Tulieni dawa iwaingie vizuri Mnateseka mkiwa wapi!!! Alipowachamba Yanga mlichekelea sn
@marcoshaban10 ай бұрын
Mamelody watalala kwa skills nying za yanga
@josephgeorge12992 жыл бұрын
Kaka haji napenda Sana maneno yako,siasa pia inakuhitaji,25please usikose fomu ya ubunge,na utakachopata Mimi Joseph mbezi,Kama mtoto wa mzee mkubwa wa ndani serikalini toka nchi inaaanza,utanikumbuka,ni wakati wako siasa na soka.
@MaicoSalmoBacarBacar10 ай бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@halimmnav94582 жыл бұрын
Duuh kumbe kuna makolokolo fc wanaumia eeeh Haji endelea kuwakera hao mikia
@astridandovanga80452 жыл бұрын
Hivi ngozi na mpira vinaingilianaje alikupa wewe ndiye aliyemnyima asingeumbwa hivo angejibadilisha mipira tumeikuta kwahiyo tusimkufuru mungu kisa mpira as
@johanessmwijage11922 жыл бұрын
Sijui mashindano gani
@johnmanase28746 ай бұрын
Yanga mipango inaenda haina propaganda... Wako real