Eeeh Mungu naomba *kiu ya kuomba isipungue ndani yangu* AMINA
@isayamantile7713 Жыл бұрын
Mungu niokoe mapito ninayo pitia kwa wakati huu
@sospeteralex3787 ай бұрын
Amen
@hellenyyusuph3790 Жыл бұрын
Amen mtumiahi wa Mungu nashukuru Kwa mafundisho yako nabarikiwa. Naomba mungu anipe Watoto Sina Mtoto nataka nipate Mtoto
@mary2034 Жыл бұрын
Kama vile alimkumbuka hannah na akukumbuke pia neema ya mungu iwe nawe dada
@janetfrancis7180 Жыл бұрын
Na iwe kama uaminivyo hakuna linalo shindikana kwa MUNGU Amini tu mpenzi
@phylisselebwa4716 Жыл бұрын
Pokea katika jina la Yesu Kristo
@Mary-z5i1s12 күн бұрын
Amen amen 🙏🙏
@mary2034 Жыл бұрын
Eeee yesu mwana wa mungu nipe neema ya maombi uniondolee kiburi na majivuno na tamaa mbaya ndani yangu ,unipee roho ya kunyenyekea na kukuabudu
@janetfrancis7180 Жыл бұрын
Amen
@milkamunywoki210 Жыл бұрын
Thank God mtumishi nilifahamu siri za bibilia unibariki Sana Kila NINAPOSIKIZA MAFUNDISHO yako. Ubarikiwe Sana mtumishi.. AMEEEEEEEN
@everyne.illankunda8292 Жыл бұрын
Amen halelluaa udusaidie YESU
@dorahbendera6066 Жыл бұрын
Amina👏👏👏👏👏👏
@cliffbosire132 Жыл бұрын
Amen amen 🙌🙏🙏🙏
@lucynkinga9094 Жыл бұрын
Yesu naomba nisaidie katika kuomba
@HawaMlelwa-kp3tv Жыл бұрын
Munguatusaidie
@phylisselebwa4716 Жыл бұрын
Mungu wangu nisaidie nizidi kukutafuta kupitia maombi,,nipe kiu ya maombi kila saa kila wakati katika jina la Yesu Kristo.
@priscahkiyondi-om1lt Жыл бұрын
you will get it by faith
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Жыл бұрын
Avina kazi ivyo na vingine vya kichawi na kiganga kwa Jina la YESU KRISTO MWOKOZI NA MWANA WA MUNGU MKUU ALIYE HAI MILELE YOTE. Amen. Mjue sana Mungu mkuu ukaishi. Mtatizame Kristo Yesu Mwokozi msalabani nawe utashinda yote. Yesu kristo mwokozi ndiyo kilakitu . Mwami yeye. Amen.
@aminaaa3227 Жыл бұрын
Asante Mungu nipe kiu ya kuomva wakati wote majila yote bila ww Mungu atuwezi
@JoyceRuwa-d6q Жыл бұрын
Mungu nisaidie niwe na roho wa maombi ndan yangu
@mercelinaakute4054 Жыл бұрын
Eeeeh mungu shuka uniokoe wakati huu mgumu yesu ni wewe pekee yako unajua Hali yangu
@bettylekela340 Жыл бұрын
Eee Moyo Mtakatifu wa Yesu Asantee kwa ajili ya Mtumishi wako huyu Uzidi kumuinua kwa viwango vingine kwa Sifa na Utukufu wa Jina lako AMINA.
@veronicahnjoroge3463 Жыл бұрын
Asanti roho mtakatifu wewe ni mungu mwenye nguvu Hakuna linalo kushinda nguvu za ngiza zishindwe kwa Jina takatifu la Yesu kristo AMEN 🙏
@CharlesTungu-v3s26 күн бұрын
Nikweli shetani hajawahi kulala tangy kulaaniwa na hana mda mwingi wa kupoteza
@rosenaadolfu99 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki zaidi kwa kuleta haya mafundisho ya kumjua Mungu naona kama nimechelewa kuyapata maana yamenigusa sana kabisa yani
@veronicahnjoroge3463 Жыл бұрын
Mungu nipe nguvu za maombi in jesus mighty name AMEN asanti roho mtakatifu kwa uliyotutendea
@mariabayyo6578 Жыл бұрын
Mungu naomba unipe kiu ya kuwa mwombaji
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa tuamini katika Maombi kwan ndiyo Kila kitu katika maisha ya sasa na ya baadae
@frednyandisi2375 Жыл бұрын
Maombi ndio ngao katika vita vinavyio tukumba maishaini mwetu
@Aki10Frankly Жыл бұрын
Amen amen asante sana kwa neno 💪🏿💪🏿🙏🙏
@VictoriaWilla Жыл бұрын
Amina mtu waMUNGU🙏🙏🙏
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Ameen and ameeeen 🙏🙏🙏
@pamelabracedes9600 Жыл бұрын
Amen amen ooh yesu
@michelbalwira8419 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
@kiraemanueli1997 Жыл бұрын
Na mimi BWANA YESU unapowadhuru wengine na mimi usinipite
@elizabethsangu224 Жыл бұрын
Ameni🙏🙏🙏
@aselaabeli853 Жыл бұрын
Eee MUNGU niongozeeee nivusheeee baba katika hiliii 🙏🙏🙏 nilindeeee dhidi ya maadui zanguuu
@rosemwende9961 Жыл бұрын
Amina,ee MUNGU npee kiu ya kuomba
@philippenzigamasabo7545 Жыл бұрын
Katika ulimwengu wa roho mtumishi wa Mungu nimekubari kuongozana na wewe tuombe malaika wa bwana aingilie kati kwa hali ngumu tulionayo kwa jina la Yesu Kristo alie mwokozi wa maisha yetu.Amen.
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Mungu anisaidie niweke rayiba ya msombi
@marykisiangani2470 Жыл бұрын
Amen amen
@veronicahnjoroge3463 Жыл бұрын
Mungu naomba nione mwangaza breakthough in all area in my life in Jesus mighty name AMEN 🙏
@faridadauda3227 Жыл бұрын
Amina, walipo wawili au watatu kwa jina lako Yesu, na wewe upo kati yetu
@priscahkiyondi-om1lt Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏...maombi ñ silaha....
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Asante MUNGU kunipa malaika wa kunipigania
@kulwamihayo Жыл бұрын
Amen mtumishi
@Atukuzwe-i7x Жыл бұрын
Amina asante niko poamoja nawe mbaka mbingu zifunguke
@sebastianlucian5916 Жыл бұрын
Baba mungu niumbie moyo upya ,moyo wakukunyenyekea na kukutumikia shusha malaika wako kwenye maisha yangu wanihudumie
@sylviaomwenga8740 Жыл бұрын
Mungu wangu naomba unisaidie niweze kujua kukushukuru na kuomba 😢🙏🙏🙏🙏
@fredykifunge315 Жыл бұрын
Amen...
@moseskenedy7042 Жыл бұрын
Amina
@rebeccabrown5135 Жыл бұрын
Amen
@AttuMbago-cs9gc Жыл бұрын
MUNGU naomba unipe kiu ya maombi Kila wakati 🙏🙏🙏
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@dorahbendera6066 Жыл бұрын
Mungu nipe kiu ya maombi
@NetoSanga Жыл бұрын
Ee Mungu sema nami sasa
@margretchipkwemoi8297 Жыл бұрын
Naamini mungu yupo nashukuru maompi yenu yenye ngufu kutoka Kenya 🙌🧜🇰🇪🇰🇪
@YESUNIBWANA84 Жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏 🙌 waiting ✋️
@benderakahindi4100 Жыл бұрын
Ameni 🙏🙏🙏 💕 ubarikiwe sa neno lanitia moyo kweli kabisa
@SevAl-p9k9 ай бұрын
Amen neno la mungu lisimame na kitenda kazi katika maisha yangu maana madui ni wengi wamesimama.lkn naamani mungu yupo Pamoja NAMI🙏
@nadegekubwimana8451 Жыл бұрын
Amen Maombi nisiraha kwa mukristo Asante Mutumishi wa Munguu ubarikiwe
@EsterCharles-jn4sb Жыл бұрын
Amen barikiwa
@roudanaSamweli Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu 😢😢😢 nazidi kufunguliwa Mungu atakupungukia
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Kabisa mtumishi wa MUNGU ubarikiwe mno🙏🙏
@neemakenga914 Жыл бұрын
Eenh Mungu muumba wngu nionekanie yaweh
@joanbenezeth8677 Жыл бұрын
Amen, namwomba Mungu anisaidie nijue kusema na Mungu, nijue kuomba ili niwe karibu na Mungu. Ameen
@jamesmichael3868 Жыл бұрын
Maombi ni muhimu sna hasa kwa maisha yetu ya kila ck
@NimethNdelwa-zc9zj Жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana
@aridjahusain-rv2hu Жыл бұрын
Amen amen amen amen 🙏
@aminam267 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏🙏🇶🇦🇶🇦
@dorahbendera6066 Жыл бұрын
Mungu naomba unisaidie nisimame katika maombi
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Mungu ingilia kati
@nonveroniquejohn10 ай бұрын
Mungu uzidi kuni imarisha ki roo niwe mtuu wakuogipa zambi na nitembee chini ya uoga wako yesu
@getrude-ud9lt Жыл бұрын
Shalom 🙏
@perisriziki1592 Жыл бұрын
Amen and amen mungu naomba unizidi kunitia kiu ya kuomba
@RistaMwambete Жыл бұрын
Haleluya Asante Mungu kwa kunikumbusha. Ubarikiwe mtumishi kwa neno ...
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
Roho mtakatifu nifundishe kuomba bila kuchoka 🙏Amen
@sebastianlucian5916 Жыл бұрын
Ee bwana yesu nitie nguvu sawasawa na neno lako niondolee majivuno tamaa ,dharau na kiburi nipe moyo wa kunyenyekea na kuabudu
@sophias3334 Жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@miriambasho8259 Жыл бұрын
ameen mungu nikumbuke
@liddydeSalt4773 Жыл бұрын
Amen and Amen 😘 🙏 🙌
@veronicahnjoroge3463 Жыл бұрын
Kumbuka my family wapate kazi umaskini uishe in my family ndoa yangu iPone kwa jina la yesu ,nipate mtoto in jesus mighty name
@suzygervas9372 Жыл бұрын
AMINA 🙏 MUNGU nipe nguvu za kuomba
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
😭😭😭MUNGU NISAIDIE NIKUNYENYEKEE WEWE KILA. IITWAPO LEO 🙇♂️🙏🙏🙏🙏
@LinerJessica Жыл бұрын
Amen Amen nawomba mungu anipee hamu yakumtafuta kila siku
@kvoca8248 Жыл бұрын
Ahsant Mungu
@gracewangui-t6z Жыл бұрын
Naomba mungu anitie nguvu ya maombi
@theresiaraymond5353 Жыл бұрын
Mungu naomnba unipe nguvu ya kuomba bila kuchoka naomba na neema ya kuamka usiku kuomba
@elimialevocatus3274 Жыл бұрын
Amen mtumishi ahsante sana kwa somo nzuri umenifungua ufahamu wangu sana sasa nafanya mambo yangu vizuri kabisa Mungu azidi kukubarki kwa kutufundisha🥰🙏😇.
@monicamgwabi1754 Жыл бұрын
Amen mtumishi 🙏
@LupinaSamsoni Жыл бұрын
Amen mungu naomba unifanyie njia mahari ambapo hapana njia
@fridaedward3588 Жыл бұрын
Eee Mungu nisaidie nisimame ktk maombi🙏🙏
@julietmunyazi Жыл бұрын
Ameeeen🎉🎉🎉🎉🎉
@upendolotti9303 Жыл бұрын
Amen,Amen it is done in Jesus name.
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Amen ubarikiwe san mtumishi
@kissaemmanuel4963 Жыл бұрын
Eeeh Mungu nisaidie nikujue zaidi na kukutafuta wewe zaidi ni jaze moyo wa ibada
@alicemwaka3762 Жыл бұрын
Emeeeen tuko pamoja
@victoriandalahwa-sm6hq Жыл бұрын
Pse Lord help me in all areas regarding prayers.. My greatest need oh Lord Jesus
@loycekatorogo828 Жыл бұрын
Eeh mungu endelea kunishika mkono Imani yangu isipunguee juu yako na nikuamini maisha yangu yote amin
@JumaAugusto-du5buАй бұрын
Asante sana kwa mafunzo mazuri ya mungu
@marymaria6544 Жыл бұрын
Amen amen, Eee mungu naomba uzidi kuachilia kiu YA maombi ndani yangu maombi yasio Na Kikomo,pia uchilie Neno litokalo kwako pamoja naufunuo utokao juu amina
@anjelambasha7908 Жыл бұрын
Katika nyakati hzi tunazoishi saasa,Maombi ndo kila kitu ktk maisha yetu,Mungu atusaidie
@EuphrasiaNtawatawa Жыл бұрын
Well said man of God,kupitia mafundisho haya nimekuwa mpya ,Mungu nipe nguvu ya kuomba pls