Mambo 7 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe

  Рет қаралды 2,218,743

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Mambo 7 ya kuacha ili ufanikiwe:
Kila mtu ana ndoto ya kufanikiwa siku moja. Lakini kamwe mafanikio hayawezi kutokea tu bila wewe kuandaa msingi wake mzuri.
Mafanikio yanajengwa na msingi wa tabia fulani zenye muendelezo na pia kuna tabia fulani ukiwa nazo basi kamwe huwezi kupata mafanikio.
Ungana na Ezden Jumanne akichambua tabia hizi saba (7) za kuacha ili uweze kufanikiwa:
.
Tuandikie kile ulichojifunza kwenye comments, gonga “LIKE” pamoja na “ku-share” link ya somo hili kwa wengine. Asante
.
KUWA MZUNGUMZAJI MAHIRI KWA KOZI HII:👇🏼
Boresha uwezo wako sasa wa kuzungumza na utengeneze njia za kuingiza kipato zaidi. Nunua kozi ya “Speaking Skills Course”
Kwa bei ya punguzo ya 20,000 TZS tu!
👇🏼👇🏼
Tuma neno “KOZI” au “COURSE” kwenye whatsapp: 0759-19-10-76
Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
.
NUNUA VITABU:
Nunua kitabu kitakacho kusaidia kukua na kujiongezea thamani.
Kupata orodha ya vitabu tuma neno: “KITABU” au “VITABU”
kwa WhatsApp namba: 0759-19-10-76
Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
.
KOZI YA KZbin CHANNEL MASTERY (BURE):
Ichukue hapa: / @mediacraftstudiotz
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
chat.whatsapp....
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Media Personnel & An Entrepreneur
Instagram: / ezdenjumanne
Twitter: / ezdenjumanne
Facebook: / ezdenjumanne
WhatsApp: wa.me/255759191076
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
/ hamasayaleo
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
/ ezden_voiceover
.
KWA MATANGAZO NA BIASHARA:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
- Kutengenezewa tangazo zuri la video na sauti
Tuwasiliane:
CALLS: (+255) 759 191 076
WHATSAPP: wa.me/255759191076
EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
.
.
Mafanikio, Malengo, Kujitambua, Nidhamu, Kujiamini, Ubunifu, Uwezo, Uongozi, Mipango, Kuhamasisha, Kujiboresha, Ukuaji binafsi, Ushawishi, Uhusiano, Afya ya akili, Afya ya kimwili, Ustadi wa maisha, Falsafa ya maisha, Mafanikio ya kifedha, Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji, Elimu mtandaoni, Mafunzo, Kocha wa maisha, Mzungumzaji wa motisha, kitabu, vitabu, Kiswahili, Tanzania, Ezden Jumanne, Success Path Network, pesa, chaneli ya elimu, mwalimu wa mafanikio, njia za mafanikio, utajiri,
#Siri #mambomuhimu #Mafanikio

Пікірлер: 4 000
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Ukihitaji msaada wangu kuhusu : 1. Kufungua channel ya youtube 2. Kama unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara) . Wasiliana nami sasa kwa whatsapp namba (+255)759191076 . KZbin ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!
@angelkimario7622
@angelkimario7622 4 жыл бұрын
Nahitaj
@bahatimalabeja9469
@bahatimalabeja9469 4 жыл бұрын
Nahita Sana niweke vichekesho vyangu
@hossamoo2686
@hossamoo2686 4 жыл бұрын
Mm nina channel yangu blaza KZbin. Inaitwa FLYMEDIA project
@rukiakitwana9352
@rukiakitwana9352 4 жыл бұрын
Asante sana maana icho kinani gusa mm bnfs nnatabia hiyo
@hermeda_tz9197
@hermeda_tz9197 4 жыл бұрын
Ndio ndio
@ezekielisaya4053
@ezekielisaya4053 3 жыл бұрын
Ahsante sana kaka, nina kila sababu ya kusema ahsante ni kwa sababu binafsi unanipa kujifunza nisivyovijua na hasa ktk maisha haya yanayoendelea, mimi napenda kujifunza, kifupi nimekuelewa sana kaka na ubarikiwe na mungu akupe afya njema 🤝🤝🤝🤝🙏🙏
@swabuldinabdul4763
@swabuldinabdul4763 5 жыл бұрын
Kweli kabisaaa uoga ni kitu kibaya na kulalamika ni kosa kubwa mimi nakumbuka Mwaka 2017 nilisafiri kwenda nchini uganda kutokea mkoa wa mwanza kumuangalia rafiki yangu alinishirikisha biashara nikakataa but after him to make 100 millions just in one year I was so embarrassed but guess what baada ya kukatishwa kukatishwa Tamaa nirirudi mkoa wa mwanza nikawa focus kufanya kazi kwa bidii ndani ya miezi 5 nilitengenez millions 10 now my life is super Thanks God to make me stonger💪💪💪💪💯
@charlesanthony7170
@charlesanthony7170 5 жыл бұрын
Fursa gani hiyo pls check me 0742962661
@gracecharles9300
@gracecharles9300 3 жыл бұрын
🔥🔥
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha Ай бұрын
Amen
@michaelnyangusi7417
@michaelnyangusi7417 3 жыл бұрын
Even if there are others doing what you are doing you can never be exactly the same, each one of you is different and unique. You are doing a great job empowering others.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Thank you so much my brother. Your comment means alot to me.
@mulilorugain3141
@mulilorugain3141 3 жыл бұрын
Asante sanaa Na taka nipate ujuzi mwingi kupitiya maneno yako
@husseinmkushii8121
@husseinmkushii8121 3 жыл бұрын
Nimepata kitu,asante sana Mungu awe nawe katika kazi yako
@sagudatv1575
@sagudatv1575 5 жыл бұрын
kufanikiwa ni mtuwenyewe akiamua napia wanasema kuzaliwa masikini so tatizo tatizo kufa masikini nekuelewa sana brother asante sana Mungu akuinue zaidi
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 5 жыл бұрын
"watu waliofanikiwa ni wale wanaotatua matatizo, na ili uwe na uwezo wa kutatua matatizo lazima uwe umepitia nyakati ngumu" Hii nukuu nimeilewa sana Brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Kweli kabisa... Karibu sana
@wistonwissa3368
@wistonwissa3368 5 жыл бұрын
Nimekukubar kaka mkubwa tena nimeguswa hakika we nimkari mbona tutabadilika tu yan.
@swazbigaba2919
@swazbigaba2919 5 жыл бұрын
_
@swazbigaba2919
@swazbigaba2919 5 жыл бұрын
Km
@jannejoshua6905
@jannejoshua6905 5 жыл бұрын
Asante
@majumamasinde1953
@majumamasinde1953 2 жыл бұрын
Nimependa points zote umesiongelea ndugu na ninashukuru sana kwa unifungua macho ili nione kweli am blessed with ur teachings God bless you dear keep it up. Nitaendelea kukufatilia ili niwe jasiri wa maisha yangu
@simonkiprotich3300
@simonkiprotich3300 3 жыл бұрын
Asante kwa usaidizi ya kufaulu kimaisha kwani hakuna mtu hataki kufaulu hata waliotutangulia wangefufuliwa bidii Bado watafanya kumaanisha success is a wide thing but remember to do the best of your ability.💪
@ajcreativebrand4921
@ajcreativebrand4921 6 ай бұрын
Niko hapa tena kuangalia upya baada ya miaka this is 2024
@princekulwa7258
@princekulwa7258 3 жыл бұрын
Upo sawa Sana ndugu yangu kweli nimejaribu kubadili mfumo. Wangu ktk maisha yangu kutokana na mazungumzo yako upo sawa mungu akubariki Sana IshaAlha
@aimeekungwa2701
@aimeekungwa2701 3 жыл бұрын
Una ni saidiya Sana na iyi somo kakayangu, Mungu akubariki sana
@elibarikihiiti256
@elibarikihiiti256 3 жыл бұрын
Also follow joel nanauka for more content
@husseinamar1027
@husseinamar1027 3 жыл бұрын
Kulinganisha ww na wengine kweli kosa la jinai haswaaa! Kaka somo zuri sana, Burundi twahitajia sana somo nzima kama hili, kaka just keep on again and again! Never give up
@edwardgistave2221
@edwardgistave2221 3 жыл бұрын
Vipi kaka
@johnmulemela6884
@johnmulemela6884 4 жыл бұрын
Mr. Jumanne nakupongeza sana maana hizi Familiar zetu, watoto, mke na wengine hayo unayosema kuyaacha wengi ndo wamejikita huko!, Thanks so much!
@yusufubunu
@yusufubunu Жыл бұрын
Big Up Brother Naomba mawasiliano yako wapo watu wengi wanaohitaji kusaidiwa
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Najua kuna shida kubwa sana kwenye familia zetu, ndio jukumu letu sasa kuhakikisha tunarekesbisha
@vanitosha844
@vanitosha844 5 жыл бұрын
"Beauty begins the moment you decide to be yourself" 😊😊😊😊 powerful message thank you for sharing no 3. "Complaining" OMG I hate to complain but I always do quiting now😊😊 4. "Second guessing" OMG yaani fear of failure is hunting me everywher😂😂😂😂 and hey broo your voice is captivating🙌🙌🙌
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Thank you so much Vani
@richmeya7759
@richmeya7759 5 жыл бұрын
Vp
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 4 жыл бұрын
Umejuaje alicho ongea kama haujui kiswahili na kama unajua kipi kilikufanya ukoment lugha za wenzetu tubadilike
@morasisichone2836
@morasisichone2836 2 жыл бұрын
Zambia hii baba niekuelewa kaka
@rashidkatunzi7653
@rashidkatunzi7653 10 ай бұрын
@@shabanikamsawa181
@MarthaWaithaka-fs2zt
@MarthaWaithaka-fs2zt 5 күн бұрын
Powerful teachings we fail coz we fear taking risks or failing
@anithamasangula625
@anithamasangula625 3 жыл бұрын
Kwa jinsi nnavyozidi kukusikiliza ndivyo nnavyohisi maisha yangu yatavyobadirika kuanzia sasa be blessed brother
@charitytv6972
@charitytv6972 3 жыл бұрын
Hata mimi
@khamiskazimoto9316
@khamiskazimoto9316 3 жыл бұрын
Brother, you've waked me up asante kwa moyo wako msafi coz I have realised smthing I have to create my self
@justinetryphone2031
@justinetryphone2031 Жыл бұрын
Ahsante sana wewe nimpigaji wa maisha umetufundisha kuwa dont give up nimependa sana kwamba anza sasa kile unachofikiri utatoboa bila kusubiri capital.
@jlkachinde6804
@jlkachinde6804 3 жыл бұрын
Nakushukuru sana kwa maelezo yako mazuri,Mafanikio ya KWELI yanapatikana kwa kutimiza kanuni,taratibu na Sheria za Kumtegemea na kumtumikia Mungu.Mungu ndiyo muweza wa yote.Ninaoushuhuda wa kutosha juu ya jambo hilo,ndiyo maana maandiko yanasema,WATU WANGU HUPOTEA KWA AJILI YA UKOSEFU WA MAARIFA,KUMCHA MUNGU NDIYO CHANZO CHA MAARIFA.
@mariambucumimaria5787
@mariambucumimaria5787 Жыл бұрын
Qq
@petergikuri9287
@petergikuri9287 Жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa na c kama ulivyoandika
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Nimependezwa na comment za walio tangulia Asante xn brother umenifunza kitu nayaona mafanikio yang yapo njiani 🙏naacha kufuraisha watu
@aloycrobart8873
@aloycrobart8873 4 жыл бұрын
haya
@shabanisalumsaidy3411
@shabanisalumsaidy3411 3 жыл бұрын
Uko sawa brother nimekukubar
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 3 жыл бұрын
umenifungua san kaka tabia zote ninazo niko tear ht kumkopea mt pesa kwajil yakufnikish mambo yke wkt yngu bd sojayawez mungu akubarik san umenifungua
@Laila-zl8lj
@Laila-zl8lj 2 жыл бұрын
Love you blood ❤️ kwaushauli wako Mungu akubaliki sana kila itwayo Leo🤲
@mezani782
@mezani782 5 жыл бұрын
No 1 jambo la kujifunza daily..great points. Kingine kila mtu ana utofauti na mwingine hata wote tunalima tikitiki. On another we can all grow doing similar things
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
definitely. Thanks
@josephmushi129
@josephmushi129 2 жыл бұрын
I get you bro. "Kama hatutatumia Ideas za vitabu tunavyo visoma basi tutakua tunapoze muda kusoma vitabu vingi "
@muhingiramuhingira9715
@muhingiramuhingira9715 4 жыл бұрын
Brother j4 you're extremely talented! Nimejifunza kitu juu ya kulalamika kila wakati, I'm going to change! Thanks be blessed
@damacytv7429
@damacytv7429 4 жыл бұрын
Online0744557976
@deodatusmaliti7790
@deodatusmaliti7790 4 жыл бұрын
Thank you so much for this inspiring talk, I quickly learned a great thing here, "be the success before it becomes!"
@daudhabona8897
@daudhabona8897 5 жыл бұрын
Nimependa sana ujumbe huu. Nakuombea MUNGU akuzidishe maarifa na afya njema. Nimejifunza vitu muhimu Sana'a.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
asante Daud
@yazidumariam240
@yazidumariam240 5 жыл бұрын
ubarikiwe sana nimepokea ki2 kikubwa mnoo naahidi kuwa MTU mkubwa sana kwa jili yako ishaalah
@yusraali5981
@yusraali5981 5 жыл бұрын
Amiiiin
@ramadhaniyusuph1251
@ramadhaniyusuph1251 11 ай бұрын
Bloo edzen umenigusa kabisaaaaa asante sana kuna ki2 nimegain hapa Mimi binafsi nina hiyo tabia ya kuwaridhisha wengine yaani kwamba nipo tayari kuingia gharama ili niwaridhishe wengine.......thanks so much, i promise i will be change my behaviour thus because ineed to achieve successful right now Ujumbe wako umenifikia moja kwamoja
@sumahassan7326
@sumahassan7326 5 жыл бұрын
ninajifunza mengi mkuu kupitia hii crip na mungu akuongozee na akusimamie kwa kazi zako za kila sikuu
@salamaally7683
@salamaally7683 3 жыл бұрын
This all me 😭, thanks bruuh for inspiring us and makes who wanna yo be ,I love this energy.
@chazkoillah2652
@chazkoillah2652 5 жыл бұрын
Successful start in your mind if you pass in mind you pass in real life if you fail in mind you fail in real life...
@magambojohn5165
@magambojohn5165 5 жыл бұрын
hongera sana kaka kwa kazi yako nzuri Mungu akubariki
@lilcastol7699
@lilcastol7699 5 жыл бұрын
Good ideas.thanks
@chazkoillah2652
@chazkoillah2652 5 жыл бұрын
@@magambojohn5165 pamoja sana brother
@khadijajuma5193
@khadijajuma5193 4 жыл бұрын
Chaz Koillah nice
@thegoldennation6815
@thegoldennation6815 4 жыл бұрын
Very true Chaz Kollah Safi sana Work of grace kwa kupenda kujifunza ni vizuri kuongeza maarifa kwa kujifunza kutoka kwa wengine karibu pia Golden Nation kzbin.info/door/X-ZMz52PbtoLHaW4ft9FuQ
@Mbogo
@Mbogo 4 ай бұрын
Yes bro! Unazidz kutufanya tuwe positive Sana mungu akusimamie milele uzili kutubadilisha ss kizaz Cha utandawaz respect sn🤝🤝
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 ай бұрын
Shukrani sana kaka. Tuko pamoja
@ibrahimmohamed3399
@ibrahimmohamed3399 4 жыл бұрын
Dahhhhh mbn nlichelewa xana kuiona hiii 😢 ila cjachelewa asante kaka big up yaan zote ninazo izo
@ilemimbeyakwetu3198
@ilemimbeyakwetu3198 5 жыл бұрын
These tips bring me to one step ahead. Stay blessed bri
@ashatura646
@ashatura646 5 жыл бұрын
This is proper use of social networks.....appreciated
@sophiahamisi4458
@sophiahamisi4458 3 жыл бұрын
Asante sana Kwa uhusia wako. Kwani ukweli uponya nafsi zetu naamini kwamba umenigusa kwa huyo sina kusudi lolote la kuendelea kukaa sehemu moja. Mi wakati wa kusimama.
@marynnko6652
@marynnko6652 4 жыл бұрын
So proud to have you guy, keep teaching us
@lulumesikana5205
@lulumesikana5205 3 жыл бұрын
Saaaawa rfk yangu
@wilfredmongo1375
@wilfredmongo1375 2 жыл бұрын
Really nimefarijika sana,all you talked are life experiences keep it up
@joemadaba4598
@joemadaba4598 3 жыл бұрын
Uko vizur sana broo mda mwingi nikawa natafuta ntakupataje sikuwah kuwaza kama una channel KZbin ...Una2 inspire Sana vijana towards success..keep it up
@irenelutakyamilwa9807
@irenelutakyamilwa9807 4 жыл бұрын
you give us something special message it sharpen,it make us to stepp forward,It motivate,it awake,It really nicely message
@vincentmhoro1952
@vincentmhoro1952 2 жыл бұрын
Ipo vizuri. The greatest enemy of success is FEAR. The greatest fiend of success is FAITH. AND 1. DON'T COMPLAIN 2. DON'T BLAME 3. DON'T GOSSIP
@Babaverah
@Babaverah 5 жыл бұрын
Bro i don't regret to watch this video!! be blessed!!!
@hoseasamwel6533
@hoseasamwel6533 4 жыл бұрын
Naitaj tena naham yakujua
@bonnyboe2464
@bonnyboe2464 3 жыл бұрын
Thanks bro and i so proud of u, ur video make me confident with my succefully🙏🙏🙏
@selemanikafufu3605
@selemanikafufu3605 3 жыл бұрын
ASAnte sana kaka umenifungua masikio
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Waoo wote!
@marymaureen
@marymaureen 4 жыл бұрын
Seen this popping up so much...I decided to look at it... I don't regret being here
@dominionbiginga4170
@dominionbiginga4170 4 жыл бұрын
Wow! Great motivation; I've learnt a lot. Be blessed abundantly!
@user-dq2gg5zm7l
@user-dq2gg5zm7l 2 ай бұрын
I love the way you presente in swahili. Power to you
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 ай бұрын
Thank you so much ....
@tedyokachu5013
@tedyokachu5013 5 жыл бұрын
Una sauti nzuri sana Uncle,inasikilizika,inashawishi,inahamasisha,inanipa nguvu na imani kubwa ya kufanikiwa.Nina imani Mungu alikuumba kwa ajili ya kuwasaidia watu.You are blessed maaan🀄🀄🀄🙏🙏🙏🙏🙏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
I dont know what to say.... maybe this will mean what I feel and mean.... "THANK YOU SO MUCH" Be blessed
@khadjakidahilo6843
@khadjakidahilo6843 5 жыл бұрын
Sito kata tamaa wala sitoongea mipango yangu kwa watu 🙏
@jjmeliyo4625
@jjmeliyo4625 5 жыл бұрын
Tedy Okachu nimeipenda san
@gasperthobias6295
@gasperthobias6295 5 жыл бұрын
Safi sana kaka nimejifunza mengi,nitayafanyia kazi.Be blessed brother.
@salometibamanya1679
@salometibamanya1679 5 жыл бұрын
Tusaidie kwa magumu kwa wanadamu mawazo mabaya
@mondreznkorez4049
@mondreznkorez4049 3 жыл бұрын
Be blessed my brother with what a truth you spread
@stevenaloycemgonda5276
@stevenaloycemgonda5276 3 жыл бұрын
god blessed
@starmfordsamwel3720
@starmfordsamwel3720 4 жыл бұрын
Thanks mtanzania unatupa elimu nzuri Mungu akupe maarifa zaid ili tujifunze mengi zaid
@frankmsangi
@frankmsangi 3 жыл бұрын
brother sitachoka kukuangalia maana umebadilisha maisha yang sana nakushukuru sana Mungu azidi kukubariki
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu yangu Frenk Msang, Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
@frankmsangi
@frankmsangi 3 жыл бұрын
sawa broo tupo pamja lazima nishare mambo haya mazuri unayotufundisha broo unauwezo mkubwa san wakufundisha watu na tunakuelewa vizuri san Mungu azidi kukubariki kwa kazi nzuri san unayoifanya hakuna kama ww...your the best broo🇹🇿🙏we say each one teach one
@modesthenrykitange2397
@modesthenrykitange2397 5 жыл бұрын
AHSANTE SANA KAKA KWA MAFUNZO YAKO MAZURI. KEEP DOING WHAT YOU DO BEST. BE BLESSED!
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
shukrani Modest
@ramahhouzzer2342
@ramahhouzzer2342 5 жыл бұрын
Ahsanteeere
@ramahhouzzer2342
@ramahhouzzer2342 5 жыл бұрын
@@successpathnetwork ahsanteee
@LuqmanAlkithiry-gn6rk
@LuqmanAlkithiry-gn6rk 10 ай бұрын
Ni kweli kaka katka maisha ni mapambano kaka na katka biashara lazima upande au ushuke ndo biashara
@LuqmanAlkithiry-gn6rk
@LuqmanAlkithiry-gn6rk 10 ай бұрын
Amna biashara ukifanya lazima uwe mbuniff ila na bila changamoto ndo ucsim
@zahrakitchen5880
@zahrakitchen5880 5 жыл бұрын
Shukran sana.... Allah akuzidishie 🙏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Aamiin
@salumjordan9990
@salumjordan9990 5 жыл бұрын
Nice da Zahara
@elikanakikoti2239
@elikanakikoti2239 5 жыл бұрын
Kiukweri nimekuelewa kuhusu swala lakubadika maana Mimi binafs limenigusa Sana
@ismaysamkaseja2326
@ismaysamkaseja2326 5 жыл бұрын
Zahra Myungile mambo
@ismaysamkaseja2326
@ismaysamkaseja2326 5 жыл бұрын
ok
@wadewadex8747
@wadewadex8747 5 жыл бұрын
Na anza kuhisi kama akili ime anza kufunguka najiuliza maswali mengi Sana Asante kwa kunitoa usingizini
@yusufubunu
@yusufubunu Жыл бұрын
Hongera. Sana Mwl. Jumanne Tukipenda kukualika utupe Mhadhara wa madini Kama haya tufanyeje tukupate
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Tuwasiliane tafadhali 0759191076
@peteradiema6765
@peteradiema6765 4 жыл бұрын
I like mostly your teachings may my lord grant you more time
@meshackmollel2567
@meshackmollel2567 2 жыл бұрын
Kaka nakuelew sana naomba kama una audio ya clips zako nijiunge unitumie kw what ssap
@missbantu3274
@missbantu3274 2 жыл бұрын
You are right. Find your niche and focus what makes you happy. Great message and inspirational.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Thank you miss bantu
@vivianmjema5222
@vivianmjema5222 3 жыл бұрын
Throw this I know I can become the person I wanna be thankss much ezden you opened may eye's today 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kelvinmbeikya4520
@kelvinmbeikya4520 2 ай бұрын
Nashukuru sana kwa eliku kubwa moja nimenote nilikuwa sijui kama ni moja tabia nayo paswa kuacha, nilikuwa ni mtu wa kulalamika kazini nikibadrishwa kitengo nalalamika nikibadrishiwa shift nalalamka ivyo point kubwa ya msingi nimeichukua kwako na kuanzia sasa sitakuwa mtu wa kulalamika zaidi ya kuchapa kazi kwa mazingira yeyote yale ya kazi
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 ай бұрын
Nashukuru kwa mrejesho na itakusaidia sana kuona mabadiliko kama kweli utaifanyia kazi. Kila la kheri
@toughffulintime6534
@toughffulintime6534 5 жыл бұрын
Nimekukubali sana bro,Naamini kuwa tangu kuzaliwankwangu mpaka siku na kufa akuna mtu ambae atakae kuja kufanana na mimi ,respect my brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
naam, sawasawa. everyone is born unique, but most people die copies.. tukijiamini tumemaliza kazi
@peninambwete8220
@peninambwete8220 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa kazi njema, kwa umuhimu wa masomo haya bado kuna uhitaji mkubwa wa walimu. Mungu awatie nguvu nyie mliothubutu kutusaidia kwa kutoa mlicho pewa na Mungu
@risperawinoodhiambo4543
@risperawinoodhiambo4543 5 жыл бұрын
This is great Jumanne! I cant just listen I have to write it down for everyday review. Barikiwa saana nd keep passing the wisdom
@gntelevision_
@gntelevision_ 5 жыл бұрын
Nimejifunza vitu viwili hapo: 1. Nimekuwa mwoga wa kuthubutu kufanya jambo, kupitia hapo nimejifunza kuwa woga sio mzuri hasa katika safari ya mafanikio kwakuwa mafanikio yanapangwa (Planned) so nimekuwa nikijitahidi ku - come out of my shells nikiwa na tumaini kuwa siku moja nitakuwa out of it na sitakuwa tena huko. Thanks kwa hili 2. Huwa natamani kumridhisha kila mtu ambaye nashirikiana naye katika baadhi ya vitu kwenye struggling lakini sasa nimeelewa ni kitu ambacho hakiwezekani na nahisi ndicho kinanifanya niwe mwoga 😂😂😂. Lakini kaka Ezden naomba kufahamu kama mimi ni mtu wa huruma sana hapo napo inakuwaje kwenye kumridhisha kila mtu?
@mbonirutengwe6912
@mbonirutengwe6912 2 ай бұрын
Beuty begin the moment you decide to be yourself..i like that mentor😊
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 ай бұрын
Exactly.... You're welcome
@nindajanvier1503
@nindajanvier1503 3 жыл бұрын
woow you're so blessed my Brother I am encouraged with your advises
@eagleman9324
@eagleman9324 3 жыл бұрын
Be blessed brother, your lesson is very important!
@devothadonaldsimbi3499
@devothadonaldsimbi3499 5 жыл бұрын
Kazi nzuri Kaka ingawa sio rahisi watu kukuelewa sana ahsante kwa SoMo tunahitaji watu wengi zaidi wenye mtiririko unaoendana na wako ili kubadilisha mfumo wa watu wa taifa kupenda Sana udaku,mambo yasiyo na faida hususani mwendo wa technology mpya.
@HermanaAlais899
@HermanaAlais899 5 жыл бұрын
Binafc nmekuelew sn mkuu
@hassanjumacharo6270
@hassanjumacharo6270 5 жыл бұрын
Poa sw
@maliamkayange2206
@maliamkayange2206 5 жыл бұрын
Safi kaka, ili upate mafanikio lazima baadhi ya vitu lazima uachane navyo
@sheilanyota2901
@sheilanyota2901 5 жыл бұрын
Upendo nikol
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 5 жыл бұрын
Andante kwa Madini adhimu
@edithakipesile7202
@edithakipesile7202 2 жыл бұрын
Asant sanaaaa kwa mamb unayofundisha Mungu aendelee kukuongeza zaidi nimependa sana mfano wa Maua nimejifunza
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
nashukuru sana Editha. Asante sana kwa dua njema
@gibsonsilas6342
@gibsonsilas6342 4 жыл бұрын
Thanks brother for good lesson that help us to learn more.
@famegee8880
@famegee8880 4 жыл бұрын
aspire to be inspired 'before you expire , bro I've learn so many things in general life which we review specifically on the creatures of this century ,aisee nimejifunza vingi sanaa kwa mda mdogo 'i never heard about you before, on what you making with your talent and knowledge' on what you show and give to the society , just keep maintaining the positive facts on this life 'so far its my fast day hearing you ,eden jumanne nakuita kwa jina lako halisia na hata nikikutana na wewe ,kwenye mizunguko yangu sitosita kukusimamisha na kukupa 'Hii and introduce myself ,its only my first day hearing you 'but you've become ,one of the best life speaker advicer in my list ,hua napenda sana kuskiza 'mijadala mbalimbali inayohusu sucess 'ill meet you at your group brother @sucess path
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Nashukuru sana sana ndugu yangu, japo naiona comment yako leo baada ya miaka mitatu. Hopefully kuna mabadiliko makubwa baada ya muda wote huu kupita - Ezden Jumanne
@Runners_UNI
@Runners_UNI 11 ай бұрын
Mi nimekuona baada ya miaka minne thank you bro you have a great mind.🙏
@luumidallei1994
@luumidallei1994 4 жыл бұрын
exactly bro I like one point which says quit complaining all in we together for sharing idea
@jolliespicy8925
@jolliespicy8925 2 жыл бұрын
Thanks bro unafundisha vizuri sana and that the reality of our lives ntaacha baadhi ya mambo hayo🙏
@swaibajafari4427
@swaibajafari4427 3 жыл бұрын
Hii clip imenitoa sehemu moja na kwenda sehemu nyengne asanteee bro mungu akubariki sana
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Kaka asnte umenifundisha kujiamin zaadi asnte ubarikiwe
@charlotnawate4340
@charlotnawate4340 4 жыл бұрын
A very great and motivating message indeed thank you soo much
@alexander19077
@alexander19077 2 жыл бұрын
The session is so resourceful. Keep it going Ezden!
@moiseesrael1849
@moiseesrael1849 2 жыл бұрын
Nimependa iyo ya , don’t compare yourself with others, and don’t to please everyone around you, then to do not Complain ( May God bless you Sir!!)
@aminahtanjania4868
@aminahtanjania4868 2 жыл бұрын
Asante sana nimepata kitu mungu awe pamoja nawe inshallah
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Ameen Aminah Tanjania, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!
@apolyevans9232
@apolyevans9232 4 жыл бұрын
Thanks bro your talk is really inspiring may God bless you beyond measure
@makurumakuru9123
@makurumakuru9123 5 жыл бұрын
nzuri sana bwana ezden nimependa sanaaa big up mwanangu wa nguvuu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
shukrani. Endelea kuwepo. Spread the news, mazuri zaidi yanakuja
@makurumakuru9123
@makurumakuru9123 5 жыл бұрын
Ezden Jumanne naomba kuuliza kitu kaka et mafanikio hayawezi kuja bila mke ????
@tanzaniaonfoot8641
@tanzaniaonfoot8641 5 жыл бұрын
Wow! very nice message, kuna baadhi yamenigusa ktk maisha yangu ya kila siku, BIG UP SANA BROTHER.
@getrudamubiligi7836
@getrudamubiligi7836 2 жыл бұрын
Asante sana, nimepata funzo kubwa sana 💪💪💪💪💪💪💪
@shadrakagalus9578
@shadrakagalus9578 4 жыл бұрын
Very nice and attractive lesson,keep it up brother!!!
@witnessmbwambo2879
@witnessmbwambo2879 3 жыл бұрын
Asnt san kak nimechelew san duuuu
@tumsifuzablon6451
@tumsifuzablon6451 5 жыл бұрын
Leo nimefunguka akili bro kiukweli ili ulilosema niulemavu kwangu so asante nimepata njia. 2019imekujia na jipya. Thnx much God bless you brother
@njombecommunitydevelopment5298
@njombecommunitydevelopment5298 5 жыл бұрын
Safi sana
@queenvictorialyoba8884
@queenvictorialyoba8884 3 жыл бұрын
The explanations are real awesome....I don't regret to watch the video.
@mangeadamu3439
@mangeadamu3439 3 жыл бұрын
Nashukulu sana kwa ushauli mzuri kweli hii tabia hasa kwetu sisi vijana dah
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Asante sana Mange Adamu kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@mercyshilinde5311
@mercyshilinde5311 4 жыл бұрын
Congratulations brother I still remember you as VIP Uhuru secondary school keep going......
@valcomangapie4520
@valcomangapie4520 4 жыл бұрын
Big up big boc
@erickjillo3113
@erickjillo3113 3 жыл бұрын
Can we connect
@abdulapolinari178
@abdulapolinari178 5 жыл бұрын
Jazakalakheri
@libanibrahim8744
@libanibrahim8744 4 жыл бұрын
Shukrab ndugu
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
Point ya 3 imenigusa sana najitahidi sana niondoe tatizo la complain lkn haitak.. lkn naamin nitaiondoa kwa HAMASA za Mr Ezden.. shukran sana 👏👏👏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Nakuombe wepesi uondokane na tatizo hilo haraka iwezekanavyo, in shaa Allah.
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@@successpathnetwork shukranii👏👏
@aminaibrahim3656
@aminaibrahim3656 5 жыл бұрын
Thanks bro good motivation
@shakiraramadhani5019
@shakiraramadhani5019 5 жыл бұрын
I know I can..❤️
@abdulkarimyusuph4640
@abdulkarimyusuph4640 5 жыл бұрын
Inshaalah
@azizially1970
@azizially1970 2 жыл бұрын
Usijilinganishe na watu ahhhhhh The main point brother uchambuzi mzuri Sana ushauri wangu mdogo Kila mada unayotoa iwe Ina point chache ili tupate uwelewa mzuri kwa sasabu Kila point inauchambuzi wakina Sana na mzurihii inapelekea sisi wanafunzi wengine kuhasau kushika point za msingi Asante
@bonitusmartinebebwa1237
@bonitusmartinebebwa1237 4 жыл бұрын
Kaka I like you qoutes, natamani kujifunza mengi sana God bless u
@mariamudaudi6032
@mariamudaudi6032 5 жыл бұрын
nimeipenda stor yako kaka kweli namba 1 in 2 imenigusa sana mungu akuongezee neema na ukarimu ili uweze kutusaidia tena
@fatumaurassa3608
@fatumaurassa3608 4 жыл бұрын
Mariamu Daudi nice sana
@jamilajuma2991
@jamilajuma2991 4 жыл бұрын
Nc
@barakamwakajibha5585
@barakamwakajibha5585 4 жыл бұрын
Nimekuwa inspired na sijachelewa kwa kweri ntaanza kuimplement baadhi ya Mambo especially to stop waiting
@elinemamuya6652
@elinemamuya6652 3 жыл бұрын
Thx for your advice it's healthy
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 жыл бұрын
Asante alakini usifundishe watu tuu kupata pesa ,pia uwambie wuzima wa milele wapatikana ndani ya Yesucristo
@charlesniyonkuzu3235
@charlesniyonkuzu3235 5 жыл бұрын
Respect brother for ur advice big up San brother Allah akulinde na apanue elimu yako
@jameschiper640
@jameschiper640 2 жыл бұрын
THANKS FOR YOUR UNCONDITIONAL INSPIRATION ❤
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
I really do appreciate it...
@alexiskashugi2308
@alexiskashugi2308 3 жыл бұрын
All the love to my guys duhh!! I love this content talking about success in life thank you so much man
@jacksonmwaipaja3174
@jacksonmwaipaja3174 3 жыл бұрын
Thanks Bro it's like am late to watch and listen this video but Mungu akubariki
@khadijahali7987
@khadijahali7987 4 жыл бұрын
It Allah given for true keep spreading it ad may Allah bless u bro from Kenya ....
@hassanramadhani6803
@hassanramadhani6803 4 жыл бұрын
Imetulia nimeipenda sana
@shammahlupondije7900
@shammahlupondije7900 5 жыл бұрын
Asante Ezden somo zuri umepangilia Jinsi ya kuwakilisha you sound good, endelea mbele Mark Senzo Shammah
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Shukrani sana
@shakiraponela364
@shakiraponela364 5 жыл бұрын
Nimejifunza mengi sana kaka, ubarikiwe sana
@catherinmaganga9156
@catherinmaganga9156 5 жыл бұрын
+Ezden Jumanne Daaah baba Uko vzr Sana Sana hongera Sana ezden j. nne
@kingsoboropayani5127
@kingsoboropayani5127 5 жыл бұрын
Kiswahili kipe nafasi kubwa mzee baba mi nakuelewa sana... Ezden the rocker kitambo sana kiss on callable
@bonaventurenjiku7352
@bonaventurenjiku7352 5 жыл бұрын
Safi
@joycekahindi3102
@joycekahindi3102 3 жыл бұрын
Thanks bro umenifungia mahali nlikua nmejisahau na nmekua mafanikio yangu ninapo yapotezea,big up Sana bro.
@moemussa3639
@moemussa3639 5 жыл бұрын
Thanks Ezden napenda sana kazi zako so hongera sana bro nakutakia kazi njema na Allah.. Akupe afya njema InshaAllah..
@nestorythomas5837
@nestorythomas5837 5 жыл бұрын
Shukran sana kwa somo mkuu nimepata madini ya kutosha leo
@abdallahdallu1573
@abdallahdallu1573 5 жыл бұрын
Moe Mussa kaka nimekuelewa sana japo Niko mbal na ww ukanpa somo zaid ya hayo
@mondreznkorez4049
@mondreznkorez4049 3 жыл бұрын
This is very much amazing..exactly
@nelybeny8418
@nelybeny8418 5 жыл бұрын
Sure u have God given gift be blessed
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
asante sana
@godfreymbogo8947
@godfreymbogo8947 4 жыл бұрын
Nashukuru bratha maana Mimi najifanya mwema sana kumbe kwenye mafanikio hautakiwi kuwa mwema hio namba mbili imenikuna sana usipende kuwarithisha watu wakuone wewe ni mwema.
Mambo 6 ya Kufanya Watu Wakupende Zaidi
21:44
Success Path Network
Рет қаралды 400 М.
MAMBO 10 YA KUACHA KWENYE MAISHA
34:13
Success Path Network
Рет қаралды 77 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 6 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 12 МЛН
SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
17:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 9 М.
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 25 М.
Jinsi ya kuweka malengo na kufanikiwa
1:05:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 445 М.
Theory Of Relativity | Explained in Malayalam
1:21:03
Nissaaram!
Рет қаралды 329 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 385 М.