Amen Hakika Utukufu apewe Bwana Katika jina la Yesu kristo wa Nazareth alie hai Somo limenibariki mno
@YvetteKahindo-t9x4 күн бұрын
Jambo pasteur ! Mungu akubariki sana kwaiyi neno la mungu ni mungu njo ana sema Na weye ju yangu vyote byeuna sema ni ju yangu kabisa mungu ana semaka mujiya mbali mbali kabisa.
@fatumaally35034 күн бұрын
Barikiwa mtumishi
@HellenAyubu-x2c3 күн бұрын
Ameen
@BeniJohn-xd3cn4 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe mwenye kanisa ni Yesu sisi wote ni watumwa wa Bwana wetu Yesu Kristo karma ni tofauti Nakupenda Sana Mtumishi wa Mungu ktk Kristo Yesu ❤❤❤❤❤❤