Ruge Mutahaba: Kama Makonda Hakutaka Nije Hapa Kwanini TEF Mliniita?

  Рет қаралды 259,306

Global TV  Online

Global TV Online

7 жыл бұрын

SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
Ruge Mutahaba; Kama Mkuu Hakutaka Nije Hpa Kwanini Mliniita?
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
Muda mfupi baada ya Ruge Mutahaba, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, kukutanishwa na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na jukwaa la wahariri (Tef) kwa lengo la kusuluhishwa, Ruge ametoa msimamo wake ambao ndiyo msimamo wa Clouds Media.
Ruge alianza kwa kusisitiza kwamba yeye hajawahi kuwa na ugomvi binafsi na Makonda bali alichokuwa anakifanya, ilikuwa ni kusimamia haki ya chombo anachokiongoza, Clouds Media ambacho ndicho kilichokosewa na mkuu huyo wa mkoa.
Akasema kwa sababu ameombwa na mkuu wa nchi, mheshimiwa rais kulimaliza tatizo hilo, haoni sababu ya kuendelea kushikilia msimamo wa kutofanya kazi na mkuu huyo wa mkoa.
Katika mkutano huo uliohudhuriwa pia na waandishi wa habari na Makonda mwenyewe, mkuu huyo wa mkoa alikuwa mgumu kuomba radhi kwa kile alichokieleza kwamba hakukuwa na kosa alilolifanya.
“Baada ya jambo la leo msimamo wa CLOUDS MEDIA GROUP ni uleule tuliokua nao toka siku ya jumamosi baada ya kupatanishwa na Mh. Rais, siku ile alivyotupatanisha sisi kama Watanzania hatukua na budi zaidi ya kukubali na kurudi kwenye uhusiano wa kiuweledi.
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .

Пікірлер: 316
@michaelpaschal7560
@michaelpaschal7560 7 жыл бұрын
This Man is smart, Ruge deserves more than being a CLOUDS MEDIA PROGRAM DIRECTOR....Salute
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 5 жыл бұрын
Wangapi leo ndio mara yao ya kwanza kuona hii vdeo ya ruge baada ameshafariki, tujuane apa bc kwa kucomment R.I.P ili aendelee kupumzika kwa amani uko.alkoenda.
@salomejovini4587
@salomejovini4587 5 жыл бұрын
Nafisa Mohamad apumzike kwa amani
@happykisite3990
@happykisite3990 2 жыл бұрын
Mie pia
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 Жыл бұрын
Mimi jamani
@kisakahagai8827
@kisakahagai8827 7 жыл бұрын
hakuna mtanzania kama ruge busara zako mungu pekee anajua
@daimavlog
@daimavlog 7 жыл бұрын
Ruge juu jamani, akili zako siyo za nchi hii. Stay blessed.
@magrethissayah5365
@magrethissayah5365 7 жыл бұрын
Awe mkuu wa mkoa ruge hadi watoto wadogo wauze unga
@happinesssechome2176
@happinesssechome2176 5 жыл бұрын
Bless ruge
@elishakyamba8904
@elishakyamba8904 5 жыл бұрын
mungu ailaze pema roho ya mpambanaji daaah! tutaikumbuka sana mema yako
@hajikulunge5778
@hajikulunge5778 7 жыл бұрын
Safi sana ruge una busara sana na busara na hekima ndio msingi wa kila jambo
@wemakalam3233
@wemakalam3233 5 жыл бұрын
Maneno kuntu kiongozi mahiri rest in.peace ruge mutahaba genius with brain kifaa cha taifa kimepotea kazi yamungu haina makosa.
@yousupjabri7304
@yousupjabri7304 5 жыл бұрын
Hii interview imeniumiza sana...allah akusamehe pale ulipo wahi kumkosea kama binadam na akufanyie wepesi..
@oman11oman59
@oman11oman59 5 жыл бұрын
Makonda ameshikwa na aibu amekaa kama lowasa tutakumbuka sana kiongozi wetu pumzika kwa amani.mungu wetu wa mbinguni akulinde
@greckikunya8831
@greckikunya8831 3 жыл бұрын
Namuamini sana Mungu analipa Duniani hata iweje! Mungu akupe raha ya milele Ruge sitakusahau mafundisho yako. Amen
@helencyprian8745
@helencyprian8745 2 ай бұрын
Wakati wa Mungu ni sahihi sana, watu wanaviburi vya madaraka
@mathewbicco7841
@mathewbicco7841 7 жыл бұрын
Very smart upstair. Ruge I salute you brother
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 5 жыл бұрын
Yani UWAZI WAKO NA MISIMAMO YAKO NDIO INAKUPA HIGHER STANDARDS za UJASIRI And defines you WHO YOU ARE . R.I.P. brother RUGE Daaa eebanaa umenyooka hupindishi just because of somebody who is he or she 🙌🏾🙌🏾 Mungu akupokee peponi kaka Mtu mwenye msimamo Mtu mwenye kuamini asemacho 🙌🏾. RIP the genius
@iviejustified8109
@iviejustified8109 7 жыл бұрын
Ruge ukimaliza hapa nyamaza chief... upo right track brother
@beatricehenry7101
@beatricehenry7101 5 жыл бұрын
Mungu akulaze maali pema peponi
@alihujjat5945
@alihujjat5945 2 жыл бұрын
Ruge one of the most divine souls I've ever met in my life time humble shy honesty a true friend when it counts most authentic talents may God bestow rest your soul in peace tutakukumbuka daima brother
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 7 жыл бұрын
Ruge uko vizuri brother.. tuko nyuma yako cku zote kwasababu unasimamia ukweli.
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 7 жыл бұрын
Hongera Ruge, una busara sana, mungu akuzidishie, mengine tumwachie mungu
@malilaclement539
@malilaclement539 5 жыл бұрын
Bifu siyo kabisa aiseee kwnini kuishi na machuki siyo kabisa
@rakhimrahman6684
@rakhimrahman6684 2 жыл бұрын
This guy had sweet mind 4sho.. RIP ma home line❤️
@jessemhally55
@jessemhally55 5 жыл бұрын
Very smart person...rip brother,you were the best..
@sephaniakajange3694
@sephaniakajange3694 7 жыл бұрын
Mungu akuzidishie ruge unatumia sana busala
@rehemamshiko6753
@rehemamshiko6753 Жыл бұрын
I miss you Ruge 😭😭😭
@meddyyassin4741
@meddyyassin4741 2 жыл бұрын
Makonda is true definition ya madaraka ya kulevya,,,Ruge was so wise.
@markanthony5628
@markanthony5628 7 жыл бұрын
Ruge for real unafaa kuwa kiongoz unazo busara mnooo Mungu akubariki bro!
@queenmama2033
@queenmama2033 3 жыл бұрын
Presdent indeed
@jamilalauresy5312
@jamilalauresy5312 5 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu ruge peponi ameni
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 5 жыл бұрын
Smartest Creature, Professor, Genius Creature, Mastermind, Rest Easy Scorfield of Tanzania Entertainment Industy
@goodluckaugustino6981
@goodluckaugustino6981 7 жыл бұрын
respect kwako kaka ruge nakueshimu kwa hekima zako
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 7 жыл бұрын
Daaah Ruge Ana akili sana huyu Jamaa,alafu anaongeaga point sana,yaani unamuelewa sana,ruge kweli kidumeeee,wewe Ndiyo ungekuwa mkuu wa mkoa bhana
@micmoll4080
@micmoll4080 5 жыл бұрын
Jamani si huyu angekuwa tu waziri wa mawasiliani...ai Mungu...such brilliant brain...RIP.
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 жыл бұрын
Kweli vizuri havidumu, Ruge kweli ulikua na busara sana, unajua nini cha kuongea na wapi!? Sijui kwanini Mungu hua anachukua watu wazuri na wasio na maana yeyote wanabaki, RIP Ruge
@rosemarymlaki2270
@rosemarymlaki2270 5 жыл бұрын
Sure
@aishamabiruhatar5932
@aishamabiruhatar5932 5 жыл бұрын
Yani km angekuwa rais Tanzania ingekuwa mbali sanaa R.IP RUGE
@janengowi3011
@janengowi3011 5 жыл бұрын
Ruge ulikuwa na busara na hekima sana pumzika kwa amani
@suzzannecleansitall2203
@suzzannecleansitall2203 5 жыл бұрын
Ili wasije haribika
@mamadona4221
@mamadona4221 5 жыл бұрын
dah tumepoteza kichwa, tulie na nani jamani😭😭😭😭
@justineulimule6530
@justineulimule6530 3 жыл бұрын
Rest in peace Ruge Mutahaba.
@user-fe5rc4sc7t
@user-fe5rc4sc7t 7 ай бұрын
I will remember your legend forever,R.I.P
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 7 жыл бұрын
Ruge nafurahi kuona shule yako, hizo degree zinakusaidia. Kweli shule huleta maarifa. Simlaumu Makonda pia, historia ya shule yake inajihiridhisha hapa. Kwa vile umeisha mjua wee piga kazi kama Raisi alivyoomba, mara nyingi watu wenye mapungufu ya kielimu na wakapata madaraka lazima atataka kuonekana muhimu, wewe jishushe, piga kazi, only God can pay for your hardwork.
@delphinacharles1304
@delphinacharles1304 7 жыл бұрын
I love Jesus thanks for ur point , Ruge kama anasoma comment za watu nahis atumie ya kwako kuifanyia kazi itamsaidia
@pendomarco7161
@pendomarco7161 5 жыл бұрын
RIP kaka Ruge
@alphoncekagoshi941
@alphoncekagoshi941 5 жыл бұрын
Ruge is smarter than everyone inside the room.
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 5 жыл бұрын
Pumzka kwa aman xana boss Ruge, hakika ulkua mweny utash mkubw mno mungu alikujaalia. R.I.P
@valleythegreat4651
@valleythegreat4651 5 жыл бұрын
Remain In Power Muhaya Mwenzangu
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 5 жыл бұрын
Inauma sana
@suziejoe4187
@suziejoe4187 4 жыл бұрын
He was a very wise and humble man
@mandadavid6691
@mandadavid6691 5 жыл бұрын
the man is smartest... RIP boss
@aminaathumani9546
@aminaathumani9546 5 жыл бұрын
Innallah Wainahillah Rajuuna. Poleni sana wa na family wote.
@hopepius5590
@hopepius5590 7 жыл бұрын
nakuelewa sana ruge
@sophiaclemence6076
@sophiaclemence6076 7 жыл бұрын
True
@idayagangs124
@idayagangs124 5 жыл бұрын
Hatari sana
@tixboymusiciantz
@tixboymusiciantz 5 жыл бұрын
Mpige kwa point speach tunanyanyaswa sana na hao watu wanaotumia uongoz vibaya uongozi sio nguvu bali ni busara
@miltonmugisha1805
@miltonmugisha1805 5 жыл бұрын
Rugeee,,, tutakukumbuka sana mzee
@mfalmegideon3987
@mfalmegideon3987 7 жыл бұрын
Ruge Mutahaba Your Too Wise Brother
@merrymakuli7132
@merrymakuli7132 5 жыл бұрын
wow nice Ruge
@shakiradnan9014
@shakiradnan9014 7 жыл бұрын
sifa moja wapo ya mwana habari ni kuchambua mambo ni uweledi au kisomi Ruge wewe mfano wa mambo mengi sana hasa kwa Vijana wa Leo Hapa nyumbani na pili tuache ushabiki Makonda hana sifa ya kuitwa Kiongozi kwa mambo mengi saaana
@petermgosi2111
@petermgosi2111 7 жыл бұрын
luge broo unaeducation ya maisha na uongoz bigup
@BarakaWaya
@BarakaWaya 5 жыл бұрын
RIP mtu muadilifu, msema kweli
@erisonkadas8915
@erisonkadas8915 5 жыл бұрын
Ndipo hapo sasa watu kuuona uthamani wake na mengi hujulikana sana baada ya mtu kutoeka ruge alikua na hekima tangu kuishi kwake wala hakuwahi kuwadharau viongozi wa idara yoyote aliyoyafanya yalionekana akiwa hai na hawakuyasifia wenye roho kuntu lakn Leo amefariki ndo yamevumbuka na kuekiti wameumia sana kwa kuziona kazi zake kuweni na utu wote waliofanya kinyume na mapenzi ya mungu wakumbuke jicho la mungu halifichwi lisione maovu rest in peace ruge shujaa uliesimamia haki yako na ulichokifanya kiwe fundisho kwetu sote ni huko tutarejea r.i.p boss
@huserehema8618
@huserehema8618 5 жыл бұрын
R.I.P. tutakukumbuka. daim milele😭😭
@wilhelminastanley2221
@wilhelminastanley2221 7 жыл бұрын
safi sana boss ruge we in kichwaaaaa
@latifahsalum3479
@latifahsalum3479 5 жыл бұрын
RIP Ruge tumeumia watanzania
@kelvinshirima6139
@kelvinshirima6139 4 жыл бұрын
Du, rest in peace boss ruge
@aishamasudi4806
@aishamasudi4806 5 жыл бұрын
Rest easy uncle genius
@williamnchimbi4482
@williamnchimbi4482 7 жыл бұрын
ruge unaakili nyingi sana hekima na busara
@lastsimbatv1497
@lastsimbatv1497 Жыл бұрын
2023 still watch hapo makonda na ruge makonda kapiga kelele ruge kaongea kwa fact yani kimtokacho mtu ndo alichonacho kichwan
@johnmarco4617
@johnmarco4617 7 жыл бұрын
Shkamoo Ruge,Falsafa nzito,akili mingi na unakiri kukubali liishe kwa maagizo 😂😂😂😂😂
@omarhemedmohamed7938
@omarhemedmohamed7938 7 жыл бұрын
ruge 1996 ndio anamaliza degree yake huko san diego Calirfonia merikani sasa huyu msukuma makonda sijui alikwua wapi.unalinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro?
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 5 жыл бұрын
Alikua darasa la 4😂😂😂😂😂
@neemaramadhani3783
@neemaramadhani3783 5 жыл бұрын
😂😁😀😁😂
@damasnicodamas3209
@damasnicodamas3209 5 жыл бұрын
omarhemed Mohamed
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 жыл бұрын
Hahaha jamani
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@andrewombay5957
@andrewombay5957 7 жыл бұрын
kiongozi wa aina ya makonda ndio maana zamani vijana walikuwa hawapewi nafac za uongozi cz ya kukosa hekima
@alexandrinadomaino1085
@alexandrinadomaino1085 7 жыл бұрын
Andrew Ombay on point
@saltanal-amri3950
@saltanal-amri3950 5 жыл бұрын
Huyu angekuwa Rais Tanzania tungekuwa mbali sana na maendeleo kwakweli R.i.p ruge
@masaimara3750
@masaimara3750 7 жыл бұрын
Thumbs up #Ruge
@upendosanga3328
@upendosanga3328 7 жыл бұрын
ruge i luv yuh u u u u so so so mwaaaaaaah
@modemapunda9665
@modemapunda9665 5 жыл бұрын
Pumzika Kwa amani kaka ruge Mungu wetu alilaze roho yako pahalapema peponi amina
@thetreasure2230
@thetreasure2230 7 жыл бұрын
One of the very few wisest men alive. Ruge Mutahaba. I salute you brother. JPM unamuona huyu kichwa lakini?
@hamisimusa8520
@hamisimusa8520 5 жыл бұрын
Kiukweli jamaa alikuwa na busara sana mpole sana
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Leo umelala bila kuombwa msamaha😭😭😭😭😭😭
@majidfundi8624
@majidfundi8624 7 жыл бұрын
maneno ya busara sana mungu atasimama nawe
@festontandu1747
@festontandu1747 7 жыл бұрын
Ruge anajua kujieleza
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 жыл бұрын
Alionekana kama anaumwa flani hivi..sema yote mipango ya mungu..jamaa amegusa sana maisha ya watu..huo msiba hata watafuta kiki za misiba hawakuweza kuudandia ..wiki nzima anatrend Ruge ..
@kairanmahmoud5234
@kairanmahmoud5234 5 жыл бұрын
kila nafsi itaonja umauti ..mbele yako nyuma yetu ruge
@johnngowi9221
@johnngowi9221 7 жыл бұрын
Mimi naona nibora RUGE angekua ndio mkuu wa mkoa kuliko Huyo zero brein.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
John Ngowi bora yako siyawengine ndio ishakua hivyo usivyopenda ww anavyopenda mungu
@joashnyabange8830
@joashnyabange8830 7 жыл бұрын
Acha upumbavu
@daimavlog
@daimavlog 7 жыл бұрын
jeny yusuph Mungu gani unayemsema wewe? Au kwenu Magu ni mungu? Pyee
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
Cymah Wandelt fikra mbovu magu anauwezo wakumzimamisha mtu? makonda kazimama kwauweza wamungu ingekua kwaweza wamtu asingekuwepo mpaka leo kwanavyomchukia
@daimavlog
@daimavlog 7 жыл бұрын
jeny yusuph ndo maana nimesema mungu na hii ni Mara ya pili nasoma maandishi yako, mungu na Mungu ni vitu viwili tofauti. Mungu hayumo kwenye huo upuuzi. Kasimamishwa na Magu na hakuna Mungu alimsimamisha mzandiki. Mungu hayuko hivyo wewe. Kasome vitabu vya dini. miungu kama ulivyosema ndo imemsimamisha Makonda not Mungu. Ungejua fikra zako zilivyombovu hata husingethubutu kuandika uandikayo. Uwe na siku njema.
@peacesmart534
@peacesmart534 7 жыл бұрын
Daah
@nicken3250
@nicken3250 5 жыл бұрын
Dahh...nakonect dotes tu..
@mbondokambi8053
@mbondokambi8053 5 жыл бұрын
R.I.P bro...,,,ulikuwa na upeo Mkubwa sana...
@shabanishabao4936
@shabanishabao4936 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂et hakuna cha kuomba radhi jeuri sanaa makondaaa
@leolaswai2762
@leolaswai2762 5 жыл бұрын
this Guy was exceptional,believe that,whoever says otherwise its definitely a downplay of his capacity.may your soul rest in eternal peace.
@mtagechota1002
@mtagechota1002 5 жыл бұрын
Daah makonda nakuona kama funzaa wa chooni😭😭 shetani wew
@radhiasalum833
@radhiasalum833 7 жыл бұрын
yaishe tu jamani dunia mapito
@nassorsaid2331
@nassorsaid2331 7 жыл бұрын
Daah ruge una busara na akili sanaa...siyo ilo poyoyo linaropoka tu huna sifa kabisa ya kuwa kiongozi MAKONDA
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
Nassor Said kwako hanasifa kwaengine inazo
@nassorsaid2331
@nassorsaid2331 7 жыл бұрын
jeny yusuph we bwege kweli kwani umeambiwa account ya wote hii dats my personal opinion
@TeamKRX
@TeamKRX 5 жыл бұрын
Mbavu zangu🤣makonda 💰🤯
@adelinakyakabanja6241
@adelinakyakabanja6241 5 жыл бұрын
R,l,P .kaka ekima nabusara zilitawala sana akiliyako tunakukumbuka nasals tunakuombea rohoyako ilipo mpendwawetu
@abdallahmtale4060
@abdallahmtale4060 2 жыл бұрын
Ruge was so Strong.
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 7 жыл бұрын
Kweli ruge.
@mwalyanga_94
@mwalyanga_94 7 жыл бұрын
genius ruge
@babangida322
@babangida322 7 жыл бұрын
ruge ana hekima sana
@mtagechota1002
@mtagechota1002 5 жыл бұрын
Ruge nataman ata ufufuke 🌱🌹🌱🌹❤
@roryayetuonlinetv8578
@roryayetuonlinetv8578 5 жыл бұрын
Aiseee Ruge....daaaa
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
Ruge baba una akili kubwaz sana! yaan wewe na mkeo mnajitambua sana
@robertmitawasilaizer5224
@robertmitawasilaizer5224 7 жыл бұрын
he's sittin there like a programmed robot
@neymamchau6286
@neymamchau6286 5 жыл бұрын
Rip ruge
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 5 жыл бұрын
Rip Scolfied!!
@mrsmo.1555
@mrsmo.1555 5 жыл бұрын
Ruge alikuwa n.a. akili sana aiseee R.I.P😭
@venancebasil4656
@venancebasil4656 7 жыл бұрын
Safi sana Ruge kwa kuongea pointi
@felixkilave9171
@felixkilave9171 6 жыл бұрын
Kwa huu msimamo wa Ruge nimeuelewa sana uko njema sana Mzee baba Ruge Hakuna kutetemekea mtu kisa madaraka ya Dunia sisi sote ni udongo tuu
@darlinmamawatatu6411
@darlinmamawatatu6411 5 жыл бұрын
Ruge rest in peace
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@happygodwine687
@happygodwine687 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anaakili sana afu ni mkweli ndio raha ya elimu iyo sio ilo Zero Brain Apo pemben
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Zero brain. Uliovaa suti
@lukelombilinyi815
@lukelombilinyi815 5 жыл бұрын
Dah R.I.P
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Kwa Mungu kuna kazi kubwa mno.. Awamu ya tano watu wengi walikufa Vifo vya ajabu Mno , ila Mungu akamnusuru Lissu .. Wote watakutana huko kwa Mungu
@adammafaiba8653
@adammafaiba8653 3 жыл бұрын
genius mungu akurehemu ulipo
@upendosanga3328
@upendosanga3328 7 жыл бұрын
daaaaaaaaaah hadi raha
@reecardocompus9668
@reecardocompus9668 5 жыл бұрын
tusiyumie digital platform vibaya elimu yako ya habari ndo inakufundisha hvyo? TCRA wanatakiwa kuwachulia hatua watu kam nyie unaandika title tofauti na unahokisema huo ufara dudadeki mtabarika lini kwann usiwe muwazi kwenye habari unayoitoa
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 5 жыл бұрын
Ruge wewe ni jembe,mwili umekufa ila mawazo yako yataishi milele.
@mwaijaramadhani6662
@mwaijaramadhani6662 7 жыл бұрын
Jmni dah mwisho wa siku nape ndo keshaonekana mkuda duh maisha haya jmni
Makonda Akataa Kuomba Radhi Clouds Media Sababu Hizi Hapa
9:16
Global TV Online
Рет қаралды 175 М.
Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga
10:39
Global TV Online
Рет қаралды 12 М.
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 47 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 149 МЛН
Ruge Mutahaba 2 Years Memorial Documentary
10:29
Tanzania House Of Talent THT
Рет қаралды 3,1 М.
Mkasi | S13E10 with Ruge Extended Version
40:28
MkasiTV
Рет қаралды 531 М.
Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo
20:09
Millard Ayo
Рет қаралды 286 М.