Sheikh Othman Maalim Vita Vya Badr 3 Sehem Ya Tatu #OthmanMaalim #SheikhOthman #Darsa
Пікірлер: 15
@adamali701 Жыл бұрын
اللهم أعز الإسلام والمسلمين آمين يارب
@sixteenyussufchampin72643 жыл бұрын
Ligendi mwenyewe Sheik Otham Maalim Akuzidishie Mwingi wa Rehma
@seedofprappy6983 жыл бұрын
Mashallah may ALLAH grant you knowlegde and bless you jannah inshallah.
@fatmafatma5504 жыл бұрын
Kiukweli sijutii hii channel najiskia raha haswa pale sheikh Othman maalim anaposoma qur'an
@alishor60203 жыл бұрын
Sheikh wetu mpendwa asante kwa mawaida yako mazuri
@asiaissa9763 жыл бұрын
Swallallwahu alayhi wasallam
@asiaissa9763 жыл бұрын
Amiina yaarabbi
@bintichee59294 жыл бұрын
Mashallah inapendeza sanaa shegh kajaaliwa mtuletee Visa vipya na mawaidha ya shegh plsmore n more
@asiaissa9763 жыл бұрын
Alhandulillah
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
Shekh nauliza kuna mtu namdai na nkimwambia nimemshame hataki nakunilipa hanilipi jee nimfanye nini?
@zanzibar81633 жыл бұрын
madhali wewe ushamsamehe imetosha wala huna haja ya kumuuliza zaidi juu ya deni, sio lazima yeye kukubali kusamehewa, kusamehe inatoka kwako lakini anaepokea msamaha ni Allah
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
@@zanzibar8163 Hapo ni kimuachia mungu tu ataenda kulipa siku ya kiama haiwezekani mm nimwambie ikiwa hauna basi nikuseme yy aseme hataki msamaha yatosha vp majibu ya kibri na dharau