Ubarikiwe sana Mtumishi Davista Mata Umetoka mbali sana, nimekuwa nikifuatilia tangu hapo awali na hapo ulipoamua kutangaza injili hizi kutoka Kwa Watumishi mbalimbali ndipo ambapo viewers wa channel hii wamepungu mnooo Usikate tamaa wewe sasa ni Mtumishi wa Mungu hakika
@Gindi-v7g6 күн бұрын
Upo vizuri mchungaji,hawa ndio wachungaji wa ukweli ambao Mungu anawalinda na kuwatumia hizi siku ya mwisho.😢
@mamamwajei878913 күн бұрын
yaani kama iyari yangu,uyu mchungaji awepo kila siku.....ana INJILI Ile khaswaaaaaaa.kama kweli umeamua kuachana na zambi utamuelewa.mtumishi makini Sana huyu
@kahindiwanje9013 күн бұрын
Kabisa ndugu🙏🙏
@kelvinpeter566613 күн бұрын
Wa kwanza kutokea itaka mbozi
@annettemalechela754313 күн бұрын
Yaani leo nimepewa jibu na ahimidiwe Mungu wetu ktk kitu change cha enzi maana nilikuwa najiuliza magoti siku hizi yanauma au nini😮
@DavistarMataMediaDM13 күн бұрын
Amen
@valentinanduku871813 күн бұрын
Asante kwa kutufunulia hii picha ama sanamu ya bikira Maria kuna nabii Aston mbaya alikuwa anaeleza kuhusu shuhuda yake na akasema kuzimu aliona sanamu ya bikra maria tulipomuliza maswali akalenga hilo swali akasema hakusema ameona akaruka.Asante kwa kusema hiyo sanamu wengi wanaogopa kusema
@jamessambai553412 күн бұрын
Davista hapo kwenye timotheo mwambie atufafanulie na kwenye chakula. Kuwa je kula ngurue ni dhambi?
@Majaliwa202412 күн бұрын
Bwana awe nawe davista kwa utumishi mkuu uliotukuka sana
@DavistarMataMediaDM12 күн бұрын
Amina
@Ali-f9b2s13 күн бұрын
Mimi mwislamu kutoka Pakistan namkubari huyu pastor ni mkweli sio kama wengine wanajiita manabii hakuna nabii mwingine aliekuja baada ya Muhammad hao wabongo wabongo pesa TU kama anavyoongea huyu pastor ni mkweli kabisa