No video

MBINU 4 ZA KUCHAGUA BIASHARA ZENYE MAFANIKIO MAKUBWA | Victor Mwambene.

  Рет қаралды 1,982

Victor Mwambene

Victor Mwambene

Күн бұрын

Baada ya kutazama somo hili utajua jinsi ya kutambua biashara sahihi ya wewe kufanya ambayo itakufanikisha kwa haraka. Kubwa hakikisha unafanya biashara unayoipenda na ambayo unaiweza na watu wa
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 11
@RokongoBaby
@RokongoBaby 3 ай бұрын
God bless you
@mhagama2557
@mhagama2557 5 ай бұрын
Duh asante sana nilikua nahitaji kuanzisha biashara lakin vitu kama hiv nilikua sivijui ila umenifungua!!!!
@MOTecnology
@MOTecnology 10 ай бұрын
Ahsante Brother
@ramzmw1763
@ramzmw1763 10 ай бұрын
Kweli
@djksevenmovies
@djksevenmovies 10 ай бұрын
Nice fact naomba kuuliza me ni dj napenda san muziki naweza kuifanyia biashara gani
@victormwambene
@victormwambene 10 ай бұрын
U DJ nayo ni Biashara ndugu yangu, Kwa Sababu Kuna Ma Dj wengi wanatengeneza Pesa nyingi kama Dj Sinyorita, Dj Rj na wengine. Jambo la Muhimu ni Kujifunza Kutoka kwao.
@alihaji9576
@alihaji9576 8 ай бұрын
nataka mawasiliano yk
@victormwambene
@victormwambene 8 ай бұрын
Karibu sana 0744126640.
@alihaji9576
@alihaji9576 8 ай бұрын
ahsant
@mubarakarashidi4808
@mubarakarashidi4808 9 ай бұрын
Mm kipaji changu ckijui kabisa
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 8 ай бұрын
Kipaji ni chochote kile unachokipenda... hata comment uloweka hapa, ikiwa unaipendaga kucomment ni kipaji chako... maana kuna mtu hawez comment anatazama tuu
Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa   Joel Arthur Nanauka
23:06
Namna Gani Unaweza Kupanua Biashara Yako
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 16 МЛН
SIRI KUBWA 6 ZA KUFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
23:41
Victor Mwambene
Рет қаралды 8 М.
AINA ZA BIASHARA ZINAZO MFAA MWANAMKE - JOEL NANAUKA
8:58
Joel Nanauka
Рет қаралды 153 М.
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 101 М.
Njia Nne (4) Za Kukuza Biashara Yako - Joel Nanauka
9:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 146 М.
Jinsi Ya Kuongeza KIPATO CHAKO SEHEMU YA KWANZA (PAR 01)
21:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
Episode 2 : Je,Ufanye biashara gani?
11:29
Joel Nanauka
Рет қаралды 82 М.
MAMBO MUHIMU UNAPOANZISHA BIASHARA UKIWA KWENYE AJIRA
20:10
Success Path Network
Рет қаралды 16 М.
Biashara Bora Kwako Kufanya Na Yenye Mafanikio Makubwa
15:54
Dr. Makirita Amani
Рет қаралды 16 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН