Happy New year to you braza JOEL 👏👏.. yes katika mwaka wangu wa mabadiliko na mafanikio zaidi nijikita katika point ya "UJUZI MAALUM" nataka kujifunza sana na kufocus katika ndoto yangu na hata kukwenda shule ili kujua mengi na kunoa UJUZI wangu maalum ili kufikia #mafanikio#.. sante kubwa kaka joel kwa somo zurii la kuuanza mwaka 2019💪💪
@@ukhtyhalimasubscribedismai6497 naanzaje kukosa mambo mazuri kama haya asee umefurahi balaa ni hiyo 2019 imekuja na 😋😋😋 tabasam nipo tu nambie 😊😊
@maryammaram26126 жыл бұрын
@@joelnanauka ndio kaka nataka siku 1 nije kupa ushuhuda wa elimu yakoo kaka tupo pamoja 🙏🙏
@maryammaram26126 жыл бұрын
@Niyizonkiza Innocent Hassan karibu sana usijal
@festorymlekwas40505 жыл бұрын
Asnte sana ,Heri ya mwaka mpywa Mungu akupe maisha marefu kwani unatusaidia sana ,UWAJIBIKAJI
@joelnanauka5 жыл бұрын
Happy New Year Too #SeeYouAtTheTop
@mwanaimaabdallah78256 жыл бұрын
Mwaka huu in shaa Allah nataka kujifunza nina iman nitashinda In shaa Allah
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@sheillachisika26005 жыл бұрын
Kaka Joel Kazi nzuri mwaka huu nataka unifunze jinzi ya kua na adabu ninapoweka pesa huwa naeka akiba mda si mrefu natumia
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza Na Endelea Kunifuatilia #SeeYouAtTheTop
@israelbalaigwa68825 жыл бұрын
Duuuuuuh! Asante sana kwa somo zuri, naomba Mungu mwaka huu nijikite kwenye vitu 2, Kutunza muda na kujikita kwenye ujuzi maalumu (biashara) na Mungu anisaidie
@jimmysangawe48806 жыл бұрын
nimelipenda..kuanza na network mpya ya watu...bacoz marafiki wa karibu piaha wana asilimia yao katika kuathiri maendeleo yao
@joelnanauka5 жыл бұрын
Kweli Kabisa Afridea Tv
@stephenruhuro20306 жыл бұрын
asante Sana coach wangu,nimeanza mwaka mpya kwa kujiwekea malengo yatakayo timiza maono tangu,pia asante Sana coach kwa kuanza nasi siku ya leo,be blessed coach wangu
@emmamoke64076 жыл бұрын
Heri ya mwaka mupya mwalimu asanti sana , umegusiya tabia iyo ni kweli kabisa kubadilika ni kubadirisha tabia .
@joelnanauka5 жыл бұрын
Sure #SeeYouAtTheTop
@arthurmwakanyamale76516 жыл бұрын
Hongera pia kwa kuvuka mwaka "Tabia Mpya" na kuacha tabia mbaya ,tabia ya kufanya mambo mengi kwa wakati moja bila focus bila muelekeo na tabia zote zinazofanana na hizo
@chescomasavanga36465 жыл бұрын
ubarikiwe sana!!!! mimi binafsi nahitaji kuanza na " UJUZI MAALUM" Mwaka huu 2019
@joelnanauka5 жыл бұрын
Vizuri Sana #SeeYouAtTheTop
@gregorymmasi34425 жыл бұрын
Brother Joel heri ya mwaka. We love you. Mungu Akubariki sana.
@giftkelvin76 жыл бұрын
Brother Joel Ubarikiwe sana!, lazima niyatende hayo yote uliyoyafundisha, wakati mwingine tunaweza tukajikuta tunafurahia kumbe ukijiuliza swali nafurahia nini unakuta hamna kitu bado tuko vilevile, Asante sana Brother Joel
Asante sana mkuu....nafikiri.. nilikosa mpangilio maalumu wa kufatilia malengo yangu hii imenipelekea 2018 niuone mwaka wa baraka lakn ,nmeuvuka kihasara
@hakizimanabelyse32135 жыл бұрын
Mm wazo langu ni kujenga uyu mwaka mung akipa namshukuru Sana'a kaka Joel mung akubaliki
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia #SeeYouAtTheTop
@furahamakunga41566 жыл бұрын
ASANTE SANA NASHUKURU MUNGU MWEMA KWAKO PIA KAKA SASA NI WAKATI WA RIPOTI TUTOR WANGU BE BLESSED.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Be Blessed Too
@nagunwashadrack76586 жыл бұрын
Asante bro. Heri ya mwaka mpya pia Mungu ametupa kibali tena mbele zake ili kutimiza kusudi lake kwetu, naamini darasa lipo safi endelea kutupiga msasa kadiri ulivyobarikia, tupo pamoja Mkuu barikiwa pamoja na familia yako. Amen
@issamkondoa71836 жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya na kwako pia. Namshukuru mwenyezi mungu kutuvusha ila mimi natarajia kua mwanafunzi wako mpya maana nipo nipo najiendea bila mpangilio. See u at the top.
@jofrancis99286 жыл бұрын
Thank you brother, great inputs, procrastinating has been my devil, consistency as well as confidence walked away from me since 2014, this yr is the restoration year
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@adamzachariakinyekile69486 жыл бұрын
kaka ninakufuatilia sana,sasa ni kuanza kununua vitabu vyako tu,suala la ufuatiliaji limenigusa,nimejifunza kumbe uvivu wa MTU ni ajila ya MTU.sita baki kama nilivyokua thx broo
@joelnanauka6 жыл бұрын
Piga Simu Namba 0756094875
@mkalimikidadi25976 жыл бұрын
Jambo langu kubwa niwewe kuwa mentor na coach wangu nafanyaje niwesehemu ya wanafunzi wako.
@lainesimfyagisi80716 жыл бұрын
Uwepo wako kwangu nautambua broza,,,,,,,, much respect
@joelnanauka5 жыл бұрын
much respect too hongera kwa kujifunza #SeeYouAtTheTop
@douglasradley66986 жыл бұрын
mwaka mpya kaka yangu joel mwaka huu mungu akujaze akili uzidii kutufunza jinsi ya kujenga malengo yetu...happy new year mungu akupe afya nzuli akulinde ma ajali na akulinde ugonjwa katika jina la YESU mwaka mpya tena kaka naishi burundi ila nakufuatilia sana ubalikiwe na mungu
@joelnanauka5 жыл бұрын
Amen Nashukuru Kunifuatilia Nina Amini Kua Utaweza Kuyafikia Malengo Uliyojiwekea Katika Mwaka Huu Unao Anza 2019 #SeeYouAtTheTop
@douglasradley66985 жыл бұрын
@@joelnanauka amen nina amini sana nimejiwekeya lengo la kuwa best bettinger in match i believe it...this is my goals #SeeYouAtTheTop
@audaxaudax91666 жыл бұрын
Ahsante sana kaka, hakika nimejipanga kubadilika mwaka huu, Mungu ni mwema .
@shubackmashinga35356 жыл бұрын
Kwa kweli elim yako imebadili sana maisha yangu kutoka kwenye kupenda udaku hadi kwenye madin haya
@joelnanauka5 жыл бұрын
hongera kwa kujifunza #SeeYouAtTheTop
@magrethmikumo92726 жыл бұрын
Happy new year to u,mi nitakachoweza kufanya mwaka huu ni kuongeza uwajibikikaji na kutengeneza mtandao mpya
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza Nategemea Kukuona Unashinda Na Kufanikiwa Malengo Uliyojiwekea #SeeYouAtTheTop
@janethmwanri16585 жыл бұрын
Nitaongeza ujuzi wangu..na kujifunza ujuz maalum
@nehemiamdemu78466 жыл бұрын
Thank you Coach... mimi mwaka huu nahitaji kujenga Tabia mpya na kutengeneza MFUMO WA UWAJIBIKAJI
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@eliezermtokoma20576 жыл бұрын
Asante saana! Heri ya mwaka mpya kwako kaka Joel
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@mofatimkisi5566 жыл бұрын
Asante sana , mm naanza na kutafuta mtandao mpya.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongeera Inawezekana Kabisa #SeeYouAtTheTop
@denissanga4546 жыл бұрын
hongera sana blo noeli mafunzo yako ni mazuli sana mi naona kwa upande wangu niongeze juudi ya ufwatiliaji
@oman35276 жыл бұрын
HASANTE kwa muongozo wa mwaka mpya barikiwa sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@paulinajoseph65245 жыл бұрын
asante sana kaka Joel naanza na tabia more ikifuatiwa na uwajibikaji
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@jimsonmgaya73995 жыл бұрын
leo ndio mwaka wangu mpya nawez kusema baada ya kupata somo hili kaka ubarikiwe sana sana
@davidavda29226 жыл бұрын
Nimekuchagua uwe role model wangu....2019 my year for come back
@joelnanauka6 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@amanihosea85876 жыл бұрын
@@joelnanauka .Hello ,Mr Joel happy new too. Natamanii kupata mentor na coach .je uko tayarii kaka.
@habibuyusuphu47185 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka Mungu akupe maisha marefu sana mm nimeanza kufuga kuku
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Sana #SeeYouAtTheTop
@perpetuakimicho28865 жыл бұрын
Nashukuru sana Kaka Joel najifunza sana kupitia mafundisho yako.
@rajabumzuwanda75056 жыл бұрын
Kubadilisha marafiki na mazingira ili nifikie ndoto zangu shukrani nakutakia heri ya mwaka na zaidi nina uhitaji mkubwa wa vitabu vyako
@neysanga6 жыл бұрын
Asante joel Mungu amenipa mwaka mpya nikiwa napata maarifa mpya kutoka kwako maana nataka mabadiliko makubwa sana mwaka huu
@chrismassawe3264 жыл бұрын
Hili somo ni zuri limenifanya mwaka uliopita nikafanya vitu kwa mpangilio na nikajitambua ninachofanya
Very impressive my brother. Well said and let's get started immediately because time does not wait for anyone.
@msengisimoni20876 жыл бұрын
mtandao mpya,kuwa na watu wenye uwezo tofauti na mm
@nicksonallet92445 жыл бұрын
Nafikiri jambo niatalkalo anza nalo ni TABIA MPYA, Ukitazama vizuri hayo mambo manne nje ya jambo la kwanza, yote ni tabia.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Kweli Kabisa Maana Hakuna Mwaka Mpya Pasipo Kua Na Mtu Mpya #SeeYouAtTheTop
@judithmbwilo74706 жыл бұрын
Asante sana brother Joel, hakika ninaanza mwaka huu 2019 kwa ushindi mkubwa sana, nitaendelea kufuatilia masomo yako ili nijifunze zaidi na zaidi, asante sana!
@joelnanauka6 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@kivesadorisofficial71826 жыл бұрын
Happy New year too...nafurahia mafuzo yako sana..God bless you
@joelnanauka5 жыл бұрын
Blessed Too
@jorumzacharia3526 жыл бұрын
na kwako pia Joel nashukuru kwa elimu yako
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@maggiepeter89365 жыл бұрын
Heri ya mwka mpya kaka Joel na wanafunz wenzangu wote wa mwl Joel mwaka huu ni kuamua kubadilika na kufocus katk gòals zote.....aasante sana umekua msaada mkubwa şana kwangu
@meshackngadango68556 жыл бұрын
Ahsante Sana mkuu kwa somo zuri.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@davidmalekela44626 жыл бұрын
Thanks for sharing this advice br. Ktk hayo ulofundisha ,,la kwanza Ni mtandao Mpya wa Watu. Naamn utakuwa msaada kufika kwenye ndoto zangu kubwa nikiwa na ukaribu na ww personal na kuni noa kwa zaidi ktk eneo moja hv kaka ..
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@issabakari6945 жыл бұрын
Vp bro,Asante sana kwa upande huu mwaka nampango wa kuhama nyumbani na kwenda kujitegemea coz nahitaji kupata mawazo mapya na kuishi na watu wapya sio wale watu walionizunguka kila cku nadhani kwa hili naweza nikaongeza kitu kwenye maisha yangu,thanks bro big up
@bellatilia08046 жыл бұрын
Asante sana kweli huu mwaka kwa mafanikio kwangu naanza na masomo yako !
@joelnanauka6 жыл бұрын
Asante Endelea Kunifuatilia #SeeYouAtTheTop
@neemaludovik63255 жыл бұрын
Asante sana nimekusikiliza mwaka huu tu ata mwezi sijamaliza lakin nimebadilika kwa kiss kikubwa sana mungu akubariki katika kazi zako
@leonardbugomba85486 жыл бұрын
Mungu akakusimamie Joel Mwaka huu 2019 Uwe mwema kwako..
@charleskatoto20175 жыл бұрын
Ujuzi maalumu ni kitu nnachokihitaji mwaka huu
@doricamongateko48866 жыл бұрын
jambo langu la muhim Sana nikua na TABIA MPYA
@phanuelpaul37856 жыл бұрын
Monitoring and evaluation is the key factor which touches my mind and my heart in deeply, thanks alot this year I will try my best to evaluate my whole system of work though it's a big big hinderances to me, Happy new year too $ #seeyouatthetoptoo
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@jackiegospelsongmshana20066 жыл бұрын
Kaka Joel! Mungu akubariki sana nimejifunza mambo mengi, japo nimekujua kwa mdada mchache.Mwaka 2019 nimeadhimia kukusoma na kuyaishi masomo yako.Mungu anisaidie sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@wolfugangtesha57245 жыл бұрын
Inabidi tuache kulalamika tuingie field...wazee wa field
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hakuna Mtu Aliyefanikiwa Kwa Kulalamika #SeeYouAtTheTop
@kakekofarniture.53756 жыл бұрын
Allah katukutanisha tena mara nyengine ktk mwaka 2019 kwangu kitu ambacho nitakifanya ni kuongeza netwock ktk kazi zangu.
@edwardngunga16746 жыл бұрын
Nakuelewa sana naomba Mungu aweze nibadilisha katika mwaka huu tuliouanaza hii leo ili niweze timiza malengo yangu niliyojiwekea
@meshackmwakajwanga40876 жыл бұрын
points y 5 nzuri kwangu ndaifanyiya kaz
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kujifunza Na Endelea Kunifuatilia #SeeYouAtTheTop
@msleny67676 жыл бұрын
I thank the almighty God for for reaching us this far it's all by grace. Happy New Year to all family in this channel. Thx Joel for starting with us a new year❤❤
@teachersulley93436 жыл бұрын
Mungu ni mwema Kaka joel Mungu akuinue zaidi , nataman kujua zaidi namna naweza tengeneza mtandao wa watu basic.
@lovemsuya58765 жыл бұрын
Asante bro hicho kitabu kinauzwa shngp nakihitaji sana sana
@shadrackzawadi79205 жыл бұрын
That's good Mr. Be blessed
@joelnanauka5 жыл бұрын
Amen Thanks
@perpetuakimicho28865 жыл бұрын
Mwaka huu napenda kuanza na Tabia mpya , uwajibikaji pamoja na mtandao mpya
@micknessandrea74486 жыл бұрын
Nitaanza kuhusiana na tabia mpya
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Sana #SeeYouAtTheTop
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
Ongera pia kwako kpenz/asante sana kwa somo
@suzynyika17825 жыл бұрын
Happy new year, nataka kutengeneza network mpya
@joelnanauka5 жыл бұрын
Inawezekana Kabisa Weka Mkaksti #SeeYouAtTheTop
@alimambabazi36665 жыл бұрын
important one is to go to school and learn new things this year.
@alkazroun65186 жыл бұрын
Ahsante kwa namba kwajil ya vitabu
@alihassanhaiba69376 жыл бұрын
happy new year kaka Joel na wale wote tunaofatilia kipindi cha kaka Joel,Ahsante sana kwa darasa zuri mwka mpya kila kitu kipya naacha tabia zote za zamani
@gemalucas42976 жыл бұрын
Thanks joel
@burtonsatshop20614 жыл бұрын
Muda huu saa 6 usiku kuu tarehe 1.1.2020 mwaka mpya nimeitafuta hii video ili nijikumbushe nimetenda haya .....asante Nanauka
@adsonfungo81866 жыл бұрын
Asante sana kaka Nanauka. J. Mwaka 2018 uliopita nilijifunza zaidi na kubadili mwenendo wangu kupitia video zako, na sasa naenda kuanza mwaka 2019 nikiwa nalenga zaidi kuwa na Tabia mpya. Na nitahakikisha napata kitabu chako chako za #TimizaMalengoYako.
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@wrghkjdghklljg38196 жыл бұрын
asante kaka kwaushauri wako nimejifuza mengi sana
@rosehezron74516 жыл бұрын
kujenga tabia mpya'muhimu sana'
@ibrahimzuberi10296 жыл бұрын
thnx bro kila siku unatuongezea jipya
@danielmayunga11626 жыл бұрын
Jinsi gan au mbinu gan za kusaidia kupata network mpya. N mhim sana kwangu
@sultanikawambwa41186 жыл бұрын
Kakaa Noel asante sana kwa darasa lako, umekuwa mwalimu mzuri saana wa maisha yangu, umenijenga na kuimarisha akili yangu katika kuamini kupambana sana kaka,
@johnstreka54166 жыл бұрын
Nafurahi nimejifunza kuwa mtu mpya, pia mambo yote matano ni yamuhimu Sana ila uwajibikaji na natwerk Mpya ndiyo msingi mkuu
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera Kujifunza Na Endelea Kunifuatilia #SeeYouAtTheTop
@mwanamkasihabibu99156 жыл бұрын
nmeipenda ya tabia mpya na uwajibkaj
@consiliazakaria32195 жыл бұрын
Happy new pastor barikiwa
@joelnanauka5 жыл бұрын
Barikiwa Pia
@kizzinjamwambaka33846 жыл бұрын
Jambo la kuanzanalo 2019 ni Kutengeneza mfumo Wa ufuatiliaji.
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@josephwillson6685 жыл бұрын
Mtandao kwangu ni mhumusana2019
@emanuelsulle61225 жыл бұрын
Hongera sana kaka mi naona tuanze na kubadisha tabia
@claraprosper86426 жыл бұрын
"A person who doesn't know what the universe is doesn't know where they are.A person who doesn't know their purpose in life doesn't know who they are or what the universe is.A person who doesn't know anyone of these things doesn't know why they are here.So what to make of people who seek or avoid the praise of those who have no knowledge of where or who they are?". Marcus Aurelius. HAPPY NEW YEAR 2019.
@joelnanauka6 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@humphreygeorge70216 жыл бұрын
Asnt xana kaka kwa ushaur wako mzr
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@fabimoris30766 жыл бұрын
Aksante sana mkubwa kwa elimu nzur
@deborahkhan48686 жыл бұрын
Nahitaji vitabu ,maana km ulivyosema unapanga mipango unaiacha hila huu mwaka nahitaji kusimamia mipango yng mungu aniongoze hasa kwenye usomaji wa vitabu vya kunijenga ..nakuwa mvivu lkn natamani nifanikishe lengo kipindi hiki.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Tuwasilaine Kupitia Namba Hii 0756094875
@marianuswilla48145 жыл бұрын
Happy new year brother Joel. Nimefaidika sana na video hii.
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@aminakassim77415 жыл бұрын
Kaka Joel I wish kukuona ila sijachelewa see you at Nssf tarh 10 in shaa Allah... NGUVU YA VICOBA
@isayayoya89526 жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya kaka, jambo la kwanza kabisa tabia ndio nataka kujenga tabia mpya hasa juu ya matumizi ya fedha
@malalezengo44056 жыл бұрын
Hahahahahahaaa jaman hongera sana Joel wanguuuuu time fika salama sana lei tarhe 1 napenda kurudisha mrejesho wangu kwako mwalimu Neil kuahidi kua nitatoa madeni mabaya nimefanikiwa sana mungu akubariki sana tuzid kujifunza ulinifundisha bajet aisee wewe ni MTU wa kpekee sana
@joelnanauka6 жыл бұрын
Hongera sana sana endelea hivyohivyo naamini nidhamu ya pesa itakufikisha mbali
@franciscamalembeka48406 жыл бұрын
Asante, la kwanza ni kuwa accountable pili ujuzi mpya, tatu mtandao mpya wa wanaonizunguka
@madamboss3486 жыл бұрын
Kubandilisha marafiki number one
@joelnanauka6 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@zuhuraabdillah69416 жыл бұрын
Nashukuru sana bro tumeuona tena mwaka 2019. Tunaomba afya njema kila mmoja uzidi kutufundisha zaidi. See me at the top
@joelnanauka5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@josephdaniel13995 жыл бұрын
Point ya tano.ya mtandao mpya.nahitaji kuifanyia kaz zaid
@queenhamzaqueenhamza11605 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe sana 👏👏
@denisabiud68006 жыл бұрын
Network mpya!!!... Na kupata marafiki wapya (positive friends)
@joelnanauka6 жыл бұрын
Hongera #SeeYouAtTheTop
@getrudamussa3346 жыл бұрын
Hongera sana nimebarikiwa sana
@dicksongadson2382 жыл бұрын
mtandao mpya ndio naona ndio jambo lakwanza nalo kwenye mwaka mpya