Makonda ataja majina wanaotakiwa kufika Kituo cha Polisi

  Рет қаралды 54,213

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Makonda ataja majina wanaotakiwa kufika Kituo cha Polisi
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 127
@mordally
@mordally 7 жыл бұрын
Very easy, nunua smart TV, unganisha online kama unataka jirani yako nae afaidike nunua sender and receiver anagalia movie online unayotaka bureee sasa ya nini kupigana vikumbo? hii ni nchi huru na kila mtu anatakiwa kufuata sheria na kanuni na sio kuvunja sheria au kushurutishwa kwa maslahi ya mtu mwengine, wasanii tengenezeni filamu zenye maadili na mafunzo, ziwe na muda wa kutosha na sio dakika 50/50 za part 1 na 2. tumieni pesa mpate pesa na sio kutengeneza filamu zisizo na kichwa wala miguu, hili mlitakalo litafanya sasa watu waingie vichakani na kuanza kufanya biashara ya vificho na matokeo yake ile kodi ya mauzo itapotea kabisa. swali la kizushi, kwa bangi ni halali? je hauzwi? mbona mpaka sasa inauzwa na watu wanavuta kila siku. tafadhali hili suala liangaliwe kwa makini badala ya kukurupuka na kutoa maamuzi ambayo si sahihi. tulianza kuangalia movie za kihindi na kichina toka enzi za mwalimu. leo hii itakuwaje? hapa busara itumike na sio kulalamika. kama msanii anauza haki miliki ya kazi yake unategemea nini? anaona vimilioni vichache ni mali kwa muda mfupi lakini madhara yake ni makubwa.
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
safi sana kazikazi jambo zuri sana binafsi naunga mkono %100 miaka 50 ya uchakachuaji imetosha sasa ni Haki Tu.
@deusdedithkitaly8337
@deusdedithkitaly8337 7 жыл бұрын
c watadownload tu jamani
@yusuphsamwel7949
@yusuphsamwel7949 7 жыл бұрын
Mimi siyo muongo, move zenu mbaya kwele
@salhaayoubalmas7127
@salhaayoubalmas7127 7 жыл бұрын
mnao subiri vyeti vya Makonda poleni sana
@killerbona5018
@killerbona5018 7 жыл бұрын
Nyie katazeni kuban cd sio kukataza movie za nje zisiingie 2sipangiane movie za kuangalia bwana
@bahariahd6299
@bahariahd6299 7 жыл бұрын
Hongera mnyama piga kaziii
@sophiayahya6889
@sophiayahya6889 7 жыл бұрын
Mkizifungia Dar ntaagizisha kwetu ntatumiwa kwenye basi
@casineobote9989
@casineobote9989 7 жыл бұрын
natena naomba mungu atie kofuli kumi zionwe kama mavi.yaaani mtu akitazama ni kama kutabikaaaaaaaaaa🙋
@josephgomalo41
@josephgomalo41 7 жыл бұрын
We onesha vyeti tukuelewe.. acha ubabaishaji..!
@anniemtambo3460
@anniemtambo3460 7 жыл бұрын
Joseph Gomalo Yani utasubiri sana vyeti Kaka yangu makonda ni yule analipwa kila mwezi.Sasa nyinyi mnaosubiri vyeti Haya Poleni
@dct4lif
@dct4lif 7 жыл бұрын
Vyeti atoe wapi ?
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
Jose kuwa mwelewa, ukuu wamkoa hutumii chet kupata. pia uongizi c chet wala Elimu.ndio maana makonda tunamtaka aendelee kwakuwa anacho Fanya ndicho nchi inahitaji
@vanishtv6887
@vanishtv6887 7 жыл бұрын
Emmanuel Mlowe kosa syo cheti kosa ni kufoji cheti na Kula kiapo kufanya kazi kwa vyeti feki,huo ni udanganyifu,kuwa mwelewa ww kwanza,hujui kama wengne wamefukuzwa ajira kwa kufoji cheti? kwan wenyewe hawakuwa wanafanya kazi???
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
naomba use mwelewa, chet chake hakikutumika kupata kazi y ukuu w mkoa.
@suzyjames4968
@suzyjames4968 7 жыл бұрын
umenifurahisha sana mkuu wangu wa mkoa
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 7 жыл бұрын
hii ni njia lakini sio njia bora..not best way...kuna internet watu sikuhizi tunaangalia online.
@MegaVenance
@MegaVenance 7 жыл бұрын
Yaani nikanunue Bongo Movie Hahahahahahahaha Dear Torrent I deadly still love you so Much
@jasminasha9551
@jasminasha9551 7 жыл бұрын
Naona kunampango wa kuwapoteza mastaa wa kibongo kumbe sinema bado inaendelea Hahahahaaaaa naisubiri sinema mzuri yenye jina B. Vyeti👍 Naisubiri kwa hamu saaaana
@mabulamushilu9104
@mabulamushilu9104 7 жыл бұрын
hazna mvuto wowote hzo bongo movie
@fullpower1951
@fullpower1951 7 жыл бұрын
Hamna MTU anataka movie zisizo na ubora wala maadili
@sophiayahya6889
@sophiayahya6889 7 жыл бұрын
Mie hata muandamane hapa na Uk kwamiguu sinunui cd yenu..Sibora nkanunue unga kilo2 hizo elfu4..move zenyewe umalaya mtupu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
sophia yahya towbah!
@gurustudiostv9956
@gurustudiostv9956 7 жыл бұрын
Tatizo la bongo muvi hawapendi kufnya vitu vifuatavyo;- 1. Kuwekeza fedha ili wapate kazi nzuri 2. Hawapendi Kuajiri wataalamu waliobobea katika kamera, editing, sound track, location, pants. 3. Hawataki kununua story nzuri zinazofurahisha 4. Hawapendi kujiendeleza kielimu hasa kwa kile wanachokifanya 5. Si wabunifu... Hizi ni sifa alizowahi kuwa nazo marehemu KANUMBA ambazo zilichangia kazi zake kuwa nzuri na kupendwa:- 1. Alikuwa ni mcheshi kwa asili, hivyo alivutia kabla ya kazi yake 2. Aliipenda elimu ya kazi yake, alijiendeleza katika fani ya filamu 3. Alikuwa mbunifu na mtundu wa sanaa 3. Hakupenda kufanya muvi zenye mtiririko wa stori moja wala kuvaa uhusika mmoja kama wengine 4. Kanumba aliipenda, aliiheshimu na kuijali kazi yake pamoja na crew yake nzima na ndiyo maana kifo chake kimerudisha nyuma na kupoteza waigizaji wengi wazuri kama akina SELENGO, ANTI EZEKIEL, TEA, PACHO MWAMBA, IRENE PAUL, MAYASA, KAJALA, STEVEN SHAYO..... 5. Aliaminiwa na taasisi kubwa zisizojihusisha na filamu lakini ziliweza kumfanya awe na stori nzuri mno, mfano KIJIJI CHA TAMBUA HAKI ilivyodhaminiwa na policy forum. Binafsi nilikuwa ni mdau mkubwa wa filamu za bongo hasa za marehemu Kanumba, nilifanikiwa kununua na kuangalia muvi zake kwa asilimia 99.9% ambazo hadi leo ninazo nyumbani na ninapopata wasaa huwa naziangalia na wanangu na wanazipenda sana.., lakini alipofariki hali ilibadirika ghafla hata wale waliokuwa wanaonekana ni tishio kwa Kanumba wamepoteana vibaya mno. Yuko wapi Ray? Anazunguuka mlemle na na stori na uhusika ule ule. Kwa sasa nimehamia kwa BOTO, MAU FUNDI, KINGWENDU, TINI WHITE, RINGO. #BONGO MUVI WAJIPANGE KUZALISHA KAZI NZURI..
@sharondivine2797
@sharondivine2797 7 жыл бұрын
Safiii
@sharondivine2797
@sharondivine2797 7 жыл бұрын
safiii
@fafi9092
@fafi9092 7 жыл бұрын
Mnataka vyet mlimuajir aliemuajir kamwambia apige kaz
@doramsuya5135
@doramsuya5135 7 жыл бұрын
Fafi 90 toa vyeti wewe achalongolongo...
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
onyesha vya mamako. makonda juu
@doramsuya5135
@doramsuya5135 7 жыл бұрын
Emmanuel Mlowe ..wewe Mama yako anvyo msenge wewe kafirwe nyumanyuma nyuma huko ovyoooooooooo........
@joisytimbul3491
@joisytimbul3491 7 жыл бұрын
mmechemka atununui kazi mbovu
@ricksamthecrow
@ricksamthecrow 7 жыл бұрын
Sasa we braza Daudi unakataza Muv za nje wkt n wewe n mfatiliaj mzuri w izo czon... Yan umeztaja kwa majina kabsa..
@lemastanley2661
@lemastanley2661 7 жыл бұрын
walioandamana wote ni mabashite tu...yani badala ya kutafut njia watakayotumia kuongeza ubora wa kazi zao ili zipendwe na kununulika kuliko za nje wao wao wanavalishwa t shirt na bashite sijawahig kuangalia movie zenu nyambafu na wala sjawahig kufikiria huo ujinga
@ramadhanibrahim7619
@ramadhanibrahim7619 7 жыл бұрын
Bongo Movie jipangeni tn Mbona za Kanumba zilinunuliwa km njugu na za Inje zikiuzwa pia why sasa jiulizeni mmekosea wapi? Kuanguka c kuteleza wa kufanya ziuzwe au zisiuzike ni nyinyi wenyewe
@laurencemanimo5287
@laurencemanimo5287 7 жыл бұрын
matatizo mengine ni ya kuzaliwa ............
@conradjunior5940
@conradjunior5940 7 жыл бұрын
Cd za kibongo sisi hatutaki hazina ubora bei juu kwann mtupangie cha kuangalia
@mkarogeneral9720
@mkarogeneral9720 7 жыл бұрын
washaur watengeneze kazi nzur tutanunua na hapo hujatatua tatzo tutadownload mabando hayachach
@avitimushi1541
@avitimushi1541 7 жыл бұрын
That is something. Stand by Wasanii ili wapate haki zao.
@bakariali4026
@bakariali4026 7 жыл бұрын
hutununui kwanza bei kubwa ,ili tununue afadhali muweke cd moja pati 1/2. kwa 600. yani part 1 mia tatu na ya pili pia ,,,lakini elfu nne kwa film ya kiswahili utampata nani labda ndugu yake msanii kwa vile atakua na hamu ya kumuona kaka yake au dada yake, nyinyi subirini 2020 mufanye kampeni mupate hela ila muvi zimewashinda ,,,ivi ww msanii unavaa sare ya chama kisha unawatusi wapinzani hazarani unategemea nini si upotee,,,hao munaowaamini wanawatetea ndio wanao wapoteza ,wacheni kutumia na hao wanatafta kiki tu
@Jameskaguo
@Jameskaguo 7 жыл бұрын
bongo movie nyingi, sizikubali koz zipo chini ya kiwango. kama kweli makonda anataka saidia bongo movie ni wafungungue studio yenye wasomi vifaa na ma director wa ukweli, kitaa kuna watunzi kibao wana story kali kinyama sema jinsi ya kuiunda hio movie na ma director ndo shida, movie za mapenzi kila siku mimi sizikubali sikunyingine hata ngumi au uchawi viwe vinatokea
@estermushabi5653
@estermushabi5653 7 жыл бұрын
sasa kama ww wolper ulivyo mbelembele kuigiza kwenyewe hata hujui
@casineobote9989
@casineobote9989 7 жыл бұрын
huyu hana lolote ndo anaharibu kabisaaaaa hapa ndo hata zao hazitauzwa kwao mwenyewe. tats business. wakati unafungia wengine kuuza zao Anza na. kufunga kwako.hivi zao hazitauzwaaa kabisaaa 🙋
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
kila kitu sikuiz ni pesa.,muvi napo inahitji pesa.,sasa hao bongo muvi wan huo uwezo kutoa io muvi yenye hali nzuri ambayo inahitji pesa??! subiri nikae chonjo
@franklawrence9512
@franklawrence9512 7 жыл бұрын
haya mambo ni ya kitaalam sana, hv bongo movie zinauzwa Dar peke yake? naomba hili jambo lisiwe la kitaifa kwa sababu nahisi wadau walipaswakushilikishwa wakiwemo waigizaji, wasambazaji, wauzaji, watazamaji nk. nadhani pia ubora na utunzi wa filamu zetu uko chini, wasanii wamelalamika sana kuwa wanaibia pia wanakosa government support lkn hawafahamu kuwa tuko kwa ulimwengu wa soko huria, wale wakorea leo wako pale kisanaa kwa sababu ila sisi tunataka tuwe pale pia kwa sababu.... aiseee bongo movie msitegemee kupendwa kwa kumdhoofisha mpinzani.
@rehemadamson9354
@rehemadamson9354 7 жыл бұрын
Unataka wenzio wawe halali wakati wewe mwenyewe ni haramu
@issaabdallah8969
@issaabdallah8969 7 жыл бұрын
wakifungia hizo muvi bora kukaa bila kuangalia muvi
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 7 жыл бұрын
nawaona nawaona wasanii, kumbe ninyi nje ya movie ni wakawaida tuu na wengi mmepauka maskini Sanaa ya bongo ziiiiiiiiiiii!!!!!!!!
@elis22dears68
@elis22dears68 7 жыл бұрын
CD za kibongo. siwezi nunua hata siku moja. bei mbaya ..poleni wasanii.
@tunumlokoz1002
@tunumlokoz1002 7 жыл бұрын
vyeti unavyo??????
@jakaonlinetv
@jakaonlinetv 7 жыл бұрын
onyesha vyeti wew
@marcoabel1764
@marcoabel1764 7 жыл бұрын
OK 2mekuelewa mkuu
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
we ndio kiongozi sasa unakubalika nchi nzima
@sameeradam4696
@sameeradam4696 7 жыл бұрын
Hyu Jamaa cjuy wa Wapi axeee yaan yy Cjuy ndo amekuwa mtoa amri za Pollice mda wte yy kutaja wa2 waende Police2
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 7 жыл бұрын
waandishi wa habari mkibana kutangaza habari zake, tutazitafuta sehemu yoyote big up makonda piga kazi malipo ni kwa mungu....
@josephgomalo41
@josephgomalo41 7 жыл бұрын
watanzania wengi hawana access to internet .. wanasoma magazeti .. na ndio wapiga kura we mjinga.. kama magazeti yatamlaumu magufuli kuhusu kukiuka ahadi zake yeye mwenyewe kuhusu udanganyifu wa vyeti wakati wanafunzi waliondolewa vyuoni kwa sababu hiyo hiyo..lakini ukabila unamfanya amtetee bashite bila aibu.. itapunguza wingi wa kura 2020.. itawabidi waibe.. Kwa uwezo wako finyu nina uhakika ungemshangilia bashite kwa vyeti feki kama mwanao angeonoloewa chuo kikuu kwa kosa hilo hilo..msenge we..!
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 7 жыл бұрын
joseph gomalo wewe ni nyumbu, mpuuzi, tena mwenda wazimu, wewe sio riziki, kenge, maji, mfuata moshi unakoelekea, bila kujiuliza haya maswala ya vyeti feki kwa makonda kabla ya kutaja wauza madawa ya kulevya yalikuwepo?? hapo2 siendelei kubishana na mpumbavu kama wewe, nyumbu usiejielewa.... wivu tamaaa na njaaa ukiendekeza juu ya kidole utakaaaa
@josephgomalo41
@josephgomalo41 7 жыл бұрын
Madawa hayaondolewi Tanzania au nchi ye yote kwa kutaja watu wenye misokoto ya bangi we kuma.. madawa huondolewa kwa kupambana na waingizaji wa madawa ya kulevya ambao sio watu wadogo we matako.. Othewise jiulize wanayapitishaje hapo airport ua bandarini ..we msenge? Usalama wa Taifa ndio unatakiwa kufanya kazi ya uchunguzi wa kimya kimya ili kuwakamata waingizijai wa madawa.. lakini makuma vihiyo kama wewe na bashite mnatumia uslama wa Taifa kukamata watu wasio na hatia na kuwatesa kama Roma au kuvamia Clouds.. badala ya kuwafuatilia waingizaji wa madawa ambao wengi wao wako nje ya nchi pia?? Je huko ndiko kupambana na madawa we mapumbu?? Una uhakika gani kuwa magufuli na bashite sio drug dealers.. wanaojifanya eti wanapambana kundoa madawa ya kulevya?? Kama watu hawajatajwa ilikuwaje madawa yalikuwepo..?? Na nani alikuwa anafaidika nayo?? Kama magufuli anaweza kumtetea bashite mwenye vyeti feki; na kama bashite anadiriki hata kunyang'anya magari ya washukiwa.. we mkundu una uhakika gani kwamba hawanyang'anyi na madawa pia wakayauza?? Je madawa hayauzwi tena?? Mtu hawezi akawa amevunja sheria kuhusu vyeti na elimu yake ..halafu umuamini kuwa atasimamia suala la madawa ya kulevya bila na yeye kunufaika nayo..?? Wapumbavu kama nyie ndio hufikiri namna hiyo. Kama ameweza kunufaika kwa vyeti ambavyo sio vya kwake ataachaje kunufaika na madawa ya kelevya ambayo yawerubuni hata maraisi duniani?? (General Noriega!!). je unajua kuwa serikali ya taliban iliruhusiwa na Marekani kuuza madawa kwa kuwa hawakuwa vizuri kiuchumi? je unajua kuwa CIA ndio waingizaji wakubwa wa madawa katika MArekani?? Kama uaslama wa taifa unatumiwa kuwateka wasanii na sio kuchunguza waingizaji wa madawa katika tanzania.. una uhakika gani kwamba hawahusiki na uingizaji wa madawa ya kulevya?? Wasenge kama nyie ndio mnafuata upepo.. nyumbu, wapuuzi, wenda wazimu sio riziki mnaofirwa,, kengemaji, mikundu kunuka na wasenge.. Nenda katombwe na bashite.. huna maana .. Kama kutajwa jina maana yake ni kuwa na makosa.. wangapi waliotajwa wameshaenda jela we kuma?? Kama bashite yuko serious wangapi wamefungwa kwa kuingiza madawa ya kulevya nchini we matako kunuka..? Katombwe huko..Ciao.
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
Acha wivu kuhusu makonda. yeye ni Mkuu wamkoa hata ulie VIP.
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
Joseph we ni mjinga.kama kunambinu nzuri unajua mbona hukutumia.Acha ujinga wako mwache makonda tu nataka kazi yake
@ramadhanndemeye6932
@ramadhanndemeye6932 7 жыл бұрын
hapo kazi tu hama mji kama hutaki ku sikia makonda hamia moshi uka pige dili
@richardjames8615
@richardjames8615 7 жыл бұрын
simuelewi huyo......anachoongea....muv za bongo czielewi.....
@ibrahimjohnstone8268
@ibrahimjohnstone8268 7 жыл бұрын
endelea kujisafisha
@conradjunior5940
@conradjunior5940 7 жыл бұрын
Kabisa mimi siwezi nunua muvi za kibongo#issa
@msengimsengi5507
@msengimsengi5507 7 жыл бұрын
hata wasipo uza DVD tutaangalia kwenye mtandao,ila movie za kibongo hazina ubora japo wanaandamana
@kareenamuraty5845
@kareenamuraty5845 7 жыл бұрын
Msengi Msengi umeongea ukweli movie za bongo hazina ubora
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
bora uangalie kwenye mtandao lakini sio kuzinunua kimagendo, hayo magendo ndo tunayafunga ila hatufungimuvie za nje,
@kweyungajacob6677
@kweyungajacob6677 7 жыл бұрын
huyo bashite anapenda kiki sana pumbaf aweke vyeti shez kabisa
@yusuphsamwel7949
@yusuphsamwel7949 7 жыл бұрын
Hapa nasikia bashite bashite tu
@estermushabi5653
@estermushabi5653 7 жыл бұрын
Wewe acha kutuchosha akili hapa hizo muvi zilivyo MBAYA. waache watu watuuzie cd za nje hii ni nchi huru msitupangie cha kuangalia tv tuloenda wenyewe madukan hamkutushaur wala kutusindikiza.
@azizmkandidi7137
@azizmkandidi7137 7 жыл бұрын
azizi mka ndidi
@hamsinitimbersupplytanzani4928
@hamsinitimbersupplytanzani4928 7 жыл бұрын
Leo bongo movie mnashangiliaa xanaa ila mtaliaaa xanaa wakatii ukifikaa maanaa munatakaa muuzee wenyewee na Mbona bongofleva inasepa na kijiji kila kukichaa inabadilika nyiee ndio vile vile mlivokuwaa miaka ya 2001
@shagembemarco4298
@shagembemarco4298 7 жыл бұрын
ila angalieeeni msije mkawaamiza watu wengi eti kwa vile tu hao ni watu maarufu mnaotaka kuwabeba
@happynessshayo6003
@happynessshayo6003 7 жыл бұрын
Huna jipya torati ipi wewe tafuta kiki tu huna lolote tumekuzoea ni mzee wa matamko waridhishe tu hao bongo movie maana akili zenu zinafanana
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 7 жыл бұрын
Fungia na Mpira wa Laliga ili tuangalie SIMBA na YANGA Ziro on Paper trancelate Ziro on brain
@abdubabu5454
@abdubabu5454 7 жыл бұрын
piga kaz dogo hicho ndo tunataka sio kuandamana klauz
@conradjunior5940
@conradjunior5940 7 жыл бұрын
Bongo muvi mmepotea amuwezi kulazimisha watu wanunue muvi zenu
@msengimsengi5507
@msengimsengi5507 7 жыл бұрын
kwanza hazina ubora wowote,hata tukiweka uzalendo "chetu kwanza" wenzetu wako juu
@far_hard1301
@far_hard1301 7 жыл бұрын
anafanya kazi kwa sifaa pili tuwekee vyeti kwanza.
@rasterwangu9708
@rasterwangu9708 7 жыл бұрын
kwani mtu c anapewa barua na cio kuitwa kwa style hio
@deepcworkshop7442
@deepcworkshop7442 7 жыл бұрын
movie hizo siwezi nunua hata iweje
@pendoissanjya5730
@pendoissanjya5730 7 жыл бұрын
Naanzaje kuangalia muv ya kibongo uchafu mtupu huwez kuangalia ata na mtoto mabwege nyie bora mrudi vijijin hakuna muv hapa tz mnauza sura tu
@selemanisalum8142
@selemanisalum8142 7 жыл бұрын
pointless
@consolathajaphari6655
@consolathajaphari6655 7 жыл бұрын
mtu mwenyewe malinda huna akili huna sasa sijui unaongea nini mbele ya watu wenye malinda yao na akili zao mimi ningekuwa wewe singejiuzuru tu hata kama nasingiziwa
@Hadijah1997
@Hadijah1997 7 жыл бұрын
That's sad to hear 👂.... poor quality of movie.. and you want people to buy.. impossible... anything good will always attract customers... make the best & you will get people's support
@stevenwalioba1113
@stevenwalioba1113 5 жыл бұрын
Maamuzi mengine yapo juu yako,kwani hao wasanii hawauzi cd zao hapo dar tu, nini maana ya waziri wa Sanaa na michezo?!!! mnaingilia maamuzi ambayo yako juu yenu upuuzi mtupu
@maxkabad3682
@maxkabad3682 7 жыл бұрын
nakupongeza kaka yangu unajielewa no one like you
@michaelkisasa6238
@michaelkisasa6238 7 жыл бұрын
wtf
@conradjunior5940
@conradjunior5940 7 жыл бұрын
Cd za kibongo hazina ubora sisi tunataka cd zenye ubora
@jamalmohamed7636
@jamalmohamed7636 7 жыл бұрын
Makonda piga kazi mpaka kieleweke
@hawaali3160
@hawaali3160 7 жыл бұрын
Jamal Mohamed safi saaaaana makonda
@givenmwikanu5527
@givenmwikanu5527 7 жыл бұрын
tuache ushabiki hivi kweli kabisa nataka series za lambo nimtafute niwe na mkataba wake ist? siyo kweli tutaacha kabisa kuangalia movie zao hawa wapiga kelele tutazifuata mitandaoni kuangalia tu yaan waavaa uchi tunashindwa hata kuangalia na mama zetu halafu wanatulazimisha tununue looo
@ramadhanndemeye6932
@ramadhanndemeye6932 7 жыл бұрын
usi nunue kitu huja lazimishwa Fala we
@michaelrichard9169
@michaelrichard9169 7 жыл бұрын
kama inakuuma hama bongo fala wewe sisi tuna mkubali makonda kwanza wewe unayetaka vyeti ni muhamiajia haramu alafu umejiasahau mmbwa wewe
@benardmunna9194
@benardmunna9194 7 жыл бұрын
Michael Richard Sisi na nani jiongelee nafsi yako labda na familia yako matako ww dar co ya baba yako mpaka useme watu waame ww ndio unaeza kuta wa kuja alafu hapa unajifanya mzawa fala ww siku nyingine jiongelee nafsi yako mbuzi ww zero brain kabisa.
