Nakukubali sana Millard, bro u are so encouraging and inspiring
@rehemadaudi43902 жыл бұрын
Vijana wa kwetu tz safi Sana up
@fredyjhosephkapesula72672 жыл бұрын
Woooow nimeyapenda Sana mahijiono yenu endeleeni kuwapa ushauri na kuwatiamoyo vijana wenzenu mbalikiwe Sana
@JosephNkina-zq5zu Жыл бұрын
Sina mengi ila tu Millard ayo kanifunza kitu kizuri abarikiwe mungu ampe maisha malefu inshallah tutafika mbali kikubwa tusikate tamaa
@brinakunambi4114 жыл бұрын
Mim nakupendaga sanaaaa..
@gibsonmutayoba26535 жыл бұрын
I apreciate bro
@theodolaselestine65704 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana kaka milladi, Wengi vijana tunapitia changamoto sana za mitaji ,
@amosmahona4333 жыл бұрын
Kazi iendeleee
@rosemarysulle92883 жыл бұрын
Mwenyewe ana rozali yke, mcha Mungu
@zaujaturassa38453 жыл бұрын
Thank u kaka Millard I appreciate u
@zesootv67265 жыл бұрын
Nzuri sana kaka millard Kila ki2 ni jitihada.
@ndakiemmanuel86024 жыл бұрын
Big up sanaa
@felistaedward18852 жыл бұрын
Most ya vjana wengi Wana uwezo mkubwa mitaani wanahtaji saport
@lilianmoses15 жыл бұрын
@millardayo is my best imformer in world ni mtu nnayemkubali sanaaa
@OneAfricashow5 жыл бұрын
Thanks Jacob 14tv online or your feedback
@saumuyusufu66385 жыл бұрын
Hongera sana kaka Millard
@shayoaloycia19765 жыл бұрын
Nakubali sana kazi yake
@gregoryadriano7245 жыл бұрын
Hii story inasikitisha Sana kweli milard kapitia Changamoto kubwa sana
@judicasayale33534 жыл бұрын
Nakupenda kwa jinsi ulivyo mungu kakupa kibali lkn hauna majivuna natamani siku moja nikuone live
@rosemarysulle92883 жыл бұрын
Kati ya watangazaji wote tz,napenda sana Millard anajielewa sana huyu kaka.
@clintontarimo1994 Жыл бұрын
Ni nzur hiyo
@mlokaferdinand4 жыл бұрын
Daaah...me nimeisikia Leo aisee...yani ukisema nichambue hapo nimeelewa nn ntakua nakosea tu....kila kitu alichoongea milady ni point....hiyo kitu ya kutolewa kwenye mtihani had machozi yamenilenga.....bado tunapambana na mitaji hatuna kweli japo fursa nazionaa
@monistella63014 жыл бұрын
Jamani mama alipigania maisha yako Millard usimsahau ama kweli mama ni mama!!!
@donmvunjambavu34532 жыл бұрын
Alichopotea za Millard Ayo Yuko right tupambane ili tufanikiwe
@mangalajr14764 жыл бұрын
Alichozungumza Millard ni kweli na nimfano wa kuigwa kwa kalia zote ,si kijana tu hata watu wazima.
@unicimpagadhi38365 жыл бұрын
Kumbe kuna shida alafu kuna shida kabisa ,tutakoma
@GORANITVLIVEАй бұрын
Kwakwer mahojiano ayo nime ya penda
@afonsokamuth91534 жыл бұрын
Natazama kutoka Mozambique Da ni kijana wa mfano sana nina talent ya uimbaji lakini nashindwa kupata nafasi
@jmmusicmedia46005 жыл бұрын
Namkubari sana bro Millard yeye ndo kanifanya niwe blogger na kuarrange my big project for my life nakumbuka interview yake moja na na Mkasi he said "Kuwekeza sio pesa tu hata mda unahitajika katika kile unachokifanya". Interview iko poa but ingekua poa zaidi kama ungekua unge kuwa na maswali ya tofauti tofauti kama 10 ivi na mafupi , millard yuko bze sana kiasi sio mtu wa interview sana so watu wanahitaji kujua mambo mengi sana kutoka kwake. Thank You Celeb Africa #Check me @jmmusictz@gmail.com
@goodluckpatrice50052 жыл бұрын
Good interview but tunaomba ututafutie interview nyingine kam za huy entrepreneur
@alfredidabaligasomola59964 жыл бұрын
nampenda bure Millard uyu, hana kibur wala kujikweza, msiri
@eliezerydaniel9367 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu pekee, kuwa kujituma kunalipa
@dalaap2 жыл бұрын
kijana asiye na makuu kwenye watu marufuu tanzaniA
@ramadhaniseif55655 жыл бұрын
Alafu mtu anakuja anasema hovo juu ya mtu fulani bila kumfahamu huo ujinga