Mama Aliyelipa Milioni 500 ili Mtoto Wake Atoke Jela Azungumzia Mfumo wa Haki Jinai

  Рет қаралды 57,859

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved

Пікірлер: 70
@ahmedkagambo4964
@ahmedkagambo4964 Жыл бұрын
Mama umeongea mambo ya Busara Hekima na Haki ASANTE sasa hivi kila mtu yuko huru Asante Dr Silale
@twakawawa9344
@twakawawa9344 Жыл бұрын
Asante kwa maelezo yako mazuri na pole kwa changamoto zote ulizopitia lakini, mimi ninaamini kwenye kesi ya kampuni yangu Danish Agri-Business Solutions Ltd wewe na Charles Kimei mlifanya makosa/ujanja mkatumia nafasi zenu kutoa pesa za kampuni yangu kinyemela na kuna ushahidi kwamba wewe binafsi ulifaidika kwa kutengeneza muhtasari batili wa kampuni ambao BRELA uligonga mwamba.lakini CRDB chini ya Kimei ukafanikiwa bila kufanya due diligence na BRELA.
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Kwahiyo kumbe huyu mama ni MZULUMATI? Kama ni hivyo malipo ni hapahapa duniani
@paulinechengula274
@paulinechengula274 Жыл бұрын
1l⅕
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 3 ай бұрын
Mimi ndo naona hii leo. Je! The Chanzo, tumefanikiwa kiasi gani Kwenye hoja ya huyu Mama Sinare?
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Na hasa ile ya kumwacha mtu abakikufa au kupata maumivu, sitibiwe mpaka apate PF3. Nayo ni mbaya Sana kwa kweli.
@bekabeka-ww2mn
@bekabeka-ww2mn Жыл бұрын
iyo ndo inakera
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
SIO KUMSHUKURU MAMA SAMIA!!NI KUMEOMBEA MUNGU AMLINDE NA MAHASIDI AWEZE KUTUVUSHA NG'AMBO YA PILI!!
@shamzone388
@shamzone388 Жыл бұрын
Kweli kabisa kesi ipo mahakaman na huku gari lililozuiliwa na polise kwa kosa la barabarani Unakuta linauzwa... sheria zipo wapi Hongera mama unayosema ni kweli kabisa
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Alafu mtu anakaa maabusu miaka 5 au 10, alafu akifungwa iyo miaka alio kaa maabusu aiesabiwi, iyo sheria kandamizi pia, Hostel kwa wenye wake,mhm, malazi jela zetu mabovu sana, selo za vituo vya police, zinanuka yaani ata mmbwa awezi kukaa
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm Жыл бұрын
Mama unaakili sana pole kwa majanga yaliyokupata mpaka millioni 500 zikakutoka,kwa mwonekano unaonekana ulivurugwa kwelikweli na hiyo kesi ya mwanao,suluhisho ni marekebisho ya sheria zote mpaka zile za kikoloni na katiba kwa ujumla
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Pia zile sheria za kuweka mabaunsa wa kuvunja nyumba za watu bila mpangilia . Yaani bila Kuja na mtu au makaratasi ya mahakama xinazo onyesha kwamba unapashwa kuondoka kwenye nyumba kwa sababu fulani.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Masheikh wengi wamepewa kesi ya ugaid kwa kufuga ndevu na kukata suruali hili swala liwekwe sawa
@willymtewele1869
@willymtewele1869 Жыл бұрын
Hongera Rais wangu kwa hili ila Bunge letu lijitathimini kwa kupitisha sheria za hovyo na kandamizi kwa wananchi 2025 wote piga chini
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Жыл бұрын
Unahic Bunge lililojaa CCM tena baadhi la 7, wanaouwezo na Nia ya kubadili hizo Sheria kandamizi??
@massweafuraha4994
@massweafuraha4994 Жыл бұрын
Tanzania mfumo wakutoa haki ni mbovu sana kweli yani kama leo kuna ajali imetokea hapa Arusha imesabishwa na bajaji kagomga gari mbili ikiwemo yakwangu traffic kaja kageuza kibao kaandika dereva wa gari ndo mwenye makosa wakati kagonga gari iyopaki Hana leseni bajaji Haina break kagonga Toyo ushaidi upo picha zipo na picha ya traffic husika yupo mkitaka ushaidi upo
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Chagua chadema 2025 yatakwisha haya 👍
@alisaid9024
@alisaid9024 Жыл бұрын
Wewe sema mambo yanayofaa nchi yetu achana na Kenya Kenya wakati wao wana matatizo kuliko sisis ,,,hamuoni nchi ila Kenya utafikiri maisha yao ni bora kuliko sisi ,,,
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
Katiba ya Kenya na yetu ipi Bora? Acha ujinga wewe
@bulaloalindamtobesyaofficial
@bulaloalindamtobesyaofficial Жыл бұрын
Mbona kasema na ya south, comparison muhimu katika maboresho, maamuzi mengi hayatungwi hewani mpendwa, ndo hoja za kisomi zinavokwenda ndugu, 😅
@patrickgirigo3144
@patrickgirigo3144 Жыл бұрын
Mama anaupiga Mwingi sanaa 🙏
@frankdupe8917
@frankdupe8917 4 ай бұрын
Huyo wakubadilisha yuko wapi?
@adriangodbless2362
@adriangodbless2362 Жыл бұрын
Nimegundua Huyu mama ni mwanasheria nguli ambaye ameathiriwa na mfumo ambao atakuwa ameshiriki kuufanyia KAZI. Mtoto wake amekuwa mwathirika wa mazingira ambayo alikuwa na nafasi ya kuyashughulikia. Ni wazi kuwa hawa wanufaika wa ubabe wa serikali watakutana na Hali hii muda ujao katika kuishi kwao. Ni suala la muda. Tuwafanyie watu wote Yale ambayo Sisi tunataka tufanyiwe hasa Kwa kuweka mfumo endelevu Kwa kuweka KATIBA MPYA na Bora.
@doreenjohn086
@doreenjohn086 Жыл бұрын
Safi sana mama . Umeongea
@jamalahmed7057
@jamalahmed7057 Жыл бұрын
Sheria hizo kandamizi zipo tangu 2005 mama kuwa very clear
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
Exactly wasijidai.oooh za kuanzia 2018, watatutia shaka.
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 Жыл бұрын
Pamoja na maelezo mazuri nakupongeza. Lakini hebu wanasheria waangalie mtu anaye fanya uonezi huwa anajulikana. Sasa inapofikia kuonekana aliyeonewa hana hatia kitumike kifungu kilekile cha adhabu ambayo angeliipata aliye onewa, kwa mtu aliye tengeneza au kubumba case. Nina hakika hakuna tena atakaye dhulumiwa.
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 Жыл бұрын
Hahahahahahahah hizo kesi unazosikia mshitaki ni jamhuri Sasa utamshutaki nani , sema jamaa aliumiza watu wengi Sana atajijua
@Bob-ev2fi
@Bob-ev2fi Жыл бұрын
You sow the wind you reap ,##. Umepanda mchomonga kuushuka ndio ##. It is sad . Over 60 years of independence we are where we are. Bottom line :the powers that be are they in the loop . Untill we figure this it will remain a sad story. God have mercy as such as we
@debbiemes4600
@debbiemes4600 Жыл бұрын
Wanasheria wanatuchanganya tu. Wao wakiwa Mawizarani ndio wanatengeneza rasimu za sheria kupeleka Bungeni kujadiliwa na kupitishwa. Kama kuna haki zinapindishwa ni katika mfumo wote wa utungaji na utekelezaji wa sheria na hasa kupitia rushwa hata kama sheria iko sawa.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Ccm kazi kuleta ushoga tu, watoto wote wameregea tangu watawale
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Ebu angalia yule mwana kuzimu alivyokuwa anaiharibu nchi !. Ashukuriwe Mungu kwa kuipa Tanzania Rais Samia suluhu Hassan
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Жыл бұрын
Jiwe alikuwa shetani/Ibilisi.
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
@@modestwenceslaus9 kuzima mwanakuzimu, alikuwa mjumbe wa shetani
@dausoncleophace9107
@dausoncleophace9107 Жыл бұрын
Mama 2025 nakupa Kira Ila piga chini Hawa mawazir vchomi ambao wanatunga Sheria chafu ,wanajulikana magu aliwapiga chini akiwajua ,watakukwamisha mama
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Kama hao watoto walikaa miaka 9 & mwingine miaka 5 hapo magufuli alihusikaje na hizo sheria zimekuwepo tangu uhuru za kumweka mtu ndani miaka mingi baadae upelelezi unatoka hauna hatia, msimsingizie maguguli kayakuta hao wanasheria wenyewe ndiyo waliyakumbatia na walijua kuwa wenyewe hawawezi kupata matatizo ya kuwekwa ndani muda mrefu
@tubeminamiwa
@tubeminamiwa Жыл бұрын
hujamuelewa.
@jamalahmed7057
@jamalahmed7057 Жыл бұрын
Hawa wanajaribu kututoa kwenye reli
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 Жыл бұрын
Thank you mama❤❤❤
@leonardmlelwa7917
@leonardmlelwa7917 Жыл бұрын
Asante
@japejape-tt8ny
@japejape-tt8ny Жыл бұрын
Mm nadaiwa lkn nimefunguliwa kesi kama ni mwizi Nimeambiwa ndio sheria
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Жыл бұрын
Tunashukuru The Chanzo kwa kufukunyua taarifa ambazo ni ngumu kuripotiwa
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Sheria mbaya zinamkandamiza mwananchi , mtu hafungwi kama hajatiwa katika makosa. Ha´una mtu anayefungwa bila ya kosa au Ushahidi , ni sheria kandamizi, KATIBA MPYA NI MUHIMU.
@jamespatrick4349
@jamespatrick4349 Жыл бұрын
99k
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Miaka 9 🤔 bado uchunguzi!?. Sasa mwizi amekaa miaka 9 anatafutiwa uchunguzi. Ukipatikana uchanguzi mahakama inahukumu miaka 3 wakati alikaa akisubilia uchunguzi kwa miaka 9 kumbe kifungo miaka 3 ambayo angehukumiwa mapema angekuwa kashatoka. Sasa kama hanahatia teyari kashakaa miaka 9 🤔
@ibrahimkasambala-lr7gq
@ibrahimkasambala-lr7gq Жыл бұрын
Oooo of our lives are you doing today I hope you have a great day today I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I love you too baby girl I miss my friends
@joachimjoseph9246
@joachimjoseph9246 Жыл бұрын
Hii watu wachangie kwa njia ya simu pia
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
Ingekuwa vizuri sana.
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Жыл бұрын
Miaka 5 eti kesi ipo kwenye upelelezi
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Hao wanasheria wenyewe ndo walishindwa kuzirekebisha na kuzitafasiri kwenye matumizi halisi wao waliona hsyawahisu
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Mashoga hawa ccm
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Жыл бұрын
CCM KWA MIAKA ZAIDI YA 70 HAI MAWAZO YAKUBORESHA, NI UKANDAMIZAJI TU. YAANI WAKOLONI NI AFADHALI?
@edwardmagige3187
@edwardmagige3187 Жыл бұрын
Watanzania wengi hawajui shen'g ongea tu kiswahili hahaha!
@mcorama
@mcorama Жыл бұрын
Kiswahili chenyewe hujui kuandika..!
@ellymgonja2356
@ellymgonja2356 Жыл бұрын
25
@nurumnyumba7964
@nurumnyumba7964 Жыл бұрын
Sawa
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Wa Tanzania ni watu wajinga sana hii serekali ya ccm inavyo tupoeleka peleka na bado tunaogopa kujisimamia na kupinga hizi dhulma za hawa madhalimu kwa faida zao.
@hamadimgaza9351
@hamadimgaza9351 Жыл бұрын
Ccm watupishe sasa imekuwa too much
@omaryirro9285
@omaryirro9285 Жыл бұрын
Safi sana
@yaterymsuya2396
@yaterymsuya2396 Жыл бұрын
Well done mama
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
SHERIA NYINGI ZA KUANZIA 2015 ZILILENGA KUJENGA NCHI YA UDIKTETA NA NYINGI HAZIKUPITA BUNGENI!!BUNGE ZILITINGWA KUMLINDA NA KUMUAMUDU MTU MMOJA TU!!
@amanam2735
@amanam2735 Жыл бұрын
Tuliteswa sana Ile miaka mitano. Taifa limepata mpatanishaji
@kiri5807
@kiri5807 Жыл бұрын
Kesi za mchongo lazima na mashahidi wachongwe kwa huchukuwa muda kukamilika .
@tabarokaijage3257
@tabarokaijage3257 Жыл бұрын
ETI MIAKA 6 ...HAWA NDO BAADHI YA WAZAZI WANAOZAA NA KULEA MAFISADI..... RIP JPM... ULIJU KUYABANA MAJIZI ..... HAKUNA RAIS BORA DUNIANI KAMA JPM
@tituscostas7
@tituscostas7 Жыл бұрын
Mfate chato
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 Жыл бұрын
​@@tituscostas7 😂😂😂😂
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 137 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 85 МЛН
Prof. Assad: Unanunua ndege ya nini kama hairuki?
11:25
SK Media Online TV
Рет қаралды 21 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 5 МЛН