Kila binadamu anamapungufu yake, ila kwenye mazuri pia tumpe maua yake MAKONDA nakupa maua Yako hata kabla mungu hajakuita...BIG UP SANA
@africanmoviesmovies8 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/enrChWWjhNmArpI
@sangajaffar74198 ай бұрын
KWA KWELI MAKONDA HAPO UNATENDA HAKI,STAY BLESSED
@gracelunyili65178 ай бұрын
💐🌹🥀🌷🌺
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur8 ай бұрын
Paul CHRISTIAN makonda ni kiongozi Mzuri sana
@ElizabethSulle-y6s8 ай бұрын
Makonda Mungu aendelee kukutunza
@emmanuelmayunga15188 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde usipatwe na dholuba yoyote ktk maisha yakooo...kazi nzuri sana unafanya
@africanmoviesmovies8 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/enrChWWjhNmArpI
@MohammedDaudIsmail8 ай бұрын
Sana kaka
@felisterandrew84188 ай бұрын
Huyu brother Makonda huwa namwelewa sana ,mungu akupe maisha marefu na afya njema
@DrNassor8 ай бұрын
Aamin
@yohanakereri59998 ай бұрын
Makonda Mungu ambariki sana kwani ni kiongozi wa mfano Tanzania
@FedyKafyulilo-iz2nw8 ай бұрын
Makonda asili yake ya uongozi ni mtatuzi wa kero Mungu amlinde
@annasolomon98558 ай бұрын
Namuona Magu ndani yake❤❤
@berthatz8 ай бұрын
Na kiongozi ni yule anayetatua kero za wananchi…Mungu amtunze Makonda.
@digital-d2t8 ай бұрын
@@annasolomon9855kiki hizo
@digital-d2t8 ай бұрын
@@berthatz hujui maana ya kiongozi ww
@sambulugu99888 ай бұрын
Uongozi ni nini? Ujuaji tu mbele giza!@@digital-d2t
@neemanziku54037 ай бұрын
Hongera Makonda kwa kutetea wanyonge🎉
@emmanuelkache46468 ай бұрын
Asili ya Msukuma HAPENDI KABISA KUMWONA MTU ANAONEWA PIA WANAHURUMA SANA nimeishi kanda ya ziwa miaka mingi na Makonda ametoka kanda ya ziwa wapo hivyo ! Arusha hongereni
@faustinombilinyi98097 ай бұрын
Kweli kaka wasukuma wanahuruma sn niliobahatika kuishi nao aisee sikuwahi juta kuishi na Hawa watu wanahuruma hata wanawake wakisukuma wenye asilia kabisa sio Hawa wamjini wananidhamu mno ni wanawake kwelikweli kaka.. Hawa watu wanakarama ya uongozi
@mpambanajitz70268 ай бұрын
Namtabiria MBALI SANA HUYU MWAMBA 💪💪💪💪💪 Makonda unajua na wanajua unajua ILA MUNGU anakujua zaidi,,na ipo SIKU watajua unajua HONGERA SANA MWAMBA 💪💪💪💪
@ndulasimon8 ай бұрын
JPM legacy will live on
@dassustephen7318 ай бұрын
Tunamuhitaji Magufuli mwingine aje nchi hii.Na atakuwa Tu no matter what.
@MohamedMachete7 ай бұрын
True
@shepherdyusuphministry25398 ай бұрын
Naomba Mungu akupe maisha marefu uje uwe raisi wa nchi hii
@farajaMezza-qn4be8 ай бұрын
Kalisti Mungu wa mbingun akupe haki yako! Dada pia Mungu akulinde na familia yako na Makonda Mungu akupe maisha marefu, kwa kweli machozi yamenitoka
@hellenshayo34548 ай бұрын
Mama Baraka jirani yangu piga kazi nakuaminia best
@JaneJennifer-zk7bk7 ай бұрын
Yaani kuna vitu vinafanyika kwenye hii dunia ukiona au kusikia utadhani unaangali tamthilia
@johnsangida51588 ай бұрын
Your blessing mkuu wetu wa mkoa Mungu azidi kukutunza❤
@devisshirima67808 ай бұрын
Mungu akulinde mkuu wangu wa mkoa, una bright future na Mungu akusimamie usiishie kuwa mkuu wa mkoa bali uwe mkuu wa nchi !! Kwa jina la Yesu
@aladinynur79158 ай бұрын
Kama Kila mikoa Waki shughulikia wananchi na Imani tutasogea mbele . Nchi itakua inanghara .Hamna dhuluma Mungu atatu bariki. Naomba Mikoa yote .Wamige Mkuu Makonda. Hongera Mkuu.
@MangeMaange-s9v8 ай бұрын
sawa bb
@GibsonNtamamilo8 ай бұрын
Niko Kigoma Mjini. Hakika Makonda for Everyone❤
@hanspop69618 ай бұрын
Makonda mpe kazi huyo Dada anajitambua sana
@WillBat-gc9ex8 ай бұрын
Makonda mi nakukubali sana mi nakuombea kwa mungu baba hautakufa hadi wakati wako utakapofika mungu akulinde sana kama hagai anavosema kuwa kama neno lile nililo agana nanyi mlipokuwa mkitoka katika nchi ya misri na roho yangu ikati yako makonda usiogope
@rosetreffert41797 ай бұрын
MAKONDA MUNGU awatangulie katika kazi zako ❤❤❤❤❤❤❤
@ezrayohana35418 ай бұрын
Arafu kuna jitu unakuta limeshiba kande linamtukana Makonda
@brysonmalongoza54228 ай бұрын
Makonda, Mungu akutunze. Wala rushwa wengine lolote liwapate!!
@africanmoviesmovies8 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/enrChWWjhNmArpI
@edgarmbegu19748 ай бұрын
Sasa kama ni mhalifu watu wasiseme? Kenge kweli wewe.
@RamadhaniSuru8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@thadeipeter25928 ай бұрын
Sure bro wengine Wana wivu tuu,
@PROPHETLWITIKO-rr4gc8 ай бұрын
Makonda YESU KRISTO akubaliki sana kazi Yako ni njema
@mishiabdu74787 ай бұрын
Natamani unge kuatanga.mungu akupe mri na akulinde kila aina ya khasad nakupenda sn
@franklinjr9968 ай бұрын
Big Up Champeeeez Your Future Presdent🙏🏻
@DamasjoachimPetro8 ай бұрын
Wa Tanzania wengi wamepoteza haki zao kukosa watetezi, Makonda Big up sana
@JescaMuyabi-ix8ly7 ай бұрын
Hongera Sana Makonda mungu Azidi kukuweka baba
@AllyBabu-kr6lg8 ай бұрын
Big up makonda❤❤❤❤❤❤❤
@joelnjuguna77778 ай бұрын
Hallo am from kenya and I like how makonda is prevailing justice to his people and I know one day makonda will became president of TZ
@hopejohnson73528 ай бұрын
Namuona rais ajae makonda ktk jina la yesu👏👏🤲
@bahatisanga86648 ай бұрын
Rais ajaye ni HAFREY POLEPOLE
@mbolikop64198 ай бұрын
Asante Makonda kwa Initiative nzuri ya kuleta Haki, Asante dada wa Ushirika kwa Moyo wako wa kupambania haki za wana ushirika😮
@praygodmtui14078 ай бұрын
Makonda uko vizuri kaka your born leader your doing wonderful things.l wish to you good health and long Life Among of the leader in Africa we never left you back your the some like kwame mkuruma Mohamed gaddafi.julius kambarage Nyerere . Eventually John pombe magofuli those African leader I mentioned they are all passed away but they are leder who love and fight the right of poor people which never ever in this word or under the sun no government leader religion leader who love poor people just a few leader who I mentioned .
@sambulugu99888 ай бұрын
Safi sana Makonda!
@africanmoviesmovies8 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/enrChWWjhNmArpI
@magrethmathayo28008 ай бұрын
makonda Mungu akubariki sana
@hamisiyusuph67217 ай бұрын
Unique Man" Makonda
@OmegaJustine8 ай бұрын
Magufuli blood like big up,
@saimongilala89388 ай бұрын
Mungu akubaliki sana makonda Mimi nakutakia maisha malefu na ww Mungu amekuita kwa wakati huu Yan nakubaliana na ww sana ukiwa hai kabula Mungu hajakupenda
@RajabuFute8 ай бұрын
Mungu akubarki sana dada kwa kutenda haki mungu akubarki makonda wetu
@YusufSwaibu8 ай бұрын
Tuseme tu MTU yoyote atakaye mpinga makonda Kwa anayoyafanya MTU hiyo awe mwanaume au mwanamke ajitadhimin Akili zake na moyo wake atakuwa anaupungufu wa Akili na fikra zake zitakuwa zimeoza na atakuwa nasifa zakijinga,kipumbavu, na roho mbaya tu
@FaustinMarko-t6y8 ай бұрын
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝😁
@RUBENNGAYA7 ай бұрын
ANAFAA KUWA WAZIRI MKUU
@KhamisNahodah8 ай бұрын
Makonda aigwe na watendaji wengine wengi wanyonge wanateseka
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
Wajane wote mliodhulumiwa na mna uhalali wa kile mnadai njooni Kwa Makonda, msiogope kulogwa Wala kutengwa, inauma sana Kwa uonevu Kwa kuwa tuu mume amefariki...nasema inaumaaaa😭Mungu amemteua Makonda kupitia mama Samia Ili tusaidike.
@jullysillo25577 ай бұрын
Makonda Mungu Awe Nawe
@Zubaiba7 ай бұрын
Makonda mungu akulinde kwa husda za walimwengu
@mrliverpoolynwa76418 ай бұрын
Mheshimiwa makonda ww ni kiongozi haswaa,salute kwako mkuu wangu💪💪💪
@HOSEAZAKARIA-vn7ox8 ай бұрын
Dada wewe ni kiongozi haswaaa mungu akutie nguvu wanyooshe majizi hao
@msafirimfilinge82228 ай бұрын
Mungu akulinde makonda wewe ndo kiongozi❤❤❤❤
@lightnessmarwa17558 ай бұрын
Safi sana...warudishe nyumba ya watu
@juliusdonard9338 ай бұрын
Daaa watu wanalaana sanaa daaa uonev kuuzia watu nyumba zao na huu n mfano , makonda uish milele
@fredmponzimponzi97148 ай бұрын
Safi kabisa baba kregan🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@africanmoviesmovies8 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/enrChWWjhNmArpI
@titoamon8 ай бұрын
Vizuri Sana mheshimiwa piga Kaz hata Mungu wetu anapenda tuende haki , Mungu akubariki Sana na kukutunza kwaajili ya kutatua kero za wananchi huu ndiyo utumish.
@chrisostommchalange7 ай бұрын
MUNGU akulinde makonda
@RamadhaniSuru8 ай бұрын
Makona mungu akulinde hujawahi kumuonea mtu
@deodartngaiza66648 ай бұрын
Nakupongeza Mh Makonda.
@salmahanai8 ай бұрын
Kwa.kweli muheshimiwa makonda uko vizuri sana unatetea haki za wsnanchi mungu akulinde sana
@umlaith52028 ай бұрын
Ubarikiwe Makonda❤ mtetezi wa wanyonge😢😢😢 wasokupenda ni adui wa haki✌️
@vivianallan89638 ай бұрын
Makonda hoyeeee. Mungu akulinde naakupe afya njema. Damu ya Yesu ikufunike.
@thedon84678 ай бұрын
UJE NA ZANZIBAR MAKONDA
@jpmanotaofficial6398 ай бұрын
Zanzibar ni inchi nyingine
@miriamdavis38938 ай бұрын
Nyie nchi nyingine mnajitegemea
@SamsonMalisa8 ай бұрын
Nje ya nchi mumpige kipapai😂
@thedon84678 ай бұрын
@@jpmanotaofficial639 NCHI MOJA SASA KWANINI KAMA NI NCHI NYENGINE TUNATUMIA PASSPORT 🛂 MOJA HALAFU TUKENDA NJE YA NCHI SOTE TWAJUILIKANA WATANZANIA
@thedon84678 ай бұрын
@@miriamdavis3893 ZANZIBAR INA JITEGEMEA KWA KIPI
@YohanaMagembe-i6z8 ай бұрын
Ccm ikiwa naviongozi kama huyu itaendelea kuwa madarakan nawatu tutaipenda maana niwatu wachache wanaoiharibia
@dorcasdavid22478 ай бұрын
Kwa Kweli M/Mungu Naomba sn Mlinde Makonda kwa kazi Nzuri Anayoifanya,pasipo kuonea Mtu.🙏🙏
@dinakyoma59778 ай бұрын
Uishi miaka mingi Mheshimiwa Makonda, huu ni zaidi ya Utumishi mbele za Mungu! Mungu akukumbuke
@AbdalahMsaga-wf6zl8 ай бұрын
Kamata weka ndani magufuli pat2 baba mungu akupe maixha marefu
@janesterbatikinasabuninzur36287 ай бұрын
Nampenda sana makonda natamani awe mkuu wa mkoa wa mwanza!
mungu akubariki mweshimiwa makonda nakurindee kirawakatii
@enockmaige89368 ай бұрын
Kaka makonda nakukubali i wish nikikuona nitafurah Mungu akutunze na akupiganie kila siku
@deusdeditswebe89308 ай бұрын
Mwenyezi Mungu mlinde kiongozi huyu...
@zuberikamote20788 ай бұрын
Safi sana makonda mungu akusimamie
@esthersissamo11208 ай бұрын
Mungu akutunze mkuu wetu uwe na maisha marefu yenye afya njema Mungu ibariki Tanzania nchi yetu
@ShukuruLazaro8 ай бұрын
Magufuri is back
@verynicemonyo86718 ай бұрын
Makonda mtetezi wa wanyonge Mungu akulinde
@RuthRobert-vb8vz8 ай бұрын
Mungu akupiganie makonda una hekima ya kimungu
@epiphanywilliam90568 ай бұрын
Asante sana Makonda
@PaskalMangula8 ай бұрын
Mungu akulinde Po MAKONDA
@samwelnevele77968 ай бұрын
Kaka makonda mungu akutunze
@SamweliEnock7 ай бұрын
Uko vizuri dada mungu akubariki umesoma vizuri
@JudicaMboye8 ай бұрын
Mkuu mungu aklinde kamanda aixeee
@Shamkumbo-sh7gc8 ай бұрын
Nice Rc Makonda, let God bless you
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
Makonda Mungu azidi kukulinda, nakupenda sana 😭 naomba ushughulikie na mambo ya dhuluma Kwa wajane baba, Wajane tunalizwaaaa😭😭
@SuleAmber-lw2tx8 ай бұрын
Hii nchi tunaoneana sana lakn kwann yan nchi imejaa madudu hii Makonda njoo na Dodoma utusikilize ht km sio mkuu wetu
@africanmoviesmovies8 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/enrChWWjhNmArpI
@elianguvila18598 ай бұрын
😂😂😂😂
@JeniphaMabway8 ай бұрын
Kwa jina la Yesu one day atapangiwa Dodoma tu
@amsiabbas38098 ай бұрын
😢 Mungu akubariki Ppul Makonda endelea kutetea Wanyonge wasioweza kutoa RUSHWA Kwawatendaji wa Serekali Endelea kukitengeza Chama Chetu nakuonyesha kua Serikali inaweza kumtetea Mwanachi Wakawaida Mungu akupiganie Kila kwenye Fitna na Kwenye Chuki wewe ndie Mr CCM
@happypiusi38018 ай бұрын
Hongera kiongozi wangu
@cheiknamouna20588 ай бұрын
Nitafurahi Na kushukuru Huyu baba akipata haki zake pamoja na nyumba yake😢😢
@severamunishi12538 ай бұрын
Mpaka nimelia😢
@petroyohana11268 ай бұрын
Makonda big up my brother
@angonzamujunangoma87758 ай бұрын
Makonda una kiti chako mninguni .Mungu akubariki baba🙏🏽
@nth35128 ай бұрын
We mama hata kama unamsaidia mteja usioneshe mitandaoni sana msimamo wako na kwamba unawachukia hiyo kampuni sababu wanaweza kukuwinda hao majamaa, huwenda upatikanaji wako ni simple tofauti na mkuu wa mkoa. Endelea kumpambania sana huyo mteja kwa hali na mali mpaka apate haki yake lakini usioneshe km ww ndo ngazi kwa huyo mteja, acha wao wajue ni mkuu wa mkoa. Huo mkoa kuna mtu alimwagiwa tindikali wengine wanachinjwa n.k
@RokoineMollel7 ай бұрын
mkuu wa mkoa arusha unapgia mwingi kweli mungu akutangulie
@abdirizakibrahim19758 ай бұрын
Huyu jamaa paka msikitini wanamuombea Mzalendo wa kweli
@NaomiSabuni7 ай бұрын
Mungu akubariki
@mwantumkombo30148 ай бұрын
Jmn binaadam mbn mtihani xn,bb w watu anajikaza kiume anataka kulia..HONGERA MAKONDA HAKIKA MUNGU HATOKUACHA PEKEYAKO BB.
@muromuro80378 ай бұрын
Mkuu be blessed my kamanda,mpaka kizazi chako Cha mwisho hapa duniania kibarikiwe kwa wema wako, Makonda 2032 nakuchukulia form mwenyewe
@ernestkaji96408 ай бұрын
Mungu akutunze mpenda haki,na mtatuzi wa kero za watu wa nchi hii
@benardpeter35628 ай бұрын
Barikiwa sana mheshimiwa🙏🙏🙏🙏
@jovitusiinnocent75348 ай бұрын
Kama unamuona magu mpya tz gonga hapo chini
@ivonaevarista46548 ай бұрын
MUNGU Muumbaji katika jina la Yesu Kristo nakusihi BABA watie nguvu na kuwalinda viongozi wote wanaoisimamia haki BABA usiwaache akiwemo makonda msaidie,mlinde dhidi ya mabaya watesi wake wawe wako BABA ilinde familia yake na uzao wake mzidishie hekima na maarifa mpe moyo wa upendo asichoke kutumikia nafasi ulomuweka BABA nakusihi ukamfanye kuiona mbingu hakika aingie mbinguni tusaidie tusichoke kuiombea tanzania yetu.amina
@andreadaniel82768 ай бұрын
Safi sana dada
@lucasmkui31608 ай бұрын
Viongozi waige kwa RC Makonda yupo vema, safisana napia Kuna Ali Happi, Agrey Mwanry, na RC Albat Chalamila hao woote ni majembe ya Tanzania nawaombea wawe kwenye system ya uongozi wa mikoa ahsanteni sana
@WardaFashion-n3y8 ай бұрын
Mikopo hii 😢😢yaraby tujaalie rizik njema na kipato tusidhalilike namna hii 😢nakudhulumiwa
@ramboiddrambo30567 ай бұрын
uyu mwamba anakila sifa ya kuitwa kiongozi big up kwako makonda ww ni jembe umenikumbusha enzi za magufuli
@StelaSarafini8 ай бұрын
Safi sna wanajidaigi wabane san haswa huyo anaeuzaga vitu vya watu wanavyotaka