DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)

  Рет қаралды 12,123

MASOMO YA KARNE

MASOMO YA KARNE

3 жыл бұрын

Kutokana na WHO miaka ya hivi karibuni, zaidi ya watu milioni moja wanakufa kila mwaka kutokana na tatizo la msongo wa mawazo (traumas). Zipo sababu nyingi zinazochangia katika tatizo hili ambazo zinaweza kuonekana kutokana na dalili mbalimbali zinazoweza kuonekana. Na pia zipo tiba za namna gani ya kutatua tatizo la #TIBANADALILIZAMSONGOWAMAWAZO.
Katika video hii nimeweza kuelezea dalili na tiba mbalimbali za msongo wa mawazo.
usisahau ku share, like na subscribe.

Пікірлер: 43
@EnockAlex-pk5dl
@EnockAlex-pk5dl 3 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi. Somo zurii
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 7 ай бұрын
Dah! Nimekubali sana mwamba mgomba WA njonge, mm yondi WA hapo Kwa mwanakanuda mwamashindike🙏🤝 goog lesson Mungu akubariki sana❤
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 7 ай бұрын
Asante sana Kaka Yondi🙏
@marianamichael5406
@marianamichael5406 Ай бұрын
Asante kwa somo zuri😊
@JoseahMayugu-gw2yu
@JoseahMayugu-gw2yu 5 ай бұрын
Asante sana kwa SoMo Zur mtumishi
@barakadaniel9276
@barakadaniel9276 10 ай бұрын
Asante kwa Somo zuri kaka Mgomba🙏🙏
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 10 ай бұрын
Asante sana rafiki. Share link kwa rafiki zako wabarikiwe zaidi
@tandagubi3116
@tandagubi3116 2 ай бұрын
Be blessed My friend.
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 2 ай бұрын
Amen. Stay blessed always
@user-vy2eh8cv5x
@user-vy2eh8cv5x 11 ай бұрын
Asate sana❤
@jenniferhamis9315
@jenniferhamis9315 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa somo zuri
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 8 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe zaidi, endelea kufuatilia kubarikiwa zaidi
@Vanny301
@Vanny301 3 жыл бұрын
Barikiwaaaa
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Ubarikiwe pia Madam
@ibadaonlinetv
@ibadaonlinetv 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Shukrani sana barikiwa pia rafiki
@ndakihekimatv3839
@ndakihekimatv3839 2 жыл бұрын
Barikiwa mwinjilist
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 2 жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe pia. Share kwa wengine wabarikiwe zaidi
@evajoram2701
@evajoram2701 3 жыл бұрын
Be blessed
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana ubarikiwe pia rafiki
@gidsonmarko9800
@gidsonmarko9800 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 Жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe sana. Watumie wengine link wabarikiwe pia
@VeronicaJohn-fb4uq
@VeronicaJohn-fb4uq 6 ай бұрын
Nzuri
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana. Subscribe na ku share kubariki wengine
@user-hj3bm3ci2m
@user-hj3bm3ci2m 9 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@FaridaShabani-yr7rh
@FaridaShabani-yr7rh Ай бұрын
Docta asante sana kwa ushauli hizo dalili nnazo kabisa
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 Ай бұрын
Pole wasiliana nami kwa 0765928215 au +255719397995 kwa ushauri
@laurentmichael6445
@laurentmichael6445 3 жыл бұрын
Barikiwa
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina, ubarikiwe pia rafiki, waweza share zaidi wabarikiwe wengine
@awamiwakubanda5926
@awamiwakubanda5926 8 ай бұрын
Be blessed classmate
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 8 ай бұрын
Ahsante classmate wangu. Nitafute inbox tafadhali kwa 0765928215
@user-kg3hv5pf5q
@user-kg3hv5pf5q 9 ай бұрын
Somo zuri sana
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 9 ай бұрын
Watumie wengine wabarikiwe
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 5 ай бұрын
Umesahau moja, kuokoka ni lazima
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda Ай бұрын
Nkwel kaka hebu tufungue akili ama utufungue moyo kkaangu
@SamsonRaphael-pr8fk
@SamsonRaphael-pr8fk 3 ай бұрын
msongo wa mawazo. yanaweza kusababisha mtu akavua nguo na kusikia sauti zinamwamlisha ??
@user-zf2kl9kr8v
@user-zf2kl9kr8v 13 күн бұрын
Samahani naomba nikuulize Yan mm naumwa na kichwa mara kwa mara naishiwa nguvu hd kuna mda macho yanauma hd nahc kizunguzungu nisaidie shida itakuwa nn 😢samahan
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 13 күн бұрын
Pole sana rafiki. Naomba unitafute inbox kwa namba hii +255765928215
@user-zf2kl9kr8v
@user-zf2kl9kr8v 13 күн бұрын
Sawa
@MsemwaSamson-cn6xn
@MsemwaSamson-cn6xn 9 ай бұрын
Suri
@TumainiMaswanya
@TumainiMaswanya 2 ай бұрын
Mimi nina msongo wa mawazo sipati usingizi usiku na mchana. Nina hofu wasiwasi hamu ya kula sina natamani kujiua napata shida kizuguzungu kukojoa kila mara upweke
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 2 ай бұрын
Pole sana rafiki. Ni hali ya muda tu naamini utakaa sawa, Hebu Naomba unitafute inbox kwa namba zifuatazo 0765928215 au 0719397995 ili tusaidiane.
Dalili Za Mtu MWenye Msongo Wa Mawazo (Stress)
7:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 35 М.
TABIA 7 ZITAKAZO HARIBU MAISHA YAKO/ACHA SASA
15:22
G Online
Рет қаралды 6 М.
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 102 МЛН
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 449 М.
Tabia 4 Zinazoleta Fursa Kubwa
6:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 87 М.
MITIMINGI # 84   STRESS MANAGEMENT JINSI YA KUTAWALA MSONGO WA MAWAZO
15:30
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 78 М.
Dr. Susanna Søberg on the Benefits of Cold Therapy
1:11:37
Dr. Chris Mauki:  Hivi ndivyo afya yako huathirika na stress
9:50
MAMBO HAYA 3 NI HATARI KWA AFYA YAKO
9:05
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 4,9 М.
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН