashaallah baarakallah, Allah yahfadhkum🤲🤲🤲
@saumuseif91893 жыл бұрын
Mashaallah mashekhe wetu Allah awape nguvu
@masmasonick67862 жыл бұрын
Kazi nzuri mnoo
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Maa shaa Allah, Allah awafanyie wepesi, Amiin
@mgenibwanamdogo28263 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka allah
@salo.6133 жыл бұрын
Mara nyingi sauti haitoki vizuri.
@marianachriss24443 жыл бұрын
YESU KRISTO ni Nuru ya ulimwengu wote na ni BWANA na mwokozi Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa tubuni kabla hamjachelewa
@aliabdallah84563 жыл бұрын
Kwa nini unadai watu wattubu na mnasema Yesu kachukua dhambi za wakristo wote sasa unatbu nini mbona mnatuchanganya nyinyi wakristo
@samxx4112 жыл бұрын
Sasa Yesu si amehukumiwa kwa dhambi zetu tena tutubu nini??? mie nakushangaa wewe unaenda kanisani kutubu wakati yesu amehukumiwa kwa dhambi zenu si ulale tu nyumbani
@jamilaomari24443 жыл бұрын
MashaAllah kazi nzuri!
@mutomubaya3 жыл бұрын
Ni muhimu kwa Mwalimu awafafanulie kuhusu Nguzo za Uislamu kwamba ni tano Na kwamba ya kwanza ni kutamka SHAHADA MBILI na ya pili ni KUSIMAMISHA SWALAH......aliyeuliza, is that the way you show gratitude to God? We are supposed to show gratitude to God by faith and obedience to Allah and we say, Al hamdulillah
@beckytunda45762 жыл бұрын
You cannot win mungu ni mungu tew mshidwe
@saumuseif91893 жыл бұрын
Unawafahamisha vizur mashaallah
@Binahmed12343 жыл бұрын
Ma Sha Allah
@norahmwenyewe.27993 жыл бұрын
Pillars of Christianity 👉faith, obedience, forgiveness, self-discipline,gratitude and worship,Hawa watoto wenye unauliza hata hawajui the meaning of Christianity I think they're still learning hawajui mambo na bibilia sana.
@suleymanosman693 жыл бұрын
where in bible
@samxx4112 жыл бұрын
Andiko gani au from kichwani kwako tu
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Where is it written?
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Imeandikwa wapi kwnye Biblia hizo pillars of christianity?
@jaffarzil3593 жыл бұрын
Masha’Allah
@ahmadmohd3771 Жыл бұрын
Big up bro Allah bless
@thelastwarning50322 жыл бұрын
@Kuria .....what is the name of your Allah ??
@nairobiflavour3 жыл бұрын
Mungu awarehemu
@bashirali23853 жыл бұрын
MashaAllah
@Nora-v1m3p10 ай бұрын
Asalam aleikum walim ngu.naomba wanawake wafinike vichw wakiinga masjid
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Mashaallah
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Asalaam Alaikum Sheikh Ramadhan hapo mzee alipoulizia kuhusu picha ya yesu, Maryam na Joseph hukuumpa elimu ya kutosha ila najua ulikua peke yako labda ulikua ni uchovu but kama next time watakuja wape elimu ya kutosha Insha Allah
@maherzain6153 жыл бұрын
Kweli.hata hapo kwa pillars of Islam kuna za lazima kama shahada,swala na saum.na zaka na hajj kwa mwenye uwezo lazima wafahamishwe.
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Esabu jibu poa, Alkarimu
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Qurani kiboko cha haqu. Sura tobaha.
@hamisibwanamdogo87082 жыл бұрын
Mashallah
@fredrickgitonga19723 жыл бұрын
Uislam ni dini ya Muhammad sio ya MUNGU
@mariamngadoa78083 жыл бұрын
Una uhakika au unaropoka tu
@nassorsharifu98373 жыл бұрын
Endelea kujifurahisha
@ramadhanjuma6103 жыл бұрын
Toa andiko linalo sema uwisilamu dini ya muhammad naso ya mungu
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Maji ya kuoshewa maiti yashampata huyo. Mana yule anaewaosheeni maiti zao za kikiristo anasema km wachungaji wanaeka oda. Halafu ati wanaambiwa maji ya uzima.
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
@@nassorsharifu9837, Si kujifurahisha ni kufurahishwa/kufurahishana mitaani na makanisani
@abdinasirmohamed22383 жыл бұрын
✔👌🙏🙏🙏🙏🙏
@mutomubaya3 жыл бұрын
Sheikh ukiwaambia tunamswalia Mtume ujue hilo ni neno KUMSWALIA ni la Kiarabu likimaanisha, kumuombea rehma na amani. Kwa hivyo nadhani ni vyema waambiwe Waislamu hatumuabudu Mtume,Swalla Allahu alayhi wa sallam bali tunamuabudu Allah peke yake na bila kumshirikisha na chochote au yeyote. Na tunamuombea Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam....
@aminaabdallah77023 жыл бұрын
Waelezee Hao mabinti kwa sababu gani tunavuwa viatu kabla yakuingia msikitini mtu ataweza kukanyaga mavi au mkojo au kitu chochote chafu ndomana tunavuwa viatu ilkiwa tunaingia ndani yanyumba yamola wetu
@pammymoraamoraa67023 жыл бұрын
The same pilers are in Christianity it’s just that some people don’t know the lead
@suleymanosman693 жыл бұрын
gani
@gibrilndoriyobija84003 жыл бұрын
Je hapo nimaeneo gani?
@alibell52463 жыл бұрын
Mkurain
@gibrilndoriyobija84003 жыл бұрын
Je kuna zingine kama hizi?natamani kuona mambo mengi mulioyafanya kwa ajili Allah.
@richardkunambi94003 жыл бұрын
Hapo mmeshavamiwa na mapepo , mtaona matokeo yake .
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Unadhani wajinga km ww hao wanaokubali kudanganywa na Pastors tu?
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Hayo majini yatakuvamieni nyie mnaoingia makanisani na majosho ya janaba, hedhi, nifasi, mawigi, vimini nk
@samxx4112 жыл бұрын
umemuona aliepandisha mapepo, nenda kanisani kaangalie wanaopagawa kwa mapepo
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Kila mtu anatambua kuw sehemu inayotolew watu mapepo ni makanisani
@johnissango23573 жыл бұрын
mtume Mohamad anadai kupewa ufunuo wa au qurani na malaika jibril je aliaminije kuwa kweli aliemtokea ni jibrili,na si ibilisi na je nisababu gani itakayofanya tumwamini?.
@samxx4112 жыл бұрын
Unaamuuliza nani, tafuta walimu wakusomeshe dini
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Kwani ww Yesu uliwahi kumuona akiponyesha vipofu na kufufua watu?
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Sasa km huiamini Qur'an utawezaje kumuamini Mtume Muhammad?
@shakurpriest71413 жыл бұрын
Hekalu si musikiti. Hekalu ni temple na musikiti ni mosque. Mbona unadanganya hawa watoto wasiojua bibilia vizuri???
@samxx4112 жыл бұрын
sinagoge ni msikiti (hekalu)
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Hebu skiliza vizur usikurupuke tu kwani aliesema hekalu ni mskiti nani? Shekhe Ramadhan kasema Yesu alikuw akiabudy kwnye Sinagogi ambao ulikuw ni mskiti wa Wayahudi maan yke ilivo andikw kwnye Biblia.
@nairobiflavour3 жыл бұрын
Acheni kuwapotosha watoto mnataka wamfuate mtume aliyerogwa tena kaoa mtoto Wa miaka sita tena hamna muujiza wowote alioutenda dani ya Qur'an nzima yesu aliponya viwete viziwi walisikia wafu walifufuliwa na pia mtume Mohammed swalalah walhi wasalam ni yesu atamfufua
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Kwani wamelazimishwa kuja hao si wamekuja wenyew wanatak wajifunze Uislamu,sas ww sjui kipi kinachokuuma ww hata ukiuchukia uislamu huuzidishii kitu wala huupunguzii kitu,Haki ikidhihiri basi upotovu lazma upotee tu na ukweli utabak kuwa ukweli tu kuwa Uislamu ndio dini ya kweli hata Viongoz wa Ukristo wakificha ukweli juu ya dini hii kw maslahi yao binafsi.
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Jengine Yesu hakuwa na uwezo wa kufanya Miujiza bali Mungu ndie ambae alikuw akifanya miujiza kupitia kwa Yesu na hakuna Mtume yyte aliefanya Miujiza kw uwezo wake mwenyew.
@Nora-v1m3p10 ай бұрын
Yesu hakufufua mtu yyte ila n Mungu kamwezesha n Mtume wetu hakuoa msichana mdogo izo n dhana potovu huna ushahidi funga domo lko kimya toa andiko
@Nora-v1m3p10 ай бұрын
Hao hawajaitw walikuja wenyewe shida Iko wapi?
@johnissango23573 жыл бұрын
hapo mwalimu sikuelewi unafundisha bibilia au quran? kama unafundisha uislamu bibilia inatoka wapi?naona kama unafanya utapeli wa kidini.
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Uislamu ndani ya Biblia pia
@suleymanosman693 жыл бұрын
injil ni kitabu jesus alipewa.
@samxx4112 жыл бұрын
Uislam unaamini vitabu 4, injili (Issa/Yesu) sio biblia, taurat (Mussa), Zabur (Daud) na Quran ila vitabu hivyo vitatu vimetiwa mikono ila Quran ni muujiza huwezi kuutia mkono na ndio maana ili wafahamu vizuri wanafahamisha kwa kutumia maandiko yote ili wauone ukweli
@Nora-v1m3p10 ай бұрын
Bible inasema msijudu nyie hamsijudu hamfwati mantendo y yesu
@shakurpriest71413 жыл бұрын
Ndugu yangu acha kudanganya hawa watoto, Al-lah is a god (in Arabic) vile nyinyi husema lakini sio jina la Mungu. God in different tribes or communities is called in different names for instance; God in kikuyu is Ngai, luo is Nyasae, etc but majina ya Mungu katika bibilia ni YHWH, Jehovah, Adonai, IAM WHO IAM, Elohim, Eli Shaddai, and so and so forth. So don't say God's is Al-lah that's a translation to Arabic
@samxx4112 жыл бұрын
Sikiliza wewe hapo hadanganywi mtu ni kweli tupu, kwani hakuna watu ambao wanaabudu ng'ombe ni Mungu wao, wengine miti ni Miungu yao, hata Firauri alijiita Mungu, Hata Wewe Yesu ni mtu lakini ni Mungu ila Mungu wa Kweli ana Jina lake hapo sasa unatakiwa usome sio unabisha tu, dini sio kubisha ni kusoma kwa kusomeshwa
@salimomary27263 жыл бұрын
Masha Allah shekhe wangu Ramadhani bn gaguo kwa elim unayo itoa kwa watu wa africa mashariki