Zaynabu ni mstaraabu sana na anaonekana ana mapenzi na mume wake mengi sana Mola amdumishe kwenye ndowa yake ❤❤ daaimah
@hawababy1206 ай бұрын
Allah Ailinde ndoa yenu.zai umependeza san❤
@dayana5513story6 ай бұрын
Akuna mausiano ambayo yako parfect,Mungu akawatangulie katika ndoa yenu❤❤❤❤❤
@majabiali9736 ай бұрын
Mashallah manara tunza ndoà yako kaka tulia. Angalia maisha na watoto
@MariamCleinance4 ай бұрын
Hongera manara naomba uniwezeshe mtaji hata milioni nifuungue biashara mwenzio
@kassimmanaramalika85925 ай бұрын
Bismillah maa Shaa Allah Mrs Manara wow🥰 Akili Yako kubwa Sanaa hongera my
@NeemaMwangobola5 ай бұрын
Mjifunze ustarabu kwenye kujibu comments matusi ya nini..tatizo roho zenu mbaya sana mnao tukana..kawakosea nini manara na mke wake...Mimi nawajibia...amna anae fikia akili ya manara na nyota yake...Wala penzi la mke wake Kwa jinsi anavyo jibu Kwa heshima ya kutoka ndani ya moyo..nakupenda sana zailsa mpaka unamaliza bando langu Kwa kukupenda..achana na vijikobwe hao..watakua awajui..Kaa nao mbali...tunakuombea mama mkumbatie bugati wako.
@trice_yanga6 ай бұрын
sema Mungu awape amani na upendo kwenye ndoa yenu🥰
@LuluMalima-j1w6 ай бұрын
Congrats guys your marriage is still going strong, Manara i see you boo, making wife a star. She should appreciate you and you her.
@meshackkyando6 ай бұрын
Manara unajuaa sana
@MOHAMMEDABDALLAH-w4k11 күн бұрын
Hongereni sana
@ninjaisma79835 ай бұрын
Mumeipiga poa sana hii interview yenu ..nmeipenda for real
@kevinalpha47166 ай бұрын
Niwape hongera japo kwangu mm binafsi siwezi maana najua kuna jocks sana
@rehemarwanda60396 ай бұрын
Allah awafanyie wepesi.....mdumu milele
@bahatisaid54066 ай бұрын
Jamani Allah awabark sn jazakallahu kher inshaalah
@barnabasmalima48236 ай бұрын
Yataka moyo kumuoji mkeo ila ni vyema kwa maisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@clemintineuwamahoro96526 ай бұрын
Kweli utu namalezi nde sawa
@oyay28216 ай бұрын
Safi sana hii interview
@bahatisaid54066 ай бұрын
Haji nay mko vzr mashaallah
@Filmz6396 ай бұрын
Nimegunduwa zaylisa anaakili nyingi na nidhamu. Ni mke mwema kwa Haji manara
@barnabasmalima48236 ай бұрын
ugomvi hasa ule wa kipuuzi puuzi unatokana mara nyingi na upendo mkubwa unakuwepo kati yenu na mara nyingi upendo huo una demand kubwa unataka kudekezwadekezwa hivyo braza haji mdekeze shemeji yetu na ni haki yake
@SaidSaid-ef8md6 ай бұрын
Hahahaha Bugati kumbatia babaaa😂😂 me mwenzio nishajirekebisha😂😂😂
@femidayahaya48826 ай бұрын
Safi sana😂😂😂
@aminaabdulrahman51846 ай бұрын
Haji unataka kumuongozea nyashi zay
@selemaniidemu42066 ай бұрын
Swadaktaaa nawatakia maisha mema
@aminaomary55676 ай бұрын
Safi sana ❤❤
@tamimakhalfanikhani84033 ай бұрын
Aah alikuwa anatukana sana mshenzi huyu😅
@Gloria-vh5bz6 ай бұрын
Hii inaitwa kujitekenya ili ucheke😂😂
@abdulkadirgafla38896 ай бұрын
Mbona usingempeleka kwa zamaradi tv akamhoji ingependeza zaidi
@MohammedSaleh-t5h6 ай бұрын
Ndoo kutafuta hela ndomana wapo hapo
@BarbaraPatience-qt9cc6 ай бұрын
Mbona isiwe Kwa manara TV! Anajenga TV show yake!!
@aminaabdulrahman51846 ай бұрын
Mashaalah
@vumiliamgendi1486 ай бұрын
Mu mnziiiiiiiiu
@mrsab3036 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤❤
@DoriceStanslausАй бұрын
unajua kupika?
@LucyMwari-bk9pt6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@FarhatSeif-p3t5 ай бұрын
Bora ungempa mtu mwengine amuhoji. Mie naona mmepanga masuali na majibu hainogi
@Naju6456 ай бұрын
Allah awadumishe
@IbrahimNtirenganya4 ай бұрын
Uislam ni Bora kuliko vyote mnazania ni vyema kuuenzi nyinyi ni wa Islam lakini muonekano wenu sio wa kistarabu rejeeni kunako Uislam mwanamke stara