Hunaongea ngojera Makonda , kwa sababu kuenguliwa watu siyo haki
@godfreymjuni342014 күн бұрын
Unasema pengine ni kufanya watu Tena ni viongizi wa kiroho hawaelewi au unajizalilisha kwa Maana unachosema hakiko kimatendo . Lkn pia Kama viongozi wanaelewa walitakiwa kumjibu pale pale bila kukaa kimya . Maana kukalia kimya mambo ya kufanya watu watoto kwenda mbele na kurudi nyuma na kurudia yale yale ni kuwazalilisha viongozi
@martinkisha630714 күн бұрын
Hili ndilo kosa la viongozi wa dini mnapo kosea kuitwa na washirika mnaowaongoza badara ya wao kuwaota na kuwaonya kwa matendo mabaya ya utawala mbovu kazi ya kiongozi wa ndini ni kuisemea serikali anapo enda kinyume