Ee yesu nakuomba ndani ya mwezi huu wa 8 naomba hekima,akili na busara ktk maisha yangu
@JosephineKengaa13 күн бұрын
Amen naomba kibali katika maisha yangu nifunguliwe nyota baraka,mahusiano,kaz,nafedha na magonjwa pia naomba yasabaratike kwa jina LA yesu
@wahidakisingo3588 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kunipa kibali cha kujifunza Neno lako ,,Nijaalie kujifunza zaidi na kulielewa neno lako takatifu ,,,,nipate kukua kiroho na kukua kimwili,,kiuchumii na maendeleo mazuri kwenyr kila jambo langu
BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE fungua maisha yangu vifungo vyote vikatike nipokee mambo makubwa mwezi huu wa 8 YESU niguse usinipite ameen
@EdigaMatela-fh2ee Жыл бұрын
AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN in JESUS CHRIST MIGHT NAME AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN.
@MomoKa-c3n Жыл бұрын
Kwakweli mtumishi unatutowa taka za maskio unatutiya moyo sana,nahata kutuinuwa Kiiman sana,Mungu azid kukueka mtumishi 🙏🙏🙏
@EstherBitengo Жыл бұрын
Amen 🙏 Mungu wangu 🛐 mwezi huu 8nnaomba nijitambue mm n nani
@dativaoscar2723 Жыл бұрын
Ee Mungu nifundishe namna ya kuomba ndani ya mwezi huu wa8❤
@Olenongoyo-z1b Жыл бұрын
Bwana yesu apewe sifa
@estherkisilu632 Жыл бұрын
Ee Mungu ni badilishe Nienende katika maisha yang
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
Ee baba mwenyezi naomb huu mwez uwe n wenye baraka na mafanikio kwangu,,,uuilinde na familia yangu
@pamelabracedes9600 Жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu Asante 🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe sana
@JaneStephano-uo8no Жыл бұрын
Amina
@salamakarisa9 ай бұрын
Amen🙏 ubarikiwe sana nimejifunza kitu
@elizabethpiniel32673 ай бұрын
Ubarikiwe san
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Napokea baraka za MUNGU kwa ajili ya uzao😊
@rebeccabrown5135 Жыл бұрын
Amen asanti Mungu naomba nipee kazi huu mwezi wa nane
@SimonMwangi-j4d Жыл бұрын
naomba mungu anihurumie mwezi huu nmurudie juu nrikuwa nimemtoroka nakujaribu kunjiunga na freemason lakini juu mungu ana nguvu nyingi haikufanikika ee mungu nisamehe .nibariki upya kwa baraka zozote amina
@marymaria6544 Жыл бұрын
Asante yesu
@IreneShao-g3z Жыл бұрын
Mungu ajibuy
@costakabamba8108 Жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu kwa somo hili ' malaika wangu wa mafanikio uwe na Mimi Siku zangu zote
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa MUNGU 🎉
@LekisosionNangenoi-dz3kq Жыл бұрын
Eee Mungu kwa Jina la Yesu Kristo aliehai nami baba unitendee sawasawa na neno lako na somo hili
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Ooooh asante yesu kristo kwa kunipa malaika wako,
@Victoria-bv6xu3 ай бұрын
Ameni 👏
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
Amen sana
@JumaAugusto-du5bu3 ай бұрын
Asante kwa mafunzo mazuri
@bensonsalama6849 Жыл бұрын
Amen napenda sana kushika mafundisho hii
@victoriaaman6628 Жыл бұрын
Amen Mtumishi Asante sana Mtumishi 🙏
@Akilunah Жыл бұрын
Ameen namtuma malaika wa kunivusha kwenye teso la uvimbe katika jina la yesu
@joyceshirima2072 ай бұрын
Malaika wa mafanikio naomb uwe nami siku zote za maisha yangu na Asant mtumishi nimejifunza kitu
@sahaaflorence.gahaha4151 Жыл бұрын
Amen .naomba mungu anipenguvu za kiroho
@loycekatorogo828 Жыл бұрын
Ee mungu wangu mwezi huu nipe ulinzi mkubwa zidi ya maadui zangu hekima amani baraka usikivu na ufaulu katika maisha yangu amina
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Amen amen amen 🙏 🙏 🙏 ewe mwenyezi Mungu nakuomba unifungulie mafanikio zaidi univushe unishindie kwa kila jambo la maisha yangu na uzao wangu.Amen🙏🙏🙏
@bethstanford9840 Жыл бұрын
Eeee Mungu naomba unitokee na mm nikuone nikuone katka ya adui zangu sawa sawa na neno lako
@FaidaWilly-du8ts Жыл бұрын
Amen amen amen mtumishi asante sana.
@JosephineChondo Жыл бұрын
Amina nimebarikiwa
@isabeljohnson581 Жыл бұрын
Halleluya Halleluya Halleluya
@marykisiangani2470 Жыл бұрын
Amen amen, nakushukuru mungu wangu, naomba mafanikio, na zaidi uwepo wako uenende na mimi ndani ya mwezi huu wa nane, nahitaji roho mtakatifu akaniongoza
@eliaikangui6543 Жыл бұрын
Mafanikio mema kwa sababu ya maisha bora
@phylisselebwa4716 Жыл бұрын
Amen, Asante sana,kwa neno nzuri,,Mungu naomba unisaidie nizidi kujua sana,,nijue kulifahamu neno lako
@christinestemi1684 Жыл бұрын
Asante mungu nifungue macho yandani niweze kulindwa na malaika
@furahazero6559 Жыл бұрын
E Mungu nipee Roho YA uvumilivu Mahali hapa nilipo we yesu usinofiche USO wako mahitaji macho YA kiroho ameni
@LagusyaMwaipopo Жыл бұрын
Eeeh mungu wangu uliye mbinguni naomba ndani ya mwez huu nione ukiniinua na kuniimarisha kiroho. 🙏 AMEN
@wisemelodytz589 Жыл бұрын
Yesu tuma Malaika wanilinde njiani 🙏
@AnnaMatiko-b5i Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
@mareh18 Жыл бұрын
Wa! Leo umeniguza! Mungu atusaidie tutege muda wa kuwasiliana na yeye.
@mishikazungu8028 Жыл бұрын
Amen
@priscillacharo6188 Жыл бұрын
Amen ,Yesu naomba unisaidie kutimiza ndoto zangu
@magnusmichael Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana Ee mtumish wa MUNGU 🙏🙏🙏
@agnesspaul18663 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉Ameen
@stellanyamuhogota1832 Жыл бұрын
Ameni namtuma malaika kwenda kule nakodai pesa yangu itumwe haraka kuanzia Sasa ktk jina la YESU KRISTO
@aminajuma1156 Жыл бұрын
Eeeh mungu wangu naomba uniongoze katika mwenzi huu wa nae hekima Yako iniongoze kila maagamo nilikuwa nayo yatoke eeh mungu nisaidie Ameen 🙏
@marymaria6544 Жыл бұрын
Amen amen Na kualika Malaika Wa mafanikio ndani yangu Kwa Jina la yesu.mungu azidi kutuongoza tuenende sawa sawa Na mapenzi yake.
@terrynjeru1330 Жыл бұрын
Single again the coolest ho legally pending can you I listen to Nanny and Alyssa Milano's Van
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
Ee malaika wa mungu naomba unipeleke mahar pa mafanikio yangu
@emilywamalwa5938 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa uzima naomba roho wako aniongoze huu mwenzi wa nane,pia washirika wote wa siri.Mtumishi mola akubariki 🙏🙏🙏.
@rehemajuma325011 ай бұрын
amina
@emilypatrick5509 Жыл бұрын
Amen 🙌🙌MUNGU achilie uelewa kwetu tuelewe jinsi anavyo taka tuwe in JESUS MIGHT NAME
@neemasamwel8968 Жыл бұрын
Mungu akutunze kaka
@gukawafly Жыл бұрын
Amen I'm back praise the living God
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
amen
@juliuswambua5168 Жыл бұрын
Amen,Amen and Amen
@bithwangi1008 Жыл бұрын
Yes nko connected with agles
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Ameeen ameeen and ameeen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU ❤❤🙏🙏🙏
@RosemaryCharles-o9j Жыл бұрын
Amen Mtumushi, Mungu akubariki....🙏
@evalynependo3824 Жыл бұрын
Amen and Amen 🙏🏻Napokea malaika wa kunipeleka kwenye mafanikio yangu katika jina la yesu kristo amen 🙏🏻
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Napokea kusoma na kumtolea MUNGU sadaka
@bithwangi1008 Жыл бұрын
Nimejicconect with my family and connected this month
@Grace-l9l8y Жыл бұрын
Amen🙏
@frankjoseph7732 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🌅
@EmmyKapessa Жыл бұрын
Ameni
@rosemarymghoi3581 Жыл бұрын
Amen Mungu akubariki sana niombee nafanya kazi lakini sipati mshahara nimejaa madeni
@mosesmaganga1548 Жыл бұрын
Nakushukuru mungu Kwa Rehema yako🙏🙏
@mpigadaud4180 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@jackilinelucas3666 Жыл бұрын
Ameen🙏
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Mungu wangu onekana wazi maishani mwangu Nina mengi Sana ya kuongea nawewe mezani
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
amen
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@LiddyDeHustler Жыл бұрын
Amen and Amen 🙏 🙌 👏 😊
@eliaikangui6543 Жыл бұрын
Najiunganisha na malaika wa mafanikia huduma yangu na WANANGU
@neemasamwel8968 Жыл бұрын
🙇♀️🙇♀️
@alicemwaka3762 Жыл бұрын
Emeeen
@DanielMartins-th4z9 ай бұрын
Utukufu ni wa bwana
@doreenntinyari7138 Жыл бұрын
Amen 🙌🙏🙏🙏
@chazkkasubi Жыл бұрын
Eeh BABA YANGU MUNGU WANGU nikumbuke kuniletea malaika ktk MWEZI HUU wa Aug anilinde na kunipeleka kwenye baraka zangu na kufungua kazi ya mikono yangu ktk JINA LA YESU KRISTO
@prettyalecky6914 Жыл бұрын
AMEN AND AMEN 🙏
@OmbeniAwadhi-eu3we Жыл бұрын
Nahitaji malahika aninifanikishe kukua kiimani pia namwalika malaika kwa wazazi wangu wakakue kiimani pia
@bethstanford9840 Жыл бұрын
Ila pia mtumishi wengine niwagen wanataman kushiriki kufungu kuomba na tunaomba nn kwa mstar upi na tunaanza saangap?