Safi mchungaji wa MUNGU! Kwa muonekano wangu kuoa wanawake wawili kwa imani ya MUNGU ni sawa lkn hawa walio leta mambo na ushoga na usagaji ndio walileta sheria ya kutooa wake wawili ili tusiujaze ulimwengu. Ndoa za jinsia moja hasiezi jaza ulimwengu.