No video

Mambo 10 Muhimu Ambayo Lazima Uyaache Ili Ufanikiwe SEHEMU YA PILI

  Рет қаралды 47,600

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 99
@luciewajesus731
@luciewajesus731 5 жыл бұрын
Mimi niko Oman kwa kazi ninayo fanya, ninaamini kuwa mfanyi biashara mkubwa nahisi niko katika majira ya mpito mimi ni tai ninafika mbali. kwa kidogo ninacho nina imani sana Asante kaka nione juu sana, kupitia mafunzo yako ya kila siku ❤❤❣❣
@nakembetwaemanuel8846
@nakembetwaemanuel8846 3 жыл бұрын
Naitwa Nakembetwa Emanuel napatikana sikonge tabora nitakipataje kitabu cha timiza malengo
@jafarilupimo656
@jafarilupimo656 5 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu broo kwn ni muda mfupi tangu nianze kufuatilia mafundsho yko kuna vtu vingi sn vimenifariji naamin kupitia masomo haya hakika nakuahdi nakwenda kufanikiwa Mungu akpe maisha marefu
@ashaally5883
@ashaally5883 2 жыл бұрын
Umenigusa sana kaka
@gidbway1200
@gidbway1200 6 жыл бұрын
Katika watu wa muhimu kuwahi kutokea ni wale wanaokuelezea namna ulivyo na hawapendi ubaki vile ulivyo keep in touch kaka your such a wonder full personate person god bless you
@mudhirmussa3586
@mudhirmussa3586 4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@joharijuma8667
@joharijuma8667 6 жыл бұрын
yani kila siku nazidi kuwa lijitu lenye ujasiri wa hali ya juu Mungu azidi kukupa uwezo zaidi uendelee kutuhekimisha zaidi nafurahi sana kukufahamu
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Johari Juma Ahsante sana Johari,tuendelee kujifunza
@ruthstephen2791
@ruthstephen2791 4 жыл бұрын
Nafurahi huku naelimika. Ukiamua kutafuta kisingizio lazima utakipata
@saimonmgeta5239
@saimonmgeta5239 6 жыл бұрын
Du! Nilikuwa ninajidharau lakini kwasasa najiamini Barikiwa sana
@jorumzacharia352
@jorumzacharia352 5 жыл бұрын
hongera kiongozi kwa mafunzo mazuri
@gibsonmasafa4426
@gibsonmasafa4426 6 жыл бұрын
Kaka hakika una itendea haki hoyo elimu yako god bless you
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Powerful 🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨😥
@berariminwilbert5136
@berariminwilbert5136 5 жыл бұрын
Kiukweli ninatatizo sana kwenye uchumi lakini kupitia masomo haya yatanisaidia Mungu akubariki sana
@mubamdetele6055
@mubamdetele6055 4 жыл бұрын
Asande Sana kaka
@davidandrewmarius3454
@davidandrewmarius3454 6 жыл бұрын
asante sana brother Joel..naitaj kitabu nitapataje
@yetenesnzogela561
@yetenesnzogela561 6 жыл бұрын
Happy to hear you my brother!! always I get new strength through your speech.
@jacksonmwanyika5697
@jacksonmwanyika5697 6 жыл бұрын
ahsante mkuu
@Cyper255
@Cyper255 6 жыл бұрын
USIJIDHARAU
@begumisaclavery9228
@begumisaclavery9228 6 жыл бұрын
Keep it up nimekuelewa sana Mungu akusaidie akupe maisha malefu uzidi kutusaidia and I admire to be like you ubarkiwe sana
@edenpaul7621
@edenpaul7621 6 жыл бұрын
nce nce kaka nmekupata sana
@shiksshiks8494
@shiksshiks8494 6 жыл бұрын
Long life brother....nimejifunza mengi kutoka kwako
@evanestory3711
@evanestory3711 6 жыл бұрын
Asante sana Joel kwa masomo mazuri ukweli visingizio vimefanya watu wengi tunashindwa kupata kibali cha kufanya mambo makubwa.Mungu akubariki sana.
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 6 жыл бұрын
Mungu akubark Kaka umenifunza ktu Ktk maisha
@francismangula2715
@francismangula2715 6 жыл бұрын
Nakubal kaka
@emmanuelhaule1023
@emmanuelhaule1023 6 жыл бұрын
Nimependa sana ujumbe na zaidi point ya kujizadharau na mfano wake. Ubarikiwe kaka Noel.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Emmanuel Haule Ameen nashukuru sana
@millicentnaliaka7609
@millicentnaliaka7609 6 жыл бұрын
Aah hapo nimeridhika kabisa tena sana ubarikiwe kakangu
@salesiasambala4218
@salesiasambala4218 6 жыл бұрын
be blessed my brother
@segolinetingo2916
@segolinetingo2916 5 жыл бұрын
Asante sana.nimejiamin sana kwan Niko nafas ya chin ofisin so ipo siku nitakuwa juu
@adolfkiwale6817
@adolfkiwale6817 6 жыл бұрын
Upo sahihi boss wangu
@amourali6057
@amourali6057 6 жыл бұрын
You are pretty ok. I really like your lessons because it is very useful to me
@elinaitambu9875
@elinaitambu9875 6 жыл бұрын
Asante, kaka Joel mungu aendelee kukupa maarifa
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
elina itambu amina
@jaysballoh22
@jaysballoh22 6 жыл бұрын
Asante sana kaka Ubarikiwe
@eliasisaya9273
@eliasisaya9273 6 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiyo ya Saudi na Goliath
@devothasteve2900
@devothasteve2900 6 жыл бұрын
See you at the top
@omarvukuya6312
@omarvukuya6312 6 жыл бұрын
Ahsante
@mkamamfungo3200
@mkamamfungo3200 4 жыл бұрын
Kaka natamani sana Kumiliki compuni,saluti sana bro
@doreenprosper6424
@doreenprosper6424 6 жыл бұрын
kaka asante sana
@florencemafie_official2238
@florencemafie_official2238 6 жыл бұрын
barikiwa bro
@alphamenson3784
@alphamenson3784 6 жыл бұрын
sometimes I used to call them diseases of the mind....tryin n tryin n tryin n tryin like a baby steps....'preciate bro much 'spect 2 ya....God bless yo
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Kendrick Menson thanks a lot
@seifzongo320
@seifzongo320 6 жыл бұрын
Great..
@tumainlaurent5115
@tumainlaurent5115 6 жыл бұрын
Unajua sana uko vizuri
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Tumain Laurent nashukuru sana
@jeremiamathias2747
@jeremiamathias2747 5 жыл бұрын
Habali napenda sana makali yako kitabu chako cha unauzaje
@elishamkemwa8861
@elishamkemwa8861 6 жыл бұрын
ahsante
@N_kali
@N_kali 6 жыл бұрын
Safi Brother unanifundisha kitu kikubwa sana
@fundichaudele4090
@fundichaudele4090 6 жыл бұрын
Uko vizuri
@sebaboniphace570
@sebaboniphace570 6 жыл бұрын
uko wa kipekee kabisa ushauli WK unanibariki sn
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante sana kaka
@lidyampazi8167
@lidyampazi8167 4 жыл бұрын
God bless u
@muhsinyahaya3967
@muhsinyahaya3967 5 жыл бұрын
Thanks Brother
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 6 жыл бұрын
God bless you
@magynzioka1122
@magynzioka1122 6 жыл бұрын
Jamani ua kipinfi chako chanijenga sana na tamani siku moja tu ni we mngeni wewe ana kwa ana ni jue mbunu nyingi zahifi
@washhjojo4840
@washhjojo4840 6 жыл бұрын
Joel can u make a vidio Watu ambao wanadanganya ata bila kumchunguza unaona tu huyu mtu anadanganya
@mobilesolution2413
@mobilesolution2413 6 жыл бұрын
mimi ni tai.thanks bro
@sheylagikaro1362
@sheylagikaro1362 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🤝🤝🤝
@japhetmgini4710
@japhetmgini4710 5 жыл бұрын
Thanks much broh.....
@brhchannel6618
@brhchannel6618 6 жыл бұрын
Blessed kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Eng.Muyengi Baraka ameen
@brhchannel6618
@brhchannel6618 6 жыл бұрын
Joel Nanauka umenifundisha sana hata Kujiona me ninaweza zaidi ya nilipo videos zako hakika zimebadilisha maisha yangu nilikuwa siweki akiba now nimeweka.
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Huwa narudia sana kuskiliza hapa kwa sababu ya akili kubwa ulioizungumza hapa
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 6 жыл бұрын
Thanks bro
@gibsonmasafa4426
@gibsonmasafa4426 6 жыл бұрын
Bloo Yani ume nipa tumaini ya kupambana zaidi Kaka
@focusngowi4371
@focusngowi4371 6 жыл бұрын
I really appreciate you bro! Keep it up
@ibrahimzuberi1029
@ibrahimzuberi1029 5 жыл бұрын
bro maneno yko yananiokoa ktk wakat mgum sana
@emmanueljoachim8782
@emmanueljoachim8782 5 жыл бұрын
Well true bro
@alfaksadimellumba7168
@alfaksadimellumba7168 5 жыл бұрын
Kaka uko sawa nikukubal tu
@teclafulgence5316
@teclafulgence5316 6 жыл бұрын
blessed
@ummlana9991
@ummlana9991 6 жыл бұрын
Nice
@benedictmasigo518
@benedictmasigo518 6 жыл бұрын
nyc
@hagaijohn9597
@hagaijohn9597 6 жыл бұрын
nasogeaaaaa
@halawamalimi1777
@halawamalimi1777 6 жыл бұрын
nmeanza kukuelewa kama Jack ma
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Halawa Malimi pamoja sana
@zubedakaluli6638
@zubedakaluli6638 5 жыл бұрын
I'm tai
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 6 жыл бұрын
Kuna ile ya mambo 4 yanayopelekea mtu kukuchukia na ukiwa hamjawai kugombana..naomba niipate tena
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
mariamu kajiru ipo bado uingalie
@meryenzubery9945
@meryenzubery9945 5 жыл бұрын
Kaka nawezaje kupata kitabu chako "Timiza malengo "
@annymdg7647
@annymdg7647 6 жыл бұрын
👏👏👏👏
@damasmadeli7700
@damasmadeli7700 6 жыл бұрын
nashukuru najifunza vng kwenye chanel yako
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
damas madeli Ahsante sana Damas,tuendelee kujifunza n'a kushare na wengine
@leoniaphilipo4351
@leoniaphilipo4351 6 жыл бұрын
Much thanks Joe, nakuelewaga sana... Pls kitabu nakipataje?
@bitemwita6809
@bitemwita6809 5 жыл бұрын
kaka joel naomba uwe mentor wangu mafundisho yako yamenibariki sana nimechelewa kukufahamu ila ukiwa mentor wangu ntabarikiwa zaidi 0763 207124 nashukuru
@titotheophilusmwaipaja6365
@titotheophilusmwaipaja6365 6 жыл бұрын
mimi ni Tai
@jacksonygtboy7813
@jacksonygtboy7813 6 жыл бұрын
ninaomba unipeushauri kwenyebiasharayangu
@jangwaltv4663
@jangwaltv4663 6 жыл бұрын
Brother ntapataje kitabu chako
@salumzengula6841
@salumzengula6841 6 жыл бұрын
lam employee but l have a lot of debt and l have no enough salary
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Salum Zengula pole salum,inawezekana kutoka kwenye madeni. Hivi karibuni nitaweka video ya njia za kutoka kwenye madeni
@mbishomrisho637
@mbishomrisho637 6 жыл бұрын
Joel nisaidie kitu kimoja Mimi ni doctor lakini nimejikuta napenda sana biashara na nimfanyabiashara classmates wananikatisha tamaa nifanyeje?
@abdulrahmanhassan814
@abdulrahmanhassan814 6 жыл бұрын
Mwalimu mm nakuelewa sanaa mungu akubatiki, namba unielekeze na unipe number za simu ili niweze kukipata kitabu cha TABIA 12 ZINAZOLETA MAFANIKIO
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Abdul Rahman Hassan karibu sana 0756094875
@abdulrahmanhassan814
@abdulrahmanhassan814 6 жыл бұрын
Joel Nanauka asante sana mwalimu , huwezi kuamini kitabu cha TIMIZA MALENGO ,nimekisoma zaidi ya mara 5 hakiniishi hamu kila nikisoma naona nikama mara yangu ya kwanza, na kimenisaidia sana nimeweza kujiajiri na kampesa kangu,nahitaji zaidi vitabu vyako ikiwezekana tutolee kingine mwaka mwishoni, nshaallaa
@mohdyrajabu5450
@mohdyrajabu5450 6 жыл бұрын
Joel mi naomba namba yako ya kwangu ni 0621 269171
@fettyhance5387
@fettyhance5387 4 жыл бұрын
Bro Joel naomba namba yako plz ya kwangu ni 0769570571
@MSILUTV1994
@MSILUTV1994 5 жыл бұрын
Kama Unataka Video zenye Nguvu Ya Mungu Fuata Hii Link Then Usiache Kusubcribe hapa chini Ifuate uwe wakwanza. kzbin.info/www/bejne/qKnKlWR_edKCgLc
@hagaijohn9597
@hagaijohn9597 6 жыл бұрын
nasogeaaaaa
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 2,3 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,8 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,4 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 45 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 264 М.
SET YOUR SELF A PART - JOEL NANAUKA
1:36:31
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Pili
15:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 37 М.
Mambo Manne (4) Yanayoleta Umasikini
5:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 85 М.
MAMBO YA KUZINGATIA ILI BIASHARA YAKO IFANIKIWE - JOEL NANAUKA
7:37
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 2,3 МЛН