@richardjames8615
@richardjames8615 7 жыл бұрын
kazi ya basata inafanya nini ...jamani....mbona kila taasisi...ina kazi yake...
@petrojonas7112
@petrojonas7112 7 жыл бұрын
tunataka vyeti
@allymbegu3282
@allymbegu3282 7 жыл бұрын
mutaangalia wenyew
@asilanaamani4395
@asilanaamani4395 7 жыл бұрын
hahahahahha cheza muziki
@radhiaabdallahradhia8044
@radhiaabdallahradhia8044 7 жыл бұрын
bongo kuna rahaa kumbe uko mm naona vizli japo siangalii movi za kibongo mnadanganywa movi inataswiliwa kichana kiindi uwo c uwongo mijitu ime kaa kabisa inasikiliza inavo danganywa bola zipigwe marufku
@offiellavastdj3510
@offiellavastdj3510 7 жыл бұрын
acha fujo Bongo movies imeshashindwa kazi
@kamazimafelix9749
@kamazimafelix9749 7 жыл бұрын
Bongo movie mmepoteza dira kabisa
@anoartistmbwele3370
@anoartistmbwele3370 7 жыл бұрын
aaanze yy vyet feki
@godlovesinkala7796
@godlovesinkala7796 7 жыл бұрын
mataira
@allyfaraji6472
@allyfaraji6472 7 жыл бұрын
kuna move ya kibongo niliiona. heti jini alitaka kuvuka balabala, akasubiri Magari yapite alf ndo avuke. nyingine Jambazi amevua Viatu mlangoni. akaingia ndani. leo uzuie move za nje weweeeeee akuna kitu kama hicho
@msengimsengi5507
@msengimsengi5507 7 жыл бұрын
hahahahaha! zingine kasha la movie haliendani na movie yenyewe,
@Hadijah1997
@Hadijah1997 7 жыл бұрын
Very true 😂😂😂😂
@mwebraniaonline7001
@mwebraniaonline7001 7 жыл бұрын
ameona hasikiki kwenye madawa ya kulevywa,kaaza haya.
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
we ulifikiri umefanikiwa kumnyamazisha eh? mmenoa San kifume mwache makonda apige kazi
@siwezikusahau6149
@siwezikusahau6149 7 жыл бұрын
tusipangianeee pulizii
@jamesfrasinsco1595
@jamesfrasinsco1595 7 жыл бұрын
mm bongo movie nitoree
@aaad8084
@aaad8084 7 жыл бұрын
Tatizo move za kibongo hazina mvuto na wala hazielimish kaz yakukaa uch tuu mfano mtu upo na watt wako utawezaje kuangalia move ambao wanashindwa hata kujistili kidogo mtu anacheza move kavaa nusu uchi sasa hapo unaelimisha au unapotosha Ndomaana watu tunawakimbia hatununui wache tuwaangalie Wakorea mtu hata kama ulikuwa sio mpenz wa season lkn utashaushika mpaka utaangalia jins wanavojua kuigiza Kama vp mbadilike boreshen kaz zenu namuwe wabunifu katika uigizaj we mtu kila siku staili moja tuu Mapenz mapenz hambadiki tuuh
@leonardbihemo4797
@leonardbihemo4797 7 жыл бұрын
Yani ukimsikiliza tu unajua unajua in zero brain
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
How did Assad flee Syria without informing anyone?
10:10
Tundu Lissu akijibu tuhuma za Lipumba kuhusu CHADEMA kuiboma CUF
5:45
ZITTO AWAONYA POLISI "WAZANZIBAR WANAUKOMO WA UVUMILIVU"
6:00
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 13 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН