Jamani wenzangu tunaoangalia hizi video za huyu Joel, nikisema kuwa huyu ni mtu tuliozawadiwa na Mungu, kwakuwa Mungu alivyotuumba alijua udhaifu wetu na ndio katupa huyo ili atuondolee udhaifu tulio nao. Hivyo Tumuombee azidi kutusaidia kwa mafunzo anayotupa.
@enjoyenjo85213 ай бұрын
Sanaaaa
@mussamgande25303 жыл бұрын
Na nakuahidi lazima niwe namafanikio kupitia mafunzo yako na ipo siku nitakutafuta ndugu ubarikiwe sana 🙏
@annagloriaroman306 ай бұрын
Wooow!!.....ukuu wa Mungu ukazidi kukuinua zaid zaid na kunena kupitia jina lako na Mafunzo haya kaka JOEL🙏.....n wiki kadhaa nimeanza kukufuatilia japo nimekusikia mda mrefu ila leo 18/05/2024(Noted here) naamini imekua n mda,tarehe,saa na majira maalumu ya mwanzo wangu mpya📌 wa kuona my WEALTH LIFE UNTIL FOREVER ✍️📌🙏....Nimejifunza na kufunguka kwa Mengi mnooo hadi nimezidi kuona fahari na kheri zote🙏... nakushukuru sanaaa na haya maarifa yakazidi kuwa LEGACY FOR GENERATIONS TO COME🙏🥂👏👏👏👏💯💯💯💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️✍️ Baada ya kuyafanyia kazi haya nitakuja na Utukufu na ushuuda wa ukuu wa Mungu zaid🙏🙏✍️🤝🥂
@ElvisIrakoze-pj8ym10 ай бұрын
Watching from Burundi napenda sana mafunzo Yako! Mungu akubariki!
@kingwilliam18073 жыл бұрын
Tangu ni kujue kupitia KZbin siku ikipita bila kukusikiliza siku hio ita kua mbaya kwangu,siko tayari kabisa siku ipite bila kusikiliza mafunzo yako hata 1 hour! Barikiwa sana
@yudandugulile46843 жыл бұрын
Ni kweli anabadilisha fahamu za watu wanaojitambua.
@comktc-zv2vx Жыл бұрын
plz tell me
@amobilesoftware Жыл бұрын
Kweli kabisa jaman mwenye no ya bro Joel
@benmbaka9495 Жыл бұрын
@@comktc-zv2vx 0 0j
@FatmahHamisi11 ай бұрын
Hakika tunazidi kukuwa kimaalifu ubarikiwe sana🙏
@Cutephina8 ай бұрын
Asante sana MUNGU AKUBARIKI sana
@officiallycyra69444 жыл бұрын
Habari kaka sijui unanikumbuka nilikua nakufatilia toka 2018 niiazisha duka langu la chakula ulinielimisha sana na video zako mpaka sasa Alhamdulilah nipo sawa nimekaa roho inanisuta bila kukushukulu nimefanikiwa ka kiasi fulani japo malengo yangu hayajatimia hila kwa nilipo fika namshukulu Mungu nilianza na mtaji wa laki 5 hiyo ilikua na kodi ya duka pia nilipitia kipindi kigumu hila mtaji umekua naweza kulipia bila uwoga 🙏🙏🙏
@peaceisrael81583 жыл бұрын
Niliite hili ni darasa la UKOMBOZI KWANGU umenitoa gizani, nimejielewa niko wapi na nifanye nini zaidi umenipa dira how to live better...nipo kwenye utekelezaji sasa ....shukrani sana🙏🔥🔥
@zamaradimpogole6239 Жыл бұрын
Kipato, Mungu,Uwekezaji, Matumizi.......This is so powerful. You've moved me somewhere Joel.
@faraoyona3316 Жыл бұрын
Good subject
@dianaernest91817 ай бұрын
Nice lesson
@nickjenericks54143 жыл бұрын
Joel!mtoto wa mama!!Mungu akubariki kwa huduma yako.
@cleophacendiege88883 жыл бұрын
Ndugu nanauka mimi umenifurahisha Sana kwasababu watanzania 90% Wana matatizo haya, wewe ni dawa ya huakika kwa watanzania kwani wengi tumekwama hapa na migogoro mingi inatokana na hapa kwenye jamii...nafikiri need vizuri masomo haya yaingizwe kwenye mfumo rasmi wa kishule kuanzia darasa la 4 na kuendelea tutakuwa tumesaidia hii nchi, ueleo mdogo ni zaidi ya Corona au hiv ktk nchi hii..mungu akubariki zaidi..Asante sana
@mrbaraka43263 жыл бұрын
God bless you my brother,unazidi kunibadilisha katika maisha Kila ninapokusikiliza.
