Joani mungu atamwadhibu ,ni jini tena jini kubwa ,wazazi wa joani chukueni kishetani chenu
@SummymaddyMaddyМинут бұрын
Tunawakosea sana mama zetu lkn Wana upendo wa kwel na cc Allah awape afya njema mama zetu pia atupe rizki tuwatuze mama zetu
@rehemayona22234 сағат бұрын
Jamani hata mm sina pesa ila mama yangu hawezi kupauka ivi
@MOREDI20244 сағат бұрын
Hongereni wemu tv mme tobolea kwenye migogoro ya familia ya martha
@MaulidWakitenge4 сағат бұрын
Daaa,jaman Martha sikutegemea kama itakuwahivyo kwako kwanza nyimbo zako zilivyo na utukufu,duuu ninyakati za mwisho eemwenyezi mungu tusaidie
@LindaMbilinyi-n3n4 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢dah,,Martha Martha Martha Nakuita mala tatu hii Dunia hakuna km mama chini ya jua,endekeza Dunia hvyohvyo na hyo mume wako Joan,maana co Bure Wenda mnasagana
@ElizabethMakong-en3nq23 минут бұрын
Aki nimelia juu ya hili jambo hakuna kitu kibaya kama kutenganisha watu wa familia moja mama amelia hio machozi lazima itakua rewarded na joan imefika mwisho ya yeye kua pigo kwa hii familia latika jina la yesu Amen 🙏
@lilianowti54773 сағат бұрын
Ushoga huu ndiyo ya fanya kazi sasa,lakini tunalibomoa,kuharibilu,kuvunja na kung'oa nguvu za giza kwa jina la Yesu,radi ya moto la damu ya Yesu Kristo iyeyushe mipango ya Joan katika maisha ya Martha yasambaratishwe leo.
@aishaz14 сағат бұрын
Pia mimi nilisema kama mama yupo yeye ndio sauti ya mwisho asante mama hadi wegine wanasema eti mama si mmoja mkowapi mliosema ivyo njooni uku sasa na mlikuwa mkisema saidia mama yako wacha kumuonea wivu marhar vikowapi sasa huu hapa ukweli usio pigika ❤mom
@Fatima-v9k6f2 сағат бұрын
From 🇧🇮 ndoa ya junsia moja iyo mungu aniepushe 😢😢nauyo ushetani
@Mahene-w1l5 сағат бұрын
Haya Sasa Abishe Tena Mama Kasema Ukweli Wote
@bakariomari24omar214 сағат бұрын
Anaweza akabisha sababu kama nikweli wanasagana na huyo Joan basi KAZI ya ibilisi inanguvu na ataogopa Binti baadae asijeongea ukweli wakusagana
@Harryking0013 сағат бұрын
Weee ni mbwa sana...
@NeemaSamson-ti8pc2 сағат бұрын
Kwani alibisha au alikaa kimya?
@paulinewangila-cs6ys58 минут бұрын
@@NeemaSamson-ti8pcmwambie sababu ni kama hafatilizi kinachoendelea
@ernestgumha31864 сағат бұрын
Asa Kuna watu walienda juu sana kumtukana mdogo mtu bila kujua mumeona sasa
@hallykanze66935 сағат бұрын
God will expose everything 🙏
@DoreenTesha-kk2kw2 сағат бұрын
Amina🙏
@Manswabu5 сағат бұрын
Jau sna hiiii like kwa mama mungu atamtia nguvu
@SulePondaСағат бұрын
Joan msagaji😊
@Sidrasidra6364 сағат бұрын
😢💔 masikini karogwa na huyo binti kamfunga 😢
@صالحالصوافي-غ5و2 сағат бұрын
😢😢😢😢kumbe nikweri jamani naishiwa nguvu
@benedictoralexander16114 сағат бұрын
Inaonekana kashapigwa kitu huyo. Angalieni watu mnaowaleta kwenye maisha yenu. Watu wengi wanaoimba nyimbo za Mungu au kumtafuta Mungu huwa wanatafutwa na watu kupotezwa kwa nguvu za giza. Ni kazi ya shetani hii. Huyo hawezi okolewa kwa sasa kwa sababu kafungwa vibaya.
@tulianyota70404 сағат бұрын
Joan na Marta niwapezi wamefumaniwa Congo wakisagana
@hanifa91534 сағат бұрын
Hao ni mme na mke wake ndomana lazima mme ndo a control kila kitu kipi kiingie kipi kitoke je ni kingi na kama ni kingi kipunguzwe😂 lakini wamesahau kama kna mama mwenye amezaa😢😢😢
@FaridaShangala2 сағат бұрын
Kunasili nzito ktk martha na joan mungu kawaumbua munguingilia kati nahuyu mama kateseka, joan aibika ktk jina layesu tuna mtamani mama sie ww unamchezea mama martha laana itakutafuna mrudi mama ktk toba aachilie nauchngu umtoeke ucje kupa mathara kwajili yahuyo pepo mtu joan alie kuteka kiuchawi co kila mtu wakumweka karibu yako wengine nimaajenti wakuzim pewa macho yarohoni martha ktk jina layesu upone uone kama batruu mayo kipofu aliona nenda miguuni kwamama mama mama martha mama nimama misina namtamani maangu pumzika kwaamani nakupenda sana na baba maana mlinipenda mungu awape raha yamilele amina.
@AnnaMelikion48 минут бұрын
Yes pengine Joan anasili kubwa san za Martha Ndio maana.anashindwa kuwa mkali juu ya huyo Joan 😢😢
@youngchyna7442 сағат бұрын
From mapenzi ya jinsia Moja hii kitu nilihisi afu Joan ni mwanaume
@HadzabeTribeHomeСағат бұрын
Uyoo watakuwa wanasagana rooh….😢
@queenofireland898Сағат бұрын
😢😢😢😢 mthn itakua kafanyia kitu sio bure
@neemaneychricious64932 сағат бұрын
Jamniii nampendaaaa marthaaa snaaa ni my feverate jamn nampenda mno Mungu mteteeee mtumish wako
@felistermsigala-ew5jy2 сағат бұрын
Dadaangu Martha! Nakushauri kwa jina la Yesu shuka chini kamligie magoti mamaako umuombe msamaha ukae kwa amani,
@emmilemalewa42575 сағат бұрын
Nina wasi wasi uenda kuna ndoa ya jinsia moja kati ya joan na Martha maana si kwa kuchanganyikiwa hivyo kiasi cha kupangiwa kila kitu na mtoto mdogo.
@Iam_meck5 сағат бұрын
Unawaza kama mimi
@CharifaRachidi4 сағат бұрын
Mbona kama Kweli
@aaa64sa134 сағат бұрын
😂😂 kwa hali hino livyo....🤔
@Stella-l9m9p4 сағат бұрын
Ni kweli Martha ni mke Joan mume
@salmaalimusa68094 сағат бұрын
Mbna liko wazi
@AsiaShaban-zz4yr4 сағат бұрын
Siku za kiama hizi kila Siri zilizojificha zitafichuka huyu mama apate justice y mtoto wake jmn uchungu aujuaye mzazi hii ni Dunia jaman
@hopechideraСағат бұрын
Martha na Joan jana walitoa nyimbo mpya eti KUSHINDA LAZIMA,hapa ni swala la maombi ya deliverance kwa Martha...
@HASSANBAKARI-q9c24 минут бұрын
sawa mama tumekuelewa,,,ila nyie wana habari ntutaftie na uyo anayesemekana ndo mama mzazi mpy na matha,,,tukishamsikia tu,,sisi akili tunazo majibu tutakuwa nayo tayari😊,,,(hapo kuna ukweli unafichwa)
@AshaJuma-s7l5 сағат бұрын
Martha! Martha! Martha! Hakuna aliyekamilika! Sisi sote tumetenda dhambi, mrudie Mungu aliye hai.
@AbiaWilliam-s1s4 сағат бұрын
Tuzid kumuombea
@SulePondaСағат бұрын
Usagaji una balaa
@AverinaShiratiСағат бұрын
Huyo mume kwanini akukataa
@mandelatv-e3bСағат бұрын
Nilipo skiya ilesim ya Joanie nilijuwa kama haka kadada nikashetani mana alikuwa anajidayi sas kaulizake😢😢😢
@kipongimathayo70273 сағат бұрын
Inaumiza sanaa😢😢😢
@user-xy8kl9wd2i5 сағат бұрын
Ukute huyu mathar na anajiita mtoto wake wana pididy ana wanaishi kama mme na mke😢😢
@KhadijaDija-ir2hq4 сағат бұрын
Halafu alijidai mama zao ni tofauti kila mtu anamama yake kiukweli mpambe ndo mwenye nguvu
@qubyackim46884 минут бұрын
Rise and falls ndio zinakuaga hivi. Ukiwaweka karibu watu wenye kujali maslahi yao mambo ndio huwa hivi ni waharibifu na wavurugaji hatari. But all in all ubaya ni mkanda wakiuno lazima ukutane ili ufunge na ukiupanda utauvuna mazima tujipe muda.
@CarolineThadeiСағат бұрын
Martha kuwa makini mama ni Kila kitu katika maisha yako hakuna mbadala was mama fedha majumba Mali vyote vinapita mheshimu mama yako Alie kuweka tumboni miezi tisa
@maryamm77654 сағат бұрын
Dah mtihan sana mtu unao uwezo unaachaje kumsaidia mama yako dah😢
@sarahgaula222022 минут бұрын
kama mama yake kweli mmmmh hapana kwa kweli.
@AdelinajescaOswaldСағат бұрын
Kujiamini kwa katoto haka, ukiondoa uchawi, pia kuna matendo machafu wanayafanya! Joan anategeshea akimkana kwamba si mwanae aseme kwamba kanioa mimi ni mkewe! MUNGU WANGU JEHOVA!
@veronicaromwald8311Сағат бұрын
Mheshimiwa Waziri Gwajima naomba uisaidie hii familia.
@FatmasaidhamesaHamesa3 сағат бұрын
Mungu to samehe😢😢😢😢😢
@annndunda395344 минут бұрын
Mimi mpaka nitakaposikia sauti ya Martha ,coz maybe wakati Beatrice alivunja ndoa maybe huyu Mama aliside na Beatrice, na sasa wanataka kummaliza completely, i can't buy this
@MamaeliannaOlgaisaya26 минут бұрын
Jamani tuwe watu wa Rohini ni hivi kama mama angekuwa hatunzwi Toka siku hizo alikuwa wapi kuweni makini ndgu zangu hivi vita itaisha
@floridakagemulo318348 минут бұрын
Joan ni pepo. Inaonekana Martha anamuogopa joan whyyyyyyyyhuy
@FatmasaidhamesaHamesa3 сағат бұрын
Aaaah jamani jamani umenimaliza 😢😢😢😢
@mr.yahzadochuno79144 сағат бұрын
Uwiii 💔😭
@mwelaabedi90765 сағат бұрын
Martha anasagana nahuyo mtoto😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mwanaidimussa5 сағат бұрын
100%
@bakariomari24omar214 сағат бұрын
Hilo Haina shaka maana hiyo dhambi inanguvu hutojali lolote
@JemmyPeters-n1q4 сағат бұрын
Dada martha, record wimbo wa vumilia, wanikubusha wimbo wako wa" nmesikia maneno lakini ya mungu tu"
@halamascat28165 сағат бұрын
Du niya. Inamambo mengi sana😢
@Naomiwilliamu4 сағат бұрын
MUNGU WANGU MOYOO UMENIUMA 🙏
@yasminoluoch1693 сағат бұрын
WEH HII NI AIBU JAMANI😢😢
@HappyShirima-k9t2 сағат бұрын
Daaaaah Mungu huyuu jmn
@SimoniThomasiСағат бұрын
Matha ni ndo mume hivo anamsikiliza mke wake joan,wamejificha kwenye dini nakwasasa wametafta mwanaume wa ukwel kampa Joan mimba na Matha akiwa kama mume anakazi yakushka tumbo kila picha😢
@lisawilliam24914 сағат бұрын
duh heeeh mungu tusaidie
@stephanosospeter17095 сағат бұрын
Watu wanao mlaumu betris mfunge midomo, ndio mjue iyo kesi ya familia aijaanza leo wala jana, ni lamda mrefu, ndio maana Mungu akaruhusu dunia ijue, ( akuna lolote linalofanyika pasipo mapenzi ya Mungu)
@aaa64sa134 сағат бұрын
Tena wengine ni mastar wa bongo movie na wakamrukia na kumtukana. Sasa wako wapi wamskie Mama. Bongo ni shida tu..
@RitbayRitbay2 сағат бұрын
@@aaa64sa13wanachukulia umaaruf wao kuchapia mambo wasioyajua mtu mpk asema sio mama ake bdo mtu analaumu.
@kibokutiwanatanyika15403 сағат бұрын
Samahani Jamani,, naomba kuuliza kwani KUSAGANA NI KUFANYA JE? Please! Msinichambe jaman nauliza ili niweze kujua maana yake...
@Thatgurl-l8n3 сағат бұрын
😂Mapenzi ya jinsia moja.
@MS.independent89343 сағат бұрын
Joan ni mtu wa mbaya ao kwao ni mkowangani tunaze apo kwanza, maana mikowa mingine kazi sn wakisha ingia kwenye family za wengine 😢
@wadantz1233 сағат бұрын
Kwan uyu joan ana nini cha zaidi mpk mnamshindwa aaah weee kikipigwa vzr kitasema kimewaekea nn wenzie
@Isabellependo6389Сағат бұрын
Labda Uyu Martha amerogwa
@kagoyemwambal906133 минут бұрын
Watu wanabembeleza wazazi..ww hujali mama ni mungu wa pili ww dada huna dini..unapita kelele tuu
@HannanSomaiyah-wp7ny3 сағат бұрын
Samahani wasomaji, Mimi namlaumu MAMA kama walikuwa na Matatizo wangeyamaliza huko ndani,Kila family ina matatizo Tena makubwa kushinda hayo Mzazi anaelalamika chapati mafunzo,Hivi Watu wote tungetaka kuanika Mambo ya familia Dunia ingesimama,
@justussebastian47793 сағат бұрын
afadhari umeandika chapati
@malkiarosemuhando33103 сағат бұрын
Mama anasema amesema ameshindwa anaomba jamii na serikali vimsaidie kumshauri Martha ,mi naomba Tumuombee Mungu ataingilia kati
@JackMart-l9p3 сағат бұрын
Hili jambo ni rahisi likiwa halijatokea kwako. Haswa likukute na uwe ungehangaika Kwa kila mtu na kila namna na umeshindwa. Ni Bora kujaribu na hii njia ya kushirikisha jamii.
@MkamburiMtakai2 сағат бұрын
Mama amesema amejaribu lakini kulishindikana...@@malkiarosemuhando3310
@bcozhenry26982 сағат бұрын
Mashetani tu ndio watamlaumu Beatrice na mama yake. Yaani mama ameeleza Kila kitu na inaonesha hamchukii Martha halafu mashetani hawaelewi?
@user-gc8jc1sh4z3 сағат бұрын
Na ni kweli maana namwona mama anafanana na Beatrice kabisaa
@estamichoromichoro5634Сағат бұрын
Sauti ni ya Martha
@SalmaAthuman-hp3en5 сағат бұрын
Imagine mtu ametoka huko na shida zake kuja kukotro maisha ya family uchawi upo mungu tuondoshee huyo bint ni pepo lilokuja kwa maisha ya Martha kuiipatia pesa Imagine yeye awe ndo Ana shetia humo ndani aiseer
@linnerphilip4260Сағат бұрын
Bas tumeisha jmn joan anajua nduguze hatapata hatafaidi
@ObadiahMutambo2 минут бұрын
Watu kuweni na kaba ya maneno ,,semeni sasa asie jua maana ya mama semeni kwani baazi yenu eti unajua ukiwa Star ndugu wanazingua semeni na hilo pana ustar hapo kama sio maagano ya kipumbavu tukwa Martha
@rukiyyarukiyya63172 сағат бұрын
Mwisho waubaya niaibu😭😭😭😭😭
@pacomezouzoua91755 сағат бұрын
Shetani yuko kazini.... Kama unaroho mtakatifu huwezi kuwa na roho ya kushikilia kama martha Martha badilika uyo ni mama ako
@JulianaMushi-nq3kc4 сағат бұрын
Wote wanaomtetea martha ni wasagaji kama joan na martha
@aaa64sa134 сағат бұрын
😂😂😂 Wolper.... amedandia vita sasa ashayaskia haya... au pia yeye ni msagaji😂
@James-sz4ec5 сағат бұрын
Kuna watu wananguvu za kishilikina jamani acheni
@CarolinaFranciMushi4 сағат бұрын
Inaonekana huyó Joan ni mke wa Martha hapo kuna ndoa Za jinzia moja .
@Johnny-ally5 сағат бұрын
Ndio ukweli uliopo hiyo ni ndoa ya kijinsia moja hata muongee nini hawezi kuelewa yule
@NeemaElisante-zd2dt2 сағат бұрын
Ndoa za jinsia moja haya ndio madhara yake matha Yesu anarudi achana na ulimwengu huu raha zinapita ulimwengu unapita jehanamu ni ya milele matha martha martha!!!
@chany99504 сағат бұрын
Duuuh inauma jmn😭
@AmaniModeste38 минут бұрын
Uyo mtoto nimpenzi wake apo kunasiri kubwa SNS napele mama.
@saidmasika8738Сағат бұрын
kweli mausiano ya wanawak yauwa family za watu
@AdelinajescaOswaldСағат бұрын
Joan ni shetani katika uniform ya mwadamu! Ni pepo asilimia mia! Kaletwa kusudi amuangushe Martha! Hata wazazi wake, hasa mama wa Joan atakuwa mwanga! Joani na mama yako wameingia kama chuma ulete! Pesa zake Martha zinaenda kwa wazazi wa Joan.
@MohamedRashid-py7roСағат бұрын
Kuna watu wanaroho mbaya sana Duniani
@JewsJews-c8w5 сағат бұрын
kaletewa jini Martha anaishi Naye
@RobsonLugomi5 сағат бұрын
Kale Joani kakisikia hii sijui atajisikiaejeee shetan yule mtt anachamba kaaaa eti anabweka
@JeannetteManirambona-o6m5 сағат бұрын
Joani njo shetani mkubwa
@DM_152 сағат бұрын
Ukiona mtu mzima analia kunamengi. Bitric alivyo ongea watu wali ona bitres analilia maliza nduguze. Jacklin wolper alimlopokea bitres kua aache kulilia mali za nduguze. But hakufikiriakua yule ameongea yanayo msibu dadayake ilituu kumrejesha kwenye himaya ya mama yao. Sitaki kuamini bitres ananjaa yakulilia mali ya dada yake
@Mayambi-u5z2 сағат бұрын
Martha rudi sayidiya maman yako omba musama ku maman yako toka karibu na shetanyi maman ni maman
@vanjemanirkiza3684Сағат бұрын
🙏🙏😢😢😢😢😢
@AishaAisha-q7y5 сағат бұрын
😢😢😢
@JeannetteManirambona-o6m5 сағат бұрын
Joani njo mwenye anajua alichokifanya kwa martha
@mohdmohd84284 сағат бұрын
Hapa kuna tatzo ila tatzo Sio Martha
@MichaelKavavila3 сағат бұрын
Kuachana na mmewake TU...kisa fedhà na umaarufu......hiyo ni laana Tisha.pepo kibriii
@rithadonatus81102 сағат бұрын
Sky wewe ni very professional make sure hii taharifa inaukweli uijeharibu brand yako
@aishaz14 сағат бұрын
Mathar anaogopa kumuacha Joan ju atatoa siri za Mathar
@RebecaKaluse-b6h4 сағат бұрын
acha amkane mama ake ila kna sku atamkumbuka2
@HopeChriss4 сағат бұрын
Nimemsikiliza uyu mama nimelia kabisa nyie ilo libint ni lipepo katk hii familia
@5araalharmi4742 сағат бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@SaadaNdaro32 минут бұрын
Kwakweli alichosema bite nikweli mbona mama Yuko ivo kavaa ivo maths mkali mama yako
@RabeccaAdam2 сағат бұрын
Ili tumsikie kwasababu yawezekana akaea ni yeye ila ikawa imetengenenzwa yote yanawezekana nchi imesha halibika adui akiamua kuku tungenezea vit anaweza toa ht loho ya mtu ili wamuamini muda sahihi ukifika majir huzungumza siamini chochot mbacho kisema watumishi wanapitia kwenye changamoto nyingi namungu huwa analuhusu wayapitie ili kuwatengenezea ushuhuda na kuwakomaza kiimani so siwezi amini upuuz
@paulojohn-bh2vz5 сағат бұрын
Jmn jmn uchawi upo huyu joani nizaidi ya ibilisi duh
@bakariomari24omar214 сағат бұрын
Hakuna uchawi hao Martha na Joan nimume namke wanasagana TU
@ReginaLyimo-tg8hoСағат бұрын
Nimechoka kabisa
@daslamonline46652 сағат бұрын
Hicho kibint linamsaga huyo dada
@ibrahimmbilizi17262 сағат бұрын
Waseme tena eti awachangiyi mama nistari nawambiya ukweli uyo mama atakataliwa kama mondi alivyo katsha baba wakweli