Sasa apo unalia mbona tunaona emoji tu ndo zinalia
@ellvinkerush49203 жыл бұрын
Ongereni tena sana👊
@neemazee18643 жыл бұрын
@@lissacosmas6978 wachawi amkosagi sasa we ulitaka nijirecord nalia... Uwezi juwa nilivyoona iyo vedeo jins nilivyojisikia kwenye moyo wng.. Au ulitaka iyo picha yngu apo ndio ilie.. Jiangalie bhn km umeshiba ugari na dagaa nenda kakojoe ukalale
@highthemetv78573 жыл бұрын
Hatuja kushangaa mwaya acha kiherehere my 🌝🖐️
@neemazee18643 жыл бұрын
@@highthemetv7857, 🙏
@smsalama65403 жыл бұрын
Wakwanza Leo jamani gongen like naomben ndugu zangu kweli damu nzito kuliko maji😔😔
@lydiaakimana79883 жыл бұрын
Manshaallah ❤️❤️Mungu ni mwanifu hakuna linalo shindikana kwake ni swala la mda tu
@zuenajohn83253 жыл бұрын
Hadi nimelia, dada Geah Mungu akutunze.
@tumainirichard62983 жыл бұрын
Well done dada Gea Habib, kazi yako inaonekana na ni Bora Sana. God bless you for your effort.
@julianajacksoni42753 жыл бұрын
Had raha yaan.. Wamemfurahia. Wajukuu wacheshi Sana..
@zakiamsafiri123zakiamsafir73 жыл бұрын
Allah awajarie jamani kazi nzur da gea
@janemsamati67003 жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa, kweli milima haikutani, binadamu ukutana
@magrethmbuma30453 жыл бұрын
Wamama tusiwe na vinyongo vikali hizi ni hasiraaa.....uwenda mama aliwakimbia watoto akawaacha na baba yao.Mungu mwema kawakuta hai
@nasseralhabsi14833 жыл бұрын
Huyu ni mama yenu kweli, sababu mnafanana sana.
@babymkuya3593 жыл бұрын
Wamefanana jamani sophia na mama mashallah😍
@zakwani8853 жыл бұрын
Alhamdu lillah lazima Utalia Masha Allah kuwaona pia ni uzuri na wamempokea uzuri Alhamdu lillah ni Jambo la furaha sana
@spreadlove21193 жыл бұрын
Jamani Da Geah Mungu abariki kazi za mikono yako, wamefanana na mama yao 💞💞💞 Mungu ni mwema sana.
@saidhamad5333 жыл бұрын
Kweli.usimzarau usio.mjua.unaweza mtukana mtu kumbe anakuhusu
@sophierseyyd11623 жыл бұрын
Mama ni mama jmn kapambana mpk kawapata wanae Wamefanana mashaAllah na binti ye
@noelamtesigwa68193 жыл бұрын
Kama mtu na dada yake😭😭 GLORY TO GOD 🙌🙌
@lorraineatieno65443 жыл бұрын
Haki ama kweli..wanafanana sana. Msichana anamtia mamake moyo asilie. Mungu Asante kwa kuwakutanisha pamoja baada ya muda mrefu.
@estermahenge59722 жыл бұрын
Nimelia mimi😭😭😭😭
@shamzone3883 жыл бұрын
Jaman mungu mkubwa kawakutanisha leo miaka 51 sio mchezo
@nelsonjonathan52963 жыл бұрын
👏🏿👏🏿 𝙪𝙢𝙚𝙠𝙤𝙠𝙤𝙩𝙤𝙖 𝙫𝙮𝙚𝙢𝙖
@khadijahomankweliyamjahaya74213 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Masha Allah Mungu mkubwa hongera da geah Allah akubariki
@mariamsingo99103 жыл бұрын
Da Gea Mungu akutunze akupe wepes ktk Kila jambo.... Pengine bila wew uyu mama asingekutana na watoto wake mpaka umauti ungemfika, kweli milima haikutani na dunia kijiji... Furaha yao itafungua magum yako yote🙏🙏
@fainesimathiasi1792 жыл бұрын
Kaka zangu msizaee na kina mwajuma
@shukridjibril68483 жыл бұрын
Sawa kabisa geah my sister. God bless you
@EK-kp2np3 жыл бұрын
Geah umezikomba Baraka lumbesa😍
@julianajacksoni42753 жыл бұрын
Wanafanana na binti ake. Huyo aliepata stroke
@abumoyo53413 жыл бұрын
Mashallah Mungu azidi kuwakuza kwa mamaaa
@nooroman25353 жыл бұрын
Shukrani dada Geah
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Mungu yu mwema jamenii ila mupelekeni mama sophia kwa maombi hali yake iwe nzuri afurai na mamayake
@zwinaalhabsi6643 жыл бұрын
Mashaallah mungu mkubwa kwa kweli wamefanana
@khamisshee51313 жыл бұрын
Alhamdulillah Da Gear Allah akubariki sana kwa kazi yako nzuri malipo yako kwa Allah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sharifakhamis24613 жыл бұрын
Amiin
@munaahmed84993 жыл бұрын
Masha allah nimejikuta nimelia walah kwa furaha jmn miaka 51 si kitu rahis
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Yani mpaka nimeria daaa maashallah maashallah Mungumwema
@ellvinkerush49203 жыл бұрын
Jamani kazi safi dada mutangasaji mungu yunawe 😥💪👊254 tuko bamoja👋
@samsungoman56263 жыл бұрын
Maashallah mungu awaweke
@oscaroscaroscar79743 жыл бұрын
Bibi now you very happy Mungu Mwema sasa bibi Ata Ishi kwa Amani foreverrrrrr watoto wake ote hako Nao❤
@tatumluv60543 жыл бұрын
Jamani Hadi machozi ya furaha 😭😭😭
@jacklinejohn2223 жыл бұрын
So nice jamani 😭🙏
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Don't juge . Mungu amsamehe madhambi yeke huyu mama nae dahhhh' mazingira makubwa
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Nampenda mama sana hana shida🥰🥰🥰🥰💋👌👋
@tanjaniyoman31603 жыл бұрын
Subhanallh..furaha ilioje
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Mama nzur mashauwalah mungu abariki dunia na kiama
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
Masha Allah bi mkubwa anafanana na bint yake aliyepata stroke
@mrsliverpool42353 жыл бұрын
geah habibu unathawabu nyingi sana kuleta furaha kwa familia mbali mbali
@sitiabubakar28923 жыл бұрын
Mbona machozi yamenitoka mm huku😭😭
@mwanaidijumanne41463 жыл бұрын
Yaaan mm nimelia acha tu
@highthemetv78573 жыл бұрын
Tunakujua una kiherehere 🌝
@hyacintagugu72 жыл бұрын
Hiki kipindi Kila nikiangalia ni machozi tu
@nyamwinukankwera37493 жыл бұрын
Hongera sana Geah unafanya kazi nzuri
@hadijashabani8903 жыл бұрын
Yani nimelia mimi utafikili nawajuwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ellvinkerush49203 жыл бұрын
Kama mimi nimelia sana mungu yubo jamani
@nyamwinukankwera37493 жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzuri
@rukiaamadadi35823 жыл бұрын
Mashallah 🤗🌹💏😘
@naomisamsoni10403 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa kqzi hii njema
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Mungu akubaliki dada Gea
@sharifahamisi20343 жыл бұрын
Mashallah wamefanana sana
@mammyprincess64943 жыл бұрын
Mashaallah raha kamanini
@adelinamushi28923 жыл бұрын
Nemekupenda sana Gehabibu
@sebonikegobi62442 жыл бұрын
Mungu akubariki sana yeah wewe na team yako
@mwajumaomar36483 жыл бұрын
Hongereni jamani nasikia uchungu maana namimi nimuhanga nilishafikwa namkasa kama huu
@nadhifahussein88023 жыл бұрын
Mashallaah ❤❤
@asiaokelay84213 жыл бұрын
Masha Allah
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Mashallah ni raha sana
@RenatusFumbuka-gw4jo6 ай бұрын
Dah kweli mungu yupo
@priscacharlescharles90143 жыл бұрын
😭😭😭Nani kama Mama jmn half wamefanana mno
@ellvinkerush49203 жыл бұрын
Hakunakama mama jamani
@priscacharlescharles90143 жыл бұрын
❤
@nkugi3 жыл бұрын
Ni kweli wamefanana mno
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Wôte wanafanana mashaallah
@azizahamisi73493 жыл бұрын
Mashallah
@fanjafanja40223 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Nataman na mimi mama angu angekuwa kapotea tu kam ivi nijuwe ipo siku atarud lakin kafa mama angu😭😭😭😭 miak 20 bila mama ni tabu nitakukumbuk san mama
@khadijahali48373 жыл бұрын
Pole sana
@ashurakichokera16363 жыл бұрын
Pole sana dear Allah ampe kauli thabiti uko alipo inshallah,,,,, Allah awajalie maisha marefu wa mama wote dunian
@masalakulwa76013 жыл бұрын
Pole sana fanja😭
@candymusa50903 жыл бұрын
Pole sana
@salamakombo32573 жыл бұрын
Polee sana ishaAllah
@mwanahalimamwachili96793 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Maa Shaa Allah, Allah Muweza.Barikiwa Da Geah.
@Shekhahamed-v2f2 ай бұрын
Jamani nimefurahi mpaka nimelia mungu amewapenda wameonana wakiwahai
@kuruthumuissa55393 жыл бұрын
Masha Allah bib bado mgum
@elidamathias67133 жыл бұрын
Mungu ni mwema Baba angu kaniacha ni mimba tumekutana nikiwa na miaka 33
@musitemusite43163 жыл бұрын
Maashaallah
@heyumi23403 жыл бұрын
maashaallah maashaallah
@gilliardgodfriend5745 Жыл бұрын
Furaha napata mimi❤❤❤❤❤😊
@azzaalmaamry58173 жыл бұрын
Maashaallah kheri hakuna kama mama dunian
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Gaeha habibu nakupenda bure yaani mbarikiwe ww na tim yako
@yasodishonest97923 жыл бұрын
Wame fanana jamani ❤❤❤
@samiahmlimanzila64062 жыл бұрын
Dada gheha habari nisaidie namba za cm za hiyo familia nindugu zangu nilipotezana nao. Mda mlefu
@reahpaulo50432 жыл бұрын
Kikos mwanangu nimeipenda iyo
@BintKeya7 ай бұрын
Jamani naomba namba ya da Gea jamani
@swaumujuma63333 жыл бұрын
Mashallah 😭😭🤲🤲
@glorymsopa4221 Жыл бұрын
Jmn mungu ni mwema hkika wamefanana na mama yao jmn
@skilindaissa54413 жыл бұрын
Asante Mungu.😭😭😭
@victoriabulambo20292 жыл бұрын
Jamaniiiiiii imeniliza kwa furaha
@upendowakwelinaamani10603 жыл бұрын
Ni furaha sana kukutana na mzazi wako hasa mama jamani ila hapa naona wazazi tujifunze kuweka wazi kwa Watoto endapo wametengana sio kuwadanganya watoto ili wasijue mzazi husika yuko wapi maana kuna wazazi wengine wanadanganya watoto ili wasije wakachukuliwa na mzazi mwenzie sasa wanapotezana na kuwaangaisha watoto jamani.
@OmarySamata6 ай бұрын
Daaaah aloooo ❤❤❤❤❤
@elizalyimo22413 жыл бұрын
Daaa hadi raha nimelia kwa furaha kwa kwel
@wemapingu89373 жыл бұрын
Mashaallah. Nani kama mama nimejikuta nalia Mungu mrehem mama yangu
@zarhamakame87533 жыл бұрын
Amina kwa xote waxee wtu walio tngulia mble ya haki
@halimamohammed41083 жыл бұрын
Jali alikua anaishi nyumban moja na mama pii nyuma ya nyumban ya mzee mayagilo namtafuta Sana Dada gea naomba msada
@AishaAisha-rh1fc3 жыл бұрын
Jieleze vizuri ww una andika vitu avieleweki
@madamelindakazizamikono85583 жыл бұрын
Hujui kiswahili?
@enockmaige89367 ай бұрын
Mayagilo yupi?
@shakilanyani18403 жыл бұрын
Hivi ndivyo vipindi tunavyo vitaka maana vinatuunganisha,,,hata Mimi natafuta ndugu yangu tangu mwaka 1986 anaitwa surwa na mama yake anaitwa pili maganga sijui nitawapata wapi Dada geah nisaidie ndugu,,,,
@ibrahimmwasamila64123 жыл бұрын
Stori zenu huwa zinanitoa machozi geah
@sharifaabdullah68253 жыл бұрын
Masha allah tabaraqallah
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
Najikuta nacheka baada ya mama na mwana kukutana na ilikuaje wakapoteana au ndio yale ya afande sele kwenye ule wimbo wake onesha huruma yako mama kutelekeza watoto kisa umeolewa na mume mwengine
@dottohamisi98443 жыл бұрын
Duu hadi nimelia jamani 😢😢😢Sophia kafanana na mama yake 😥😥
@florencemlay93333 жыл бұрын
Na wamwfanana yarabi🙏🙏🙏
@happykajeli54533 жыл бұрын
Mungu ni mwema jamani wazazi tuwaeleze watoto wetu ukweli
@mtitagirloriginal94723 жыл бұрын
Sa ndio nini kuniuliza hivi mtoto wa mwenzenu 😥
@gradnessshitindishitindi48813 жыл бұрын
Duuuh najiulzaga Sana jaman kwel naweza kuwapoteza wanangu miaka hamsin na? Jaman nnavowapenda wanangu hiv ee Mungu nijalie mwisho mwema
@agnesmchau51873 жыл бұрын
Umewaza kama mimi sijui inakuaje.hata kama nitaondoka na aolewe wingine nitarudi kuchungulia hata kwa jirani jamani.
@masalakulwa76013 жыл бұрын
Kuna watu wana mioyo
@wardw30222 жыл бұрын
@@agnesmchau5187 kuna waume wengine wako hivyo ukizaa nae mkitengana anachuwa watoto wake hakupi tena
@yasminoluoch1693 жыл бұрын
Mashallah happy for you I wish na mm one day nionane na my dad💔💔
@happygombe19693 жыл бұрын
Jamani mwenye number za dada Gear anisadie nashida nae
@madamloveness72743 жыл бұрын
Hongera Sana da geah Jambo jema hilo
@roseatieno66913 жыл бұрын
Na kweli anafanana na watoto wake
@mwajumahamisi20063 жыл бұрын
Huy mama nae alikuw katili ilikuwaje aliwaacha watot wadog ss amezeeka ndokawajuwa fyuuu