@twaybachellah9144 жыл бұрын
Asante sana kuanzia sasa naanza kuishi katika kanuni ya kitajiri.. Kipato=>Mungu=>asset =>Matumizi.. kwa uwezo wa Mungu naamini nitaweza🙏 maana kweli nilikuwa kwenye maisha ya kupata, kutumia afu kama ikibaki ndo nifanyie malengo na haibaki kamwe🙌 nimefatilia mwanzo mwisho... Saa moja na dk 5
@JoyceTsaxara-y4i2 ай бұрын
Yote uliyofundisha ni fact. Barikiwa sn mtumishi wa Mungu.
@marymgore67143 жыл бұрын
Aisee,Utukufu kwa Mungu juu yeye aliekupa Akili,Hekima,Maarifa na Busara nawe hukuona so kitu kuvikumbatia Ila kuvitoa kwa faida ya wengine
@michaelgodrich9752Ай бұрын
Im a wealth man ⏳, ur always my life coach and mentor (2024)
@JoramEkaale7 ай бұрын
Thanks Bw .Joel nanauka keep moving you're more than Great the sky is your Limit am getting u very well from Turkana... please keep moving...the 🌟 is your Limit.... congratulations you're and exemplary speaker....
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Asset ni viingizo au vyanzo vya pesa kama gari ya abiria, nyumba ya kukodisha na kadhalika, na liability ni aidha madeni au vitu vinavyotumia pesa kama vile simu ya mkononi kama huitumii kibiashara ni liability, ukiwa na deni ni liability. Asante kwa masomo ni elimu nzuri
@xinyingmiao49963 жыл бұрын
asante sana bruh nipo chuo huu ni mwaka wa 3 nasomea international trade and economic but cjawah kufundishwa elimu simple na yenye mwanga wa maisha kama hii
@maarifamwashitete95523 жыл бұрын
Nakupata vizuli Sana Joel je nifanyeje uje utupe elimu hi songwe
@EsitaDomboАй бұрын
Aminaa mtumishi nitayaishi haya mafunzo yako .miaka mitano mbele sitakuwa hap nilipo now
@ElvisIrakoze-pj8ym10 ай бұрын
Watching from Burundi napenda sana mafunzo Yako! Mungu akubariki! 31:12 31:13
@JemimahChiro8 ай бұрын
Woooou ni mefunguka macho isee God bless u my brother
@yuzoujini274 жыл бұрын
Asante j ningeomba mawasiliano yako nikuulize baadhi ya vitu make vipindi vingine vimeishapita hivyo nahitaji muongozo wako
@hamisikisinzah81133 жыл бұрын
Nimukukubali ujumbe unafika wazi wazi kwa lugha nyepesi. Safi Sanaaa.
@gracesizya81272 жыл бұрын
Ubarikiwe naomba msaada zaidi niko katavi mpanda
@yuscopambakali6102 жыл бұрын
Your course is so mavelous bro God blessing you
@AbediKalunda-nf9vc26 күн бұрын
Mpendwa Joel.Mungu akubariki .
@ramlamussa91443 ай бұрын
I wish hizi nondo ningezipata mapema. Ila naamini hakunaga kuchelewa, nitaanzia hapa na nitafika ninakokwenda. Haya tunapata ni zaidi ya madini. Mungu akutunze , akutunze na akutunze tena Noel❤
@mcongomakete30644 жыл бұрын
Joel Nanauka Hongera sana nduguyangu. Ninapenda sana mafunzo yako. Tukikuelawa lazima tupate mafanikio. Sasa inapo tokea mme yupo vizuri kwenye aseti lakinimke duu matunizi yani. Akiuza elfu 10. Anatumia nakukopa zaidi nakuahidi kua nitalipa lesho akitegemea akiuza siku inayo fuata alipe deni. Natamani mafunzo yangekua yanatolewa mahali peupe kila mmoja asikie akiwepo mwenza. Kila nikimwambia ananita mie mkoloni.
@joelnanauka4 жыл бұрын
Hongera kwa kujifunza, endelea kumsaidia na yeye ajifunze pia.
@hamissramadhan34843 жыл бұрын
dah!! 🤔🤔broo nimekuelewa sana sana asante kwa elim nzuri 🙏🙏
@AnnaThom-cj4yt7 ай бұрын
Asantee sana nanauka Mimi sijawai weza kitu hiki na kinaniumiza sana naitajiii kujifuza zaidi,,
@jomathmatu51223 жыл бұрын
Umenisaidia sana .....kuanzia leo 6 sep 2021 nabadilika... baada ya mwaka ninaamin kama niliyoyakusudia yatatimia nitakuwa hatua nzr.
@WANDWI-fn3uq6 ай бұрын
habari mimi ni Julius Wandwi, namiliki duka la matumizi madogomadogo ya nyumbani, najitahidi kukufuatilia kaka hizi kanunu nataman kuzifuata, nashindwa sehem moja tu kujua kwa siku naingiza shingap kamafaida out of capital ili niweze kuzifuata kanuni hizi kwa uzuri maana pia inanishinda kupanga budget
@RamadhanMtaki-sw1gx Жыл бұрын
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 asante Sana mkubwa Kwa somo lako na mungu hakutie nguvu huzidi kutufundisha
@SeciliaAlchard7 ай бұрын
Ahsante sana ndugu kwa semina nzuri, hakika umebadili mtazamo wangu, Mungu akubariki
@giselamndeme777611 ай бұрын
Amen nimebarikiwa SANA kuanzia leo naanza kubadilika
@chieffofofoodinternational410211 ай бұрын
thank you nimejifunza kitu kwako mungu akubariki
@reineskomugisha86532 жыл бұрын
asante sana kwa mafundisho yako mazuri
@petermsangi2701 Жыл бұрын
Be blessed for what your doing ..
@yunusmbaroukmbarouk51502 жыл бұрын
Jambo la kushkuru ni kwmba nimeyasoma haya kwenye vitabu vingi vya Mwalimu wa Fedha, Mr Robert Thero KIYOSAKI bado nipo na miaka 21 tu sasa iv na kuyaelewa mengi, pia kwenye Video hii nimejikumbusha yale nilioyasoma kwenye vitabu vyake💯I hope one day kwa uwezo wa Mungu tutafanikiwa🤲🏻Ushauri wangu usione uvivu kusoma kitabu. Noa ubongo wako kwa kuupa madini mengi kutokana na vipaombele vyako
@patkenAgri4 жыл бұрын
Kaka joel Ahsante kunipa njia sahihi ya maisha yangu hakika tangu nime anza kuku fatilia hadi sasa nime badili maisha yangu kiasi kikubwa sana Mungu akupe Maalifa zaidi naomba gusa vipengere vyote kaka livyo baki.
@joelnanauka4 жыл бұрын
Ameen, nafurahi sana kusikia hivyo
@mariamwikedzi16389 ай бұрын
Asante sana kwa elimu nzuri ya fedha.
@alicekasambala10503 жыл бұрын
Thanks brother Mafundicho mazuri sana Nimejifunza kitu apa 🙏
@Cutephina8 ай бұрын
MUNGU AKUWEKE KAKAANGU🙏
@hosianamosha3892 жыл бұрын
Hizi madini adim sana nizakurudia kusikiliza hadi hizi kanuni nikae kichwani hili ni moja ya somo lililobora sana sana ,be blessed Joel kwa haya maarifa unayotupatia
@HadijaRamadhani-ng7rd Жыл бұрын
Thenks so much broo now naelewa Zaid kuhusu bishara
@ukhtyaminah11832 жыл бұрын
Daaah nina kama 3 days nakufatilia walah ningekufaham mapema wewe na ningekufatilia mapema nahisi ningekuwa mbali ila nafkr wakati sahihi ni sasa wakati wa mafanikio ni sasa asante bro kwa taaluma uliyonayo na unayoitumia kuwapa watu faida mm nilikuwa naomba unielekeze kuhusu matumizi sahihi ya CM maana inanipotezea muda sana
@frankmangera95992 жыл бұрын
Nothing to say more than Be Blessed Brother Nanauka. It's true I was on my way to resign job coz of not having vision and Debt in Some Microfinance business
@fahari1genius9024 жыл бұрын
Kaka Joel Mungu akubariki na kukuongeza katika kile unachotufundisha kuna maarifa umeniongezea nilikuwa sina katika kutimiza malengo yangu na tofauti kati ya Rich& wealthy, Mungu akubariki and See you at the Top of Successful….
@joelnanauka4 жыл бұрын
Safi sanaaa,tuendelee kujifunza
@henryjulius16084 жыл бұрын
Kaka Asante sana kwa hili somo natamani liwafikie watu wengi zaidi,Maana ni somo ambalo linagusa maisha ya wengi hasa Vijana,Mungu akubariki sana kaka.
@joelnanauka4 жыл бұрын
Ameen, tuendelee kushare
@HassanAhmadi-p6l3 ай бұрын
Ahsante mwalimu kwa elimu mzuri hata kama nilikua kundi no 1 sasa nitabalika ingawa sikua mbalisana nakundi no 3
@SophiaMalley-kw7pi Жыл бұрын
Ww ni mwalimu mzuri sana umenifundisha mambo makubwa ktk maisha yangu
@shubirarutaihwa48294 жыл бұрын
Asante kaka nimepata elimu kubwa kwenye mada hii ,nitatumia ili nisonge mbele ,asante
@Mosesyona-t9j Жыл бұрын
Nakuombeaga sana Mungu aendelee kukupa maisha marefu na mazuri maana unafanyika Baraka kwangu na najengeka kil ninapo kusikia mwalim JOEL
@charlesoputi7101 Жыл бұрын
Watching for 3rd time and still learning @kenya
@geraldjoel57274 жыл бұрын
Brother Joel Asante sana kwa moyo wako huu was kujitolea. Binafsi unanisaidia sana TU, ila nikuombe series ya hizi lecture iendelee
@joelnanauka4 жыл бұрын
Sawa, tutajitahidi iendelee
@frankgabriely92944 жыл бұрын
Kiukweli Joel unatusaidia sana
@kpetres28724 жыл бұрын
@@joelnanauka Joel kitabu Cha Timiza malengo nakipataje😥😥.
@midundonabitymidundo50194 жыл бұрын
Kaka hakika semina zako zinatusaidia sana tunashukuru sana mr joel Kwa elimu yako nzuri sana
@mercyhenry10542 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho yako ,,,mungu akubariki
@haseanatnsanya20793 жыл бұрын
Asante sana mungu awazidishie kher nyingi na baraka nyngi ktk kaz zako
Ndugu nanauka mungu akuweke umenibadirisha Sana kwa elimu zako Asante Sana Tena Sana
@joelnanauka4 жыл бұрын
Ameen nashukuru sana
@PaschalKizale Жыл бұрын
Namshukulu rafkiangu saimoni majula kuninionesha kwamba Yuko mwalm mzuri sana wa uchumi ambaye ni joeli nanauka ,nimeanza kuona mabadiliko nilikua siweki akiba Sasa naweka from money formula Mungu akupe afya na uzma tele joeli nafamilia Yako
@yusuphkaungo22554 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana mwalimu. Powerful message 🔥🔥.
@joelnanauka4 жыл бұрын
Karibu sana
@FarajChijendi-ig8zc6 ай бұрын
Unakitu Cha kipekee Kaka your blessing
@FatumaThobias Жыл бұрын
Ubarikiwe , kiukwel umenitoa gizani,
@rayanndizeyes31613 жыл бұрын
asanti Joel umenipadishi kiwango kigine kwa mafuzo mazuri na mimi nitayatedeya kazi kuakikisha niweju
@hellenngwilla5502 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sana kwa mafundisho mazuri
@mariammashimba43113 жыл бұрын
Asante Sana kwa ushaur wako unatujenga
@daniellepari45252 жыл бұрын
Ahsante sana ndugu joel Nanauka kwa elimu nzuri mungu akubariki
@maserogisunte18093 жыл бұрын
May GOD bless you sir,,,,,,,,, I've learned a lot.
@patrickadmila96674 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel. Umenifungua akili. Mungu akubariki
@joelnanauka4 жыл бұрын
Ameeen
@mussamgande25303 жыл бұрын
Nashukuru Sana umenifunza mengi ndugu nitabadilika kuanzia leo hii
@omarmohamednur6452 жыл бұрын
Shukran ndugu mungu akuongezee killa laa kheeri🙏
@loycep77853 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho haya ni ya muhimu sana kwetu hasa ktk kizazi chetu Mungu atupe ufahamu na hekima zaidi
@zizuhmanizo25704 жыл бұрын
Mungu akulipe kheri sikupata kujifunza vitu vakimsingi kamahivi tangia nimeanza kujifunza mungu akupe umrimrefu uzidi kutufunza
@yudandugulile46843 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri,maana ninakuelewa vizuri.
@alisrupia953211 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa somo Zuri sana
@happymbogo18854 жыл бұрын
Mungu akubalik,i kaka Joel kwa elimu kubwa saana uliyotupatia.
@mugishaflorence85902 жыл бұрын
Thanks a lot brother.....! Be blessed
@PauloMhagama-ld8xq6 ай бұрын
Plaster anamadini ya thamani kubwa 🌺🌺🌺🌺🌸
@mwanaidimsemo63213 жыл бұрын
Hakika kupitia wewe fikra zangu zimebadilika sana, hata sijutii MB zangu kabisaaaa. Naomba tu kufaham kuhusu semina zako kwa dsm, nahitaji kushiriki moja kwa moja ukumbini🙏 nakuelewa Sana mkuu, nahitaji kujifunza zaid pia
@rehemadavid26802 жыл бұрын
Asante sana kaka yangu mm ni mwanafunzi ninashukuru kwa somo lako nilikuwa sina nodamu ya fedha ila kupitia somo lako umenifundisha kitu kikubwa sana nashukuru
@ukhtymwana49982 жыл бұрын
Ahsante kwa mafundisho yako
@brysonmrema35993 жыл бұрын
Boss ningepata hii elimu mapema ningekuwa mbali, point za muhimu sana
@SalmaSalma-sd5we4 жыл бұрын
Shukran sana nakufuatilia sana nami nitakuletea matokeo yangu
@magnusndunuka10384 жыл бұрын
asante kwa elimu yako naamn namm ntafanikiwa
@FatumaLichali-pv2uz11 ай бұрын
Du ubalikiwe kaka naamini hata ukiwa na kiasi kidogo chapesa unaweza kujenga .kitu kikubwa ni kujua malengo yako nn ,na mm kuanzia leo nafuatilia mafunzo yako naamini nitayafikia malengo yangu ya huu mwaka.asante
@TheLuasas4 жыл бұрын
Nimeguswa sana kabisa!! Nimekupata katika kiwango flani kabisa! Thank you very much!
@joelnanauka4 жыл бұрын
Thanks,karibu Sana Edgar
@TheLuasas4 жыл бұрын
You’re the kind of man I have been looking for!! You’ve rescued me and my family!! From what I heard and learned, one year from now, I will come to testify!! Thanks my hero!!
@juliusjosephy23643 жыл бұрын
Asante sana kk kwa somo lako zuri mungu akubariki
@josephbudelele284 Жыл бұрын
Asante kwa kutuelimisha.
@mteuleteuamt58312 жыл бұрын
Aisee Mungu akutunza unatuvusha wengi kwa Elimu hii.
@kambaamina52562 жыл бұрын
Natamani kukusikiliza mda wote .barikiwa sana
@ndayambajefikirini7252 Жыл бұрын
Allah akulipe Yani umeninyosha vizuri
@noelmwakiposa72203 жыл бұрын
Asante sana Mungu ukubariki
@floraclemence20814 жыл бұрын
Asante kwa kunifungua akili tena Mwaka Jana nilijaribu kufuata kanuni uliyotufundisha ya kutoka kwenye madeni na nimefanikiwa kutoka asante Sasa naanza kufanyia kazi somo la leo linanigusa sana.mungu akubariki
@joelnanauka4 жыл бұрын
Wow hongera sana sana Flora. Naomba tuwasiliane zaidi, natamani kusikia zaidi. 0756-094875
@amosbwire42013 жыл бұрын
You are simply, the best!!!
@angelsamuel38973 жыл бұрын
MvMVX
@bestBernard012 ай бұрын
Asantee sanaa mkuu
@nemmymtango36824 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa somo nzuri Mungu azidi kukulinda uendelee na jukumu hili....
@joelnanauka4 жыл бұрын
Ameen
@festosindato64583 жыл бұрын
Asante sana Kaka nimejifunza mengi
@martinmollel14232 жыл бұрын
God bless you, nimepata darasa kubwa sana
@MpigaDaud-s9bАй бұрын
Nakukubali Sana kaka unaelim nzuri
@LaoMahinda-gb3uo Жыл бұрын
Ndugu yangu ubarikiwe sana najifunza mengi sana kutoka kwako.