"MALAIKA WA MUNGU WALIKUWA WAKINILETEA PESA NDANI KIMUUJIZA" USHUHUDA WA KUHANI JOSHUA WA MBEYA

  Рет қаралды 13,687

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@sophierkhatib1862
@sophierkhatib1862 2 жыл бұрын
Amina mtumishi Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu
@barakamanu1514
@barakamanu1514 2 жыл бұрын
Imani na uvumilivu katika changamoto kali. asante kwa ushuhuda huu, waliookoka tujifunze.
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Kai! It's so nice ,
@baya7067
@baya7067 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu na akuzidishie zaidi
@franciscamakau6344
@franciscamakau6344 2 жыл бұрын
God bless you for faithful to God servant of God
@paulmwati7539
@paulmwati7539 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@pastornadine7475
@pastornadine7475 2 жыл бұрын
Amen. Mungu mkuu
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
nimemsikiliza dakika5 tuu nikajua huyu mtumishi na ushuhuda wake wa kweli hata hafikirii anaposimulia sababu ni maisha halisi aliyoyapitia!
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri 9 ай бұрын
Vizuri kweli mnamtumikia Mungu
@drnow1528
@drnow1528 2 жыл бұрын
Hallelujah
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 2 жыл бұрын
Mimi pia mungu amekua akiniwezeshea kupata pesa kimajabusana. Mungu wangu asifiwe milele amen 🙏
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Waah Mungu sio mwanadamu kweli na Mungu atusaidie kweli
@shalomkind4575
@shalomkind4575 2 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda huu !naomba namba ya mtu.mishi huyu jamani
@ibrahimumwatwambo1058
@ibrahimumwatwambo1058 2 жыл бұрын
Amen ushuhuda wa kweli tumesali wote na kuimba praise pamoja hata siku aliyofunguliwa nilikuwepo kanisa lilikua nyuma ya kiwila motel Soweto Ubarikiwe Mungu akubariki Sana
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 2 жыл бұрын
Amina Bwana yesu asifiwe
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Safi sana Kuhani na mama kuhani Mungu muumba wetu azidi kuwatumia kupita kawaida
@zenaalex5824
@zenaalex5824 2 жыл бұрын
Mungu akubariki na uzidikumtumikia Mungu ,Ameen.🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 жыл бұрын
Amen ushuhuda mzito sana huu
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 10 ай бұрын
Manyanya nakuona
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Yesu akurudishe hiyo paradiso kwa mara nyingine kwa kua sahizi una wokovu uje utusimulie jamani
@elpidiusezekiel2729
@elpidiusezekiel2729 2 жыл бұрын
Great Testmony 👍
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Hii story ni nzuri sana ila pastor ako na haraka sana ya nini kweli tulia step by step
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 жыл бұрын
Ila hakueleza km alifunga ndoa...!
@furahamwangosi3896
@furahamwangosi3896 2 жыл бұрын
Hiyo ni changamoto mtangazaji sio mdadisi na yeye amenogewa na shuhuda
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Kwa Dunia ya sasa wanawake aina yako katika milioni unapata mmoja
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Ushuhuda mkubwa Sana kwa yoyote alie okoka azidi kutia bidii katika wokovu wake asianguke Tena kwa dhambi
@elvamasherano8122
@elvamasherano8122 2 жыл бұрын
Amen
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 2 жыл бұрын
Mungu na akubariki Sana kuani .
@favourndila8474
@favourndila8474 2 жыл бұрын
Ameeen
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Kama majini yanaweza kumletea mchawi au mshirikina pesa basi hakika Malaika wanaweza kufanya makubwa kuliko hayo!!!
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Wanawake milio okoka mumemuona mama kuhuni alivyo Kaa
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Waambie WENZIO wake za wachungaji wanaji hubua KUVAA muwigi mihereni na mitaka taka MINGIwanafundisha NN KWA waumini
@laurianpancras4953
@laurianpancras4953 2 жыл бұрын
Mutumishi wa Mungu umetoa ushuuda waunabii wengi kweli awatambu mkonowa mungu tujitaidi usikia sauti yake ataki amtupi mjawake
@rhodamwafongo6660
@rhodamwafongo6660 2 жыл бұрын
kuishi kwingi kuona mengi
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Haki saa zingine mambo ya rohoni walio rohoni tu huelewa nimecheka 🤣🤣🤣 Sana ati alikua anawachiwa Kodi tu naanaishi shidani
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 2 жыл бұрын
HalleluYah
@eliasmoisesmbedo7297
@eliasmoisesmbedo7297 2 жыл бұрын
Kuhusu mahusiano yalikuwaje: walifunga ndoa au ilikuwaje ... Hila Mungu awabariki sana watumishi hawa.
@shalomkind4575
@shalomkind4575 2 жыл бұрын
Naomba namba jamani ...
@shalomkind4575
@shalomkind4575 2 жыл бұрын
Wanawake kweli wameruhusiwa kua pastor?
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Jactan mdogo wangu,mbona tulikuamini sana kWa kuleta,shuhudia za kweli na kuaminika kama zile za omali,Katekela,n,k lakini hawa wasanii vya nini tena,wapi na lini,Mbingu zikahusika na mambo ya kaisali Yesu mwenyewe hakugusa hela.
@barakamanu1514
@barakamanu1514 2 жыл бұрын
Yesu pia alienda kuchukua hela ndani ya samaki. mmezoea kusikia mashetani wakipeana pesa, leo mkisikia malaika pia wanaweza kutoa fedha mnaanza kushangaa. kwani shetani anashinda malaika wa mbinguni?
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Nikweli nilisikia bishop Gwajima akisema wakati alikua na shida akilala chini kwa one room Kila siku asubuhi alikua akipewa sukari akunywe chai naanasema ilikua haiongezeki na hajui huyo mtu alikua anatoka wapi
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Tunaomba kufahamu walifunga ndoa lini? Pia kanisa alilohubir kuhan linaitwaje? Pia ameitwa ilkuwa mwaka gan? Haya maswali tunaomba utawauliza Mbarikiwe ushuhuda mzur
@LoFi_120
@LoFi_120 2 жыл бұрын
Zaburi 34:6Maskini huyu aliita, BWANA akasikia, Akamwokoa na taabu zake zote. 7 Malaika wa BWANA hufanya kituo Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Sehemu ya pili twangoja kweli
@martinzegele6925
@martinzegele6925 2 жыл бұрын
AZh
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 2 жыл бұрын
....❤️❤️💃💃🔥🔥🔥❤️❤️❤️...
@samuelmussa4809
@samuelmussa4809 2 жыл бұрын
Malaika hakujitambulisha 😛😛😛😛
@glorytoGod639
@glorytoGod639 Жыл бұрын
Mbinguni uliendaje, na ulirudije duniani, ulipewa maelekezo gani na Mungu huko? Unasema mkeo alikuta elfu 4 chini ya kitanda, yeye anasema alikuta elfu 2, hii no, kuna uongo ndani yake
@mauwajeanpierre7832
@mauwajeanpierre7832 2 жыл бұрын
Hasante nimefurahi na husuhuda wako.
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Wakat mwingine manyanya ukiwa unawauliza maswal usikae krb na unayemuhoji kwasababu hawaangalii camera sasa inakuwa kma mnasimuliana ushuhuda nyie wawili
@shambebro382
@shambebro382 2 жыл бұрын
Hyo anatupanga .... story za upuz
@glorytoGod639
@glorytoGod639 Жыл бұрын
Huu ushuhuda wa kutengeneza, Kuna maswali anaulizwa anayapanchi
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Ushuhuda mkubwa Sana kwa yoyote alie okoka azidi kutia bidii katika wokovu wake asianguke Tena kwa dhambi
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 2 жыл бұрын
AMEN
@lispamagu5810
@lispamagu5810 2 жыл бұрын
Amen
@HadijaLingisoni
@HadijaLingisoni Жыл бұрын
Amen
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Moses, Jonah, Noah & Daniel - NON-STOP - The Beginners Bible
1:42:12
The Beginners Bible
Рет қаралды 3,5 МЛН
umvamabangayimana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
57:35
shema TV 7
Рет қаралды 66
Kisah Sahabat Nabi ﷺ Ke-10: Abu Ubaidah bin Jarrah
3:23:54
Khalid Basalamah Official
Рет қаралды 10 МЛН
How To Study English Vocabulary For Fast Recall And Fluent Speech
1:55:45
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН