No video

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MUNGU

  Рет қаралды 908

MASOMO YA KARNE

MASOMO YA KARNE

Күн бұрын

Watu wengi wamekuwa wakimjua Mungu kwa Kiasi fulani. kwenye video hii utajifunza majina 7 ya Mungu na sifa zake nyingi. Ukijifunza tafadhali naombi uweze ku share kwa wengine na like na comment pia .

Пікірлер: 22
@gidsonmarko9800
@gidsonmarko9800 Жыл бұрын
hakika somo la.leo.nimebarkiwa sana
@silasinyanda5885
@silasinyanda5885 3 жыл бұрын
Kaka yangu na Mwinjilisti Mgomba Barikiwa sana, , Mungu azidi kukutumia, nmejifunza hakika.
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana, MUNGU mwema, naamini ameniruhusu nimtumikie na atasafisha njia zaidi mbele yangu kwa ajili ya utukufu wa jina lake.
@ezekielkachare2787
@ezekielkachare2787 3 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa mafunuo haya. Mungu atabaki kuwa Mungu, haijalishi tunapita katika mapito na nyakati gani.
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina. Jina la Bwana litukuzwe
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Mbarikiwe nyote pia kwa kunitia moyo. Subscribe na share zaidi links MASOMO YA KARNE yawafikie wengi
@charlesmwita6675
@charlesmwita6675 3 жыл бұрын
Unafanya vizuri ,Mungu akubariki
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana, jina la BWANA litukuzwe zaidi
@YOMYSTUDIOS
@YOMYSTUDIOS 3 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi nabarikiwa na Mafundisho haya
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana, jina la BWANA litukuzwe zaidi
@josephlugiko3273
@josephlugiko3273 3 жыл бұрын
Shukurani San ,,mungu azidi kua nanyi
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana.
@floraboniphacemwita6839
@floraboniphacemwita6839 3 жыл бұрын
Keep on going far my teacher MUNGU azidi kukutumia uzidi kutuelimisha zaidi sir Ng'wagi
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Asante Sana Mwanafunzi wangu Flora. Nashukuru sana kunitia moyo. Sambaza zaidi links wabarikiwe wengi
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Asante Sana Mwanafunzi wangu Flora. Nashukuru sana kunitia moyo. Sambaza zaidi links wabarikiwe wengi
@eliyanewland6823
@eliyanewland6823 3 жыл бұрын
Bwana akuongoze unapoendelea kutoa elimu hii ,barikiwa sana
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana. Nashukuru Pastor
@oswaldkichwa3792
@oswaldkichwa3792 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana Mv.
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Asante, nashukuru Mkurugenzi
@sarageofreymjema
@sarageofreymjema 6 ай бұрын
Barikiwa masomo mazuri kijana wangu
@cellinakimbe5290
@cellinakimbe5290 3 жыл бұрын
Amen
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi
MAMBO HAYA MANNE (4) LAZIMA YAKUPATE
20:59
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 634
LIVE || MAFUNDISHO MAKUU || KAMAMBI MTAA WA ZANZIBAR CENTRAL 2024
36:09
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 11 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 14 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 16 МЛН
DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
9:26
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 13 М.
UKWELI WA AJABU KWA KARNE HII -UTANGULIZI
8:19
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 435
MAMBO 14 YA KUEPUKA WAKATI WA KULA
10:43
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 879
Je unaweza kujisimamia | Elias Mwinuka
6:38
Elias Mwinuka
Рет қаралды 414
MAMBO HAYA 3 NI HATARI KWA AFYA YAKO
9:05
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 5 М.
NJIA 6 MUNGU ANAZOTUMIA KUZUNGUMZA NA MWANADAMU- EV. MGOMBA
12:55
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 204
MAMBO SABA (7) YANAYOFANYA UKATE TAMAA
13:03
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 387
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 11 МЛН