Yaani napenda sana Watanzania. Lugha nzuri, matamshi ya taratibu. Mumebarikiwa sana Watanzania. Yaani mimi nikutamani tu. Ila ningekuwa na uwezo ningehama nije huko. Mwenyezi Mungu amurehemu Dktr. Mengi. Sio matajiri wengi wana upendo usio na kifani kama yeye.
@elfacechongera66485 жыл бұрын
Bigup brother makonda umesema kweli na kweli hakika Amesema mengi ni mchaga Bora kabisa kuliko wengine maana yake aliowahi kuwaona wakifanya aliyofanya mzee mengi-kwani kina mbowe siwapo wameshafanya nn kwa jamii chenye direct Impact? Na je hao si matajiri pia Iwish I could be him there before. Piga kazi Braza makonda God bless you.
@fredreckmwakalinga34755 жыл бұрын
elface chongera unamatatizo ya kiupeo pole cna
@elfacechongera66485 жыл бұрын
Fredreck Mwakalinga Asante.
@johnbernad15295 жыл бұрын
Pole rc Makonda hizo ndio changamoto za kazi Mungu atakutia nguvu
@witnessjosephmtanke47575 жыл бұрын
John John hahahaaa pole tena
@GloryEmmanuel-f3v9 ай бұрын
Mungu awabariki
@manfesto67995 ай бұрын
Makonda god bless you
@godfreylyimo41775 жыл бұрын
Mungu amsaidie ndg yetu Makonda!! Na amini ni kiongozi mzuri sn lkn kila mtu ana udhaifu wake....Kubali kubadilika ndg
@angelsgabriely35755 жыл бұрын
Mbowe acha siasa msibani!..km unabifu zako na makonda kazmalizieni huko gengeni lkn cyo msibani!..umeamua kumzalilisha makonda hazaran iliuonekane we ni safi hauna usafi wowote!.msiban cyo mahali pa kufanyia siasa!.
@Salhamohamedimwampagatwa3 ай бұрын
Ilikanisa liko wapi kwani mbona askofu anabusara sana anaupendo piya
@nicksongerson17073 жыл бұрын
Huyo nahisi mapungufu yake mpka ndani ndio maana hata kuzaa ni shida huyu.. Maana anajiona kama vile anajua sana ..kumbe haeleweki mbele ya jamii .. Mwisho kajitumbua mwenyewe wakati watu wanaogopa kutumbuliwa.
@sanurahyusuph61494 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo
@mamiimangeshomangesho39025 жыл бұрын
Mungu amsaidie sana Makonda ! Hata hayo mavazi hayafanani na kiongozi wa nchi ! Mavazi ya kihuni hayo ! Yana wenyewe !mmmmh
@momylaviel11 ай бұрын
Vipi Kwan Una chuki nae
@sasha-ri7tf4 жыл бұрын
Kazidi kuwatusi wachaga tatizo utawala huu ni wa digiirii 3 wengi wao ni masuti mazuri tu kichwani hamna jambo,
@VeronicaMwandu11 ай бұрын
Makonda. Hajafunzwa. Dah. Anaropoka. Sana.. Kywazidi. Wote
@IssaMtambalike-kw3om Жыл бұрын
😢
@frozen4rozen4755 жыл бұрын
Hehehe makonda na mbowe niwachekeshaji sana
@julessebintu65255 жыл бұрын
Lakini hiki kimakonda wa tanzania munakipendea nini mbona kichani kina maji ?hakika nawapenda wa tanzania lakini hiki kiongozi chenu kinalopoka hakina uzalendo wa kitanzania.mara kinasema wasani,mara kinasema mobeto,mara kinasema mange. Kinajitia juu hakina hakili.sijui kwajua nini MAGUFULI alikitewuwa kikuwe mukua wa daressalaam
@saidmathias88505 жыл бұрын
Makonda jaribu Sana kuwa unafikiria kabla kuongea .kiukwel ulimsifia mpaka ukarbu
@amosthomas18515 жыл бұрын
mbowe Mbinafsi umetaka kuleta ukabila kisa makonda alikuwa kwenye himaya yenu na wew makonda msubilie dar na mbowe tumemnukuu kauli Zake kwa taarifa kambi ya upinzani mlipanga na mkamwambie mbowe awakilishe jaman nasema uongo kama ni uongo abishe Nitoe ukweli wake hapa chini
@GoodluckMushyАй бұрын
Mpuuuzi ww kumbe
@paulmwarabu66853 жыл бұрын
Dr Shoo anakuita uombe radhi, unauliza kwanini? Hujui? Jamaa alikua na dharau sana
@faustinelutwe69014 жыл бұрын
Maigizo hayo ! Msamaha unakuwaga mwepesi kiasi hicho ? Sikia hiyo "TAFSILI NI TATIZO"...... !!
@cherilydavid30665 жыл бұрын
WATZ sisi wote ni binadamu tunafanya makosa saa nyinginge kwa makusudi mwingine bila kujua. Mkuu wetu wa mkoa ni kijana mwenye nguvu, mchapakazi na ana hofu ya Mungu. Kwa hiyo kama amekiri kosa apongezwe mnataka nini tena?
@brightnesskajuna77165 жыл бұрын
Cherily David
@eliahiluka8302 жыл бұрын
Heri wapatanishi matayo 5:8
@AliBaba-zb3tg5 жыл бұрын
Nyege zitamuisha Makonda Next time atajua jisi yakuongea 😂😂😂😂👌👌
@hensongunman16805 жыл бұрын
Ngwajima anajichafua mwenyewe, nahizopicha zauchi nakufanya uzinzi live ni Makonda? Achahizooo
@AliBaba-zb3tg5 жыл бұрын
@@hensongunman1680 Uliona hapa nime mzungumzia gwajima?
@thomasysanga24205 жыл бұрын
Atari sana
@jassonbrown30175 жыл бұрын
Liquid konk konk masta
@charlesmartin95225 жыл бұрын
Askofu anaakili sana
@fatmaaly30564 жыл бұрын
Kwani makonda dini ngani jaman
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
😮
@abuubakalmtangenange43893 жыл бұрын
Jambazi makonda
@beatricehenry71015 жыл бұрын
Ukweli unauma Mbowe.hujafanya chochote.huko kimekuchana na wembe
@fahminasser38555 жыл бұрын
Halafu huyu makonda kiongozi mkuu wa mkoa mnajua hana heshima kabisa kiongozi mkuu wa mkoa unaenda msibani umevaa kihuni nguo za kuchanika magotini kweli jmn kiongozi gani kuvaa mavazi ya kihuni kama mvuta bangi jirekebishe Makonda ww kiongozi usijafananishe kama muokota makopo mvuta unga
@aminabalamamnyawasatnzania8765 жыл бұрын
Kwanza bado hajaomba samahani km mmemsikikiliza kwa makini
@elfacechongera66485 жыл бұрын
Kwani kakosea nn
@immahkobeh12764 жыл бұрын
duh
@lightnesselirehema14645 жыл бұрын
Huyo ni wa kusamehe tu maana hajui hata kama amekosea...
@makachatz Жыл бұрын
Altareni
@japhetbarton82684 жыл бұрын
Naangalia hii kitu leo nacheka saaana
@Papaahansmo4 жыл бұрын
Duhhh!!! Jamani mambo ya aibu mhhhh!!🏃
@khalekichambo11315 жыл бұрын
Kwa kweli wamemdhalilisha sana ingawa alikua ana rekebishwa. Kisha wa kumshauri mavazi?
@petermarco95595 жыл бұрын
jinga sana hili limejawa na kiburi,halijajua pesa ,vyeo vyote tunakufa tunaviacha
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Kaka ako wapi Mbowe fala wewe umeshiliki kubomoa Club yake kisa chuki zako tu sasaivi kumekua parking za magari tu mungu nae hamtupi mja wake awamu ya 5 chali imebaki story tu
@johnsonjusto95645 жыл бұрын
makonda alikuwa hasikii anavyoitwa au ila wamesameheana tena madhabahuni
@priscaurassa58475 жыл бұрын
Unavaa jinsi lililochanika magotini alafu msibani ndani ya kanisa muhuni mkubwa
@khamisfaki46404 жыл бұрын
Itakua hyo sehemu ni ya kihun
@abiniyerdmnyaga53524 жыл бұрын
Makonda unajua bana wasikuxumbue hao Kama Kuna moja umekosea lixifte mazur yote
@fredreckmwakalinga34755 жыл бұрын
Hii ni mpya toka niijuwe dunia
@victormushi66413 жыл бұрын
gonda boy
@mariamsuma30034 жыл бұрын
Simpend makonda mtu mbaya huyu bora ya wachawi kulko makonda
@kassimukipingu53434 жыл бұрын
Makonda amevaa suruali ya chambuu imepasuliwa kwenye magoti.
@cleopamsuya15605 жыл бұрын
Poleni kwa msiba mm mkazi wa moshi lakini nampenda makonda mpenda haki
@frankmwalukuta88885 жыл бұрын
asante katibu wa ccm lakini hayo ya alikuja ofisini kwako aklia mmm yanahusu nini. kama alitubu pale huwa kati yako na yeye
@amosthomas18515 жыл бұрын
Acheni unafiki bila Shaka na ninyi ni wachaga
@fidelfemba16434 жыл бұрын
Siasa hadi kanisani
@witymuro4904 Жыл бұрын
Mhhhh
@VeronicaMwandu11 ай бұрын
M
@andrewmhagama10425 жыл бұрын
aliyeitwa ni Makonda Muro unaenda wapi mbona hutulii?
@janesuma21935 жыл бұрын
makonda apunguze kukurupuka na kauli zake za hovyo ni mchapakazi mzuri ila mdomo mmh ana kauli mbaya sana
@mohamedkaraturamohamedkara10854 жыл бұрын
Safisanaaaaa mchungaj
@sophicatesalim97575 жыл бұрын
Nimefurahi huo ndio ubinadamu hakuna alie kamili hongera
@jenyyusuph49734 жыл бұрын
Sijaelewa msamaha ya nini
@josephmateru88925 жыл бұрын
Kusema Za Kweli Makonda Kiburi Cna Hakibadilika Hapo tu Nimtu poa Cna Hapunguze Kujikweza Lakin Kulewa Madaraka
@godwinchengula36215 жыл бұрын
Makonda hata boss wako anaona kibri kimezidi unampa raisi watu wakati mugum
@amosthomas18515 жыл бұрын
Godwin Chengula kibuli kipi kwani hayo mambo yapo kiserikali
@godwinchengula36215 жыл бұрын
@@amosthomas1851 hatakama selika ni sisi bila sisi selikali haiwezi kuwepo
@amosthomas18515 жыл бұрын
Kwani mnamsema makonda alikuwa uchi mbona ni vitu vya kawaida wewe ulitaka avaaje
Mm sielewi aricho kisema makonda nanukuru maneno ya makonda mzee mengi ni mchaga bora iro ndio neno baya jamani mbowe nikipi aricho kichukia mbowe ana ela kibao sijawai kumwona ana waita walemavu na kula nae chakula kwa pamoja eeh tuache kumchukia makonda bira sababu mbona ata marais uwa tunasikiaga rais kutajwa rais Bora jee awo wengine sio marais apana ila watu wanaangaria kafanya kitu gani na ndumana wakakupendekeza kukuchagua rais Bora na ata wachezaji na Kuna mchezaji Bora kwani wale wengine sio wachezaji acheni kumchukia mtu bira sababu na mm nasema Tena mzee wetu mengi ni mchaga bora na ata tokea Tena mchaga Kama yule kuita walemavu na kula nae chakula mm namsapoti makonda
@priscaurassa58475 жыл бұрын
Kiswahili shida eti tafasiri
@martinhp15304 жыл бұрын
Wanatuletea comedy katka inch yetu .sasaivyo c vtuko
@salimmwaim38165 жыл бұрын
sojaona kosa la makonda,kwel tz n vichwa vya,wendawazim siasa msiban diiih
@witnessjosephmtanke47575 жыл бұрын
salim Mwaim ungekuwa.mchaga ungejua maana
@aureliabernadi41704 жыл бұрын
Mbona hajaomba msamaha sasa?
@mwanshageorge29834 жыл бұрын
Acha zalau wewe kamera zilikunasa unamfunga MTU kiatu,Mh,mbowe tunajua busara zako wakati mwingine kuonyesha nawewe ni binadam mwenye royo maumivu usingeenda at a mazabahuni apo
@nessa48995 жыл бұрын
Makonda achana na Gwajima wewe unapata mikosi ya bureee,
@Poweredbymediaministry5 жыл бұрын
Ila kwel eeh
@angelsgabriely35755 жыл бұрын
Mbowe acha siasa msiban!..km unabifu zako na makonda kazmalizieni huko gengeni lkn cyo msiban!.umeamua kumzalilisha mwenzio msiban ili uonekane we n safi!.hauna usaf wowote!acha siasa mcbani!
@magrethmollel10784 жыл бұрын
wewe huwezi kubali madhaifu yako una kiburi cha uzima Makonda
@allymsuya66555 жыл бұрын
Kwani kulikuwa na bifu kati ya Bashite na Mbowe au Bashite aliropoka?!?! Na nyie ripotas kuweni na akili basi. Acheni uchurouchuro
@hemrodngunga99675 жыл бұрын
msamaha ni neno dogo lkn linauzito ndan yake.. plz, 2samehe na kumwombea mzee we2 apate raha ya milele na mungu amwangazie nuru yake huko alipo
@edwinalexander11705 жыл бұрын
Naona jamaa amechomolewa na Baba Askofu
@geraldkalima71835 жыл бұрын
Tatizo shule
@mbwanarajab72385 жыл бұрын
Hivi kweli msibani watu wataogopa kwenda sasa..tumegeuza misiba kuwa majukwaa ya kuwadhalilisha na kuwalipizia watu visasi,hii haikuwa desturi ya waafrika..kwani mngemwita makonda huko ndani na wakaongea tofaut zao na kumalizana heshima yake km mkuu wa mkoa ingebak pale pale..lkn si mbele za watu na huku kuna msiba...angalia michango ya watu kwenye hili tukio utajua madhara hapo..kuna ukabila umeingia hapo,kuna udini mambo ya gwajma,kuna siasa, kuna waliojeruhiwa ktk matukio ya kurekebishana juu ya sheria mbalmbl ....