Hongera sana joti mungu awabariki katika ndoa yenu❤❤❤
@damariszuckschwert94897 жыл бұрын
Miss Kasembo you will go very far. Keep it up. You rock it young lady. Beautiful shining like Tanzanite.
@sistersade90397 жыл бұрын
Hongera sana Joti, mungu akubarikini kwenye ndoa yenu! Much love
@christinahaule97267 жыл бұрын
Mi namtakia maisha marefu .mungu awape uvumiluvu katika misuko suko ya ndoa waivumilie.usione sherehe watu wanacheza viduku lakini bado anasafari nzito ya maisha ya ndoa.mungu awabariki
@elizabetamina43765 жыл бұрын
christina haule .
@elizabetamina43765 жыл бұрын
christina haule
@elizabetamina43765 жыл бұрын
christina haule
@peter46502 жыл бұрын
Huyu jamaa ni vituko kila sehemu hahahahah
@herrynkinda65894 жыл бұрын
Hongr mtngzaji uko vizuri...kwa sauti
@hongerakkachawasemewwkzbut49967 жыл бұрын
binna kasembo leo nimekuona my uko vizuri kwenye utangazaji na sauti yako yasikika vizuri my sweet na hujishauwi kama watu wengine.
@binaberthakasembo98597 жыл бұрын
hongera kk acha waseme ww kz buti Alnomania ahsante Nashukuru sana
@maryamhussen43317 жыл бұрын
Binabertha Kasembo uko vzur my dear saut yko ni mzuri saana mdada i wish nkuone jaumani.... Mungu azd kukuinua zaid ya hapa
@jamesmacharia66064 жыл бұрын
Joti all the best, from Kenya.
@salehestambul55355 жыл бұрын
Captain Jotiiiiii! Katk serious lakn bado comedy ipo.
@bensonfrank6437 жыл бұрын
JOTI TALENT AMEZALIWAA NAYO!!!
@niteteemedia25245 жыл бұрын
Benson Frank esdsghghkkkpouyewz
@zainabubanda76835 жыл бұрын
sijapenda minywel ya joti na mkumbuka mke wa temaba alivo MPA masharti alimwambia kama unanipenda nyoa minywel zako siwezi kufunga ndoa na minyweli izo mbele ya wazazi wetu pande mbili