hongera sana baba makonda mungu akulinde watu wengi awata kupenda watu wengine wanataka maaribifu iwe tu fanya kazi baba mungu yuko pamoja na wewe
@rahmashaban86938 жыл бұрын
Masha Allah huu ndio uongozi bora, sio bora uongozi. mimi nasema mikoa yote wakuu wa mikoa waige mifano ya huyo makonda. wafuatiliwe na wale wanaojiita veo sijui akina nani ili watu waishi kwa amani. wanadhulumu watu kwa kweli. aibu kwa familia na jamii kwa ujumla. baba mwenye afya yake anatia aibu kweli. amenenepa wananchi wamekondeana kumbe anakula pesa za watu mmmmh. bonafsi nimefurahi sana mheshimiwa Mungu akujaalie baada ya Magufuli uwe Rais wa Tanzania.
@shaabanmusa51277 жыл бұрын
Rahma Shaban Mwanangu ww utafikiri ni police au hakimu wataka kutumbua tu 😂😁😀😀😁😁
@bahatimarko82038 жыл бұрын
nampongeza xana mh, poul makonda kwa kazi yake anayoifanya kwa sababu kunabazi yaviongoz walkua wanaongoza bla kuzingatia sheria na kanunu za inchi!🙌🙌🙌🙌
@cristinamrema52748 жыл бұрын
Makonda mungu akupe maisha mrefu kwa utendaji wako mnzuri wa Kazi kutoka DUBAI
@tracyjustice16008 жыл бұрын
Asante sana muheshimiwa Makonda, hii Tanzania mpya, haya yafuatiliwe Tanzania nzima
@mamatuishi-mamatuondoke88228 жыл бұрын
Tanzania sasa ujinga kwishnee
@MyDeogratius8 жыл бұрын
The rule of law, rule of people, no one is above the law; this is typical democracy that African countries should learn from Tanzania; nice job Mr Makonda..DC
@harrisonsamwel31125 жыл бұрын
kama umeskiliza kwa makini huyo jamaa alie kamatwa na polisi hakupewa nafasi ya kujitetea
@nyiqatonyiqa7114Ай бұрын
Nani yuko hapa baada ya Jerry Silaa Kutumbua na kumsweka ndani huyu mwizi wa mashamba nipe likes safi 😢😢
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
move nzuri sana. cheki WAHANDISHI wanavyomkimbilia kupata habari za magazeti.
@zayomari90088 жыл бұрын
duuu hii Ni nomaa asante Millard
@lydiamayah51228 жыл бұрын
Asante Makonda fanya kazi baba.
@stevendare10898 жыл бұрын
sasa kenya yetu inahitaji watu kama Paul Makonda..safi hapo
@emmanuelofficialtz73336 жыл бұрын
Steve Ndare wanadar es salaam nawaonea wivu huyu mh.makonda yupo active balaa
@kamaluhajj34468 жыл бұрын
Bravooo mh. #Makonda wakuu wa mikoa wengine wangefanya kama wewe tunge heshimiana
@tumainithonya23938 жыл бұрын
we baba upo vizuri dah!hadi raha.Raisi hakukosea kukupa mkoa aah!
@ابوعبدالرحمن-س5ز3ض6 жыл бұрын
Nakuamini makonda wazembe wakazi wasimishe umenifurahisha sanaaa hapa ni kazi tunataka mkoa wetu wa daresalaam imedilike hatuwataki wazembe wasioweza kazi
@edrisalusonge41417 ай бұрын
Naomba makonda apewe heshima
@Fahad-ew4fn8 ай бұрын
Habar habar tunaomba makonda umfikishiee ujumbe rais samia kua kaee kitako narai mwinyi huku zanzibar tunapo mapata maafa inapo fika fanya hua wanaandika vitu vilivo athirika katika majumba yetu sasa chakushangaza zaid hatuoni pesa wala vitu hapa inakuaje hapa asante
@tambwemkamba90707 жыл бұрын
mheshimiwa nakupa big up sana
@Zuu67311 ай бұрын
Makonda upo vizuri lkn kwa huyu baba hauja mtendea vizuri maana haukumpa nafasi yakujitetea😢
@saraphinejoseph86508 жыл бұрын
Ongera mweheshimiwa Paul Makonda
@frankjoseph62137 жыл бұрын
makonda Yesu akubariki Sana mkuu
@imamumponda2768 жыл бұрын
maa shaa allah makonda baaraka llahu fiika
@albertchuma43137 ай бұрын
Huyu boya ni mjanja mjanja sana hata Jerry slaa kamtia ndani kwa wizi
@fatumamasudi3658 жыл бұрын
asante makonda uko vizuri
@dorahshirima96088 жыл бұрын
miladi uko vizuri ila huku kwetu kunawatu wa kutumbuliwa jamani mbona hamfikiiiiii
@shufaaa.47668 жыл бұрын
makondaa oweeeeeeeeeee from dubai
@bultuabasalam59978 жыл бұрын
Shufaa A. 😂😃😃
@yekonialabani70428 жыл бұрын
makonda kwakweri mungu huyu wa mbinguni aje akupe uraisi kweri umeokoka namungu akurinde mchana na usiku adui zako waangamie asante
@emanuelissaya87997 жыл бұрын
aseeeeeeee ni Nouma sana kusingekuwa na haja ya kuwa na watu wanaotunga sheria kama mambo ndo yako hivyo
@elizaayua5697 жыл бұрын
jaman mungu atusaidie
@nazarenajoseph269511 ай бұрын
Hogera Makonda
@jumambarale6997 жыл бұрын
Safi sana aiseee
@salmamasoud60558 жыл бұрын
Asante mkuu kwa ufatiliaje wako
@fescuscomicsfilmproduction29664 жыл бұрын
This awesome job of magufuli
@AngelChino-v8f6 ай бұрын
Nakuomba makonda nenda kisiju pwani
@JeanMuzaliwa-bs6qh11 ай бұрын
mwamba uyu
@gulflady45978 жыл бұрын
Kareem seif unabusara Sana comment jambo la maana kabisa huyu makonda anajifanya mkali kwa watu dhaifu kwa mawaziri anakuwa panya anakaa vunguni hana mpango nayeye Ni mwizi
@missmuunasharifu23238 жыл бұрын
angekuwa anawaogopa angemtumbua zito kabwe?
@Zuu67311 ай бұрын
@@missmuunasharifu2323zito kwakuwa mpinzani wa ccm wakubwa mbona hawatumbui?
@sophiakasana29375 жыл бұрын
Asante makonda
@sphrb10637 жыл бұрын
big up sana mheshimiwa makonda
@emanuelieliasi84565 жыл бұрын
makonda usifanye kazi kwa sifa kumbuka malipo ni hapa hapa dunian
@setiseti528110 ай бұрын
Makonda oyeeeeeeeeeeeee
@timoamara98385 жыл бұрын
Mungu anakuona wewe mwanamke mzaramo
@liverpoolfootballclub99855 жыл бұрын
Majukumu na mzigo yote Muyabebe
@nazarenajoseph269511 ай бұрын
Nakufunika kwa Damu ya yesu
@charlesmurimi5925 жыл бұрын
Mkt usiogope, huyu makonda ni mbwa koko mpenda sifa hana haya, magufuli akistaafu ujizike mbwa wee
@ibrahimgwasma2355 жыл бұрын
Kwamba ufisadi utaendelea Kama kawa cyo?
@elikundangoye45588 жыл бұрын
kwa mtindo huo upo uwezekano mkubwa kwa watu kutengenezeana zengwe.
@sarahwalles26074 жыл бұрын
Haswaaaa tena zengwe la kisiasa
@setiseti528110 ай бұрын
Tanzania oyeeeeeeè
@myoutubecom-gg7sb5 жыл бұрын
Nyinyi mume fanya sorry makosa makubwa sana mimi nigependa tumlete kiboko yenu ili atueleze vizuri huyu mzee baraka ndio raha yetu
@SaidHassan-g5hАй бұрын
Mzee wakitambii anazalilokaa mbele ya watu
@michaelsanga38417 жыл бұрын
Hongera sana Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam.
@liverpoolfootballclub99855 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wa Dar oyee
@graciousjerry13228 жыл бұрын
uwiiii uongoz siku hizi hata bure me hapana
@bultuabasalam59978 жыл бұрын
Gracious Jerry 😂😂😂😂😂😂
@zainabuselemani98918 жыл бұрын
😅😅😅😅😅ujanjaujanja daah
@liverpoolfootballclub99855 жыл бұрын
Tanzania oyee
@MonaAlmona-c1n11 ай бұрын
Makonda vika na wilayan mkinga mkoa wa tanga kuna chaangamoto sana Ikiwemo maji ya kunywa na mtandao hakuna minara shida tupu
@duliz20028 жыл бұрын
i salute you Mr Makonda ,Though am not Tanzanian but watching this spear heads all leaders waige mfano wako shenz Type mwizi huyo hata haya halina
@JohnFrancis-t5gАй бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@barakamassawe24546 жыл бұрын
ingelifanywa ivo kwa viongoz wa kubwa ningeona haki
@rahmakapalata63738 жыл бұрын
safi sana baba makonda
@nimrodsigulu20534 жыл бұрын
Hivi hawaoni kinchoendelea marekani?
@taufiqjenseni61975 жыл бұрын
huuu upuuzi utaisha lini makonda acha ujinga
@elizabethkaswa86615 жыл бұрын
Maigizo hayo
@nikkilaizer17078 жыл бұрын
Bigup mkuu wetu wa mkoa
@festusomukhwaya26928 жыл бұрын
Katie Murphy am in USA. text me your contact
@nikkilaizer17078 жыл бұрын
Katie Murphy where ar u find me on face book nikki laizer
@ambrosekituyi21995 жыл бұрын
Where is democracy when one has no right to be heard?
@jamesgebra58498 жыл бұрын
hapa kazi tu
@josurelauwo71047 жыл бұрын
Bashite oyeeeeee
@allanmkumbo39255 жыл бұрын
Apa kazi tu
@Dr.manyaunyau8 жыл бұрын
yani mi nashangaa wale walio taka kumpa pesa za ongo ameshidwaje kuwaka mata jamani pia mbona wanakamatwa wenye viti wa caf na chandema tu
@ibrahimgwasma2355 жыл бұрын
Kwa hiyo wa Cuf au Chadema akifanya kosa ni sawa?
@raphaelsamwel26405 жыл бұрын
Majungu majungu
@edrisalusonge41417 ай бұрын
NOmba jaman mumpenulinzi makonda
@emanuelmsangi63415 жыл бұрын
Haiko Poa hata angepewa oda aende mwenyewe Ange tiii
@bettylichotimkuna57628 жыл бұрын
utasema wako bungeni, yaani tamu
@bakarabajana34335 жыл бұрын
Wanasiasa bwana wanaamrisha wenzao wakamatwe wao wenyyewe mijizi mikubwa tena mifisadi kabisa
@akshaydavid1595 жыл бұрын
Hakika nimeamini mitaani kuna vipaji ambavyo tukivitumia vitaifufua tasnia ya bongo movie iliyokufa.
@ibrahimshilinde61295 жыл бұрын
Tanzania ya viwanda
@mycomputer86628 жыл бұрын
Yote hya yna mwisho
@abuumohamed74818 жыл бұрын
mkuu wa koa wa pwani uko wapi mbona majipu huyatumbui?muone makonda anavyofanya.
@issamakamba55697 жыл бұрын
Wenyeviti wa mitaa ni uozo mikoa mingi sana sio dar tu ...
@RashidRashid-nc8hq5 жыл бұрын
Hujampa nafasi ya kujieleza lakini
@liverpoolfootballclub99855 жыл бұрын
CCM oyee
@mangsonsamson77125 жыл бұрын
Huo ni udhalilishaji mbona ww makonda hujapelekwa mkikimkiki kwenye sakata la makontena au hiyo haikuwa njia ya kukwepa kod?
@asteriambwei72235 жыл бұрын
Makonda ana roho mbaya majigambo maringo kujisikia vyote anavyo iko ck moto atauona
@salmamasoud60558 жыл бұрын
watu wambea
@JackelinaChaula7 жыл бұрын
MAKONTA WEWE NI MKOMBOZI NINAKUKUBARI SANAA
@mwanamisp0fu7605 жыл бұрын
Natamani 254 iwe kama hivi mbona raha jamani
@mosesndahani89126 жыл бұрын
Hata kama ni kweli taratibu zipo kwa hili Mungu atusaidi
@emmanuelmogela58715 жыл бұрын
uyo mwenyekiti ni upinzani lazima angushwe uoni anaelemea upande mmoja
@Davidharles5 жыл бұрын
Hahahahah nimecheka mpaka basi
@amanimkambala81468 жыл бұрын
kaz nzury unayoifanya ongera sana
@rajabumbonaikopoa2saidy8387 жыл бұрын
safi
@omaryshingo39606 жыл бұрын
Kwanini Mwenyekiti hakupewa nafasi ya kujieleza?
@Naju64511 ай бұрын
Mwanaume anajibizana namwanamke ebo
@bititijuma76448 жыл бұрын
makonda Fanya Nazi babaa
@adammj62585 жыл бұрын
Watanzania wengi ni wababaishaji kiutendaji, acha wanyooshane
@thadeiminja18555 жыл бұрын
Hata huku kwetu wapo!ila mbona hawachukuliwi hatua.
@faridimbaraksaid77038 жыл бұрын
bombo sana kaza buti
@bathromeochengula58957 жыл бұрын
kuna maisha baada ya madalaka ya kulevya
@bahatidan47517 жыл бұрын
Madaraka ya kulevyaaaaa duuh haki iko wapi bashite
@yohanakishosha65426 жыл бұрын
Nashangaa kuhusu huyu mama pengine kuna mmoja wa upinzani na mwingine ni wa ccm
@rayyanymissanga47336 жыл бұрын
Mama mkubw hv unamchongea bb wa watu hatahuruma huna duuuuh,,,mtukuzen mungu mtu wenu
@bakariali40268 жыл бұрын
Mbona mawaziri na viongozi wakubwa hawafanywi hivi ,,iyo siyo fair
@kelvin_papaa_ya_warembo83138 жыл бұрын
hayo mengine yako nje ya uwezo wake,,yeye anatekeleza yanayomuhusu
@ARFIddy8 жыл бұрын
vzr sana wajifnze kutokana NA makosa wamesha zoea
@liverpoolfootballclub99855 жыл бұрын
Unacheck out mama wee
@liverpoolfootballclub99855 жыл бұрын
Hamna hela
@ramlak_dramafans88078 жыл бұрын
namuone hurumaa mm
@shaabanmusa51277 жыл бұрын
Ramla K _drama fans yy hakuonea huruma wanyonge wacha tamkute ss