No video

MAKUBWA YAIBUKA BAADA YA MTOTO WA SIKU 3 KUONGEA MBEYA | WATUMISHI WA MUNGU WAMJIA JUU RAIS SAMIA

  Рет қаралды 85,572

255 MEDIA

255 MEDIA

Күн бұрын

MAKUBWA YAIBUKA BAADA YA MTOTO WA SIKU 3 KUONGEA MBEYA | WATUMISHI WA MUNGU WAMJIA JUU RAIS SAMIA

Пікірлер: 49
@KalumunaTheonest
@KalumunaTheonest 3 күн бұрын
Mungu nimwaminifu kwa watanzani
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Yaani upumbavu km huu n uongo km huu unamshughulisha mm Samiha.
@user-vt4fr9ng8x
@user-vt4fr9ng8x 9 ай бұрын
Tena kama mama kunakitu walisha wai kuelewana na magufuli na mpaka sasa Ajakamilisha ,,,,nais yy mwenyewe atakuwa Anaelewa hapa kuna kitu mama yetu
@user-ru2hr6qs1o
@user-ru2hr6qs1o 9 ай бұрын
Huyomtoto nimaraika mungu amemtumiayeye kutoa taarifa kamanikweli mama ajitasmini😭😭😭😭
@WilliamMandwanga
@WilliamMandwanga Ай бұрын
Shida ya duguzetu mmepumbazwa akil mtuakisema ninyi mnaende kwenye mambo yadini mungu awasaidie sana
@user-td8ey4hr2x
@user-td8ey4hr2x 9 ай бұрын
Mungu hutumia njia nyingi kuturejesha Kwake lamsingi tutekeleze tunayoagizwa
@rebeccah357
@rebeccah357 Жыл бұрын
Usipuuze wewe mtumishi wa mungu, huyo mtoto ni malaika kutoka mbinguni Na Mungu ndiye anayomtumia yy kutoa huo ujumbe
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Ай бұрын
Akili huna
@TdfvFghvzg
@TdfvFghvzg 15 күн бұрын
Ya mungu muachie mungu because ulim hauna mfupa 😢😢😢😢
@EsterMbise-pj4vd
@EsterMbise-pj4vd Ай бұрын
Kinachotakiwa ni maombi tuu unaweza kumlaumu ma Samia kuwa ajafata ya rais wa awamu ya Tano ila kwa mwanamke aliechiwa nchi gafula lazima atetereke inatakiwa maombi tuu ili tusonge mbele bwona mnamuongelea Samia tuu marais wamepita weng kazi Yao ilikuwa kula Bata tuu Bora Samia anasaidia watu
@ErickIsacka
@ErickIsacka Ай бұрын
Sasa huyo mtoto amejuaje ya ulimwenguni mh mungu hujibu na bado
@NorahAlex-iz7mt
@NorahAlex-iz7mt 9 ай бұрын
Mtoto no malaika sio ya kupuuza barikiwa sana mbarikiwa
@ZainabuMohamed-m6y
@ZainabuMohamed-m6y 14 күн бұрын
Anae bisha muache abishe ila Tanzania tunaenda pabaya😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salahsadi3908
@salahsadi3908 Жыл бұрын
Kama ni watu ITA shia hapo lakin kama ni MUNGU Kuna jambo litatokea Tena kubwA Mungu atainua hata mawe yampelekee ujumbe wa nchi,
@AgripinaAmos-r7w
@AgripinaAmos-r7w Ай бұрын
Mbn xx mtoto haongei mbele za watu why
@rahemahamisi3558
@rahemahamisi3558 Ай бұрын
Chuki zimewajaaeni mpaka zinafurumia
@JustinaKatulebe
@JustinaKatulebe Ай бұрын
Jamn yawezekan nikwer mungu amejzhirsh
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx Ай бұрын
Mungu hawezi kuongea upuuzi musikufuru
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 9 ай бұрын
Hubiri nemo watu waokoke sio kweli mtoto hawezi ongea usipoteze muda hapo inaelekea wewe unamchukia mama wa Taifa acha hiyo
@jamesevarist-iy7wc
@jamesevarist-iy7wc Жыл бұрын
Kiukwel huy mtot n mungu katupa Ila naomba mama samia akupe alilokuwa nafanya wakat wa magufur maan hicho sio kitu kizur kwa nchi yet ya Tanzania
@SesiMatei
@SesiMatei 18 күн бұрын
Jamn huenda ni kweli msipuuze au ndo walewale na kinasamia
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Kwani si ata Kuna nabii yule aliyemtabilia makufuli kifo chake naye alisema ameona Kuna Jambo litatokea
@EsauSospita
@EsauSospita 12 күн бұрын
Sema sema mtumishi wa mungu
@user-et3xd9pg5c
@user-et3xd9pg5c 9 ай бұрын
Cdhani kama Hilo ni swala la kuongea kanisani,kanisani ni ibada tu
@gleadsanka7578
@gleadsanka7578 7 ай бұрын
Ubalikiwe mchungaji
@AnnaBaby-i7f
@AnnaBaby-i7f Ай бұрын
7:01😅ukweli anaujua mungu kama nimungu kamtuma mtoto itakua hivo
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 23 күн бұрын
Na aletwe hadharani aongee tuone, ni sera tuu hizo z wapenzani
@AburabiyKasimu
@AburabiyKasimu 18 күн бұрын
We kichaa tu ningekua samia ningekupoteza nawewe nabangi zako hizo
@jumamusa4252
@jumamusa4252 Жыл бұрын
uparikiwe mchungaji
@sharifajosia879
@sharifajosia879 29 күн бұрын
Mama Samia ni chaguo la Mwenyezi Mungu hawezi kudhurika kwa namna yoyote ile ogopa mtu aliyepata uongozi bila kuuomba huyo ni kipenzi cha Allah kama mitume nyie mnaojisumbua kumfatilia Mama Samia kwa fitna zenu tambueni mnashindana na Mungu aliyempa hiki cheo kikubwa na lazima mtaferi tu kwasababu huyu Mama yetu hakukiomba hiki cheo kimemjia tu kama zawadi yani Samia ni zawadi kwetu kama tulivyoletewa mitume hivyo basi hawezi kuteteleshwa na maneno na kejeri zenu nyie wote mnaomtakia mabalaa mshindwe kwa jina la Allah. RAIS WETU SAMIA TUNAFUNGA SWAUMU TUNAKUOMBEA WE PIGA KAZI ALLAH YUPOJA NAWEWE .KAZI IENDELEE.
@sharifajosia879
@sharifajosia879 29 күн бұрын
INNALLAH HUWARAZAQU ZUR QUWWATIL MATIIN
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 26 күн бұрын
Hakuna Aliye mchagua nibhaatitu ilimkutia
@TeamKRX
@TeamKRX Жыл бұрын
Watakoma magu uyo hakuwapenda kabisa wazungu bibi ndio oooo anapanda ndege alishuka kkkkk
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Hakuna lolote uwongo .Mama yupo sahihi sana .Anaongoza nchi kidemokrasia .
@lwengevideoproduction5603
@lwengevideoproduction5603 20 күн бұрын
😹😹😹😹
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Ай бұрын
😢 wakristo bwana kweli chuki itawaumbua
@JoyceMbise-zr2xh
@JoyceMbise-zr2xh 20 күн бұрын
Ukristo hapo umetoka wapi
@AnnaBaby-i7f
@AnnaBaby-i7f Ай бұрын
Kama ni mungu kamtuma hiyo mtoto basi itajulikana 8:22
@EzronyKimilio
@EzronyKimilio 17 күн бұрын
Akuna lolote kwa rais ihangalie katiba yenu imempa mamlaka gan rais na so kumwangalia magu uyo magu sio katiba tambua
@elizabethchuma5920
@elizabethchuma5920 Жыл бұрын
🙄
@SuleimanAbdulla-b2g
@SuleimanAbdulla-b2g Ай бұрын
Uongo mtup hamna lolote hapo
@SuleimanAbdulla-b2g
@SuleimanAbdulla-b2g Ай бұрын
Ovyoo kabisa
@cralamaxmillian9589
@cralamaxmillian9589 Жыл бұрын
Hujielew na ww nimfanyabiashara tu
@rashidmtengule3681
@rashidmtengule3681 Жыл бұрын
wewe mtumishi wa mungu hivi kweli mtoto wa siku 6 anaweza kupandikiza ?
@ketchmanmpandela602
@ketchmanmpandela602 Ай бұрын
Swal zur maana mtoto ana pandikizweje????? Apo mwakipesili ajui anaongea nn
@sukhairamlisho
@sukhairamlisho Ай бұрын
Yaan naww mchungaji unaamin nguv zagiz
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx Ай бұрын
Chuki zenu tu hizo kwa rais hamna lolote
@user-gn2gb5ve2b
@user-gn2gb5ve2b 7 ай бұрын
Wafuasi wote wapo kwa Mwamposa wengine itabidi waongee uhongo tu.
@neemacharles5745
@neemacharles5745 Жыл бұрын
Nimajambu San
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1,1 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 197 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 30 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
BMG TV: Shuhudia uwezo wa mtoto Yunis Ogot akiwa darasani
13:37
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 46 М.
Kikohozi kwa watoto (Cough in Children)
11:29
Dr. Alamin Suleiman
Рет қаралды 34 М.
ADABU ZA SIKU YA IJUMAA NA FADHLA ZAKE  / SHEIKH HASSAN AHMED
37:33
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 48 М.
A powerful prayer. Fr Mathew Naickomparampil VC
2:01:57
FR DANIEL POOVANNATHIL OFFICIAL
Рет қаралды 2,2 МЛН
| VOL.10 CHAPTER 01B | AGANO LA DAMU YA YESU | MWL. TENGWA |
2:19:27
SIMULIZI YA KUSISIMUA YA KUHANI MUSA ALIVYONUSURIKA NA AJALI MBAYA
8:39
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 23 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 197 МЛН