Mambo yanayofichwa kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar-Wanasheria Awadh Said na Tundu Lissu-Part 2

  Рет қаралды 25,924

Weyani Tv

Weyani Tv

2 жыл бұрын

Tundu Lissu pamoja na Awadh Ali Said na wachangaji wengine wanajadili Mapinduzi ya Zanzibar na jinsi baadhi ya mambo yaliyotokea yanavyofichwa. Bado watu wengi hawaifahamu historia ya mapinduzi, wengi wanaamani aliyepinduliwa ni mwarabu kumbe kuna mengi nyuma yake.

Пікірлер: 51
@sadih5333
@sadih5333 2 жыл бұрын
Lait, wangali fanikiwa kumuua wale waliotumwa na kumshambulia, basi kwa hakika wangali lizulimu hili Taifa, hiki ni kifaa cha nguvu.
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Allah amepitisha Rehma zake kwa kusudi kumuinua Mhe Lissu aje awaumbuwe matozobi walojawa na ujinga na chuki washenzi wakubwa madhalim
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 2 ай бұрын
Yaan mim naona suala la muunganiko wetu huu,ni zigo tulilojitwika;wakati zenj ni kama (pamoja na tgka kujiona ni njanja,ina mamlaka;(nusu na robo) (1) nusu ni zenj yenyewe. (2) robo ni rais, mawaziri +watenzi wengine walomo ktk sirikali hii tunayoivumisha! (3) sisi tuna robo tu! Ndio maana huyu wm au (s)wetu hawezi fanya chchte hata ziara huko zenj
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Hongera mh Lissu. Watanganyika wanafurahia kuwa na koloni lao Zanzibar. Lkn sasaivi inawala wenyewe.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Mungu Mola Muumba hapendi Dhulma (Mchimba Kisima Kaingia Mwenyewe). Zanzibar ilifanya Mapinduzi ya kumuondoa Sultani na ndo sababu ya Kuitwa Serikali ya Mapinduzi. Je, Tanganyika walimpindua nani hadi kuwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi?!
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 2 жыл бұрын
Mimi ni ccm lakini kwa hili mapinduzi ya 64 siko pamojanao yalikuwa ni mavamizi kweli mapinduzi halali ni ya mwaka 63 tuamkeni wanzanzibari zanzibar yetu ni muhimu zaidi kulicho chama chochote
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
Kuamka number achana n ccm coz nyie ndio munawapa kiburi Ccm
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Umesema haki lakini hutoweza kuwa mpenda haki kama hujatoka CCM
@aronimanirakiza5655
@aronimanirakiza5655 2 ай бұрын
Tundu. Lisu. Mungu Akurinde
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 2 жыл бұрын
Swa sawa RAISI WA UKWELI WA TANZANIA NDUGU HERO TUNDULISU WASOMESHE WAJINGA HAWA NA WAPUMBAVU HAWAJUWI KITU WAKO NA UNYANI ULE ULE WASIKU ILE ILE MARADHI YA APEDONIYA MADIKTETA WA CCM AU MCC WAPUMBAVU HAWA MUUNGANO UMEKWISHA HATUUTAKI KABISA 👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹👹😇🇹🇿👹👹🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇👹🇹🇿👹
@kidainvestment7132
@kidainvestment7132 2 жыл бұрын
Yes like that!!!
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Tanganyika inagaidika kukuza nchinyake ya Tanganyika na kuua uchumi wa Zanzibar. Kukuza identity in foregå affairs nakuinyoma Zanzibar hali yake. Mambo yakp mengi sana
@badruabdalla5301
@badruabdalla5301 Жыл бұрын
Hayo maneno ya mlaanifu nyerere ya kutaka kuiangamiza Zanzibar katikati ya habari ya Hindi yameandikwa kwenye kibabu kinachoitwa nyerere of Tanzania
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Huyu ndugu anajua mengi sana
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
Elimu Elimu Elimu
@1961nungwi
@1961nungwi 2 ай бұрын
Elimu, Elimu,Elimu!
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 9 ай бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu Ай бұрын
Mwalimu aliwachukia hata waislamu na karume alikua anapendwa kumbe analiwa akili
@jumafundi2871
@jumafundi2871 2 жыл бұрын
Zanzibar imefanywa kama nishamba na sisiwazanzibar tumefanywa niwatunwa tunakusanyamali wao wanakuja kuzichukua na kwenda kustarehe na familiazao ,hakunamzanzibari anaetaka muungano munatufosi .
@godfreyngajilo3795
@godfreyngajilo3795 6 ай бұрын
Mali gani mlizonazo nyinyi wazambibar,nilikuwepo kuko december mwaka jana sijaziona mali huko zanzibar,
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Kweli Kabisa na Huyo Samia tunamuomba asimamie kwa uadilifu ajuwe kwamba atakwenda kujibu masuala mbele ya Allaah
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Ndomana anawakosoa sana hata CCM wenzake na wanampiga Vita Kwa kumuona anfanya Haki, hapendi Dhulma.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 жыл бұрын
Wapinzani kulazimisha serikali kuhusu uhalali wa mapinduzi,ama hilo sahau ikiwa katika upigaji wa kura wapinzani hawana fursa zaidi ya kupigwa na kuteswa,.
@khamisseif9775
@khamisseif9775 2 жыл бұрын
Wazanzibar baadae ya kusherehekea uhuru tunasherehekea mapinduzi hebu tujiulize ni akili au matope
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Zanzibari ilikuwa dola ina mabalozi duniani NA ilikuwa NA pasport kwanini imekua koloni bada ya kupata uhuru NA kwanini wanasherekea mapinduzi badala ya uhuru ajabu NA kama wazanzibari wa nataka mamlaka peke yake kwanini uvamizi kutoka tanganika inamhusu nini
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Kweli Fedha za East African wengine hawajapata mafao yao mpaka leo hawajalipwa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
Point huwezi kuwauwa ccm japo kuwa wameiba kura ingawa wao waliwauwa wenzao kwa kuunganisha viti tu. Tufanye istighfari nyingi tufe salama
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👍👊✌️.
@hebronmalatila6186
@hebronmalatila6186 2 жыл бұрын
Tundu! Your facts on Mapinduzi ya Zanzibar , is very lightly. Sababu hujawa mzuri ktk issues za siasa za Tanganyika na Zanzibar! Kubwa na Muhimu kutambua na kujua , nani aù kitu gani kilichokuwa kinamsukuma JK Nyerere kufanya hayo aliyoyafanya Tanganyika! Bila matakwa na ridhaa ya Watanganyika? Na pia huko Zanzibar? Ni Mkoloni au Mwingereza. Ili abaki na kuendelea kulinda na kudumisha faida na masilahi ya Mwingereza . Kupitia migongo ya Vibaraka (Puppets), viongozi wa Serikali batili au fake ya Tanganyika chini ya Katiba batili au fake iliyotungwa na Kuandikwa na Mwingereza. Nd iliyowapa viongozi (Rais) kuwa Emperiol President.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 9 ай бұрын
UKIRISTO NA MAPINDUZI @hebronmalatila6186.Julius Nyerere alipikwa na Chama Cha Makatoliki (CCM) cha Maryknoll Fathers tangu Skuli ya Msingi ya Mishinari hadi Chuo Cha Edinburgh. Hakutaka Ridhaa ya Watanganyika bali: CHRISTIAN MOTIVATION FOR THE ZANZIBAR REVOLUTION. Wakiristo walidanganya kuwa lengo la Mapinduzi kuondosha Serikali ya Kisultani. Ingawa Mkuu wa Serikali ya Zanzibar alikuwa Muhammed Shamte na hakuwa Mwarabu bali Mshirazi. Nyerere (Mtanganyika) na John Okello (Muuganda) ni Wakiristo na hawaikhusu Zanzibar hata chembe si Ndewe wala Sikio.
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 2 ай бұрын
Hongera sana Lissu kwa kusimama na haki na ukweli.
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Ndio MMungu kawalaani mijibwa hiyo mizimwi ya CCM
@kidainvestment7132
@kidainvestment7132 2 жыл бұрын
We are together in gathering...
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 2 жыл бұрын
Huo uchaguzi uliofanyika zanzibar 1963 ndio utaratibu unatumiwa na uengereza mpaka leo na ikitokea hamuna chama kimeshinda basi vyama vinaungana na kunda serikali
@AbdulNassir-jk1jf
@AbdulNassir-jk1jf 6 ай бұрын
Tunyonyeni mutakavyo mutakwenda jibu
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Watanganyoka hao looo
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 2 жыл бұрын
ZANZIBAR SIO HURU, IMETAWALIWA NA TANGANYIKA, MPAKA VIONGOZI WANALETWA KUTOKA TANGANYIKA.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Nyerere alimhadaa Karume kumuondoa Sultani Ili Znzinzibar na Tanganyika ziungane, kumbe nyuma ya Pazia Nyerere alikuwa Shirika Moja na Muingereza Kupitia Kanisa/Ukristo na ndipo Zanzibar ikapewa Uhuru wa Bandia na Muingereza Ili kumhadaa Karume na Wazanzibar na baada ya Kuungana Nyerere kamgeuzia Kibao Karume. All in All Mungu analipa Duniani na atalipa siku ya Kiama. Sasa ni Fursa Kujitambuwa Kwa Wazanzibar na WaTanganyika (Waislamu na Wakristo, Viongozi wa Serikali na Wananchi) tukumbuke Dunia ni Mapito tu, Dhulma haifai. Hivyo uwe Chama Tawala au Upinzani afu unaingia Madarakani Kwa kuikandamiza Zanzibar au Bara, kuwakandamiza Waislamu/Wakristo, Kabila/Jamii Fulani au Kanda Fulani basi jiandae Kuchomwa Moto siku ya Kiama. Cheo, Mali, Chama nk hutoondoka navyo Akhera na havitakusaidia siku ya Kiama. Wakowapi hao Waasisi wa Mapinduzi ya Dhulma?!
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 2 жыл бұрын
TUNA VIONGOZI KUTOKA MKURANGA, TANGANYIKA.
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 ай бұрын
Lisu ni mpuuzi atavuruga nchi asipothibitiwa atavuruga nchi nzima
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 2 ай бұрын
Nchi itavurugwa mara mbili hujui kama tayari Ilketshall vurugwa na mafisiemu
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 2 ай бұрын
Wewe ni mvivu wa kutafuta maarifa. Historia ya mapinduzi ya Z'bar sivyo jinsi inavyoelezwa na CCM. Vipo vitabu vingi vilivyo andika vzr historia ya Z'bar. Lisu kaelezea kwa kifupi sana. Waingereza hawakutaka Z'bar iwe huru ndio maana Nyerere alitumika kaiandaa Z'bar isiwe huru. Chama cha AA (African Association) ya Z'bar, wanachama wake ni wahamiaji waliotoka Bara, iliundwa km tawi la TAA (Tng Afri Ass) iliyokuja kuwa TANU huku Tang. Maneno ya Nyerere ya kusokomeza visiwa vya Z'bar baharini yako ktk vitabu mbalimbali vya historia ya Z'bar. Sio ya Lisu. Waliofanya mapinduzi ni waliokuwa wakulima wa mkonge kutoka Tanga. Kifupi sio MAPINDUZI bali MAVAMIZI Hivyo, usemavyo Lisu ni "mpuuzi na mvurugaji" ni kuonesha uvivu wako wa kutoijua historia ya Z'bar.
@1961nungwi
@1961nungwi 2 ай бұрын
Lissu ameshiriki kwenye mdahalo, mazungumzo ya kitaalamu Kuhusu Mapinduzi na muungano. Amesema point mbili kubwa 1) Muungano haukuwa sehemu ya Pan Africanism. Na amesema Prof Haroub Othman ndiye aliandika hayo mwanzo. Pili, hakuna msomi ambaye amefanya study ya matokeo ya kiuchumi ya Muungano. Sasa hapo anavuruga vipi? Unachoweza kufanya ni kutoa mawazo Yako, au kama wewe ni Mwanafuzi wa Chuo Kikuu, ni nafasi Yako kufanya utafiti kama sehemu ya masomo yako juu ya haya masuala. Hiyo ndio namna bora ya wewe kushiriki haya mazungumzo, sio kusema mtu adhibitiwe! Utadhibi vipi fikra za wasomi, Wana zuoni, wananchi wanaofikiria?
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
MULIZENI LISSU WAKATI CARUME ANA IPIDUWA ZANZIBA WAKATI HUO RAIS ALIKUWA NANI NALIYEKUWA ANAIMILIKI ZANZIBARI NANI UJIGA WA LISSU UNAMSAIDIA MWEYEWE NA AGALIE NCHI IKOWAPI SASA YEYE YUKO UKIBIZINI UMRI UNAKWEDA YEYE FIKIRA ZAKE ZA MIYAKA 70 AMECHELEWA
@mangofish9079
@mangofish9079 2 жыл бұрын
Nyie mukiambiwa musome munaona watu wajinga. Wakati wa umwagaji damu wa Karume na wenzake aliekuwa anamiliki znz ni wazanzibar kupitia serikali yao na mfalme kama head of state chini ya mfumo wa constitutional monarchy. Tanganyika, Kenya kwa mfano zimepewa uhuru wakati Queen bado ndio head of state wakati zanzibar sultan ndio head of state. Kama tafsiri yako mfalme hakuwa mzanzibar ok lete hoja zako tuone mwisho wake utasema znz ni ya watu weusi sasa mtu akiwa kachanganya kama hao masultani sijui wanakua nani ndio machotara vile!! Nyie munadai mulikua mukiteswa na kubaguliwa mpaka ikabidi mukafanya mapinduzi sasa sijui nyie mulifanya nini tokea hayo mapinduzi yenyewe mpaka hivi leo?
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
Vilaza kama nyinyi ndo shida kwa hii nchi
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Msipoteze muda wenu kujibu wajukuu wa iblis muovu kama kins Jania
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Kwenda uko
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Makutano Show: Muungano UmeKufa - Tundu Lissu
8:37
MakutanoShow
Рет қаралды 49 М.
TUNDU LISSU Juu ya Muungano
3:26
MkasiTV
Рет қаралды 14 М.
JE NI MAPINDUZI, MAUWAJI AU MAVAMIZI YA ZANZIBAR?
14:33
Mohamed Said
Рет қаралды 1,7 М.
MKANJUNI KATIKA HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964
12:11
Mohamed Said
Рет қаралды 1,5 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН