No video

MALIKIA WA KUZIMU ANAETEKA WANAUME AKAMATWA LIVE.

  Рет қаралды 1,104,416

UKOMBOZI TV

UKOMBOZI TV

4 жыл бұрын

Dada huyu aliyekuwa amefungwa na jini Malikia ( MALIKIA wa KUZIMU ) kwa muda mrefu Amefunguliwa kwa njia ya UNABII. katika Madhabahu ya Ukombozi mwanza Tanzania.

Пікірлер: 687
@roseamos2812
@roseamos2812 4 жыл бұрын
Usanii mtupu Mungu atusamehe pepo hahojiwi anaamuliwa atoke anahojiwa kwa mganga kanisani ANAAMBIWA atoke kwa jina la Yesu
@eliaswilson1601
@eliaswilson1601 4 жыл бұрын
Rose Amos wewe ni wale wale maaana hujui lolote na inawezekana uko kule makanisa bila yesu MUNGU akusaidie waliookokaaa ndio roho mtakatifu huwaonesha haya.ata bibiliaaa huijui nakuonea huruma
@lazerpacer189
@lazerpacer189 4 жыл бұрын
they learnt their acting from the best in kenya, "pastor ng'ang'a" na "pastor kanyari" of the famous potassium permanganate. God for us all.. these prosperity pastors are after money cos they know their destiny is hell..truth be told....
@samsonpeter5407
@samsonpeter5407 4 жыл бұрын
Aliyeona Nabii Huyu ndio wale waliotabiriwa na nabii WA kweli yesu Kwamba watakuja kwa Jina lake.... Agonge like
@happyngoda6017
@happyngoda6017 4 жыл бұрын
Hahahhhh kabsa ata uyo dada kakodiwa mtu gan mwenemapepo anakua ivyo
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
@@happyngoda6017 apana saiz wachungaji wanakua ba nguvu za giza alafu wanawatupia awa
@lazarosoja6522
@lazarosoja6522 3 ай бұрын
yesu sio nabii ni mfalme wa wafalme bwana wa mabwana mshauri wa ajabu na Mungu mkuu
@bulengedimathias6756
@bulengedimathias6756 2 күн бұрын
Luka 21:8, Mathayo 24:24&23:15
@jacrinejohakim2803
@jacrinejohakim2803 4 жыл бұрын
Nyie mchezeen mungu tu iposiku mtalia nakusagameno
@GidionMabele
@GidionMabele Ай бұрын
Good san mtumishi wa mungu. Mungu akuongezee kw kazi yake 🎉
@edithjohn7973
@edithjohn7973 2 жыл бұрын
Amen jina la yesu liinuliwe na kutukuzwa hakika yote yawezekana kwake
@user-zf2dn7su4f
@user-zf2dn7su4f Ай бұрын
Amnaaa kitu apo niugangaa tuu
@yadernonlinenetwork630
@yadernonlinenetwork630 3 жыл бұрын
Jamani shikeni sana neno la mungu huu unabii utatupeleka wapi mwamini mungu jiunganishe na mungu akufanyie sio nabii . Nabii ni binadam kama mungu amemtuma tutajua kwakuwa mungu anajua kumtambulisha mtumishi wake ila tujue kuna manabii wa utambuzi shika neno nae nabii anakufa na mungu atamuhukumu tusitumie jina la mungu kwa manufaa ya mifuko yetu ila tumuombee maana yeye ndio kimbilo wachungaji tuhubir neno la kweli na tuwafunsishe watu neno la mungu sio utabir .mbarikiwe na bwan
@telesianasuleiman2302
@telesianasuleiman2302 2 жыл бұрын
Amina
@mikekipngetich1078
@mikekipngetich1078 3 жыл бұрын
Huu ni utapeli wa hali ya juu, Mungu hawaachi kwa kiboko chake kali,
@edinaadam8358
@edinaadam8358 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema aniponye na Mimi na familia yangu najiunganisha nauponyaji huo
@fatumamohamed8645
@fatumamohamed8645 3 жыл бұрын
Endeleeni kuchezewa Akili mwisho wa Dunia Mtakimbiana na huu mchezo wenu Mungu awaongoze, Alhamdulillah am a Muslim na wala mola asinijaalie katika vishawishi kama hivi na mchezo ya kuiga tu🤣🤣
@dottoemanuel9697
@dottoemanuel9697 3 жыл бұрын
Huyu mwanamke nayeye nimpumbavu
@HappyStephan
@HappyStephan Ай бұрын
Eti jamani unaamua kuigiza ujinga kama huu na atakuja kua Ivo ivo kweli​@@dottoemanuel9697
@AslimLovelyne
@AslimLovelyne Ай бұрын
Asante yesu kwa kumkomboa
@AidanLuoga-sg7tc
@AidanLuoga-sg7tc Ай бұрын
Dah,,huyu amezidi
@binaamour318
@binaamour318 24 күн бұрын
Wachezeeni akili t Hawa ck y mwisho mutaujua ukweli
@nahashontirop3970
@nahashontirop3970 3 жыл бұрын
Satakari tu hizi, lakini mko tu Kwa mda mfupi!!!! Bwana yesu Kristo apewe sifa
@damarischepkoris9531
@damarischepkoris9531 3 жыл бұрын
kama huamini that mashetani hujisalimisha look for Rehema deliverance and utaelewa he is a real man of God...God give you more power man of God
@mariamumapunda4614
@mariamumapunda4614 4 жыл бұрын
Watu zangu wanapotea kwa kukosa maarifa jamaan ajue kuna mtu anaitwa esta yupo kanisani na amevaa sket nyeuc manabii wa uwongo mungu anawaona
@hagainzowah9260
@hagainzowah9260 3 жыл бұрын
Mtoto akicheza kiajabu
@tausilazaro2477
@tausilazaro2477 3 жыл бұрын
Mbona kipindi cha corona Mlipotea ghafra saiz mmetokea wapi e mungu tuokoe
@honestjunior9284
@honestjunior9284 3 жыл бұрын
Mbona sjaelewa mara Simba mara chui mara jini mahaba mara Esta mara markia mara anataka wanaume mara anateka wanaume
@DenisFute
@DenisFute 26 күн бұрын
Ndugu mtuu. Anaweza kuwa na vifungo vingi
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 3 жыл бұрын
Kaole sanaa group
@HappyElias-m1l
@HappyElias-m1l Ай бұрын
Kwel ett me nakubalian naw
@pastorcarolicarlostokunmbo826
@pastorcarolicarlostokunmbo826 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana naangalia kutoka NIGERIA.
@nasrasway7143
@nasrasway7143 3 жыл бұрын
Am watching from south Africa
@rugurunjeriwariara1018
@rugurunjeriwariara1018 3 жыл бұрын
God is coming to judge everyone God open my eye I pray ad fast because of kingdom of heaven it's not time to follow miracle it's time to preach repentance jesus is coming soon
@pastorcarolicarlostokunmbo826
@pastorcarolicarlostokunmbo826 3 жыл бұрын
Huyu nabii ni wa kweli
@BeatricephilipKaishe
@BeatricephilipKaishe 3 жыл бұрын
Kamani mungu atukuzwe kamani mkono wa MTU basi alaaniwe
@richardsanga1711
@richardsanga1711 4 жыл бұрын
Mungu ndie anayejua cha mungu kinadumu Milele kazi njema nabii mungu aliye juu sana akulinde
@LIGHTNESSISAYAMOLLEL
@LIGHTNESSISAYAMOLLEL Ай бұрын
Kazi ya mungu isonge mbele.mtumishi simama zaidi usilegelege
@evamringo2331
@evamringo2331 3 жыл бұрын
Hosea 4:6.. hamuelewi tu... Waombee kwa Jina la Yesu mtumishi
@erickmuema2393
@erickmuema2393 4 жыл бұрын
Wanabii wa uongo mmoja ndo huu kwa jina ya Yesu shindwa
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Amen
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Ushinde unabii gani
@erickmuema2393
@erickmuema2393 Ай бұрын
@@tinnahagustinolyelu4247 Isaiah 8:20
@kipronoofficial6867
@kipronoofficial6867 3 жыл бұрын
Pastor barikiwa sana Hadi huku Kenya pia tuombee sana
@chrisgodie9627
@chrisgodie9627 4 жыл бұрын
O GOD open us our eyes ad give us knowledge to know right men of GOD.
@mandevuoriginally9280
@mandevuoriginally9280 3 жыл бұрын
@@meresianafidel9195 TB Joshua, mtafute
@mohdsaid7189
@mohdsaid7189 3 жыл бұрын
@@meresianafidel9195 acha upumbavu we we tutajuaje kama kweli
@taybatanaka1484
@taybatanaka1484 3 жыл бұрын
Eeh mungu tuongoze kwenye njia inayokupendeza, tunusuru na huu ujinga tunaouona kila kukicha. Manabii wanaibuka kila siku kwa kuwapoteza waja wa Allah.
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
Hayo ndio yaliotabiliwa kuwa mwisho wa Dunia watatokea manabii wa uongo ndio hao
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Ай бұрын
NYAKATI ZA MWISHO KWELI! DAH!!!
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Ай бұрын
dah! Mungu atuepushie mbali na huu ujinga kwel!
@GiftErasmus-pd7zz
@GiftErasmus-pd7zz Ай бұрын
EE Mungu utusaidie manabii wengi niwaongo alfu uwongo unaonekana peupe Yani awanaataaibu bible imesema nyakati zamwisho watatokea manabii wengi wauwongo nawatatoa pepo kwa jina la yesu
@SarymElias-sq5wr
@SarymElias-sq5wr 10 күн бұрын
Mh uwe eeh malikia anasema ndoivyo malkia kapigaje hapo
@frolapaul8430
@frolapaul8430 4 жыл бұрын
Bwana YESU na azidi kukutumia kuvunja kazi za kuzimu,
@fedrickbilalie6309
@fedrickbilalie6309 3 жыл бұрын
Jamani tumwamini mungu wakweri dunia yareo inaerekea kubaya sana
@solomonndeti1736
@solomonndeti1736 3 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kazi nzuri.
@crispindrummer2765
@crispindrummer2765 2 жыл бұрын
Aimidiwe wa majeshi kwa kazi ya musalaba
@godfreymakoi9849
@godfreymakoi9849 4 жыл бұрын
Achani kushambulia kazi za Mungu, hizi ni kazi za Mungu aliye hai. Kama hamna Mungu wacha wenye Mungu wa kweli wafanye kazi.
@lydiahmogendi3290
@lydiahmogendi3290 3 жыл бұрын
Jina la yesu Lima Nguvu.. Mapepo yanatoroka kwa jina la yesu christo Amen
@isacklazaro3977
@isacklazaro3977 3 жыл бұрын
N kweli ila tujihadhari na manabii wa uongo
@celinelyimo6003
@celinelyimo6003 4 жыл бұрын
Amina Baba ubarikiwe sana
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Imani Yangu itaniponya kwa jina LA yesu na si kwa jina La mchungaji, duniani tunapita binadam sote
@sergesshimirimana468
@sergesshimirimana468 2 жыл бұрын
Amen
@stanyamisi5823
@stanyamisi5823 3 жыл бұрын
Félicitations nabihiiii , wa mungu Siku Gani uta kudja Congo tu n'a ku itadi udje utu pone.
