WAOGOPE WABONGO WALIOISHI MIAKA MINGI ULAYA|WAZUNGU WANABADILIKA BADILIKA|SIO VIBAYA KUTAFUTA MZUNGU

  Рет қаралды 12,379

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

2 ай бұрын

Mohammed ameeleza safari yake ya kutoka Tanzania mpaka Ujerumani
Ambapo mahusiano ndio yamemfikisha hapo
Amewaasa vijana kuthamini waliowaleta Ulaya na kujitahidi kusoma na kufanya kazi na zaidi ya yote kuelewa utamaduni na lifestyle ya nchi husika.
Thank you Mohammed for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 91
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
TikTok: BABA SAYA
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 2 ай бұрын
Interview nzuri ya kufurahisha sana. Kitu kimoja nikukumbushe ukiwa safarini unaruhusiwa kula an utalipa siku baada ya ramadhani
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 2 ай бұрын
Well spoken, from Holland 🇳🇱
@marthakimia4075
@marthakimia4075 2 ай бұрын
Huyu kijana Ana ushauri mzuri sana kuhusu kusoma au kufanya kitu ambacho una uzoefu nacho. Nahisi huyu ni mwalimu. Excellent
@sophiarwehumbiza209
@sophiarwehumbiza209 2 ай бұрын
interview tamu kweli nilitamani wasimalize❤💚💛🤎
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 2 ай бұрын
Nice interview da shena na kaka Mohammedy 💐🌹❤️
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Mashallah. Mungu akubarik na Dini yako ya KIIslam. Unayo imani kweli ya kufunga Ramadhani. Alhamdulilah
@vanessamshana4144
@vanessamshana4144 2 ай бұрын
Very nice interview 👍🏼
@user-zr5mk4ud8j
@user-zr5mk4ud8j 2 ай бұрын
Shane una kipawa cha kuhoji journalist iko ndani yako
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 ай бұрын
Kwenye ujuzi wa kazi umeongea vizuri sana
@MariamJumanne-ri1mc
@MariamJumanne-ri1mc 25 күн бұрын
Shena unatufungua njia sana.Mwenyezi Mungu akubariki tunajifunza mengi sana
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 2 ай бұрын
Asante Mohammed nimekuelewa hao wageni na mauwa😂❤
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Huyo dogo ameongea point, maana baazi ya wabongo wanatangulia kutangaza njaa kwa wazungu, ndio kosa kubwa sana 😂🤣,,, na wazungu walio wengi huwa kabla hawajaja Africa huwa wanatujua tabia zetu za kuomba pesa,,,
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 2 ай бұрын
Una ushauri mzur sana kaka nimekupenda unajitambua sana hasa kwenye imani
@user-ef2gv8ny7l
@user-ef2gv8ny7l 2 ай бұрын
Jamani kwani lazima kuingia Tiktok?yaani sijui huu ushamba utatoka lini yaani kuna wanawake wengi walioolewa na wazungu wameingia katika ugomvi na waume zao kwasababu ya Tiktok asante sana kaka Mohamed kwa elimu nzuri,Shena asante kwa interview nzuri sana Mungu akubariki
@annamussa185
@annamussa185 2 ай бұрын
Yani mzungu wangu ananitumia pesa hapa Tz euro 150 anakuambia hamsini yako ila hiyo 100 nimekukopesha baada ya mwezi uifanyie Biashara unirudishie pesa yangu😳😳😳 jamani hatanii serious kweli kuna wazungu njaaa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 ай бұрын
Wazungu wanajua waafrica wengi maombaomba ndo mana wanafanya hivyo wanajua kabisa mtu yupo na mzungu ili abadili Maisha ivo ndo mana wanakua ivyo
@s.m.mbagati4824
@s.m.mbagati4824 2 ай бұрын
Fanya biashara alafu mrudishie . Wala sio wazungu njaa wale Kuna vitu wanaangalia.
@hildajoel5
@hildajoel5 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@verynicemoshi9959
@verynicemoshi9959 2 ай бұрын
Alie kwambia wazungu ni matajir nani jamani wanajuwa tu kumek pesa.
@annamussa185
@annamussa185 2 ай бұрын
@@s.m.mbagati4824 haitakaa itokee
@ashurarume6896
@ashurarume6896 Ай бұрын
Yani kiukweli unajua sana. Tena sana kuhusu kuuliza maswali unauliza maswali vzr sana yani mm huwa sichoki kutazana huwa sitaman hata stor iishe hongera sana sana ❤❤
@naomijoseph7749
@naomijoseph7749 2 ай бұрын
Asantee Shena
@thobiasjohn1601
@thobiasjohn1601 Ай бұрын
Jamaa yuko vzr sana
@Mjuni3
@Mjuni3 2 ай бұрын
I like it ,,unajielewa sana
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Siyo kupoteza time tuu hao wanokwenda kujiuza ni kuharibu jina la Zanzibar. Inakuwa wanawake kutoka njee wanajiuza na siyo wanawake wa hapo Zanzibar. Very sad
@mariajoseph6819
@mariajoseph6819 2 ай бұрын
Tena umlete Ann G Nafula atatueleza vizuri wanavyobdilika na hali zao
@juliuskenga1821
@juliuskenga1821 2 ай бұрын
Safi kabisa
@dayana5513story
@dayana5513story 2 ай бұрын
Watafuta wazungu zanzibar tujuane👈interview 🔥🔥🔥uyu kijana ajengewe sanamu ubarikiwe sana bro👏
@angelinamwenda4133
@angelinamwenda4133 Ай бұрын
Mie pia natafuta dear ila sipo Zanzibar
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
Wewe unajuelewa sanaa. Watanzania kuomba mbele sanaa.
@frickchristina6175
@frickchristina6175 2 ай бұрын
Willkommen in Deutschland
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 2 ай бұрын
Jamaa kanifurahisha sana ushauri wa ku cope na mazingira na utamaduni unaokuzunguka, daa maua kama yote ilimradi tu uendane na mazingira halisi
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Kweli kabisa,, mimi niliishi na mzungu kutoka Spain,, ila kijasho kilinitoka 😂😂 ,,maana kila mda hataki niende hata mahali flani,,😂😂
@janethalley4046
@janethalley4046 2 ай бұрын
Mohamed kijana wangu❤️❤❤
@lydiaevod5886
@lydiaevod5886 2 ай бұрын
Process ya kufunga ndoa ulaya ningumu nainachukua mda mrefu sana
@user-bq7rh3wm3f
@user-bq7rh3wm3f 2 ай бұрын
Wazungu Akili zao kama hali ya hewa ya Ujerumani. Tena hawatabiriki kabisaa
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 2 ай бұрын
Kaka umetisha umesema ukweli mtupu
@s.m.mbagati4824
@s.m.mbagati4824 2 ай бұрын
Umenikumbusha demu wangu wa kibeligiji Elen maise
@sekikigosi8265
@sekikigosi8265 2 ай бұрын
Kaka umeongea vzur
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 16 күн бұрын
Zanzibar Beach Dume hilo wengi tumeondokea hapo beach langu lilinipa tickets Karafuu Beach Resorts ⛱️ ⛱️ ⛱️ mwaka wa 10 sasa Germany nina watoto wawili na mmoja yupo tumboni anakuja Inshallah
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 16 күн бұрын
Hongera sana kaka Karibu kwenye kipindi pia +4367764790884
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 15 күн бұрын
@@OfficialDatingAssistance nimesha karibia
@frickchristina6175
@frickchristina6175 2 ай бұрын
Final one ukiwa uzunguni usimwambie siri zako zote pili usijifanye wewe ni maskini.
@klaussteiner94
@klaussteiner94 2 ай бұрын
Hanaga mainstagram asee dada shee
@angelinamwenda4133
@angelinamwenda4133 Ай бұрын
Ananifurahisha sana anavyosema habari ya uluguruni😂😂Jamani mie mluguru
@MK-mz8bz
@MK-mz8bz 2 ай бұрын
Ww huelewi nipo ulaya hapa miaka kibao tunawapaga sigara tu una duu hao wanaokuja hujo waokota machupa
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 ай бұрын
Kaka kanichekesha. Anamaanisha wadange lakini kwa akili haa😅😅
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Brother ni MTanzania kutoka wapi???
@boblatino3899
@boblatino3899 2 ай бұрын
Formula ya kudate na mzungu ni kupenda anachokipenda
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 2 ай бұрын
daaaaah cheti changu nimeweka lamination 😢
@angelinamwenda4133
@angelinamwenda4133 Ай бұрын
Hata Mimi nimeweka lamination na Nina ndoto ya kwenda ulaya
@MK-mz8bz
@MK-mz8bz 2 ай бұрын
Mwambie huyo hayupo serious akumbuke tunamwangalia dunia nzima hao wazingira ya uzunguni tunayajua sana
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Mauwa tuonyexhe🎉
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Mimi niko yukren nawasikia vizuri sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Ай бұрын
Karibu sana kwa kipindi +4367764790884
@johnnnko5814
@johnnnko5814 2 ай бұрын
Vipi kuhusu kufanya tendo la ndoa?
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 2 ай бұрын
Mmojawapo huyo mwanamke anayekuhoji pia muogope kwani yeye pia anaishi Ulaya kwa miaka Mingi Sana. Becareful nae pia.
@ChoroTesla
@ChoroTesla Ай бұрын
khee asa si mahojiano ya kawaida tu na ww come goofy
@helinahenry2363
@helinahenry2363 2 ай бұрын
MO kanivunja mbavu mie😂😂😂
@helinahenry2363
@helinahenry2363 2 ай бұрын
😂😂
@user-yh2gy1lp7w
@user-yh2gy1lp7w 2 ай бұрын
Nikweri hata mimi nimewasoma nipo usa 🇺🇸
@MK-mz8bz
@MK-mz8bz 2 ай бұрын
Huyoo anashida na hatoboi muhoji baada ya mwaka utaniambia
@MK-mz8bz
@MK-mz8bz 2 ай бұрын
Huyo shogaa
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 2 ай бұрын
Akiri ya kuambiwa changanya na yako
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 ай бұрын
Muhammed umesuka
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 ай бұрын
Kaka kaongea ukweli kabisa, ukishikana na wale wa kitambo majuu, umepotea kabisa.
@matthewsasali5632
@matthewsasali5632 9 күн бұрын
Dogo ana-akili sana! Ana uwezo wa kueleza kitu kikaeleweka
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 9 күн бұрын
She is amazing 🔥🥰
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 ай бұрын
Sasa walifunga ndoa ya dini gani?
@alijuma7882
@alijuma7882 Ай бұрын
Huyo kijana japo ana imani ya kiislam Ndoa yao kidini haikubaliki kiislam wala kikristo wawe dini moja
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 2 ай бұрын
Dada kipindi chako ni kizuri lakini mnatuuzi kuwafanya wazungu kama waungu wazungu ni watu wa kawaida2 kama mimi na wewe hawana maisha wala nini cc hapa africa tunaishi maisha mazuri kuliko wao ila wewe umekaria wazungu wazungu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Hichi kipindi ni kwaajili ya kujifunza maisha ya ughaibuni na watu wake.. Hapa sio kwa kuabudu yoyote yule as you said. Pengine wewe ni mgeni hapa na hujaelewa maana ya kipindi.
@SarafinaMtui
@SarafinaMtui 2 ай бұрын
Kama unakerwa usiangalie,,
@fsaad5116
@fsaad5116 Ай бұрын
Pombe wewe muislamu mhhhh
@annamussa185
@annamussa185 2 ай бұрын
Me, muholanzi kanichosha sina hamu yani huyu ndo shetani mkuu,anayetaka mzungu anipe number hapa nimpe labda watawezana duuuh!
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 ай бұрын
Hahaaaa mdachi anawasha kama pilipili
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 ай бұрын
Huyu jamaa anaonekana kabisa Hana furaha na huyo Dada anaeshi nae yaan ni basi tu
@SarafinaMtui
@SarafinaMtui 2 ай бұрын
Dear ex akiwa kwenye makasiriko, 😂
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Huyo dogo ameongea point, maana baazi ya wabongo wanatangulia kutangaza njaa kwa wazungu, ndio kosa kubwa sana 😂🤣,,, na wazungu walio wengi huwa kabla hawajaja Africa huwa wanatujua tabia zetu za kuomba pesa,,,
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Kweli kabisa,, mimi niliishi na mzungu kutoka Spain,, ila kijasho kilinitoka 😂😂 ,,maana kila mda hataki niende hata mahali flani,,😂😂
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Kweli kabisa,, mimi niliishi na mzungu kutoka Spain,, ila kijasho kilinitoka 😂😂 ,,maana kila mda hataki niende hata mahali flani,,😂😂
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Kweli kabisa,, mimi niliishi na mzungu kutoka Spain,, ila kijasho kilinitoka 😂😂 ,,maana kila mda hataki niende hata mahali flani,,😂😂
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Kweli kabisa,, mimi niliishi na mzungu kutoka Spain,, ila kijasho kilinitoka 😂😂 ,,maana kila mda hataki niende hata mahali flani,,😂😂
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 2 ай бұрын
😂😂😂anakaba mpaka kivuli ngozi nyeusi sio ya kuiamini
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Kweli kabisa,, mimi niliishi na mzungu kutoka Spain,, ila kijasho kilinitoka 😂😂 ,,maana kila mda hataki niende hata mahali flani,,😂😂
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Huyo dogo ameongea point, maana baazi ya wabongo wanatangulia kutangaza njaa kwa wazungu, ndio kosa kubwa sana 😂🤣,,, na wazungu walio wengi huwa kabla hawajaja Africa huwa wanatujua tabia zetu za kuomba pesa,,,
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Huyo dogo ameongea point, maana baazi ya wabongo wanatangulia kutangaza njaa kwa wazungu, ndio kosa kubwa sana 😂🤣,,, na wazungu walio wengi huwa kabla hawajaja Africa huwa wanatujua tabia zetu za kuomba pesa,,,
@hamidumweyunge4722
@hamidumweyunge4722 2 ай бұрын
Kweli kabisa,, mimi niliishi na mzungu kutoka Spain,, ila kijasho kilinitoka 😂😂 ,,maana kila mda hataki niende hata mahali flani,,😂😂
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 2 ай бұрын
😂😂😂
@user-bx3fh1ze6i
@user-bx3fh1ze6i 2 ай бұрын
😂😂😂
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
TULIISHI MIAKA MITANO TUKAACHANA | NILIKUA NAMILIKI KAMPUNI YA UTALII | MAISHA YA SERBIA
55:41
KWANINI WATU WENGI WAKIFIKA ULAYA, USA, CANADA WANABADILIKA?
1:47:11
NIMEJIKITA KWENYE UJASILIAMALI | WAZUNGU HAWAELEWI MAMBO ZA KUSAIDIA NDUGU
1:08:50
Official Dating Assistance
Рет қаралды 32 М.
MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA
57:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 73 М.
SABABU ZA KUNYIMWA VIZA YA MATEMEBEZI YA USA NI HIZI HAPA
27:09
EBM SWAHILI
Рет қаралды 5 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН