Mama Asitufanye cc watoto kwann Diamond Aitwe Nasibu Abdul.Pumbavuuu.
@kenyandamu3 жыл бұрын
Inaonekana Mama Dangote ako na shida na Mzee Abdul ... Machozi mafuriko 😭😭😭
@msafirisalum84363 жыл бұрын
Vita ya kuangamiza kizazi cha yule mzee abdul
@lemsimkwama41143 жыл бұрын
Mzee anashida na hela za diamond
@bamuucmba923 жыл бұрын
C bb wa kumlea Mana alichkua akiwa na mmba ety
@fuadabubakar51263 жыл бұрын
Kumanisha alimuendea mumuwe kinyume akiwa mke wake halali, Mama ajiaibisha hadharani
@lolanimals72063 жыл бұрын
*NAKUKUMBUSHA* : _Hii Yote Ni Kwasababu Leo Hii Diamond Ni Tajiri. Angekua Masikini Yote Haya Yasinge Tokea!_
@sniperbogo62103 жыл бұрын
Hata mzee mwenyewe ameanza kujitapa mwanangu baada ya mafanikio ya diamond wakat hajafanikiw alikua hana time nae ko wala lisikuumize hilo
@sharshkan60343 жыл бұрын
Cul
@jackilinram10833 жыл бұрын
Fact
@chamakhsaeedy203 жыл бұрын
Yah n kwl
@omakywazamani66963 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 Sana lakini chaajabu huyu Ricardo mwenyewe anashuhudia zina ambao hajakuwepo kuwa huyu Diamond ni kweli kabisa kwamba mdogo wake na hayo yote kwa sababu kapata hela ila hawa watu nijaa tu tumeambiwa ukizini ni dhambi kubwa usikubaliane nalo kama kweli ulizi leo huyu Ricardo mwenyewe anashuhudia zina ambao hajakuwepo
@allymagasagospelsingerfrom64963 жыл бұрын
Nikwamba ukiangalia mwanzo wa interview ilivyoanza niwazi ilipaniwa A-z watangazaj wameambia kila kitu... Amin Mungu FUNDI malipo ni hapa hapa.mzee abdull atalipiwa
@Legends_Interviews3 жыл бұрын
Amin ..so sad
@salmaomar61783 жыл бұрын
Kweli watangazaji walikuwa washajua
@alicedavido13303 жыл бұрын
Hii inajulilana muda mrefu labda ww nimgeni wamitandao
@khalifawapili17993 жыл бұрын
Ni kweli kabisa jamaa kamezeshwa maneno
@CyimSky3 жыл бұрын
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO. kzbin.info/www/bejne/qaOUoKSig9hof9E
@depabloescobar92653 жыл бұрын
Mama diamond ni mshamba sana.pesa makaratasi asifanye kiburi kisa pesa amejisahau sana. Ila ss tunamuombea mzee abdul mungu amjalie subra na afya aje aone mwisho wao
@ayoubvegula17633 жыл бұрын
Jaman jaman pesa hiz ni mapito,laana zitawaandama nawaoneeni huruma Sana mzee Abdul wew tulia Vita si yako acha mungu akupiganie 😭😭
@CyimSky3 жыл бұрын
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO. kzbin.info/www/bejne/qaOUoKSig9hof9E
@siznic91153 жыл бұрын
Kabisa mola atampigania haswaa Yani mitihan tu yakawaida duniani mapito
@jurassicparkmovies88053 жыл бұрын
*Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini* kzbin.info/www/bejne/gn6wlIKCi9BnqNU Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel
@gregorysangah27983 жыл бұрын
Ooooo
@alexsalum78243 жыл бұрын
Mtt anamiliki bilioni kadhaa wkt baba anaishi maisha ya kulaumu kwnn imekua leo,Diamond Mungu anakuona,Chozi la baba Mungu atamlipia.
@IMMAAUG3 жыл бұрын
*Wangapi mnataka tumsapoti mzee kwa kuchangia kwenye biashara zake? hii platform inaweza mpa pesa nzuri akawa na maisha mazuri, let's support mzee Abdul watanzania wenzangu* FOLLOW HİS İNSTAGRAM PAGE AND SUPPORT HİS BUSİNESS
@archienguzza65853 жыл бұрын
Tufanye ivyo kk tumsaidie yule mzee
@J4UPro3 жыл бұрын
Nipo tayari
@akamwizafrankie60963 жыл бұрын
Na mimi Nipo tayari tumcangiye mzee abdul 🤗Wallahi Iyi familia ya Diamond Mwenyezimungu anawaona
@beatussimon48733 жыл бұрын
Wapo wengi anaowazidi uwezo wote utawachangia? Au Abdul kawaje sasa
@kenyandamu3 жыл бұрын
Tupo hapa 👍🏼👍🏼👍🏼
@sunrishmussan69583 жыл бұрын
WALLAH kuanzia leo hii mimi kila siku ntakesha msikitini na kansani kuomba mungu kupitia kitendo hiki mungu awalipize ubaya mama Mond na mond mwenyewe waione dunia chungu, mali zao zote ziyeyuke, mikosi izidi na huyo mzee ainuliwe juu juu zaidi umaharufu wao ote opotee Tz na ulmwenguni kote. Amen
@swedish_james3 жыл бұрын
Konde Boy Jeshi tengeneza paybill namba sote kama Wana Africa mashariki tumchangie Mzee Abdul 🇰🇪
@omakywazamani66963 жыл бұрын
Sana umetoa point nzuri
@lirastanley3903 жыл бұрын
Mimi nitakua wa kwanza na naapa nitatoa mchango mkubwa sana kwa huyo mzeee
@lirastanley3903 жыл бұрын
@@omakywazamani6696 ndio
@J4UPro3 жыл бұрын
Nipo tayari
@babushayo11523 жыл бұрын
Kabisa
@ephraimkabeya24063 жыл бұрын
Mzee Abdul asisikitike, Amshukuru Mungu maana huko mbele kuna sadaka zitahitajika kutolewa, yeye hatahusika
@sheryphamwenevalley61243 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema, hii familia wana laana sio bure😭😭
@ShSh-my8cw3 жыл бұрын
Mungu atuongoze
@inacabdhullahi75363 жыл бұрын
Kweli laana tupu
@biebaraka32583 жыл бұрын
True
@raymondshirima17773 жыл бұрын
Kwani mkiambiwa ukweli hamtaki
@ramadhanirama66363 жыл бұрын
Unapo msema mwenzako kua analaana Kuna kuwa na mambo mawili laana atakuwa nayo ulie msonta au wew ulie sonta. Kwahy mwenye laana anaweza kuwa wew au wao mjuz ni mwenyez mungu.
@GR7bb3 жыл бұрын
mzee abdul anafanana na Nassibu na isitoshe natumia jina la abdul ambae nibaba yake hakika diamond utafeli maisha hatakama nibaba mlezi kama mnavyodai ungempa heshima yake na ukumbuke dunia tunapita tu hizo hela unazogawa mitaani ungemsaidia baba yako mlezi mungu angekuongezea siku zakuishi sina mengi ila ushauli wa mwana mke siku zote jiongeze nawewe
@makamekhamis37593 жыл бұрын
Mzee akinuna hapana linalotendeka amesha ongeya mzee abduli daimodi siyo mwanawe ila mzee abduli hajafurahi mungu atamlipiya mzee abduli
@evetemmy89663 жыл бұрын
Waaaaa ile patience niko nayo cant allow me to watch till end mnaboo sana kelele mingi and its clear mlipanga God is watching
@nassorohosseni52233 жыл бұрын
Inalilaah wainalilaah rajiun diamond kumbuka mwenyez mungu ndie atakae kua hakim sk ya mwisho mwisho wa umaaruf ni kabri chunga nafs yko
@aishamohammed53473 жыл бұрын
💯
@ednambata95033 жыл бұрын
Jaman hapo sasa daimomd anajiaribia saana
@nassorohosseni52233 жыл бұрын
Kabsa dunia inamwisho apa 2napita
@zawadiramadhani92293 жыл бұрын
Hakika kwel
@محمدعبدالله-غ1ق8ظ3 жыл бұрын
haki wala hamfanyi vizur mm pia nimelelewa na baba wakambo ila nilimpa heshima yake nikamthamin mpaka mwisho wa maisha yake nmpaka leo namkumbuka nakumuombea dua na sikuona mamangu kumdharau hata siku moja allah awarahamu wote wawili mama dagote ufanyavyo sivyo na mungu atakuhukumu kwakumvua nguo mzee alokukarimu ukiwa na mimba leo wamrudishia maovu allah anakuona ujue na je yule pacha wa mwanao nae tusemeje amezalia baba mumoja na dayamond pia basi ulikua kicheche kumbe pole sana mama mkosa haya ww
@evasaimon67643 жыл бұрын
Huyu mama anajizaririsha sana, nmemshusha vyeo
@afrogirlradhiamusic22683 жыл бұрын
Hahahaha jaman wababa wanakataa watoto zen wakipata mafanikio wanawafata ivi kama ww mtu kakataa mimb anaibuka kwenyerah kwann wann uyo
@nishasalim28803 жыл бұрын
Yaani!
@nishasalim28803 жыл бұрын
Inatia uchungu!
@nishasalim28803 жыл бұрын
Mama Diamond atalipa hapa,hapa duniani.
@lirastanley3903 жыл бұрын
@@afrogirlradhiamusic2268 acha ushabiki wa kupumbavu...wewe ni mshenzi nini pia...unaunga mkono ushenzi mwanaharamu mkubwa wewe kuwa na adabu kbs unajua uchungu wa mzazi wewe???kwa pesa gani hasa walizokua nazo mpk wanyenyekewe???uchaw mtupu.. Pumbavu kbs kbs...hv kwa wanavyomchukia yule mzee ingekua sio mwanae si muda tu yangejulikana???khaaaa Aibuuuu...hauna akili kbs
@Marsemo3 жыл бұрын
Nawalaumu wasafi media team na hosts Hawa kwa kuuliza hili swali...
@adelajaksoni4663 жыл бұрын
Wasoma comment kama mm kwa uchungu WA kutaka kuzulumiwa mtu damu yake dah wanawake tuweni na huruma bc 😥😥😥😥😥😥
@sharonkagai19433 жыл бұрын
this is just the begining of diamond platinumz downfall
@aliymajala56783 жыл бұрын
💕🙏🙏
@CyimSky3 жыл бұрын
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO. kzbin.info/www/bejne/qaOUoKSig9hof9E
@Emmamusiccmb3 жыл бұрын
*TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZE KUMONITIZE CHANNEL YANGU* 🎶🎶🎶🎶🎶
@jurassicparkmovies88053 жыл бұрын
*Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini* kzbin.info/www/bejne/gn6wlIKCi9BnqNU Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel
@yohanakiyumbi47953 жыл бұрын
Hongera sn Ricardo Momo (Mohamed) Pa1 na Mama Diamond kwa kusema Ukwl kuhusu Diamond,,,,Ricardo,,,Esma na Queen darling Ukwl kuhusu Undugu wao uko Vp.. hilo jambo jema sn
@samuelmweipongwe1403 жыл бұрын
Waliogundua sauti ya Momo na Mond zinafanana gonga like mingi sana.
@bernardjohn87883 жыл бұрын
Sauti,na mwonekano vyote vinatengenezwa na kuigizwa
@AnastaziaMalwa-i3nАй бұрын
Lakini mondi wanafanana na mond
@AnastaziaMalwa-i3nАй бұрын
Lakini. Mondi. Wanafanana na. Momo
@WesOnline2553 жыл бұрын
Reecado mimi naona umefanya vyema Chibu kuifahamu familia yake kwa undani zaidi coz jamaa alikuwa akitambua yeye ni wa KIGOMA, nimekukubali mkuu hongera sana
@mariamfaicalhassan28906 ай бұрын
Huyo Licado siyo ndugu diamond baba yake ni lazalo Malyeto huyu mama aseme ukweli
@geraldgerrytrump2543 жыл бұрын
Diamond anafanana na mzee Abdul, hafanani na huyu jamaa .. Cinema tuu
@esterchomete68023 жыл бұрын
Kabisaa
@yasrsele44453 жыл бұрын
Alf kwann wasema alikataa mimba alf mara ni baba mlenz .hyo mama dangote hajielew
@CyimSky3 жыл бұрын
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO. kzbin.info/www/bejne/qaOUoKSig9hof9E
@skyskaters22993 жыл бұрын
Hata sauti yao ni same
@ramadhanirama66363 жыл бұрын
Sawa mamaake dai
@ibrahimmvogogo8493 жыл бұрын
mm nakuambia wallah mungu ampe maisha malefu mzee abduli pesa hizi azitupereki popote ila utu ndio kila kituu sijapenda atakidogo nishabiki wa wasafi lakini kwa hichi bola niwe konde boy tuu
@egidiusmutabuzi41763 жыл бұрын
Watu wanalitaja tuu jina la mungu Kama anavomuita said, John au juma....Tena wamevalia na mavazi ya ibada kabisa kwenye maswala ya kipuuzi dah! Inasikitisha Sana.....all in all baba Ni baba awe mzazi au mlezi....in short wasafi kwa Ujumla hamjafanya kitu kizuri, hakina heshima, hekima, Wala maadali kwa jamii inayowazunguka ....je mnafundisha nn watoto wa kike au sisi wanaume.....kwa mwendo huu idadi ya single mothers na watoto kukosa malezi itazidi kuwa juu.....haipendezi maswala ya kifamilia kuyazungumza Kama vile unatangaza show ya wasafi festival ivo vitu Ni very sensitive na empact yake Ni kuwa kwa jamii...I fill so bad.😔😔
@eliaschigulu36903 жыл бұрын
Hii Ishu imetengenezwa na wasafi wote akiwemo na daimond
@stargirlstargirl88373 жыл бұрын
😥😥😥😥😥mbn mnamfanyia ivo mzeeh abdul mzee mpole hana neno na mtu jamani diamond kumbuka n babako jamani mama nawe acha za ovyo
@mariamfaicalhassan28906 ай бұрын
Huyo mzee abdul na licado momo siyo ndugu wa diamond diamond anababa yake
@fleythevoiceofficall53143 жыл бұрын
Mungu mpe moyo wa subra Mzee Abduli kwa mapito anayopitia
@blingbling2983 жыл бұрын
Konde boy tumchangie hyu msee tafadhali ,,kama tuko pamoja gonga like
@matagitheboss35213 жыл бұрын
Mama anasema !!asingeikataa mimba , asingemkosa mtoto!!naomba muitafakary vzr hyo kauli ya mama mond!!!iDaa !maisha haya!!!
@magicsound-beats60753 жыл бұрын
Ivi mnasoma comment kweri? Watanzania atujalipenda ili swala hata kidogo mnamnyang'anya mzee kisa hana pesa? Malipo ni duniani apa apa
@truthnafact90813 жыл бұрын
Acha umama wewe alieliwa ni mama diamond we inakuhusu nini au uliliwa nae?
@muhsinmichenje98263 жыл бұрын
Duh uyu mama mkatili sanaaaa
@omakywazamani66963 жыл бұрын
Hawa watu wanazo laana
@cktamunga23563 жыл бұрын
Uyu jama sindugu wa diamond hatasura ayikaribiani diamond platnumz ni mutoto wa abuli kabisa awepanga jama yakuharibu Jina lamuze
@Kijana-wa-Tanzania3 жыл бұрын
@@cktamunga2356 Jamaa mbona kweli wanafanana?
@agnessksr29413 жыл бұрын
Wasafi washamba sana huu ubaba wa kununua duuh kisa asiwazalilishe tu duuh mungu yupo
@evasaimon67643 жыл бұрын
Huyu mama n mkatili sijapata kuona dooh! anaweza hata kuua, pesa tu ndo zinamfanya anakua hvyo, hilo nalo litapita hii dunia ni ya Mungu bana sio ya diamond platinum
@CyimSky3 жыл бұрын
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO. kzbin.info/www/bejne/qaOUoKSig9hof9E
@alexkilamlya15633 жыл бұрын
Shida iko kwa wlio muuliza mama sio diamond wala mama naamini wamesomea kazi hiyo miiko ya kazi nmesoma kidogo journalism wanasema seek the truth and minimize ham nyie mmeshindwa hanamna ya kupunguza ukali wa maneno ?
@antoinebakevya89113 жыл бұрын
Ricardo is very clever!!! Anajuwa kufanya interview. Hataki kupindishwa
@fatunam77213 жыл бұрын
Na Diamond is about time to be a really MAN! Wewe ni kioo cha jamii mpaka huku nchi za nje. Lakini all this bs hazikusaidii!! Help this man! Don't take judgement & punish Mzee Abdul Naseeb, only God can punish him. We all travelling in this world! Mark my word, the tears of Mzee Abdul will go down with you & your mom. PLEASE SAVE YOUR FAMILY BY DOING RIGHT HATA KAMA SIO BABA YAKO.🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kessly2913 жыл бұрын
Umezugumza ukweli leo upo juu1kesho upo chini ila ivi sasa ana pesa haoni.karibu sana Zanzibar
@sadickhoza64163 жыл бұрын
Pole mzee Abdul wanawake sio watu
@nobertnichoraus66813 жыл бұрын
Kuanzia Leo mimi sio shabiki wake diamond, wamenikera saanaa
@Bmben19953 жыл бұрын
Nenda zako mwenyewe
@salamakitsao55553 жыл бұрын
Diamond anamakosa gani hapo Hadi unamchukia? Kwendaa zako. Hivi unamjua babako ww
@rahimaaaaa56823 жыл бұрын
@@salamakitsao5555 😂😂😂😂😂😂
@zennahazeezy33633 жыл бұрын
@@salamakitsao5555 hilo nalo neno tukianza kufukua makabur hapa yakumjua baba itakua hapatoshi
@zennahazeezy33633 жыл бұрын
@@Bmben1995 tena aende mbio nying mnafki tuu huyu
@sharifahamisi98123 жыл бұрын
Ngoja tukae kimya tuangalie mwisho wahii mechi muamuzi mwenyezi mungu pekee huu nimsiba na aibu kubwa sana shikamoo pesa
@siznic91153 жыл бұрын
Hizi hapari nimezipokea kwamasikitiko kama nilivyo pokea hapari za msiba wa malehemu kanumba😥😔🤦
@J4UPro3 жыл бұрын
Me too
@kenyandamu3 жыл бұрын
Mimi pia 😭😭😭
@halimanasihu12003 жыл бұрын
Kweli my yani mtihani
@dambwelahiphop3 жыл бұрын
Hapari zinasikitisha eeeh
@CyimSky3 жыл бұрын
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO. kzbin.info/www/bejne/qaOUoKSig9hof9E
@kevinodongo92133 жыл бұрын
Nare bin nare mzee Abdhul..Allah give hukmu
@sifasanga78663 жыл бұрын
Mimi nasema baba ake Diamond ni Mzee Abudul......acheni upuuzi
@ramadhanirama66363 жыл бұрын
Tumekuelewa mama daimond
@fadhilarajabu9033 жыл бұрын
Mmh mtihani ninmshindwa kuelewa sasa huyo mzee Abdul kamleaje diamond wakati hapo nyuma alikua anasema hajawai kumlea mmh dunia inaenda mwishoni kweli🙌
@shijamakenzi30513 жыл бұрын
Heti wasafi kumbe wachafu momo siku zote ulikuwa wap bro? diamond unafanana na baba yako kila kitu hadi ujanja mama anazinguwa
@vanessajohn60463 жыл бұрын
Kwwli kabisa hasimtoto wa hamissa anafanana na babu yake ila hawa wataona aibu sikuyake mh😭😭😭😭😭😭😭mungu amsimamie mzee amdlli na Allaa ampe wepesi jana nimelia sana kwauchungu kama nikiwa mama😭😭😭😭😭😭🙏
@kipimochamajimyddmwiru88243 жыл бұрын
Huyo mm ajizalilishe mara ngap, mama hajieshim kitambo sn akumbuki hata aliko toka kuwa ametoka kwenye maisha gan na leo yupo wap, hata ndoa anyo ishi nayo sasa mpaka sasa uli wake hana heshima kutwa kwenye mitandao, ni mtu mzima asiye jiheshim hafai kuigwa hata kido
@aliclauclau42083 жыл бұрын
UKWELI UWUMA.POLENI
@zennahazeezy33633 жыл бұрын
Kweli dunia hadaa kila la kher mzee Abdull
@jaydeewabala61873 жыл бұрын
Upendo wangu kwa Diamond Kama shabiki wake haujapungua hata kidogo. Much love from Kenya Siiimbaaa!!
@luqmanmohamedy38603 жыл бұрын
Diamond platnumz muda wake wa kuwa on top unafika mwisho. Familia yake inamshusha muda sio mwingi. Mama yake na dada yake wana tatizo
@fx-farm68883 жыл бұрын
Haki ya Mungu nimemchukia diamond na mama yake Wote mbwa tu
@ericklaura75113 жыл бұрын
Sahau hilo , dua LA kuku halimfikii mwewe
@jacquelinemrosso85433 жыл бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu wataumbuka kweupeee
@ericklaura75113 жыл бұрын
Who are to say who can drop and who will elevate? Your not God chill it , wew sio Mungu.
@aminaakombo27103 жыл бұрын
Kwendraaa
@nana66643 жыл бұрын
Wewe dida pia unachangia kulazimisha kujuwa famili za watu kujua is not fair ingekuwa baba yako je ungefurahia?kaa ufikiri haya maisha mafupi hijui lini utaaga .omba msamaha sana toinat nnasuha ikiwa ni mtoto wa kiislamu.au ikiwa unapenda kuingia jannat firdous
@twalib093 жыл бұрын
THE BOLD AND THE BEAUTIFUL ...........to be continued 😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏
@markvisualprongt37223 жыл бұрын
Mnazinguwa bwana tunajuwa pesa ndo zinawachanganya mmeoanga wenyewe iyo bana juwa ule mzee mme mzalilisha sana tena sana mmepanga yenu wishasikia wapi alie kataa mimba alafu awe baba mlezi Acheni kuzinguwa bana kiliyo kuwa namwanzo lazima kiwe namwisho #markthedon peace
@ItsLeonel3 жыл бұрын
Yule mzee Abdul namhurumia sana
@fatmaahmed86372 жыл бұрын
Pole Kaka,majina mazuri n marukufu unajitia yasio yako
@venerandamasunga67893 жыл бұрын
kwanzia leo mm sio shabiki wa diamond siwezi tena kushabikia uchafu na udharirishaji
@kaburaakbar48383 жыл бұрын
Tangu lini ukawa shabik wa diamond platnumz? Kwani umempenda diamond platnumz juu ya familia ao juu ya kazi yake mijutu mingine bana
@vangraphixvan83203 жыл бұрын
Kwendaaaa
@MJB-Africa3 жыл бұрын
Aanazingua
@ShSh-my8cw3 жыл бұрын
@@vangraphixvan8320 🤣
@stanslauselias90023 жыл бұрын
Tuachie simba wetu ukute leo ndio umeweka bado
@rehemamohammed42153 жыл бұрын
Amlipe mzee abduli halafu wapime dn
@hamdincatalonia32723 жыл бұрын
Unaweza ukawa na hela lakini akili azipo kabisa mama anajizalilisha sana inaonekana kabisa mama alikuwa mtu wa haina gani mungu atuepushe
@m.jumeauxrecordstudio3 жыл бұрын
Nassbo ana koudja Comores nassbo Abdul
@fleythevoiceofficall53143 жыл бұрын
Kama umelia Kama nilivyo lia mimi kupitia ili gonga like
@rehemakaberege32093 жыл бұрын
We mama mungu anakuona usijisahau kwasababu ya hera tu
@FXtelle3 жыл бұрын
Just do DNA for all of them..Simples😘
@ernestchomola65833 жыл бұрын
daah inauma sana pole sana mzee abd
@darcieniyongere89823 жыл бұрын
It's soooooo sad for really😞😞😞. Mama Dangote muongo😩😩🤯.
@ramadhanirama66363 жыл бұрын
Mkweli wew ulie beba mimba ya dai.
@ashuraamani26713 жыл бұрын
Adi kesho kwa mungu ushahid huo momo utakuponza pesa mbaya unakubali kuwatenganisha baba na mtoto inallilaj wainallilah raajuuni
@salamisindimwo3033 жыл бұрын
Yaani kuna kitu nimeshindwa elewa : mzee Abdoul sio baba mzazi wa diamond ni Baba mlezi,mzee Abdoul hajamsaidia cocote diamond toka mimba,primary hd secondary,mbona km kauli zinagongana: alikuaje mlezi wkt hakumsaidia cocote? Ao alikua Baba mtazamaji...?
@bahariawalk3 жыл бұрын
Hapo ndoo wanajizalilisha wenyewe. Mama Dangote mnafiki kabisa
@jamilaingu79223 жыл бұрын
Yani mlezi ,nikama shahid tuapo
@aliceches3 жыл бұрын
Amekua naye mpaka 15years
@beatussimon48733 жыл бұрын
Utakuwa hujui maana ya neno baba mlezi kwa hiyo usituchoshe
@salamisindimwo3033 жыл бұрын
@@beatussimon4873 Mimi ndo sielewi ao wewe ndo huelewi mkuu?
@bujucargoenterprises15223 жыл бұрын
Baba mwenye amelea na mwenye ku weka mimba nani mukumbwa hapo ? Wowe mimi kaona wote wazazi kusema ukweli na isitoshe mungu anaongeza balaka kwa ule akumbuka mahali alipotoa muzazi balaka mukumbuke iyo kama wa islam mi ni ally asante kwa hayo
@navanjkiba24393 жыл бұрын
Mama Domo na mwanao wote wasenge tu mnapenda kiki sana
@kennethrayler91133 жыл бұрын
Mama Dangote mwongo sana, mara Mzee Abdul alikana mimba, mara alimpata akiwa na mimba, kisha akaendelea kumtaja mtoto wake Naseeb abdul basi si angemtaja nyange.
@yolamshaban43873 жыл бұрын
Duh..... Mwananke sio kiumbe wa kuaminiwa.....
@kenyandamu3 жыл бұрын
Ukweli mtupu 💯
@queen.christelle13 жыл бұрын
Ndo ume jua hilo bibilia mbona ime sema ukweli kwamba muushi na wanawake kwa akili nyie ndio mnao jisahau
@thadeyngingo15043 жыл бұрын
Hakika
@hamishasan77373 жыл бұрын
Kweli
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Simpime damu tuu atakama baba alikataa kulea mimba lkn dn airuhusu kumpa mtoto baba mwengine mungu atusamehee wanawake ss 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@bernadphilipo10133 жыл бұрын
Yaaan mnajidanganyaa mko Kama watt,kwann aliitwa nassibu abduli
@oscarkeneth94763 жыл бұрын
Interview bora kabisa 2021
@allykimwaga67153 жыл бұрын
interview ya kisengeeee
@aminapeter61773 жыл бұрын
Usiombe ufilusike we daimond wa tanzania watakuangalia kama mavi maana kupat a kidogo tu jeur mpaka kwa mashabiki mmbwa wasaf wote
@mussakimaro55883 жыл бұрын
Mama MTU mzima ovyo,ukimwangalia Diamond na mzee abduli wanafanana ila mama snich sana mzee abduli kaza roho,Ndo maana waliitwa HAWA,HAWA HAWAELEWi,HAWA HAWASIKII,HAWA WASALITI,HAWA HAWAJITAMBUI,malipo yatakuja mda sio mrefu
@josephinekalwa81713 жыл бұрын
Their voices resemble a lot
@kemmytega89823 жыл бұрын
Even me I was ask my self why there voices are resemble? Mwanzo nilijua diamond anatangaza kipindi Cha michezo nikaambiwa sio yeye.
@merymrema4203 жыл бұрын
Mmekosea Sana kumzalilisha mzee abuduli
@lucykanyopa53503 жыл бұрын
Mama Naseeb, acha kumnadi mtoto wako kiasi hicho, dunia in duara dada
@zuwenamakame99633 жыл бұрын
Subhanallah muogopeni mungu uongo ni dhambi ila alaisallahu biahkami -lhakmeen, Allah ndie hakimu kuliko mahakimu wote .
@nestor3843 жыл бұрын
Is like wote hawa they are pre informed and prepared to tell this scene!
@iviejustified81093 жыл бұрын
Movie
@babalababalao9833 жыл бұрын
Hata kama diamond ana pesa zitawaanguza yeye na mama yake na lana zinaanza mpaka wanafungiwa namuombea dua Mzee abdul mungu amjalie ampe afya njema ila mungu yupo atamjibu tu na ukeli anaujua mungu ila unaambiwa ukifanya ila usikasirike ukifanyiwa yatamrudia diamond na mama yake
@saidpazi66203 жыл бұрын
PICHA limepangwa vibaya sana
@nishasalim28803 жыл бұрын
They think were all stupid.
@noonelike63823 жыл бұрын
Shikamoo mwijaku 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌#. Mwijaku aliwahi sema hv karibuni ".. kuelekea February kuna Mambo yanakuja 🤧😆😀💣... Hahahaha.
@youngxurejr43533 жыл бұрын
Hakika mzee Wang Abdul jipe moyo haya nimapito tu achana nao malipo nihapa hapa dunian
@dunna16633 жыл бұрын
Diamond hapa uko na brother wa dhati👍👍🙏🙏
@nancykwendo10413 жыл бұрын
Alluminat iko kazi, mungu tupe hekima
@freemoney6423 жыл бұрын
kabisa kwendo but iko na mwisho wake
@siznic91153 жыл бұрын
Ukiona yanatokea tokea hivyo ujue wako karibu kumuuwa mteja wao huenda kuna kitu hatekelezi vyema kulingana na masharti Yao..inauma, nasema hongera konde boy Kwa kuvuruka shimo la siafu imewakuta aibu ndo jimama lajikaza kuziba na ubumbavu nyooo ovyo tu
@nancykwendo10413 жыл бұрын
@@freemoney642 nime muonea baba huruma lakini mungu yuko ya Dunia ni ya Dunia tu
@simbarajabu41573 жыл бұрын
Mungu yu mwema naaamini kwa mzee abdul mungu atamlipia
@maulidmsangule35983 жыл бұрын
Ah mm kama baba nisingegombana ningemwambia badili jina LA Abduli weka jina LA babaako anaemjua mamaako kama umenielewa gonga like kama 100
@anthonymgaya84253 жыл бұрын
Mzee ashasema hyo mapema tu
@fathmamekidady23573 жыл бұрын
Diamond anafanana na mzee Abdul mda mwengine wamama wanapotosha watoto zao haifai na Kama Abdul atamkataa baba yake basi atapata shida sanaaa mzaz n mzazi na ana uchungu nae Allah anawaona utakosa radhi za baba
@chidtec44853 жыл бұрын
Hii game mbona ya kawaida, me mwenyewe nipo nalea mimba ya mtu, maisha mchakamchaka
@emmanueljoseph25763 жыл бұрын
😂😂😂
@evodiakomba98733 жыл бұрын
Ostadhi mhogope mungu wewe unajipya wewe dai nimtoto wa mzee abduli wewe Na dai zilipendwa 😭😭😭
@jamesmgimba74033 жыл бұрын
Mama aliandaliwa mbona anaonyesha kabisa anaangalia wasafi
@khalidsalum17403 жыл бұрын
kiki hiiiiiii
@africaworld5min9373 жыл бұрын
Nikweli
@lirastanley3903 жыл бұрын
Ndio
@sekelamwangosi32893 жыл бұрын
Umeona ee🤣🤣🤣
@medievalyt17213 жыл бұрын
Mchezo wa kuigiza
@janetcharo15433 жыл бұрын
The guy resembles Diamond,even their voices,and the way they talk.....blood is thicker than water
@evasaimon67643 жыл бұрын
Mama diamond platinum maisha yanabadirika usimfanyie mwenzio unyama kiasi hiko, kisa pesa..yani naona unataka kuakichaa kwasababu ya pesa
@nishasalim28803 жыл бұрын
Yaani ! Acha tu! Ni kama movie. Machungu jamani
@nishasalim28803 жыл бұрын
Diamond atajificha wapi jamani?
@fadhiliignusy37903 жыл бұрын
waangalie mfano wa mama kanumba wapate somo,...
@rehemamohammed42153 жыл бұрын
Mmh kz kweli kweli mambo ya familia hayoooo jmn
@diti48993 жыл бұрын
Upumbavu wenu unaenda kuharibu vizazi vya watanzania. Pesa azipatikani kwa ushetani huu
@glorysaimon82383 жыл бұрын
Hahahahaha pesa zipi nakati pesa wanazo tayari
@CyimSky3 жыл бұрын
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO. kzbin.info/www/bejne/qaOUoKSig9hof9E
@2ragosntondero3033 жыл бұрын
Angekuwamasikini ungemujali
@neymardekutele84523 жыл бұрын
DNA ipo, lakini yote tisa, Diamond inabidi a-apreciate malezi ya baba mlezi
@anwaryatako9403 жыл бұрын
DNA ipo pesa pia zipo... kaka docta c pia ni binadamu atahongwa na mondi achukuliwe,mzee nasibu aachia mola tu
@rachelmukazayire82933 жыл бұрын
Ama kasema mzee abdul kakana mimba kwamba ule sio mtoto wake na hakumsaidia kitu tangu nursery paka secondary, sasa atakubali malezi ipi?
@jaxyoungsjaxyoungs53773 жыл бұрын
Bro Hata kama Hujuw kusoma picha Huon Hugo Diamond ni mtoto wa mzee Abdul
@neymardekutele84523 жыл бұрын
Mi tamko langu nitalitoa baada ya DNA, kwa sasa ni nikiongea ni sawa na kusimulia movie ambayo sijawahi kuitazama
@jurassicparkmovies88053 жыл бұрын
*Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini* kzbin.info/www/bejne/gn6wlIKCi9BnqNU Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Mbona huyo nasib wanafanana na Mzee Abdull Mzee Mungu anakuepusha na vyakula vya laana kwani anaekula cha haram moto halali yake jua kifo kipo na Azabu zipo na huyo babayake mwingine alikufa wao wanajua a naraha aliko na mambo hayo wanayoyasema wanamuandalia moto huko kabulini nyie mnao naraha lakini mwenzenu huko haliyako mbaya ni wakumuombeatu dua😭😭
@alphageorge55633 жыл бұрын
Mzee aende mahakamani kudai haki miliki ya jina lake, limetumiwa kimakosa, kiupotoshaji kwa miaka 30.
@jacobngonyan87873 жыл бұрын
Fact
@edwinsylivester78223 жыл бұрын
Uko sawa ndugu yng
@aminarashid87953 жыл бұрын
Kwani Abdul yeye pekeake duniani!?
@pudenciamalley98323 жыл бұрын
siku hz sheria iko after money af mzee hali yk ndo hv tn unafkir haki itapatikana kirahc kihivo
@msafirisalum84363 жыл бұрын
@@aminarashid8795 we ubongo wako una matatizo
@JohnJuma3 жыл бұрын
Si muende dna haya mambo yawekwe bayana. Diamond alipie dna. Nyange, Abdul na Diamond waende wajipime dna chap chap. Kama nimegonga ndipo bonyeza like.
@denisdeusdedith58493 жыл бұрын
Kwahiyo kama alikataa mimba na hakuilea kwanini aliitwa naseeb Abdul? All in all itoshe kusema sandra ni Malaysia
@pudenciamalley98323 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@scolasticawambui18603 жыл бұрын
kabisa 100%
@ashufaamlalila3 жыл бұрын
Wangejb xwal hlo kma n kwel!!!
@hadijajumanne54933 жыл бұрын
Aliyekataa mimba mzee salum jamani si abduli au me ndio sijaelewa !
@hadijajumanne54933 жыл бұрын
Mzee abduli akapewa baada ya mzee slum kukataa
@janethmusah21253 жыл бұрын
Hivi huyo mama nasibu na mwanae nasibu ikitokea bahati mbaya mwenyezi mungu amchukue mja wake mzee Abdul Hawa watu watasogeaje msibani