Mchawi muuwaji aanguka na kujisalimisha mbele za Yesu Kristo

  Рет қаралды 1,381,893

UKOMBOZI TV

UKOMBOZI TV

5 жыл бұрын

Пікірлер: 597
@tabbymabele1161
@tabbymabele1161 5 жыл бұрын
Hubirini wokovu wa Mungu sio hizo sanaa zenu iteni watu wamwamini yesu kuwa mokozi wa maisha yao
@Ziyad-we9lp
@Ziyad-we9lp 4 жыл бұрын
Kenyan citizen watching from saudi Arabia by names Sofia
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
Ameeeen MUNGU NI MWEMA ukombozi wa maisha ya mwanada ni kumpa YESU maisha yako
@mamishoseif2510
@mamishoseif2510 5 жыл бұрын
naitwa habdala mwenye jina halijui Mchungaj anasemaje unaitwa nani habdala
@frankmwita5362
@frankmwita5362 5 жыл бұрын
Jokarakijj
@isakamwambenja7397
@isakamwambenja7397 5 жыл бұрын
amen that is right much
@aminizefania9634
@aminizefania9634 3 жыл бұрын
MUNGU ibariki kazi yamikono yetu py tunaomba utujalie mwisho mwema AMENI
@mamapeace3092
@mamapeace3092 3 жыл бұрын
Aliuwa hadi wamemjaa moyoni amekimbilia apo ameona maajabu mungu ndie TOSHA
@restkalemile5274
@restkalemile5274 2 жыл бұрын
Katik kitabu cha ufunuo mwisho kabisa neno linasema.... Yule nabii wa uwongo na yule mnyama na ibilisi wakatupwa Katik ziwa la moto..... So ujue sio ajabu ukiona nabii wa uwongo anampondea shetan lakin ilihali wote mahali pao ni sehem ileile. Uw macho mteule ni nyakat za mwisho, ambapo udanganyifu ni wa high level, viwango vya juu kabisa vya udanganyifu, si rahisi mkristo wa kawaida akang'amua,.... Mpka wale wa rohon sana wamwabuduo Mungu ktk roho Na kweli.
@sharifajanqabari4731
@sharifajanqabari4731 5 жыл бұрын
Ila watu hawajui tuu muko vizur sana me nawaamini sana pamoja kunawaganga mataper na nyinyi wp matape ila muko vzr mungu awabariki kwa kuwaokoa wenzenu😍😍😍
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 5 жыл бұрын
Tingi hiliiii zuga hapaaa kitabu gani hikiiiiii hata jna hajui kitaja vzr
@isakamwambenja7397
@isakamwambenja7397 5 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@barakajackson377
@barakajackson377 2 жыл бұрын
Nai julikane kama Mungu ndie mkuuu
@clementbruno8077
@clementbruno8077 3 жыл бұрын
Jamani hv vitu vipo naona majirani zetu mnateseka hooooo kampanga hooo siokweli hingekuwa ni mkristo mngekubali
@remidiusrenatus5700
@remidiusrenatus5700 4 жыл бұрын
Tunateketeza roho za kishetan kwa jina la yesu
@masimbiiyikirenga2894
@masimbiiyikirenga2894 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@rajabumoshi9357
@rajabumoshi9357 4 жыл бұрын
wachawi wote wasambaratike kwajina layesu
@credosowo2822
@credosowo2822 3 ай бұрын
Mi nipo Moçambique
@wanguiwahomet2716
@wanguiwahomet2716 Жыл бұрын
Mungu tusaidiye na utuepushe na uchawi
@colodecavanjuma7387
@colodecavanjuma7387 3 жыл бұрын
Amen. Ashindwe Katika Jina La Yesu
@alanjose6471
@alanjose6471 3 жыл бұрын
Mungu Yuko nyie ninachojua anaye uliza na msemaji wote ni wahuuwaji wanakula wanakunywa damu na pasta hili awadanganye mpaka awe na watu waliouliwa nayeye
@ibrahimharuna9821
@ibrahimharuna9821 3 жыл бұрын
Mmetusha kwa uongo JAMANI huyu MTU hata jina mlilompa halijui eti anaitwa HABDALA DANGANYENI WAPUMBAVU NA WAJINGA KAMA NINYI NA ACHENI KUCHAGUA DINI ZA WATU KWA KUJIITA NA KUJIFAMYA WATU WA MUNGU,KUMBE WAFUASI WA SHETANI ANAWATUMIA KUDANGANYA WATU.
@salomemlagila5757
@salomemlagila5757 5 жыл бұрын
Mungu ashukuriwe umechagua njia sahihi Sana eeh Yesu mtazame kwa huruma zako
@hadijaangura6572
@hadijaangura6572 5 жыл бұрын
Subhana Allah yarabi tupe mwisho mwema
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
Salome Mlagila wajinga ndio waluwao bila hivyo hamtoi michango
@marybundara6481
@marybundara6481 5 жыл бұрын
Op
@noelychawala6520
@noelychawala6520 5 жыл бұрын
salome nicheki whatsapp 0672203458
@mosesmwakalibule9904
@mosesmwakalibule9904 5 жыл бұрын
Mungu ni pendo.....
@magrethmallya9805
@magrethmallya9805 2 жыл бұрын
Ameen
@frankibrahimlutende9090
@frankibrahimlutende9090 5 жыл бұрын
Huyo baba mchawi alimjalibu Nabii kakutana na moto wa Mungu sio radio tu
@aidandamian1992
@aidandamian1992 5 жыл бұрын
uogo
@aidandamian1992
@aidandamian1992 5 жыл бұрын
Frank Ibrahim Lutende we unajua kuokka?
@selinechelimo3615
@selinechelimo3615 3 жыл бұрын
From kenya tusaidie kukujua na kukuelewa mungu
@lucyhussein7126
@lucyhussein7126 3 жыл бұрын
Jaman anapata tabu mungu murehemu hajapenda amina siunaona hata wanamsumbua ooh mungu nimwema hajapend yesu yesu yesu yesu tupe rehama zako amina
@lucyhussein7126
@lucyhussein7126 3 жыл бұрын
Jaman kalisha vitu vikubwa sn mungu msheke mkono
@gloryngonyani4078
@gloryngonyani4078 5 жыл бұрын
msijaji vibaya kila mmoja na imani yake ww unaejiona dini yako ni sahihi ulienda ukaludi nyoooooo tena mkome kujiesabia haki mtaumbuka siku ya mwisho acha kila mtu aamini anachokiamini lakini katika yote YESU wetu ni mzuri anatulinda hasa mimi glory namshukulu Sana
@winfridagama2042
@winfridagama2042 4 жыл бұрын
Amina Glory nimekupenda bure.
@misheckmrk8848
@misheckmrk8848 5 жыл бұрын
walimwengu niwabaya siyowachawitu na wanafiki na wenye loho mbaya ila mungu atupiganie make ninyakati zamwishi amina
@kuluthumuabdala3720
@kuluthumuabdala3720 3 жыл бұрын
Anamajini ndio maana anabehua hivo
@nancychabaya4047
@nancychabaya4047 4 жыл бұрын
Watching from Kenya
@credosowo2822
@credosowo2822 3 ай бұрын
Naomba kumuombea mama yangu mzazi anaumwa ugonjwa WA kutetemeka mwili wake( Nikono) tipo wilaya tá mbinga anaitwa Lamberta emilian nchimbi
@rechoathumani7037
@rechoathumani7037 2 жыл бұрын
Muchungaji nateseka San nakupataje mtumishi wamungu
@nemillyayo530
@nemillyayo530 4 жыл бұрын
Mungu anafanya mambo ambayo mwanadam awezi kufanya
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 5 жыл бұрын
Greater is the name of the lord.. Waislamu mmefuata nni hapa.... Ukiimwa kanywe jik ama clolox.... Wachawi wapigwe ee.... Uislamu na Majini na uchawi kitu moja tu
@elizabethmtweve1458
@elizabethmtweve1458 4 жыл бұрын
Kweli yesu anaweza ,bakuombe baba watu wakuamin nahuduma yako
@josephinemumbua159
@josephinemumbua159 4 жыл бұрын
Watching from Dubai yesu asema jooni nyote mmbebaye mizigo mizito nami nitawafumzisha
@rosesubi3842
@rosesubi3842 5 жыл бұрын
kwa jina la yesu wachawi washindwe.
@charlesimgonja8610
@charlesimgonja8610 3 жыл бұрын
Mungu sisi tusaindie
@clementbankuwiha8613
@clementbankuwiha8613 4 жыл бұрын
mb mnatuibia , harafu mnatuigizia
@rayyanyakini8435
@rayyanyakini8435 3 жыл бұрын
Yesu kama nani acheni uongo yesu sio Mungu ndo kila kitu yesu ni nabii wamungu
@AmosiMicha-cs5sh
@AmosiMicha-cs5sh 3 күн бұрын
Yesu asante
@frankibrahimlutende9090
@frankibrahimlutende9090 5 жыл бұрын
Mungu ashunghurike na huyo mama km hajatubu na kumpa Yesu maisha yake
@lowasalesirai9504
@lowasalesirai9504 2 жыл бұрын
Basi nikaingia kwenye majukumu ya kazi is the name of juses
@naomisamatwa6690
@naomisamatwa6690 4 жыл бұрын
Amin unachoamn maan kila mtu na uelew wake mnao pinga ndo nyie mnaendaga kwa waganga kila kukicha ikishindikan mnaanza kutaft makanisa Kama hujawah pitia matatizo unawez sema chochot
@bantwagordon5260
@bantwagordon5260 4 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupigania na uelewa wako.
@evamarianjohn5804
@evamarianjohn5804 5 жыл бұрын
Glory Glory Glory... Hakuna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu.
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 жыл бұрын
Huu ni usanii wewe, Amini katika neno ndugu
@evamarianjohn5804
@evamarianjohn5804 5 жыл бұрын
Hahahah kasome matendo ya mitume utaelewa
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 жыл бұрын
Achani kudanganya watu huu ni usanii ulio pitiliza,
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 жыл бұрын
Angalia mambo yanayo endelea! Ila ipo siku haya yatafika kikomo! Mungu hawezi kuyanyamazia kzbin.info/www/bejne/o4TMZoh-oamCeaM
@ivonekemunto8483
@ivonekemunto8483 3 жыл бұрын
Am watching from dubai
@rajaburajabu8685
@rajaburajabu8685 5 жыл бұрын
usanii mpaka kanisani kwa kweli njaa ni noma
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 9 күн бұрын
dah! siku ya mwisho sijui tutajibu nn!
@samihahussein4799
@samihahussein4799 2 жыл бұрын
Eee mungu kumbuka duinia yetu kwl sisi wanadam a2unauruma wachawi waokoke
@dianakhasila2587
@dianakhasila2587 2 жыл бұрын
Kupindia Kwa hii maombi wale wachawi wanao nizunguka kama wako mjini ama kijijini natuma roho wa mungu akawahangamize wote Kwa siku tatu
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 5 жыл бұрын
Mungu anaweza
@joshuakamage1817
@joshuakamage1817 5 жыл бұрын
Kwa hakika mtakuja mchomwe mito ikumbukwe cku ya qiyama inakuja
@dorcasmueni8619
@dorcasmueni8619 4 жыл бұрын
Naomba mungu nkitoka uku Dubai n weze kufka kwenye hii kanisa LA ukombozi in Jesus name
@adajijackline9711
@adajijackline9711 4 жыл бұрын
Dadangu tutaenda pamoja pia mimi nko huku Riyadh
@albusaidkhelef6655
@albusaidkhelef6655 5 жыл бұрын
Uongo sio jina lake na huo sio muislam
@joshuamwenda1201
@joshuamwenda1201 5 жыл бұрын
Uongo
@sadikimtega4135
@sadikimtega4135 4 жыл бұрын
Albusaid Khelef Wailam msikatae mwezenu, kama wewe so mchawi usimkanie mtu
@hekimakihaliye3455
@hekimakihaliye3455 3 жыл бұрын
Ni nabii gani alikuwa kama wew
@semajororubabaza3399
@semajororubabaza3399 5 жыл бұрын
Mungu asifiwe Dana!
@esthermorara607
@esthermorara607 3 жыл бұрын
Mungu hawasamehe kumbe mtu kunywa sumu ama kujinyonga si kupenda n Pepo??? May the Lord help us Amen
@fatmahmosa5224
@fatmahmosa5224 2 жыл бұрын
God bless the work of your hands
@savelangonyani1049
@savelangonyani1049 5 жыл бұрын
Tuliookoka tunajibu kwa roho Wa Mungu hatupambambani kwa mwanafunzi matusi
@jamesmhangamweru7025
@jamesmhangamweru7025 5 жыл бұрын
Ni kwal kabisa ngonyan
@merismbilinyi9473
@merismbilinyi9473 3 жыл бұрын
Ashukuriwe mungu alie juu
@mamapeace3092
@mamapeace3092 3 жыл бұрын
Kuna waislamu ndio hatari kwa majini exactily nina shemeji yangu hivo kama huyu mtu ndio kazi yake wachawi hodari
@hamadrajab8042
@hamadrajab8042 5 жыл бұрын
si waende eakacheze filamu kama ndo talent yao
@omarkhamis9514
@omarkhamis9514 5 жыл бұрын
Yaani tuko mwaka 2019, nasikitika mambo haya bado kuna binadamu anaweza kuyaamini. Yaani mchungaji anaona roho zikitoka lakini yake mwenyewe haioni.
@frankjohn8570
@frankjohn8570 5 жыл бұрын
Omar Khamis mambo ya rohoni ni upuzi kwa mtu asiemjua Mungu na kumuamini
@joshuakimario5764
@joshuakimario5764 2 ай бұрын
A cheni usanii hubirini injili ya kweli kila siku uchawi hamna injili
@safiashija1871
@safiashija1871 2 жыл бұрын
Fichua mtumish wetu
@hemedmtunguja9788
@hemedmtunguja9788 5 жыл бұрын
Mshenzi kaokotwa kigoma mpakanoi mwa burund ajitoe ushuhuda
@lamerocklamerock
@lamerocklamerock 5 жыл бұрын
ww ni mwema unadilik kutukana?¿???
@annievibes8794
@annievibes8794 5 жыл бұрын
mwislam gani hajui kutamka jina la Abdallah hahaha
@happygirl5141
@happygirl5141 5 жыл бұрын
Ashidwe kwa jina la yesu
@brunokamuzora9563
@brunokamuzora9563 5 жыл бұрын
Happy Girl acha usanii jamani
@jacksonmodaha1590
@jacksonmodaha1590 5 жыл бұрын
Mm Sasa haya maisha Mungu atusaidia
@paskalinafransis9475
@paskalinafransis9475 2 жыл бұрын
Mchawi jamaniwanatututesa duniani
@kenedymaturo7291
@kenedymaturo7291 3 жыл бұрын
thank you Jesus me that is believer;
@hechihechie5558
@hechihechie5558 5 жыл бұрын
Nachojua Mungu anaweza yote,pia najua shetani hauwawi,wala hafi,jamanie shetani hafi someni biblia vzr
@shabanikitogo6613
@shabanikitogo6613 5 жыл бұрын
Kwanza huyo afanani na uislamu na wewe Mchungaji koma kuwaona waislamu wanahusika na uchawi koma ubili unavojua.
@berthabenedict2362
@berthabenedict2362 3 жыл бұрын
Naww ukome
@berthabenedict2362
@berthabenedict2362 3 жыл бұрын
Naww ukome
@shogoabdul2546
@shogoabdul2546 3 жыл бұрын
Uchawi aunadini jamani
@FransiscoBwire-xe3ui
@FransiscoBwire-xe3ui 10 ай бұрын
Hakika mungu anawez
@estasage5506
@estasage5506 3 жыл бұрын
Kwa nini mchungaji haumuombei hiyo sekuseku iondoke? Mchungaji Gwajima ni unique hakika
@susanndila3804
@susanndila3804 3 жыл бұрын
Benjamin kutoka Kenya paster mung u akuongenze nguvu kazi nzuri.
@josphinemunyiri6495
@josphinemunyiri6495 2 жыл бұрын
Nice
@Jackson35320
@Jackson35320 5 жыл бұрын
watching from Kenya.
@annamkilo3133
@annamkilo3133 2 жыл бұрын
Yesuuu ni siraha yetu
@mecktuppa2342
@mecktuppa2342 2 жыл бұрын
Mungu muwe za
@jacqulinelukumay8705
@jacqulinelukumay8705 3 жыл бұрын
Jamani shetani kiboko
@yasmineaaa708
@yasmineaaa708 5 жыл бұрын
Roho mtakatifu endelea kufichua wachawi wote wafe kwa jina la yesu
@mwalimumhunzi6694
@mwalimumhunzi6694 5 жыл бұрын
Mungu wakweli awafichue Manabii wa Uwongo, mchawi na mlozi niwatu wakuchoma.
@binallysaid7280
@binallysaid7280 5 жыл бұрын
Yasmine Aaa hhhhhh
@yasmineaaa708
@yasmineaaa708 5 жыл бұрын
@@binallysaid7280 fire
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
Yasmine Aaa nyie endeleeni kujazwa ujinga mazwazwa nyie
@yasmineaaa708
@yasmineaaa708 5 жыл бұрын
@@nasibumaiko3425 Nafuta kwa damu ya yesu yakurudie mwenyewe
@tinagorges3741
@tinagorges3741 5 жыл бұрын
Anae amini mizimu hanahata dinii .looh
@inviolathabeneducto9973
@inviolathabeneducto9973 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@annecherono5510
@annecherono5510 2 жыл бұрын
God Done creat for that man amen
@godeselagosbert434
@godeselagosbert434 9 ай бұрын
Aimeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee prophet
@deodatusnchimbi7633
@deodatusnchimbi7633 5 жыл бұрын
ww kama ulikuwa na hela mara laki 8 mara milioni mara laki 3 ulikosaje hela ya kwenda kanisani adi utembee kwa mguuuuu
@deodatusdeogratias1891
@deodatusdeogratias1891 5 жыл бұрын
Swali la kipuuzi hilo.
@masungwasalumu1278
@masungwasalumu1278 3 жыл бұрын
Mnao pinga bado hayajayakuta IPO siku mtakubali tu hayo yanaonekana hapo ni dhahir
@muhamedswaleh7660
@muhamedswaleh7660 3 жыл бұрын
Hahaha Hahahaha jamani uongo wa mapasta umezidi inaezekanwa amemlipa huyumtu aje aonyeshe watu yeye ni pasta wakweli hahaha kali sana tushawazoeya.
@jasminramadhan8140
@jasminramadhan8140 4 жыл бұрын
Ubarikie sanaaa
@danielshantiwa7830
@danielshantiwa7830 3 жыл бұрын
Nawapenda wrote!
@ChancyLuhasa
@ChancyLuhasa 5 жыл бұрын
Mchungaji unaongea sana, umwache ushuhudiye mwenyewe. Kwa nini maswali mengi? Ushuhuda unajenga kanisa. Leo watumishi wanapenda kuonekana kama wao wanajua sana. Na kama ni ma star.
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Subhannallah jamani nyieeee 😭
@obedifanueli1786
@obedifanueli1786 5 жыл бұрын
Waliogundua kuwa waislamu ni wanafiki wote wenye majina ya kiislam kwenye comment wanamkashfu mtumishi,gongeni like
@mzizirashid709
@mzizirashid709 5 жыл бұрын
Obedi Fanueli usiingize Dini za watu Na majina ya watu kwenye migogoro isiyo Na lazima je wote walijaa kanisani hapo ni wakristo pekee? Acha hiyo tabia ndugu sio nzuri kabisa , huyu ni nyumbani wa mungu anahudumia watu wote waliopo Dunia Na sio anahudumia Dini ya mtu flani naomba ulielewe hilo vizuri
@mzizirashid709
@mzizirashid709 5 жыл бұрын
huyu ni nabii wa watu wote
@bossmau764
@bossmau764 5 жыл бұрын
mh pole kijana unafki hauna madhehebu mnadanganyw na hao manabii wa uongo mna baki mme weka maskio juu ss apo mie sion zaid ya move na hizo huwa zina tengenezwa tu baba jina lake lenyew kulitamka hawez hlf useme mwislam sie hatupo ivo chunga mdomo wako bado unasafar ndef ya maisha usikurupuke ww kikubwa muombe mungu akupe mwisho ulio mwma tu bas acha kukashf dini uaangukia pabaya abudu kwa iman unayo iyamin ww na sio kwa kukshfu ok yangu hayo chunga ulimi utakuponza
@yussufhimid5676
@yussufhimid5676 5 жыл бұрын
Obedi Fanueli wewe mjinga na ulikosa ufaham wewe huoni kua hii ni biashara waumini leo matajiri mtumishi masikini ila kesho mtumishi anamiliki horofa
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
Obedi Fanueli bangi bhana
@lidiakimario2658
@lidiakimario2658 2 жыл бұрын
Aminaaaaaa
@bonyladis6285
@bonyladis6285 5 жыл бұрын
Ukombozi zaidi na zaidi
@abuushaakiraddausiyy5499
@abuushaakiraddausiyy5499 3 жыл бұрын
Kikikituuu hizooooo hakuna kitu kama hichoooo nyie wapigajituuuu..
@paskalmichael6658
@paskalmichael6658 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@profduncanhenrysisya9999
@profduncanhenrysisya9999 2 жыл бұрын
People must repent from their sins and be baptized into Christ to receive forgiveness of sins and the gift of the Holy Spirit (Acts 2:38).
@nassorsaid2331
@nassorsaid2331 5 жыл бұрын
Siyo kwa kuji beulisha huko 😂😂😂😂
@samysamy2921
@samysamy2921 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hekimakihaliye3455
@hekimakihaliye3455 3 жыл бұрын
Hiyo sio kazi ya nabii
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 5 жыл бұрын
ufalme washetani umepata pigo kubwa sana huu mwanaume alitumikia kweli ushindi kwa Yesu amemtoa huko
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
الورد الورد acha uzuzu funguka akili wasanii hao
@clarajoan8100
@clarajoan8100 2 жыл бұрын
Nitakufikia vip jamani baba anakufa na ugonjwa aijulikani, hospitali tumeenda akuna ugonjwa
@jaafarmkatta1336
@jaafarmkatta1336 4 жыл бұрын
Huu usanii wenu siku hizi unafichuka. Juzi Njombe mmetengeneza dili Njombe Polisi wamegundua kuwa mlipanga. Ni wasio na akili mtawaongopea. MTU na akili yake lazima agundue mbinu hii.
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
Kabisa huu ni uwongo mkubwa
@nandysendekwa1139
@nandysendekwa1139 5 жыл бұрын
mnapenda kukshf din ya kislm
@msouthlee194
@msouthlee194 4 жыл бұрын
Ushuhuda unatoka kwa mtu alie kamili sasa inakuwaje bado ana tetemekee yani nikama vurugu mechi hvi dahaa hakika tunamwitaji Mungu katika hili
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
Hii imepagwa
@arafazakir4150
@arafazakir4150 5 жыл бұрын
Mwaipopooo na masinde tayar kishaweka wazi kila kitu kwa janja janja hii na achen kutumia majina ya kiislam ili kuuksdhif uislam na kuwadhalilisha wsislam eti wachawi kwann hujawa john laanatullah adhabu za Allah s.w zawasubir .... Nicjibiwe
@khadijajojii2283
@khadijajojii2283 5 жыл бұрын
mwaipopo
@msemwawalter837
@msemwawalter837 4 жыл бұрын
Waislmu wa Mungu c wote tunaoamini hayo.
@ibrahimukibaheche178
@ibrahimukibaheche178 4 жыл бұрын
Zakichawi
@cattythebandtz3781
@cattythebandtz3781 2 жыл бұрын
Welcome to my chanel
MWANAFUNZI ALIYECHUKULIWA MSUKULE, ARUDISHWA BAADA YA MAOMBI!!!
20:47
Ushuhuda wa aliyekua muislamu.
28:57
END TIME LOUDCRY TV
Рет қаралды 242 М.
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 57 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 13 МЛН
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 49 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,7 МЛН
MALKIA WA FREEMASON ALIVYOJISALIMISHA KWA KUHANI MUSA
23:55
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 495 М.
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1 МЛН
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 50 М.
MALIKIA WA KUZIMU ANAETEKA WANAUME AKAMATWA LIVE.
17:32
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 1 МЛН
KIBOKO YA WACHAWI AFUCHUA SIRI KWA KIJANA ALIYEKUA AKIMDHANIA MAMA YAKE MZAZI KUA NI MCHAWI
8:00
Сотрудник полиции не ожидал такого 🫣 #кинонавечер
0:55
Smiling Critters BIG CLAPPER Herobrine
0:13
5G Vision
Рет қаралды 11 МЛН
Типичный банан 🍌 #shorts #глазунов #юмор
0:18
Andrew Glazunov
Рет қаралды 2,2 МЛН
У Тебя Есть 3 Желания! 😌 @NutshellAnimations
0:46
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 7 МЛН