MAMBO 10 YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUAJIRI MFANYAKAZI - Victor Mwambene.

  Рет қаралды 4,115

Victor Mwambene

Victor Mwambene

Жыл бұрын

Baada ya kutazama somo hili utajifunza jinsi ya kuchagua mfanyakazi sahihi atakaye kusaidia kutimiza malengo na ndoto zako kwenye Biashara.
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 27
@samysamyoganda2617
@samysamyoganda2617 8 ай бұрын
@J-SNOW
@J-SNOW 9 ай бұрын
Amaizing bro mwambene, this comment is from mbeya
@Boasmwale-on6gt
@Boasmwale-on6gt 5 ай бұрын
Bro asante sana kwahamasa yako nimepata faida kwakunierimisha
@enocmsafi2023
@enocmsafi2023 Жыл бұрын
big points
@Edsonnyampundu
@Edsonnyampundu 8 ай бұрын
nimekuelewa kaka
@rishnaproducts9630
@rishnaproducts9630 11 ай бұрын
Imenisaidia Sana... barikiwa mnoo kakaangu
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Kwa watanzania ni shida
@emmafredrick-fp9zw
@emmafredrick-fp9zw 2 ай бұрын
Br nashukuru sana najua haya mambo yatanisaidia sana
@user-mt7qm5lb3m
@user-mt7qm5lb3m 6 ай бұрын
Samahani naomba vitabu
@user-tk1id9gg9v
@user-tk1id9gg9v 4 ай бұрын
Vipi kama ndugu yuko bora katika kile anachokifanya. Na anasifa zote kama ulizozitaja.
@victormwambene
@victormwambene 4 ай бұрын
Hapo sawa unaweza Kufanya nae kazi
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 7 ай бұрын
Kumpata mwaminifu jaman daa labda utuletee kitabu cha kujua mfanyakazi mwaminifu
@victormwambene
@victormwambene 2 ай бұрын
Tuwasiliane Kupata Kitabu 0744126640.
@Wiope430
@Wiope430 7 ай бұрын
Asante nashukuru ndugu Victor
@elimumwashibanda263
@elimumwashibanda263 Жыл бұрын
Nimekuelewa Kaka
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Asante sana Kaka
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 2 ай бұрын
Naomba namba yako
@victormwambene
@victormwambene 2 ай бұрын
Tuwasiliane Kwa 0744126640.
@josephcharles6315
@josephcharles6315 Жыл бұрын
Nipe namba nahitaji kitabu
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Tuwasiliane kwa 0658503737
@innocentgenesi4912
@innocentgenesi4912 Жыл бұрын
Shukrani
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Karibu sana
@Rosemary_Obadiah
@Rosemary_Obadiah Жыл бұрын
So true🙌🙌🙌
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Thanks Rose .
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Жыл бұрын
Nimesha fail sana kwa kuchagua wafanyakazi ambao hawana skills
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Pole sana Mpendwa.
@emmafredrick-fp9zw
@emmafredrick-fp9zw 2 ай бұрын
Br nashukuru sana najua haya mambo yatanisaidia sana
MBINU 4 ZA KUCHAGUA BIASHARA ZENYE MAFANIKIO MAKUBWA | Victor Mwambene.
19:49
Этот Пёс Кое-Что Наделал 😳
00:31
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 2,8 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 38 МЛН
MBINU ZA KUEPUKA MADENI MABAYA - Victor Mwambene.
12:03
Victor Mwambene
Рет қаралды 1,7 М.
KANUNI 20 ZA FEDHA | Sehemu ya 2 | Victor Mwambene
9:07
Success Path Network
Рет қаралды 2,5 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE | Victor Mwambene.
10:12
Victor Mwambene
Рет қаралды 2,5 М.
JINSI YA KUTUMIA MUDA WAKO ILI UFANIKIWE KWA HARAKA | Victor Mwambene.
16:15
MAKOSA 6 YA KUEPUKA UNAPOANZISHA BIASHARA - Victor Mwambene.
13:13
Victor Mwambene
Рет қаралды 7 М.
MAENEO 10 AMBAKO FEDHA HUJIFICHA - Victor Mwambene.
12:23
Victor Mwambene
Рет қаралды 4,4 М.
Этот Пёс Кое-Что Наделал 😳
00:31
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 2,8 МЛН