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 3 жыл бұрын
Eee mwenyez Mungu nisaidie!! Tusaidie kwajina la Yesu
@samuelkiarie1720
@samuelkiarie1720 4 жыл бұрын
Poleni wa Tanzania...tulidhani utapeli kanisani iko tu Kenya...tulidhani nyinyi ni wasafi...kumbe hakuna tofauti utapeli kanisani
@methodaud3338
@methodaud3338 4 жыл бұрын
utero kanisan
@farajajuddy3871
@farajajuddy3871 4 жыл бұрын
Hii kitu hata mpumbavu tu anajuwa kabisaaaaa ni utapeli na uwongo
@juliejulie8704
@juliejulie8704 4 жыл бұрын
Tatizo hatujui ni Yesu gani huyo kwann hamuongei Yesu kristo hhmm Mungu atuongoze
@khamismwalimu2681
@khamismwalimu2681 3 жыл бұрын
Ha
@keziaemanuel6363
@keziaemanuel6363 4 жыл бұрын
M nahc huu mwaka hauishi bila Yesu kurudi
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
😀😀😀😀maana Atari
@Betty-bp4gp
@Betty-bp4gp Ай бұрын
Ako w ap
@adeliusbarnabas9356
@adeliusbarnabas9356 4 жыл бұрын
Mungu azidi kutufungua maana hatuna tulijualo bila yeye
@zainabjumanne2907
@zainabjumanne2907 3 жыл бұрын
Uongo huo mtadanganya wengi
@zainashikuku3960
@zainashikuku3960 4 жыл бұрын
Mambo ya manabii n uongo.wanaongea na wakristo,wajifanye wana shida.xx wanajionyesha kwa media eti wamepona,Tasa wamepata watoto na etc.Kumbe n biashara kutafuta njia ya kujaza kanisani ili wafaidike kupitia kwao
@anoldaudax6693
@anoldaudax6693 4 жыл бұрын
Kweli kabca kla m2 ashikilie iman yake. Wapendwa was mngu
@robertsure146
@robertsure146 3 жыл бұрын
Mungu tupe macho ya ndani
@charlesnginila3334
@charlesnginila3334 3 жыл бұрын
Huyu ni togauti anataja jina la yesu hebu munagalie yule mchungaji mwalabu yule anakupuli na pumzi yake hakuna jina la yesu linalo tajwa hapo
@eliphridasebastian1541
@eliphridasebastian1541 3 жыл бұрын
Jamani haya ni ya kweli Wala nabii malisa hadanganyi
@puritychogoro
@puritychogoro 4 жыл бұрын
God is great,
@elishapetro1363
@elishapetro1363 3 жыл бұрын
SDA
@josephinemumbua159
@josephinemumbua159 4 жыл бұрын
Siku ya ukumu wataambiwa ondokeni muende motoni Mimi siwajui watasema tulikua tunatoa mapepo Kwa njina laka yesu atawaabia siwajui
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Ww waache mm naawaangalia
@revintanmbovela3226
@revintanmbovela3226 4 жыл бұрын
Praise the Lord
@victorineamos3620
@victorineamos3620 2 жыл бұрын
Faya kabisa
@bulengedimathias6756
@bulengedimathias6756 2 күн бұрын
May Good give you the spiritual eyes to discover this comedy. Math 23:15, 24:24& Luka 21:8. Kwa umati huo hayo majina hawawezi kukosekana na kwa lipi hao wadada wameanza kujiliza kama kweli hawajapangwa?
@shabaankahindi9749
@shabaankahindi9749 3 жыл бұрын
Wallah huu ndo wizi wakaribu, inawezekana vipi jina moja na watu 5 tena wote nishetani
@wilemkondya8367
@wilemkondya8367 4 жыл бұрын
Hakika Mungu atufungue zaid wanaume, maana bila yeye hatuwez kuwatambua hawa wanawake, n yup Mwanamke sahihi kwetu
@yasmineyasmine5489
@yasmineyasmine5489 4 жыл бұрын
mungu ni mwema sana kwa wamuaminio
@stallonenjoroge6331
@stallonenjoroge6331 4 жыл бұрын
Ni kweli kaka
@adamamin8148
@adamamin8148 4 жыл бұрын
Shikamoo elaaa
@rugurunjeriwariara1018
@rugurunjeriwariara1018 3 жыл бұрын
Jesus was fasting and praying most of the time that why jesus when he was healing rebuking demons he was not straining alot he was just saying come out and thy come out God open my eyes
@pastorcarolicarlostokunmbo826
@pastorcarolicarlostokunmbo826 3 жыл бұрын
Huyu nabii ni wa kweli
@abaasemmanuel5259
@abaasemmanuel5259 3 жыл бұрын
nabii wa mwisho ni MOHAMMAD(s.a.w) ww ngojea sku ya mwisho ndo uone kama commedy yako itakusaidia fanyeni kazi acha utapelisidhan kama hata una nguvu za kukemea pepo ww sasautaanzaje kupambana na malkia wa kuzimu acha uhuni na soon Mungu atakuumbua ww utapeli kwa jina laYESU sio mzuri afu huyo dada ajui kuigiza kwamba amjui Yesu akat mpaka miamba na miti wanalijua jina hilo ABOMANYI QWAMA INTYETRBN PIETYEU RUME YHYNII UHUNII
@lizyjosephat7736
@lizyjosephat7736 4 жыл бұрын
Amen Mungu akuinue zaidi baba
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 жыл бұрын
Hahahaaaa kwa uongo mnaweza
@bensonkariuki1831
@bensonkariuki1831 4 жыл бұрын
Matapeli kwaneno la Mungu niwengi kweli nyakati za mwisho hii nibiashara
@petroshija6084
@petroshija6084 3 жыл бұрын
sikuzamwisho zimefika matapeli wengi wanatumia nguvu zagiza
@kamutua6376
@kamutua6376 4 жыл бұрын
mwenye mapepo ya kweli adi ww utamuogopa ty. uyu alipelekwa tu shule kama nakosa jmn naomba msamaha hila tu tuwe macho manabii wa uwongo wengi mno..
@kesialunyungu7408
@kesialunyungu7408 4 жыл бұрын
Dada Muogope muumba wako ipo ck nawe yatakukuta ndo utajua maigizo au laa Mungu wa mbinguni akurehemu
@Limbakale260
@Limbakale260 4 жыл бұрын
Acha uwongo tunaojua mtu mwenye pepo hapo umebugi katika kuigiza.
@jafarijafari2035
@jafarijafari2035 3 жыл бұрын
Haaaa
@maggiechepkorir7565
@maggiechepkorir7565 4 жыл бұрын
Kwani! Ni mwaume mmoja! Nduru ni mtu mmoja.
@Ijueafyayakotv
@Ijueafyayakotv Ай бұрын
Barikiwa sana Baba
@erastoezekiel3858
@erastoezekiel3858 3 жыл бұрын
Hata Wewe unaejiita nabii wa mungu nimnafki tu huna mungu wa kweli nikuzalilisha tu watu
@christinadaniel3274
@christinadaniel3274 4 жыл бұрын
Nabiii BGMalisa umekuwa baraka sana
@anoldikiti2444
@anoldikiti2444 3 жыл бұрын
Muogopeni Mungu jamani msimchezee....
@mwadawasaidi3752
@mwadawasaidi3752 4 жыл бұрын
Yani hii njaa jamani tumuogopeni Mungu nyie watu mjuwe iposiku tutaulizwa jamani 😏😏😏😏😏😏
@kefulinmathias2738
@kefulinmathias2738 4 жыл бұрын
Mutumishi wamungu mungu akubalik mimi nikefulen mathias mutumishi nkome geita
@user-ft9rw3pn1v
@user-ft9rw3pn1v Ай бұрын
Wacheni ujinga nyinyi mnachezea dini ya mungu mnafanye mchezo nyinyi mtamjibu ninj Allah kiama ikifika hii ni biashara mnayofanya.
@Unity.is.power1
@Unity.is.power1 Ай бұрын
Yesu na wanafunzi wake hawakuwahi kuhubiri kwa siasa
@ValentineUrio-e7i
@ValentineUrio-e7i Ай бұрын
😢God is great
@josekalinga5448
@josekalinga5448 4 жыл бұрын
Mathayo 24:1-51 yaani wanaigiza live Mungu atawawajibisha vizuri , mnasema fire ya wapi hyo subirini Moto wenu usiozimika
@anordkabhole6897
@anordkabhole6897 4 жыл бұрын
Mungu tupemacho yarohoni
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 4 жыл бұрын
Tuone yanayoenderea
@simonfundisha6817
@simonfundisha6817 3 жыл бұрын
Wewe Ester Ukitoka hapo kwa Nabii, Nitafute. Nimekuelewa Sana. Uko Mtamu Sana. Mm nawapendaga Malikia Kama nyie. Mnaotoa ushuhuda wa Uongo. Bwege Wewe.
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@rebeccaisack6481
@rebeccaisack6481 3 жыл бұрын
Duh mwenye nguvu zamungu hawezi ongea napepo ivi Ila kweli siku zamwosho zimekalibia
@masyanzomo3284
@masyanzomo3284 3 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni ndiye anayefahamu ukweli tu
@yusuphmussa6589
@yusuphmussa6589 4 жыл бұрын
Muogopeni mungu iyo move au live kanisani
@DogoTistiany7
@DogoTistiany7 Ай бұрын
Mungu tuepushe na manabi wa uongo
@fransciscahndakala1571
@fransciscahndakala1571 4 жыл бұрын
Nyinyi watanzania mtaacha unabii wa uongo lini?mbona mnachezea jina la Yesu ivo aki
@happykapinga6778
@happykapinga6778 3 жыл бұрын
Jaman
@maryboniphace629
@maryboniphace629 3 жыл бұрын
Sio wate ila huyu noma ni muhongo atari
@puritypurity838
@puritypurity838 3 жыл бұрын
Mbavu zangu mm😁😁😁😁😁😆😁😁😁😁mdada mwenyewe ajui kuingiza,jamani moto utakao wachoma hawa manabii wa kujituma mungu tu ajuaye
@doreenlazaro4954
@doreenlazaro4954 4 жыл бұрын
Kolona basi muitaburi dawa yake kama kwel😠😠😠😠
@LovelyBabyTurtles-ur1mk
@LovelyBabyTurtles-ur1mk 5 ай бұрын
Amina napokea na mimi
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 3 жыл бұрын
Afadhali wakristo mmegundua huu usanii wa huyu TAPELI.
@endtimesdreamsandvisions6929
@endtimesdreamsandvisions6929 3 жыл бұрын
We we asante kwa kunikosea tuonane mbele ya God the father almighty
@endtimesdreamsandvisions6929
@endtimesdreamsandvisions6929 3 жыл бұрын
2peter 2
@melkiorykweka438
@melkiorykweka438 Ай бұрын
Sanaa jamani hivi waafrika tutachezewa akili watu hamuamki jamani MUNGU wakweli yupo.hawa sio manabiii niwaongo tu
@reginamushi7833
@reginamushi7833 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣mnatudanganya hapa amna pepo nawaonea huruma wenye mnaenda kwa hii kanisa
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
Nice Prophet.
@user-zb9sq2ov5z
@user-zb9sq2ov5z 4 ай бұрын
Kama hauelewi kinacho endelea Bora kunyamaza kimya kuliko kuongea usicho kijua😊
@stephenderrick1858
@stephenderrick1858 4 жыл бұрын
uwongo jo people are too desparately naive
@roselyneanyango9544
@roselyneanyango9544 3 жыл бұрын
Jesus is Lord Shalom
@jikeycleverboy4433
@jikeycleverboy4433 3 жыл бұрын
Anataja yesu sijasikia kataja YESU KRISTO wa yesu niwengi Ila YESU KRISTO nimmoja tu
@jikeycleverboy4433
@jikeycleverboy4433 3 жыл бұрын
mchungaji wa Yesu siyo wa YESU KRISTO
@godfreykhatau4013
@godfreykhatau4013 4 жыл бұрын
Naenjoy nyie hizi comedy jamani....yamkini kama mahozi yananilenga, kwasababu sipendi watu wanamchezea Mungu... Wewe nabii wewe usipotupu usipotupu kwa dhambi za kuwapoteza hao watu wa Mungu.........moto wa milele unakusubiri...
@muniradaudi440
@muniradaudi440 3 жыл бұрын
Majangaa
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Hawa n waongo sana
@otienomagatti5111
@otienomagatti5111 3 жыл бұрын
Kwa nini tunaubiri tu kuhusu maisha ya watu badala ya kuhubiri uokovu kila muhubiri kazi zao siku hizi kuongelea uchawi tu waongo hao
@evamajege6749
@evamajege6749 2 жыл бұрын
Yes, Hakka Yesu ndie
@tumahamza8972
@tumahamza8972 3 жыл бұрын
Hivi vichekesho. Ndio yale ya kusema kilema halafu mtaani yuko mzima
@ObedyBazirake
@ObedyBazirake Ай бұрын
Bwana yesu kristo asifiwe sana
@simonlucas665
@simonlucas665 3 жыл бұрын
Nabii mungu akabaliki by mshelela
@UkomboziInchi
@UkomboziInchi Ай бұрын
Kwanini hausemi YESU KRISTO, Jina ya kristo hausemi
@mariammwano4237
@mariammwano4237 3 жыл бұрын
Mungu akubariki
@maximilianmayani3663
@maximilianmayani3663 3 жыл бұрын
Aaàh mungu atakuonyesha kwa hsyo yote unayotenda
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 3 жыл бұрын
Amina
@yusuphmussa6589
@yusuphmussa6589 4 жыл бұрын
No comment ira imani yako ndio utakayo kuponyA.
@stellamariesmbattha9684
@stellamariesmbattha9684 3 жыл бұрын
Tuombee.mchungaji...na.ngalia.kwa.sim.Amen
@MtumishiSamwel
@MtumishiSamwel 3 ай бұрын
Tunawafyeka kwa jina la yesu
@farhanixhaka2840
@farhanixhaka2840 3 жыл бұрын
Yesu ninani anaeweza yote ni mungu tu uwongo mtupu
@tabumasumbuko7213
@tabumasumbuko7213 4 жыл бұрын
Nifungue na Mimi Nabii nasumbliwa sana na kiuno ni muda mrefu sana sasa
@freemanmusic401
@freemanmusic401 2 жыл бұрын
#freemanmajuto
@elizabethmwende9734
@elizabethmwende9734 3 жыл бұрын
Amen amen Man off. God
@fl11737
@fl11737 4 жыл бұрын
Fire gani hata haieleweki 🤔🤔🤔qwn mtu akiwa na mapepo akiombewa aneza kusimulia ya awali??? Acheni kuwa manabii wa uongo eti😠😠
@rukiajumaa574
@rukiajumaa574 4 жыл бұрын
Huwez kuelewaa kama hujawahi kuponywaaa
@fl11737
@fl11737 3 жыл бұрын
@Kadala official 😂😂😂
@fl11737
@fl11737 3 жыл бұрын
@@rukiajumaa574 nieleze kinagaubaga naomba
@fl11737
@fl11737 3 жыл бұрын
@Kadala official nakubaliana nawe💯💯
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 4 жыл бұрын
Kama nakosea MUNGU nisamehe,nahisi usanii hapa
@glorythomas616
@glorythomas616 4 жыл бұрын
Hahahahaha aswa Mungu atusamehe
@titodaudi8949
@titodaudi8949 4 жыл бұрын
Watu tunadanganywa sana daaaaah
@jenifajackson4095
@jenifajackson4095 4 жыл бұрын
Da sio kwa usanii huu jamani ewe MUNGU utusamehe🤭😔😳🙄
@emmanuelzakaria5630
@emmanuelzakaria5630 4 жыл бұрын
MUNGU fungua ufaham wa watu wako waijue kweli waachane na manabii wa uongo na wamfuate yesu wa ukweli
@musagobeka4438
@musagobeka4438 4 жыл бұрын
Aseee ata me sijaelew iyi show tamu maigizo matamu duuuu Mungu atusaidie sana tunadanganywa azalani
@lennymalia9924
@lennymalia9924 3 жыл бұрын
Do you all believe in this???May God open my inner eyes to see more that others can't see🙏🙏🙏
@martindesmart2155
@martindesmart2155 3 жыл бұрын
Amen
@yuandemask2092
@yuandemask2092 2 жыл бұрын
I don’t
@marthaayuma7065
@marthaayuma7065 Ай бұрын
Mbona mnachezea mungu
Mchawi muuwaji aanguka na kujisalimisha mbele za Yesu Kristo
27:38
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 58 МЛН
MALKIA WA FREEMASON ALIVYOJISALIMISHA KWA KUHANI MUSA
23:55
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 516 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
7:20
Rose Muhando Official
Рет қаралды 28 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /28/ #love
45:53
BabaJoan
Рет қаралды 203 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН