ISSA TAMBUU AMJIBU DOTTO MAGARI / NIMEMSAIDIA SANA / HANA SHUKRANI / NILIMUOKOTA MTAANI

  Рет қаралды 28,515

Manara TV

Manara TV

Күн бұрын

BOSS WAKE DOTTO MAGARI ISSA TAMBUU AMEMJIBU MFANYAKAZI WAKE DOTTO BAADA YA KUSHUTUMIWA AMEKUWA AKIMFANYISHA KAZI DOTTO PASIPO KUMLIPA PESA NI UTATA MTUPU TAZAMA HAPA FULL INTERVIEW HAPA
#manaratv #hajimanara #wasafimedia #diamondplatnumz #dottomagari

Пікірлер: 38
@tshibangumunyenza7383
@tshibangumunyenza7383 8 ай бұрын
ISSA TAMBUU you are the best in TZ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿watching you live from Toronto Canada 🇨🇦 na apa ipo . Issa one love ❤Bro
@Haytham-ip3ou
@Haytham-ip3ou 8 ай бұрын
Najifunza sana hekma yako Allah akuzidishie kaka
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 8 ай бұрын
Jamaa yupo hamble sana sema anaishi na kichaa mtandaoni
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 8 ай бұрын
Nimempenda kwa kutokuwa na majibu kwa kisasi cha kuongelewa maneno mabaya na doto japo hatujui ni ya kwao wenyewe lakini jamaa ame-play part na maneno ya hekima❤
@ummySheikh72
@ummySheikh72 8 ай бұрын
Huyu Issa ni muungwana na mcha mungu, hapendi ugomvi ana uwa so tu. Doto si muungwana hata ukimwangalia ni mshenziiiii mshambaas
@DominikusiFusi
@DominikusiFusi 2 ай бұрын
Isa umenyoka sana
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 8 ай бұрын
Kiki hizo hawa Viumbe wanaishi Vizuri sana ngojeni namuone 😮
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 8 ай бұрын
Namkubali sana huyu kaka kwanza ana hofu ya Allah
@Mumewangu
@Mumewangu 8 ай бұрын
Hana
@zomasamweli
@zomasamweli 8 ай бұрын
Issa Yuko simpo nasa Hana noma kabisa
@JumanneSudi
@JumanneSudi 4 ай бұрын
Jamaa ana hekma saana
@salehehalifa2606
@salehehalifa2606 8 ай бұрын
Issa Yuko vizuri tu
@ashaali7154
@ashaali7154 7 ай бұрын
Una mdomo sana wewe kumbe ulitegemea ukiuza gari ulipwe pesa yote? Bila yeye ungejua hata aina ya gari wewe? Kuwa na shukrani japo kidogo. Kwa mdomo kama huo hakuna atakae kutaka na Issa Mungu atakulipia tu.
@KassimMwamtunda
@KassimMwamtunda 8 ай бұрын
Lakini swali ni? Utani hadi wadoto kusema huyu magari yake mabovu anaibia watu tena kwenye social media public hii imekaaje ndugu sababu si wote ambao wataipokei hii kama utani kwenye biashara wako walio na interest yakuja nunua wataogopa, ata chizi ataelewa hapa
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 8 ай бұрын
WENZAKO WANAISHI MAISHA YAO HAWANA MIPAKA
@alonchobasamiye6844
@alonchobasamiye6844 8 ай бұрын
Sema doto wengine wanamuona miyayusho lakin kuna message anaifikisha mahali
@muhsiniamiri9310
@muhsiniamiri9310 8 ай бұрын
abadilik doto mropokaji halaf anajiona San japo anajitetea kwa maneno yak yakuchekesha..... lkn kiukwel anapasw kubadilik
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 8 ай бұрын
Huyo Ni Chizi fresh aisee...Tambuu muweke mbali asije akakuharibia sasa,,,vita imeanza
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 7 ай бұрын
Hawa wanajuana Wana utani ndo niligundua
@kaizerabilahi5958
@kaizerabilahi5958 8 ай бұрын
Ila boss mwenyewe anacheka Cheka tu🤨
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 5 ай бұрын
Hii ni Kiki hawa Dotto na Tambuu wanajuana wana feki ugomvi kiki tu.
@paulgoliama4363
@paulgoliama4363 Ай бұрын
Nyoa😂😂😂 eeh
@raimondnduwi
@raimondnduwi 8 ай бұрын
Naweza kuongea na Issa wa Motors
@DaariaSaid-z9w
@DaariaSaid-z9w 8 ай бұрын
Issa ni mstaarabu sana mtan wangu back na mungu mtan
@mahmoudibnabdillah8227
@mahmoudibnabdillah8227 8 ай бұрын
Hivi huyu doto ana udugu na markuba zimwi au?
@GeofreyMtensacollection
@GeofreyMtensacollection 8 ай бұрын
Issa yupo smart sana kichwani,
@stanleymwaselela1849
@stanleymwaselela1849 8 ай бұрын
Wewe hiyo ni muvi kama hamjui mm nawajua vzuri Hawa wanatengeneza teshen ili muwe munawafuatilia
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂sezon
@toshindugwa1085
@toshindugwa1085 6 ай бұрын
Doto anapayuka ila binaadam hatunaga shukurani NO fadhira
@mustafamuhunzi4047
@mustafamuhunzi4047 8 ай бұрын
Acha unafiki ukisema watu walikua hawamtaki hiyo ni dharau mbona alikua akikunadi sana sasa iweje leo achukie, ongea ukweli Issa.
@Blackgoat-t6l
@Blackgoat-t6l 8 ай бұрын
We doto aumjuwe mambo yake
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 7 ай бұрын
Sheikh ni mtu mwenye elimu kubwa
@JumaBakari-eb3ft
@JumaBakari-eb3ft 8 ай бұрын
jamaa mbona kama muongo ivi
@eliaschimba5152
@eliaschimba5152 8 ай бұрын
Nyinyi watangazaji niwa chonganishi sana, are you trying to investigate what is behind the relationship of dotto magari and issa, try to be professional
@mamalange2277
@mamalange2277 8 ай бұрын
Mwandishi=0
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 8 ай бұрын
Uyu jamaaa muongo anaonekana ukiona mtu anachekacheka kam Malaya mbovu ujue
@TheopistaMuheta-qp1bc
@TheopistaMuheta-qp1bc 8 ай бұрын
Mov hiyo wanazuga
@RehemaSaid-rg5mr
@RehemaSaid-rg5mr 8 ай бұрын
Issa yupo vizuri acheni unafki doto ayupo sawa
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН