GOODLUCK GOZBERT IS A TRUE MAN OF GOD. I SUPPORT WHAT WHAT HE DID
@janetchinga69511 күн бұрын
Point dada ❤❤❤❤❤
@MageAwe-hl5zb11 күн бұрын
Kweli dada Bora umesema kweli
@mercykariithi791911 күн бұрын
Hongera sana dada umeongea ukweli mtupu
@buzanation104010 күн бұрын
Dada Upo vizuri! 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@LaziaWasia11 күн бұрын
mungu akulinde jamn umepatia san
@ModestaMduda-n9s11 күн бұрын
Kwali dada umesema kweli kabisa
@leehhams539311 күн бұрын
Ukiwa na matatzo ukimuomba Mungu sana atakuonesha chanzo cha matatizo yako. Mm naamini hili sana.
@DomitilaMtua11 күн бұрын
😂😂 kumbe askari walikuwa wanavaa kaptula!,
@tintz315711 күн бұрын
Kizazi cha 2000 huezi jua hiyo
@MageAwe-hl5zb11 күн бұрын
Engine ni majeneza
@chaco146611 күн бұрын
Kweli kbs 🚶🏾♂️➡️🚶🏾♂️➡️🚶🏾♂️➡️
@elishalidya404410 күн бұрын
She’s right 🙌🏾
@FloraMwanjala-p4q11 күн бұрын
Masanja njaa kali Ina msumbua point zake zinanyesha kabisa tamaa ya pesa km mtumishi Masanja kaonyesha udhaifu sana kwenye pesa
@lawimanumbu510311 күн бұрын
Umesemaukweli ndugu kwenye comed yupo bado anaendele Atu mchungaji, wakala wa shetani
@MargaretKaranja-yu6hr11 күн бұрын
Kweli kabisa mum🎉🎉🎉
@Priscakeneth11 күн бұрын
Mama havintishi umemaliza kila ki2 ambao hawajakuewa wanamapepo
@Mama_avintishi10 күн бұрын
Tena mapepo ya msituni🤣🤣🤣
@mkalma-i4q10 күн бұрын
Huyu dada yuko sawa❤❤❤❤
@stevenkipara931011 күн бұрын
Upo sawa dada
@Assumani-byamungu811 күн бұрын
Mama umehongea ukweli kabisa Mimi hapaniko USA lazima nitahitaji number yako kikwachako kina fanya kazi sana tena sana Mimi uwanapenda watuwana munahiiii mungu wangu turehemu ❤❤😂😂
@Mama_avintishi10 күн бұрын
Shukulani ndgu yangu kwa kujali uwepo wangu🙏🙏
@LaziaWasia11 күн бұрын
nakubali jamani dada nimekupenda sana jam
@Mama_avintishi10 күн бұрын
Nakupenda pia kipenz changu 😘
@xcbmedia853710 күн бұрын
Dada Ana uchungu😅😅😅😅😅😅
@MageAwe-hl5zb11 күн бұрын
Kama gari inageuka usiku mara jeneza mara joka kweli huyo kijana Yuko sahihi
@petropastory82544 күн бұрын
Huyu dada🎉🎉🎉💯💯
@ConcessaDushime-fq4hu11 күн бұрын
Unasem kwel
@IvanDamian-ht6mg10 күн бұрын
Huyu dada ❤❤❤❤❤
@areenkasongo556811 күн бұрын
Lkn Yuko sawa mungu atamuinua Tena Kwa wakati
@katsuvakamatedaniel78938 күн бұрын
Aminaaa ❤
@areenkasongo556811 күн бұрын
Uko sawa mwaya dada angu
@ModestaMduda-n9s11 күн бұрын
We dada umenigusa sana mungu azidi kukutumia
@ShakilahTAN11 күн бұрын
👍👍👍👍👍👍
@Mama_avintishi10 күн бұрын
Amina ndgu yangu 🙏🙏
@fadhiliramadhani240211 күн бұрын
Wengi wanaomshambria good ni washirina
@VinnyVinny-e2v11 күн бұрын
Yani kweli umeongea ukweli kabisa unapewa zawadi ya gari buleeee
@AugustinNkunzimana10 күн бұрын
Dada umesema kweli kabisa
@HelenNyaulingo11 күн бұрын
Unaongeaga ujinga sana dada ila Leo mungu kakuluhusu umeongea ukweli kijana wetu kaona ya Giza mengi mungu amsimamie sana
@Mohabmts11 күн бұрын
Mzigo wa mwenzio noi Uganda wa sufi
@mercykariithi791911 күн бұрын
Dada kando na yaho yote unayo sema una gift ya acting au utangazaji🙏
@Mama_avintishi10 күн бұрын
Jamani unanipa kichwa😂😂😂
@Mohabmts11 күн бұрын
Ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuliko kuingia ufalme wa Mungu,Mnao abudu mali kuliko Mungu ndio mnabishana ,Heri utajiri wa roho kuliko utajiri wa mali.
@kenethmbilu20265 күн бұрын
Wape vidonge vyao
@HappinessShayo-k3o11 күн бұрын
Kweli dada umeongea point
@happinessmosala221710 күн бұрын
😂😂Sasa huyo Ni kaka yako hata Jina unashindwa kulitamka.muite basi Kwa Jina Lake unalolifahamu😏
@Mama_avintishi10 күн бұрын
Kaka yangu sio mpk tuzaliwe tupo mmoja my dia Ata ww ni ndgu yangu
@EdithaMichael-x7i5 күн бұрын
Chabule niang'ali sana
@MtuisMankasia10 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@AngelMbaga11 күн бұрын
Watu shazi😮😂
@gilliansiara332411 күн бұрын
Kapewa kubwa zaidi ili achafue,tuone heri mwanzo wa jambo kuliko mwisho
@sonkokenyaartist11 күн бұрын
Nauliza kwani Baba alipea mshamba Gari
@HusnatShabani11 күн бұрын
Point dada hata mm nimependa
@dunstangeorge326310 күн бұрын
Boda ameipiga petrol ikaishaa🙏
@AishaGor11 күн бұрын
Nikweli kabsa utakutamtu alikuanamaisha yakawaida tu gafra utaon nyumbani kwake anamilk magari mengi Zaid ya20 et nayeye anajisifumitantaon hizonifis zakichaw 😂😂😂😂😂😂😂😂
@samwelmatemu887310 күн бұрын
Ushamba unawasumbua na mna imani haba
@fidelfidel-jz4iw11 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hepsonmboka677610 күн бұрын
Mshauri huyo kaka yako ni msinzi anapiga tuu hafungi ndoa hiloo ni pepo amrudie Mungu, huo ulikua ni ujinga tuu angemrudishia huyo aliyempa hiyo gari alichoma kwa kua hajui ulipokeaje hiloo gari acheni kupenda dezooo!!!
@humbleshoal5 күн бұрын
Uzinzi kaufanyia wapi ulikua unamsimamia! Em tupishe
@lilianmatiko745411 күн бұрын
Nikweli dada hata mimi yalisha nikuta yamenigusa sana
@alimatambwe340211 күн бұрын
Ni mtu mbaya saana..ule siyo nabii ..ni mfwasi wa shetani..hata mahubiri yake siyo yakawaida..anakwambia yeye ndiye atampokea Yesu airport amtembeze Tanzania ndani ya gari lake😂😂😂😂apo ndipo nimechokaga kabisa nikasema dah amefika mbali…na hakunaga huruma huyo eti mtu akupe zawadi tu tena bure gari ya beyi kama ile eti ni zawadi…jifikiriye marambili .
@carlosdigitals11 күн бұрын
Huyu suo dada ake acheni ujinga nyie macontent creaters. Mnacheza u na akili za watanzania.
@saratunje662211 күн бұрын
Umeongea ukweli huyu dada Kila kes utamuona😅😅
@MwatanoMdege11 күн бұрын
hatakama ni dada wa kufikia nae dada pia kwani udugu bei gani?
@MwatanoMdege11 күн бұрын
hakunaga msukuma wa mineno ya mipasho cjuwi unanielewa!!!! tena family ya gd wote watu wa hofu ya mungu
@AngelMbaga11 күн бұрын
Kwa sababu kasema kaka, wamechukulia kama dada ake
@Mama_avintishi10 күн бұрын
Usiwe chizi ndgu sio mpk mzaliwe tumbo mmoja sisi wote ndgu acha ushamba wende mbinguni wewe
@barikimushi9710 күн бұрын
Wewe dada unaongea utazan unanyakuliwa kesho
@Jassmin-media-official11 күн бұрын
Mwaya nakuelewa ,wanao piga kelele msijali hata shetani anawafuasi wake
@joycemajala435511 күн бұрын
Amen
@KhamisMohammed-y9l11 күн бұрын
Mtangazaji inaonekana ulishagawa pamba zako kwa washkaji mbona maswali shaz
@MaksMedia111 күн бұрын
Haaaa umejuaje? Nawaza, hapa 😃😃😃
@daudiazizi849511 күн бұрын
Uyo dada sinishangingi tu sanaokana,,,eti nimekuelewa watanzania hovyo kabisa
@gilliansiara332411 күн бұрын
Tuambie maendeleo yake kbl,tulinganishe ,
@daudiazizi849511 күн бұрын
Haya matatizo siameisha ngoja tuone kama ataskika
@NifikeNgajilo10 күн бұрын
Dada wewe ni mkweli' una ufahamu kichani
@MageAwe-hl5zb11 күн бұрын
Hakuna nabii mkuu nabii mkuu ni YESU TU
@RashidMwasiposya-ck6py11 күн бұрын
Tutaona yatakavyobadilika alivyochoma
@Assumani-byamungu811 күн бұрын
Dada siyo bure hata umarekani atuchokaki gari atakama nikikorokocho atuchomaki gari ukicha gari hapa umarekani police ikonyumayako siyo atuna pesa ndo sheriya aumareka naukichoma gari police itakuhuliza sababu gani yakuchoma gari Kama siyo vyamana unafungwa ukiwana sababu nahi basi police itakuhachiya Kama ahuna sababu basi police inakufunga 😂