Doto unanichekesha aisei unaongea huku unawasiwasi na pesa huko pemben unahisi wajanja wataipitia!!?kilawakat unastukastuka na kuishika unahakikisha ipo haipo.
@JumaShimende8 ай бұрын
Doto angaliaga maneno yakusema huna la kuongea levo mkimbizi?Alikiba daimond nao wakimbizi?Hamonaiz je nae mkimbizi?nakukubali mzaramo ila leo mtani sijakuelewa kabisa.
@AbdilahiMohamed-l1y7 ай бұрын
We muongo eti umempeleka mpaka yuko you uongo uwo
@davihkk20118 ай бұрын
Ukitaka amani maishani usimtusi mwenye nyumba hadi upate chako mwenyewe. Usiikanyage sahani uliolia.
@jamesbreezy8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@DinisfernandoCompanhia8 ай бұрын
watanzania
@Gaucho75978 ай бұрын
Dotto japo nakupenda lakini mambo ya Ukimbizi ...yeyote ule anaweza kuwa mkimbizi hatawewe...Kwani Mtume Muhammad s.a.w salikuwa mkimbizi..!!? Ujinga uo wa ukimbizi weka cini ulimwengu niwa Mungu si wakwako wewe..Shabiki wako kutoka Rwanda.
@EsauBanda-cw3cf8 ай бұрын
Mwambie fala huyo
@EsauBanda-cw3cf8 ай бұрын
Mpombavu sio bingwa falasana Kwa kumwita muafrika mwenzie mkimbizi nor fair at all
@Mwana3228 ай бұрын
😂😂😂😂
@hassanamend80358 ай бұрын
😳😳😂😂😂👏👏
@salma_6j9758 ай бұрын
Kwa hiyo intavyuu nzima unamzungumzia baba levo tu...
@AzhadSaid-j1t8 ай бұрын
Doto kama doto
@mayrose97728 ай бұрын
Haaaaa haaaaa eti unafuga panya😂😂😂
@KASTOMWENDA-fn5iu8 ай бұрын
Sampipo day,,,,hiii imeenda
@softsoftbby80138 ай бұрын
Kwani Dotto magari ni mkristo kwa nini anaweka msalaba?
@CJ-vd9wn8 ай бұрын
😂😂😂😂
@dullywa99738 ай бұрын
cameraman anacheka kinoma😂😂😂😂
@shanimbaruku20718 ай бұрын
😂😂😂😂😂Kama alivyo cheka vunja bei ndani ya ndege🎉
@abednego38768 ай бұрын
Uyu jamaa utafkr anaingiziwa chaji matakoni ya kuongea.
@kamanafikiri99548 ай бұрын
Alipo Baba levo 😂😂😂😅😅
@AlouiseNgenDanDumwe8 ай бұрын
Kwani kigoma ilikuwa tanzania au hujaenda shule mkowa wakigoma …..? Burundi kama kweli umesoma na unajuwa history acha usenge bro
@kalungamabrucki618 ай бұрын
Baba levo mfungulie kesi huyo akatoe ushahidi kwa hayo anayoyasema kuhusu wewe unajua ignorant people lazima uwafundishe lazima wajue cha kuongea na cha kuropoka sababu huyu choko kila lijalo mdomoni anaropoka imefika time afundishwe dunia
@MfizoCrypto8 ай бұрын
Zinduka ww hawa watu wanajuama vizuri kwaiyo usikubali kutumika kizembe while they are making money.
@ashuramhandoashuramhando67988 ай бұрын
Kwani huyo B Levo anawasema wenzake mangapi haswa Hamo alishapelkwa huko unakosema acha kukurupuka
@EsauBanda-cw3cf8 ай бұрын
A upumba Vu hakuna foreigner Africa tatizo hujastaarabika na haujasafiri nje ya Tanzania achana na habari za kumuita mkimbizi mwafrikka mwenzio unawauzi wengi mno bro mimi mwenyewe mtanzania but siwezi kumwita muafrika mwenzangu foreigner