Kwa dhuluma mulizotufanyia wazanzibar na kutudhalilisha madhalilisho makubwa kwa hakika Mungu hana haraka nankufuru zako ulizozifanya sasa umetulia ndani ktk majumba yako ya motoni kwa dhulma za wahanga ndg zetu tunamuomba mungu asikuue kwa haraka akueke akupe umri twaweeel uteseke km mulivyowatesa masheik zetu na ndg zetu wengine muteseke duniani na akhera na team yako nyote
@omarhusna17662 жыл бұрын
Huyu mzee ndie Alie kua hapendi wazanzibar wawe pamoja wapendane waishi kwa kusaidiana huyu ndio alotugawa zanzibar mpaka Leo hatuko sawa Allah atampa kwa kile alicho kichuma laaantullah
@hamadrashid51402 жыл бұрын
Allah atatulipia kila kitu hapa dunian na akhera.
@AP-uk3mq2 жыл бұрын
LaanatuAllah. HasbiAllah waneemal wakil.
@salyali78072 жыл бұрын
Allah atamlipa hapa duniani... Akhera hisabu tu
@sangulorashoo41162 жыл бұрын
atamlipa nn sasa alicho kopa🤣🤣
@fahadyshaaliy2 жыл бұрын
Hio nikazi ya mungu usihukumu mtu ww sio mungu Hakuna binadam asie kosea huend yy aka fany kitu ikawa ni sababu ya kuingia peponi mung ni muweza wa wote
@abdullahihussein68362 жыл бұрын
Laanatullahi , huyu mtu , Allah amlipe kuanzia hapa duniani, Aamin
@w40582 жыл бұрын
Alaysa llahu biahkamulihakimin fasayakfika humu wahuwa samiul Aalim jiso kama sokwe hasidi unisumu kuliko ya nyoka mweusi utalipwa hapa hapa Salimini unaona yuko kipofu kwa kiburi chake na wewewewe mbwa mmoja
@mohamedallyrajabu83012 жыл бұрын
Yaani huyuu jamaa mambo aliyo wafanyia wanzanzibar basi inshallah mungu atakulipa hapa hapa dunia.
@AliAbdullah-oy6yo2 жыл бұрын
Amin
@omarhusna17662 жыл бұрын
Ameen
@IsmailClassictz Жыл бұрын
Yaa allah takabal dua🙏🙏
@fathiyasalim39462 жыл бұрын
Kitabu chake kiko kwa Allah atakiona cha moto.
@nassorseif79072 жыл бұрын
Comments za watu tu zinaonesha wewe ni mtu wa aina gani hapa hapa duniani
@kinkybanjukome2172 жыл бұрын
Yaani hili jizi kubwa limeiba pesa za meli halafu likanunua meli bovu ana nyumba 37 alizo miliki unajidanganya tu huko clean mikono Yako imejaa damu za wazanzibari dhalim mkubwa wewe na Hilo juso lako lizidi kuwa baya hatuku samehe wewe mwizi mkubwa tuna muonba Allah akupe maisha marefu mpaka ule mavi Yako kama salimi
@imsimk.khamis5742 жыл бұрын
Laana ya Allah na Dhulma hakika zimsh7kie Mzee huyu. Huyu ktk maaduwi wa umoja wa Wazanzibari ndie yeye. Alinunuwa meli mbovu pesa za msaada walizopewa watu waliozama akazila. Ana majumba yanafika kumi mengine anayatumia kwa Madanguro. Wazanzibari hawamjuwi Jambazi huyo katokea wapi.🤔🤔😏😏😏🤨🤕🤕
@mullestv26802 жыл бұрын
ZANZIBAR HAKUNA MTU MWENYE SURA KAMA HIYO KWA KWELI WE UMEJIPANDKZA TU UZANZIBR
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Hahahaha,,,,,wewe bado Una mawazo ya kitwana, Kwa kudhani kuwa uzanzibar ni jina, Sura, au rangi!! Endelea na ujinga wako
@nassormessi-zk5cz Жыл бұрын
Very Clean Wonderfully kiongozi
@djfunk2552 жыл бұрын
No caption, maana Hawa watu wanasubiri tu wajekusema tumetukana serekali wakati umesema ukweli ,so acha nimuachie muungu turn ndio alhakim.
@MAPETEE2 жыл бұрын
Yani mm stk hata kumuona Uyu katuumiza sana uyuu zanzibar ila Allah yupo
@alliyrubea57312 жыл бұрын
Ana nyumba Oman kwa Wakoloni! Au na yy ndie mkoloni!
@msabahaali7582 жыл бұрын
katika viongozi waliomaliza nchi yetu ni hawa aliumiza nchi yetu na kupandikiza chuki Alla atawalipa kwa kila baya mlilotufanyia hapa hapa duniani na Akhera
@yussufsheha91362 жыл бұрын
Mzee hizi comment unaziona lkini ama hauna smart phone 😂
@nailamohd76932 жыл бұрын
😂😂Khatari
@muhammedtetere4842 жыл бұрын
Kila nikasoma comment napata jibu huyu kiongozi alikua wa aina gani
@abdallamohd13402 жыл бұрын
Yani huyu nimeshukuru alipostaafu mana wazanzibar ametutesa sana na ametufanya tue na njaa sana nchi hii lakini mungu anamiona na alidhani hatostaafu dah viongoz jifunzeni msilewe na madaraka
@fathiyasalim39462 жыл бұрын
Hili Zee ni mwanga huyu na hana sura za kizanzibari.
@harounali31092 жыл бұрын
Umejuaje km mwanga km nawee c mwanga
@humoudseyd73102 жыл бұрын
Huyu babu hajuwi hata anaongea nini..kisha Tanzania hakuna waandishi wa habari wakikutana na watu wa juu serekali ni wana limits ya maswali wanaogopa kuuliza maswali ya umuhimu wa wakati husika.
@mwigaadam11792 жыл бұрын
Sura ya ubinaadam imemtoka lisura libaya Kama dubu nyama Kali linalopatikana ktk America ya kusin kwa ubaya alio ufanya kwa watu
@mussamc6412 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@harounali31092 жыл бұрын
Tafta kiioo nawee ujiangalie
@salimali13922 жыл бұрын
Tunakupenda sna baba mungu akupe maisha marefu tuzidi kukuona hapa hapa duniani utakavyoangamia mungu asikuondoe inshaAllah vizazi na vizazi vikuone km firauni c ulituambia kua wko wp uwamsho walikuja na vialamtara vyao asaiv wananyea kwny ndoo Mungu ndo atakujibu suala lko walkua wp walipelekwa na nani na bdo sura itashuka km adui wa wrong tone
@jinalangu93482 жыл бұрын
laanatulLLAHI
@kassim12622 жыл бұрын
Allah akujaalie kabla kifo chako uwe kipofu ishaallah
@budapest85962 жыл бұрын
Duh. Mswalie mtume
@kassim12622 жыл бұрын
@@budapest8596 Nimswalie mtume kwani yeye kayafanya mangapi
@ghalibelghanim1151 Жыл бұрын
Huyo mwenyewe Mwizi wa Mali ya Zanzibar
@HemedSaleh-oh3cz10 ай бұрын
Mwandishi hongera kwa kumsukumia makombora huyu jamaa
@harusisuleiman42992 жыл бұрын
Umeonesha utumishi wako Mh Allah akulipe me mema nna akupe maisha mazur na akuepushe na mabaya
@akhfahz24462 жыл бұрын
Fanya mema Allah akulipe kulingana na mema yko ila ukikosea kama alivyookosea huyu Yan andika nmekosea
@issahassan7772 жыл бұрын
Hyu wakuletwa si mzanzibar kama wa sasa duu!!!
@noffalsalim2 жыл бұрын
Hakuna mtu alieandika comment kumsifu wote wamemlaani,dah binaadamu tuishi maisha ya duniani vizur, xiku tutakapoondoka duniani tuliowaacha watusifu Kwa mema na sio kutusifu Kwa ubaya .
@MasoudKhamisAlBimani2 жыл бұрын
Huyu Babu Muongo Vp Egypt na Syria zilitaka kuungana wakati hakuna mpaka baina yao.. Misri ipo Afrika na Syria ipo Middle East. Ukitoka Misri unaingia Palestine, Jordan, Lebanon then Syria. Anaonekana haijui Jiografia analenga tu. Ni sawa na kusema Zanzibar inaungana na China.. sijui inaelekea vipi.
@yahyashaib51162 жыл бұрын
Allah akulipe kile unacho stahili
@alliyrubea57312 жыл бұрын
Vipi pesa za meli zitarudi au ndio ramba ramba
@ahmedrashid20372 жыл бұрын
Huyo ni mbwa tu mshenzi Mungu atamlipa kwa maovu yake kwa Wanzanzibar aliyowafanyiya muuwaji mwizi moto wa jahnam wamsubiri
@hashimalsaadat49052 жыл бұрын
Siamini Kama Umekubali Kwenda Oman Ni Kwa Yale Uliyotuaminisha Pindi Ukiwa Kwenye Viriri
@murattywamuratty97782 жыл бұрын
Kastafu yupo salama, yupo clean anasema, hana kando kando mwenyewe
@mahfoudhcalender27472 жыл бұрын
Mtu mzima kusema uongo ni Aibu, yaan huyu mzee haoni ata aibu kusema uongo.
@abuubakar7594 Жыл бұрын
Yaarabbi mueke huyu akae angalau miaka 150 tumuone akitoka mafunza kitandani yani mbunge muwakilishi na makamo mixahara mi3 na bado akawa mwizi
@mohamedturanardan88712 жыл бұрын
Mwenzako ni Iblis, shetani Firauni,. karuun, sharoon
@gangmore90912 жыл бұрын
Ameongea uwongo adi mumeiba pesa nyingi na kutia watu njaa umekula adi pesa za misadaa wewe unaongea uwongo hi karne nyengine hatudanganyiki subiri ukae n watoto wako
@alliyrubea57312 жыл бұрын
Yaani huyu mzee anachekesha kweli kweli yaani Serikali ya wao pekee ndio mulifanya vzr!
@utaani1 Жыл бұрын
Laanatu llah
@nassormessi-zk5cz Жыл бұрын
Mm huyu ndie kiongoz wangu kaz kaz sio mandaz Baloz Seif Ally bora Murudi Wenyewe waarabu wanarudishwa kidogo kidogo Sasa hivi
@saidabdala49802 жыл бұрын
JAMBAZI YUKO HAI BADO
@salyali78072 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mohdmwarab77072 жыл бұрын
Hili likifa hamna hta ataehuzunika shenzi hili yy n'a sheni
@harounali31092 жыл бұрын
Mtamkumbuka kuliko maalim seif huyu maana ameshinda kwenye malengo yake tofaut na sief
@mohdmwarab77072 жыл бұрын
Uyo ndohafai hasaa mna Hana alichokifanya
@personpeter22212 жыл бұрын
Je ww umeifanyia nn family yako ??
@salumseif84952 жыл бұрын
Person Peter tatizo lako kafiri mambo ya zanzibar wawaachie wenyewe... upumbavu wako hauhitajiki hapa
@alliyrubea57312 жыл бұрын
Kuwa mkweli mulikubaliana wote hapa Zanzibar mulipofika kule mukaufyataa baada ya kutunushiwa msuli
@rajabjuma2772 жыл бұрын
Kwao wapi znz kasoka na kina nani znz mbona sura hizi za mbal
@aishaaisharagp93812 жыл бұрын
Majungu hayaacchi na Allah atakuhukum kwayote mliotufanyia
@HassanAhmed-di9jq2 жыл бұрын
Mzee naona jicho limebaki moja tuu hilo naona mwisho utakua km dkta salmin amur
@IsmailClassictz Жыл бұрын
Huyu mbwa bado yupo simpendiii
@mbingwaali77912 жыл бұрын
Hapo bora tusubiri hukum siku ya haki
@harithmohd631810 ай бұрын
Sura mbay kwli zanzibar hakuna jitu kama hili huyu so mnzanzibar napinga sijui anatokea wap jitu mbaya kama huyu laana za Allen zikuchukie Amn
@mwanahawamohammed85402 жыл бұрын
Mwanasheria Othman ni mkweli, hapendi uongo wala dhulma ndio maana aliwashinda semeni kweli yenu. Alikuwa mwenzenu lakini hakutaka dhulma na uongo, anamuogopa Mungu zaidi wakati nyinyi hamjui Mungu wala hamuamini katika kutenda haki.😝
@mwatumsaidi5104 Жыл бұрын
Laaana tullah jizi la mali ya wazanzibari na mlaanifu wa watoto wa kizanzibari
@soudsoud292 жыл бұрын
Makosa yanayosamehewa ni yako na mola wako si ya kuwadhulumu watu hadi watu wakusamehe na huyo kaua waislamu na haha nia ya kutubia
@rashidomar27712 жыл бұрын
Naomba tuulizie kwa huyo kiumbe,,wale mashehe waliowatesa na kuwatia ndani ,,lakini leo wametoka jela,yeye anajisikiaje anapowaona wapo nnje ,,moyo wake unamsemeshaje,,hemu mwandishi tuulizie,
@fatmasaid97652 жыл бұрын
Umenichekesha kweli maneno yako
@eliassamuel19142 жыл бұрын
Good
@lilianmakwati52282 жыл бұрын
Laana ziwe juu yake na kizazi chake
@abuubakaralkhtr71742 жыл бұрын
Ameen
@AP-uk3mq2 жыл бұрын
Ameen Allahumma Ameen
@omarhusna17662 жыл бұрын
Ameen
@mwanalelee62 жыл бұрын
Subhaanallah kizazi chake kinangiaje hapa🤔 msameheni nyie KILA mtu ako na makosa yake
@youssouphsalum7862 жыл бұрын
Amin
@fathiyasalim39462 жыл бұрын
Duuuh. Mbona ana sura namna mbili ? Huyo mkewe naona anafata fedha tu. Usiku akilala anamziba mto wa uso.
@saidabdala49802 жыл бұрын
😁😀😁😀😁
@mwanalelee62 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃nimeshindwa kujizuia kucheka wallahi
@nailamohd76932 жыл бұрын
😃😃😃
@zahorsalum49762 жыл бұрын
Mwizi alotukuka .kbs.
@alliyrubea57312 жыл бұрын
Fedha sio kidogo mulizipiga mno na kugawana keki mukaila kwa umma!
@ameirdarueshi25932 жыл бұрын
Huyu jamaa kwa wazanzibar wanoomkubali huyu basi wawili tu kazingua kinoma
@redmondbaby17102 жыл бұрын
Huo muungano ndo hatuutaki atakuuskia
@harounali31092 жыл бұрын
Hama nchi hii uende nchi nyengine ilokua haina muungano
@rajabjuma2772 жыл бұрын
Kwao wapi huyo
@aishaaisharagp93812 жыл бұрын
Siomabaya maana mshachukuwa chenu mapema mnakula bata kwamirija
@ibrahimrashid9512 жыл бұрын
huyuu duuu hatari munguu atamlipa wema wake alotufanyia ccm oyeeee
@zahorsalum49762 жыл бұрын
Mwezi alotukuka kbs.
@mussamc6412 жыл бұрын
Mzeee ...wale ulosema wako ndani wananyea ndoon .unahabar kama washatoka . Haya na vip ilo jicho moja tena naona halipo .😂😂😂😂
@rajabjuma2772 жыл бұрын
Wacha uwongo kitope sio kwenu wazee wa kitope wamekataa kitope kuna wanyamwenzi wengi ndomana ukajipeleka huko
@nassormessi-zk5cz Жыл бұрын
Nimekuelewa sana bora murudi wenyewe Sasa hivi waarabu na wahindi wanarudishwa kwa nguvu
@saidsuleman63532 жыл бұрын
Asome nani hicho kitabu na hio daraja umeipanda Kwa kuwaweka mashehe ndani na ww seif si uliwakataa waarabu unakwenda kufanya Nini Oman
@salamajuma29312 жыл бұрын
Kama alisema masheikh wakanyee ndooni Allah amuweke. Umri mrefu amjaalie anyee mdomoni. In sha Allah tusemeni Amiin kwa sote tunaojua dhulma zao yy na wenzake. Kucfia wamefanya hichi hichi nyoo zao pesa zetu wenyewe walipa kodi mikato wanojidai ya hifadhi ya jamii halafu na cc tunashangilia serikali inatufanyia shenz serikali
@mohamednassir27522 жыл бұрын
Laanallah tullah
@suleimanmohamed37502 жыл бұрын
Umekwisha we mzee yaani vijana tumelaani na tutaendelea kulaani serikali yao hao ya dhulma wanatufanya kama ni mayatima wa hii zanzibar tutakula sahani moja
@hafidhali30202 жыл бұрын
Mwizi Wahed, Nani kampa huyu mshenzi mwaliko wa kwenda Oman?
@AbdulHamid-xj7ip2 жыл бұрын
Huko oman mshenzi wew unakwenda kuagalia nyumba yako
@eddynaeem67082 жыл бұрын
pesa za kununulia meli umeziiba ukanunuwa meli bovu hatukusamehe nyangau
@harithmohd631810 ай бұрын
Maskin ata kuon halion kwa zuluma ulotufanyia wanzanzibar hatukusameh
@ramadhanhushaymaa96222 жыл бұрын
Ilo eneo kubw utaliacha t utakaa kweny kipande kidog cha ardhi
@pavillioncry52412 жыл бұрын
Sio tafsir ni kweli tanganyika imevaaa koti
@MohdAli-cx7bc2 жыл бұрын
Kwani hajafa uyu mlaanifu 😂
@mullestv26802 жыл бұрын
HIZO SABABU ZILIZOKIFANYA UTEULIWE HAZINA MASHIKO HATA KIDOGO
@pavillioncry52412 жыл бұрын
Tubu kwa mola wako ww kabla ya hujafa
@hajihassan54332 жыл бұрын
Naomba asisakamwe kivilee kila mtu ana dhambi muhimu tumuombe Mungu atupe hatma njema. Mbele ya Mungu hakuna kosa lisilosameheka. Bila shaka Bolozi Iddi kuna alimokosea na kupatia kama binaadam. Pumzika Kiongozi!
@mwigaadam11792 жыл бұрын
Ndio ila zake yy za wazi ,asisakamwe vpi Basha wako nini?
@msabahaali7582 жыл бұрын
atasakamwa mana hakuomba radhi licha ya mambo mazito aliyafanya kwa masheikh wetu na kuonea watu
@hajihassan54332 жыл бұрын
@@msabahaali758 Waliotesa Nasheik wako huko huko Balozi alihusika je akiwa Makamo wa pili, unamuacha je Maalim Seif (Mungu amrehemu na atupe sisi mwisho mwema) akiwa Makamo wa kwanza, Marehemu Abubakar Khamis Bakari akiwa Waziri wa Sheria na Katiba na Mhe. Othman Masoud akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali? Kama atasema hawakuwa na mamlaka walikuwa wakifanya nini Ofisini, mbona hatujawaona hata siku moja wakijiuzulu wanakula mpaka wanaramba sahani. mwanzo mwisho.
@hajihassan54332 жыл бұрын
@@mwigaadam1179 Hata ukimsakama unapata nini? Ana kubwa lipi la ziada?
@sharifjuma12202 жыл бұрын
@@hajihassan5433 babu haji ebu nipe tafasiri ya maneno haya. Aliosema Seif Ali Idi. 👇 ( wako wapi leo uwamsho wako bara wananyea ndooni. Na ebu nipe tafasiri ya maneno haya. ( wewe binaadamu gani wewe eti wako wapi leo uwamsho ebo) = Seif Sharif hamad. Hao waliekwa ndani na Sheni na Seif Ali Idi. Infact hata public prosecutor in the government had nothing to do with them. Na kila mtu atasemwa akiwa hai au akifa kwa matendo aliotenda.
@salyali78072 жыл бұрын
Anatisha... Allah kamtia Uso wake wakutisha
@mwanalelee62 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mbingwaali77912 жыл бұрын
Hapendi utulivu tafuta hutuba zake
@harounali31092 жыл бұрын
Hatozidiwa na marehemu mana huyu sikumbuki kuambia watu waende maandamano
@nassorseif79072 жыл бұрын
Muungano usio wa haki mambo yote wameyachukua wawo
@gangmore90912 жыл бұрын
Unaenda Oman kwenye nyumba yako ulonunua Al mouj kwa mapesa mengi y watu zikiwemo pesa za kwenye ajali y MV.spice za misada
@harounali31092 жыл бұрын
Comments za wapizani bd hazijasaidia mm nlijua mtahubir amani kumbe bd mnachochea Shari lahaulaaa!!
@dulapele78682 жыл бұрын
Huyu ndo alosema mashekh wamuwamsho wataozea jela hili nikafiri kubwa
@Moc.khalfan2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mwatumsaidi5104 Жыл бұрын
Mulipokuwa mukiiba mnakosolewa ndomana hamjapenda serekali ya pamoja shenzi mkubwa sokwe wa kibara